NENO Moja tu ninasikia kulisema kwako kakangu, ikiwa ni SIKU ya tatu tangu nimepata neema ya kuanza kukusikiliza ni kwamba NAKUPENDA SANA KWA KUWA NINAMPENDA SANA SANA SANA MUNGU ULIYE NAYE. NAJUA UKO NAE, ANAKUPENDA, NA UTAMALIZA NAE SAFARI YAKO YA MAISHA. GOD BLESS YOU.
Acha uhuni na matangazo ya mapicha ya fremanson, huu ni uhuni, umetumwa kwa njia nyingine, au hubili watu waokoke achana na mapicha ya waovu ifute kama kweli umebadilika.
paschal mie sikuelewi kabisa saa zingine hivi ukijisikiliza dk 30 na kuendelea unaongea nini we mwenywe unajielewa kweli mala uchawi upo mala hakuna sio uchawi mmmhhhh kipaji ni kipaji tatizo nahisi kuna mambo mengine unaficha ficha sana
Mungu hatakusaindia kwa sababu humemchangua mungu humeacha njia mbaya naamini mungu yuko pamoja nawe kwa sasa
NENO Moja tu ninasikia kulisema kwako kakangu, ikiwa ni SIKU ya tatu tangu nimepata neema ya kuanza kukusikiliza ni kwamba NAKUPENDA SANA KWA KUWA NINAMPENDA SANA SANA SANA MUNGU ULIYE NAYE. NAJUA UKO NAE, ANAKUPENDA, NA UTAMALIZA NAE SAFARI YAKO YA MAISHA. GOD BLESS YOU.
Namukubali sana mungu amufunike na damu ya yesu mungu amupe ulinzi
God bless you , I have learnt that I should not take talents for granted it will help us spiritually and earthly
Barikiwa sana ushindi upo
May GOD bless you and may he give you strength so that everyone may know GOD and may be saved from the dip pit of devil's
Mungu akubariki mtumishi
Huyu mtumishi namkubari sana Mungu akufunike kwa damu ya yesu
Kaka Casian ushuhuda wako ni mzuri sana
God bless you brother Cassian
Pascal we need sub-title. I do not understand what you are saying. Does not help me if I do not comprehend it at
all. Thanks
Acha uhuni na matangazo ya mapicha ya fremanson, huu ni uhuni, umetumwa kwa njia nyingine, au hubili watu waokoke achana na mapicha ya waovu ifute kama kweli umebadilika.
Umetoka mbali mbali sana
That's true pastor
Amakweri bnadam kaz
Huyu mtumishi namkubari sana
Sema kbs kuwa mnahesabiana matuta
Dunia kwaheri
alienda kuroga na kweli akashinda harafu hizo imani sio kweli hapa sijakuelewa kama na wewe uliloga sasa unakataa nini
Vipi ushuhuda una mwendelezo?? Maana umeisha gafla utafikri umeme wa TANESCO
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
Mangu azidi kukutunza
Kaka pascal SABATO ya kweli ni ipi?????
Nakubali mtumishi
paschal mie sikuelewi kabisa saa zingine hivi ukijisikiliza dk 30 na kuendelea unaongea nini we mwenywe unajielewa kweli mala uchawi upo mala hakuna sio uchawi mmmhhhh kipaji ni kipaji tatizo nahisi kuna mambo mengine unaficha ficha sana
Umesikiriza ngoma aliyetoa inaitwa chanjo
👏👏👏👏
Hiyo ulisahau ni AY
Pasko kasian dunia kwaheri
Tapa wapi number framanson?