KINA DAIMONDI)( paschal cassian)(official video musc

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025
  • #0766998994 #call0688199370 #0788871769

Комментарии • 929

  • @Lawyechaneli-h4h
    @Lawyechaneli-h4h Месяц назад +17

    Kama unapenda nyimbo zake )paschal cassian) weka like hapa

  • @KellyKana-q1t
    @KellyKana-q1t 2 месяца назад +114

    Ikumbukwe hata sisi amabao hatujatajwa tunahusika MUNGU ATUSAIDIE NA ATUREHEMU SANA 🙏🙏🙏

  • @Chizoofficial
    @Chizoofficial 2 месяца назад +346

    Waliobarikiwa na huu wimbo kama Mimi nione likes zao hapa❤❤❤

    • @toponatv
      @toponatv 2 месяца назад

      ruclips.net/video/b2LOUi_cw4k/видео.htmlsi=EjcmcAtu40Tfj1wN

    • @gka9147
      @gka9147 2 месяца назад +6

      Woora

    • @hermanfrank6727
      @hermanfrank6727 2 месяца назад +3

      Yeah barikiwa mpendwa tuko pamoja❤

    • @Chizoofficial
      @Chizoofficial 2 месяца назад +1

      @@hermanfrank6727 Amen 🙏🙏

    • @Chizoofficial
      @Chizoofficial 2 месяца назад +1

      @@gka9147 Amen 🙏🙏

  • @FadhiliMusic
    @FadhiliMusic 2 месяца назад +211

    Kama unaamini huu wimbo unaujumbe kamili kutoka kwa mungu kuwaonya wasanii please usipite bila kunipa 👍 like 🙏

  • @AlexSaninga
    @AlexSaninga Месяц назад +18

    Huuu ujumbe bila loho mtakatifu hauezi toboa ubalikiwe sanaa mtumishi 🙏🙏🙏

  • @bahatimaselo8528
    @bahatimaselo8528 2 месяца назад +86

    Sauti ya mtu aliyae nyikani mwenye hekima na akili ndiye atafahamu maneno ambayo roho wa Mungu ayaambia makanisa.🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @ivangasper1709
    @ivangasper1709 2 месяца назад +65

    Wakati wimbo unaanza sikuuelewa ila kadri nilivyo endelea nikagundua sio tu walio tajwa kwenye huu wimbo ndio wenye ujumbe huu, bali ni mimi nawewe tumgeukie MUNGU tuachane na njia zetu zilizo tupotosha

    • @GodbetterEmmanuel
      @GodbetterEmmanuel 2 месяца назад +3

      Kabisa mtu wa Mungu.

    • @ErastoKihwelo
      @ErastoKihwelo 2 месяца назад +4

      amina ubarikiwe

    • @LucianMwamunyi
      @LucianMwamunyi 2 месяца назад +3

      Ni kweli hao ni kama mfano tu ila wote tunahusika

    • @YustoEmmanueli
      @YustoEmmanueli 2 месяца назад +3

      Shetani amewafumba wengi mtu wa Mungu

    • @YunisnafulaTaabu
      @YunisnafulaTaabu 2 месяца назад +3

      Uzri wako ugopi chochote wewe ni shuja mungu akuzidishie Ujasiri mungu akutumie jeshi la binguni akutumia mukuu wa malayika wa ulizi tuwe mashuja tusiogopee uovu

  • @emanuelmgayakushman9503
    @emanuelmgayakushman9503 5 дней назад +1

    Hakika kua Mucha mungu Nikujiripua Nyimbo kubwa sn Barikiwa mtumishi

  • @user-qq7pg6jk
    @user-qq7pg6jk 2 месяца назад +5

    Mimi naomba nikuulize umejipangaje ndugu yangu, ushauri wangu kwako, Sali saana Mungu akusimamie maana umegusa panapo uma

  • @dallovision
    @dallovision 2 месяца назад +119

    WANAWEZA KUDHARAU HUU UJUMBE ILA HAKUNA SEHEM WATAPATA TENA

    • @toponatv
      @toponatv 2 месяца назад

      ruclips.net/video/b2LOUi_cw4k/видео.htmlsi=EjcmcAtu40Tfj1wN

    • @SamoraTabaga
      @SamoraTabaga 2 месяца назад +3

      Kweli haitajirudia tena

    • @SarahMkuye
      @SarahMkuye 2 месяца назад +1

      Kabisaa

    • @alicekosgei6217
      @alicekosgei6217 2 месяца назад +3

      Kabisa huyu MTU ametumwa na Mungu

    • @JovinusJoseph1992
      @JovinusJoseph1992 2 месяца назад +1

      Amina

  • @bernarderadi4410
    @bernarderadi4410 2 месяца назад +72

    Wapende wasipende Injili wataisikia tu👏😁👏👏🙏

  • @WilliamDaudi-p1t
    @WilliamDaudi-p1t 15 часов назад

    Asande sana mungu wangu kwa kujibu maombi yangu 🎉🎉🎉❤❤❤ nimefurahi sana kwa kuona godls anaimba Tena 😢 🙏🙏🙏 🎉🎉 kweli mungu alali 😭

  • @AdelinajescaOswald
    @AdelinajescaOswald Месяц назад +6

    shetani alidhani kakupata bongo star sarch kumbe BABA wa mbinguni alikuwa anamwambia shetani uliye tu! Hilo ni JASUSI LA MBINGUNI! Hongera sana Mtumishi Cassian ! MUNGU Azidi kukuinua kwenye huduma ya kumtumikia bila woga.

  • @KENTV11123
    @KENTV11123 2 месяца назад +8

    ❤❤❤❤❤❤ I love this gospel.😂😂from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿

  • @AllenAlex-g2z
    @AllenAlex-g2z 2 месяца назад +68

    Wa Kwanzaa kuiona nyimbo hii ebu mpatien maua yake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @DaudiHalula
      @DaudiHalula 2 месяца назад +2

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @HeleneOyster
      @HeleneOyster 2 месяца назад

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉​@@DaudiHalula

    • @LucyMmboga
      @LucyMmboga 2 месяца назад

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @YUSTOMWAKIFWAMBA
    @YUSTOMWAKIFWAMBA Месяц назад +2

    barikiwa sana kaka pascali mwanzo nilikuwa sijakuelewa lakina sasa nakuelewa sana mtumishi 🙏🙏

  • @waziriasangalwisye6393
    @waziriasangalwisye6393 2 месяца назад +21

    Mpaka nimeogopa nahisi huu mungu atautumia kama fimbo kwetu wote tuliousikia maana unaujumbe mkubwa

  • @JosephNgui-h7c
    @JosephNgui-h7c 25 дней назад +2

    Holy spirit is speaking 😢 tusaidie Mungu 🙏

  • @JAY-YTZ
    @JAY-YTZ Месяц назад +3

    🎉🎉🎉nime ipenda sana hii nyimbo

  • @petermaroaofficial
    @petermaroaofficial 2 месяца назад +44

    Hallelujah mtumishi wa Mungu barikiwa sana🎉🎉🎉🎉

  • @VicramVicky-o8j
    @VicramVicky-o8j 2 месяца назад +2

    Nasikiya kufuta nyimbozangu nibaki tu na huu wimbo❤❤❤❤❤

  • @JacklineMroso-gy6ej
    @JacklineMroso-gy6ej 2 месяца назад +77

    Nakama vile watu walivyowekewa kufa mara moja na baada ya kufa hukumu.waebrania 9-27 ndugu zangu sikieni ujumbe huu baada ya kufa hakuna kutubu muda ndio huu

    • @LodvolaLameck-jl5vs
      @LodvolaLameck-jl5vs 2 месяца назад

      Hakika

    • @jeanefelix70
      @jeanefelix70 2 месяца назад

      Amina

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz 2 месяца назад

      ruclips.net/video/ngP0wbEmsKw/видео.html
      AFICHUA SIRI NZITO JINSI MADHABAHU NYINGI ZA MANABII NA MITUME ZILIVYO NA UHUSIANO NA USHIRIKINA.
      SASA ROHO YAKE INAWINDWA KWA KUTOA SIRI HII, AUGUA MAGONJWA YA AJABU MWILI MZIMA.
      ASEMA VIDEO HII ITAKUWA UKUMBUSHO HATA MUNGU AKIRUHUSU AFE MUDA HUU MAANA HALI YAKE KIAFYA NI MBAYA KWANI MARA VIPIMO VINAONESHA MOYO WAKE UNA HAMA TOKA KUSHOTO KWENDA KULIA.
      MAAJABU MENGINE AMEGUNDULIKA HANA FIGO KABISA HALI INAYOMFANYA SUMU KUSAMBAA MWILI MZIMA KILA WIKi ANATAKIWA 300,000/: YA KUTOaa SUMU.
      ALIKUWA NA MAGARI, NYUMBA ZOTE AMEUZA KUJIUGUZA LAKINI WAPI SASA AWAOMBA MSAADA WATANZANIA DUNIANI WALIPO KUMSAIDIA.
      ONYO: AWAOMBA WATU WASIRUHUSU KILA MTU KUWASHIKA MIKONO KICHWANI WAKATI WA KUWAOMBEA KWA KAWAIDA TATIZO HUANZIA HAPO.
      PIGA SIMU HII KWA MSAADA ZAIDI, 0713575718, MUNGU YUPO KAZINI SHETANI PIA YUPO KAZINI APATE WA KUWAPELEKA JEHANAM UWE MAKINI BADALA YA WEWE KUCHUKIA YANAYOSEMWA JUU YA NABII WAKO.

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz 2 месяца назад

      ruclips.net/video/ngP0wbEmsKw/видео.html
      AFICHUA SIRI NZITO JINSI MADHABAHU NYINGI ZA MANABII NA MITUME ZILIVYO NA UHUSIANO NA USHIRIKINA.
      SASA ROHO YAKE INAWINDWA KWA KUTOA SIRI HII, AUGUA MAGONJWA YA AJABU MWILI MZIMA.
      ASEMA VIDEO HII ITAKUWA UKUMBUSHO HATA MUNGU AKIRUHUSU AFE MUDA HUU MAANA HALI YAKE KIAFYA NI MBAYA KWANI MARA VIPIMO VINAONESHA MOYO WAKE UNA HAMA TOKA KUSHOTO KWENDA KULIA.
      MAAJABU MENGINE AMEGUNDULIKA HANA FIGO KABISA HALI INAYOMFANYA SUMU KUSAMBAA MWILI MZIMA KILA WIKi ANATAKIWA 300,000/: YA KUTOaa SUMU.
      ALIKUWA NA MAGARI, NYUMBA ZOTE AMEUZA KUJIUGUZA LAKINI WAPI SASA AWAOMBA MSAADA WATANZANIA DUNIANI WALIPO KUMSAIDIA.
      ONYO: AWAOMBA WATU WASIRUHUSU KILA MTU KUWASHIKA MIKONO KICHWANI WAKATI WA KUWAOMBEA KWA KAWAIDA TATIZO HUANZIA HAPO.
      PIGA SIMU HII KWA MSAADA ZAIDI, 0713575718, MUNGU YUPO KAZINI SHETANI PIA YUPO KAZINI APATE WA KUWAPELEKA JEHANAM UWE MAKINI BADALA YA WEWE KUCHUKIA YANAYOSEMWA JUU YA NABII WAKO.

  • @ReginaMnazi
    @ReginaMnazi 22 дня назад

    Safi sana mungu azidi kukupa ulizi wa damu ya yesu amen

  • @freretoms5119
    @freretoms5119 2 месяца назад +4

    Nime kosa lakusema najikuta naliatu😢😢😢 MUNGU akujaze nguvu saaaana mtu wa MUNGU una kazi kubwa saaana katika Dunia

  • @Magrethnemensi
    @Magrethnemensi 20 дней назад

    Mtumishi wa MUNGU sio wanamziki tu hata washabiki wa mpira Wana kera sana badara ya kushabikia injiri ya yesu wako bize na mpira

  • @jeanefelix70
    @jeanefelix70 2 месяца назад +43

    Sio tu hao waliotajwa, pia na waislam wote ambao awataki kumuamini Yesu Kristo mwana wa Mungu wote watachomwa, ubarikiwe sana.

    • @SamoraTabaga
      @SamoraTabaga 2 месяца назад +1

      Hakika hasa uisilam

    • @BrianChanachayo
      @BrianChanachayo 2 месяца назад +1

      Kabisa mtumishi

    • @PILISAID-s7n
      @PILISAID-s7n 2 месяца назад

      🙄🙄🙄🙄🙄🙄

    • @Mtumisi
      @Mtumisi 2 месяца назад

      Hahahaha waambie kaka, yani tu sema hatujuani

    • @jeanefelix70
      @jeanefelix70 2 месяца назад

      ​@@BrianChanachayobarikiwa pia mtumishi wa Mungu.

  • @HurumaMukumbana-n6d
    @HurumaMukumbana-n6d 5 дней назад

    Haujawayi kuniangusha mdogo wangu .nafsi nyingi huku Congo ulishaga zitunza.mungu akubariki sana.

  • @FranckMulaj
    @FranckMulaj 2 месяца назад +22

    Mungu atusaidiye nasi congo,tunaitaji nasi tukuye na pascal cassian 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @BernadetaPeter-r4y
    @BernadetaPeter-r4y 22 дня назад

    Mtumishi wa Mungu Nabarikiwa Sana na Nyimbo Zako Mwenyezi Mungu akutie Nguvu

  • @EmanueliMussa-qq6nm
    @EmanueliMussa-qq6nm 2 месяца назад +28

    Dunia itachomwa tena
    Nimependa hapo ubarikiwe mtumishi wa
    MUNGU

  • @AllyMusic_tz
    @AllyMusic_tz 21 день назад

    Huu ndo ulimwengu inaumizablakini Haina jilinde wewe kama wewe kwenye maisha ya ulimwenguu

  • @joshuamwanaharakari9849
    @joshuamwanaharakari9849 2 месяца назад +19

    Umemaliza hudaiwi, sauti ya Injili imeshawafikia. Kwa hiyo siku ya mwisho ukisema sikujua jibu wanalo.

  • @Magrethnemensi
    @Magrethnemensi 20 дней назад +1

    Mungu wa mbinguni akubariki sana mtumishi wa MUNGU,nakuombea aendelee kukutumia zaidi

  • @QeenRose-y4z
    @QeenRose-y4z 2 месяца назад +7

    Kweli kabisa sio tu kina diamond wote kwa ujumla😢😢😢back to the lord

  • @Rosette2013
    @Rosette2013 21 день назад

    Niembo nzuli lakini tukumbuke judgement ni ya Mungu, kwanju Ata wale wanaimba za Mungu akuna mwenye anajuwa ndani lohoni zabo

  • @Pilly-k3y
    @Pilly-k3y 2 месяца назад +9

    Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana toka nimekufahamu kwa kufuatilia nyimbo zako na mahubiri yako sijabaki kama awali Mungu amenitoa hatua moja kwenda nyingine kiroho na kimwili

  • @ParomaJuan
    @ParomaJuan Месяц назад

    Injili lazima ihubiriwe kwa njia yoyote ile wasije kusema hatukusikia ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @DaudiLuyago-yw8zp
    @DaudiLuyago-yw8zp 2 месяца назад +6

    Congratulatio paschal cassian jumbe zimefika bila shaka🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @MarcNGARUKIYE
    @MarcNGARUKIYE Месяц назад

    Mimi nimeuludisha nyuma Mara Mia bado natamani nizidi kuusikiriza mutumishi ubarikiweee sana

  • @T.O.G.W.M
    @T.O.G.W.M 2 месяца назад +7

    Barikiwa soo much mtumishi we love you very much karibu Kenya ❤❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪God bless you abundantly

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 23 дня назад +2

    Ukweli ni Ukweliii tupu. Waache uchafuu.

  • @godfreyelibarikilaizer6178
    @godfreyelibarikilaizer6178 2 месяца назад +7

    BWANA YESU 😭😭Atusamehe na kutusaidia kiukweli nyimbo hizi zimekua sehemu ya shetani kupitisha uharibifu lakini Ashukuriwe Bwana Yesu mwingi wa huruma kutusaidia hata sisi tusiokua waimbaji lakini tuna sehemu katika huu ujumbe kua twapaswa kumuishi MUNGU haswa katika matendo yetu ya kila siku

  • @SylvinConstant
    @SylvinConstant Месяц назад

    Mungu akubariki muhibaji mukubwa ume towa muzingo kwawatu wamataifa

  • @chalzmelody21
    @chalzmelody21 2 месяца назад +3

    Jaman tushare kwawingi hii nyimbo ujumbe wake mzito.tushare watu wapate hii jumbee.

  • @halimaally5349
    @halimaally5349 Месяц назад

    Huyo mwenzio Yuko sawa na mama ake mzazi Tena anampenda kishenzi

  • @ElineMmari-cp7je
    @ElineMmari-cp7je 2 месяца назад +3

    Daaah Mungu wangu Naomba utusamehe sote wakosaji🙏

  • @Chebaibaiever
    @Chebaibaiever 2 месяца назад +2

    Willy Paul, Bahati Kenya mrudieni Mungu wenu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏

  • @jamesboka-kk9rv
    @jamesboka-kk9rv 2 месяца назад +7

    mutumish wabwana Paschal cassian uzid kubakikia kw jumbe nzur kuwakumbusha watu wa Mungu abadir maisha yao amuludie Mwenyez Mungu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @dicksonaugustino1850
    @dicksonaugustino1850 Месяц назад

    Kumbe tunao watu wanaojua kuimba nyimbo za dini kama uyu anatisha kweli.

  • @Mariejo123-g2x
    @Mariejo123-g2x 2 месяца назад +5

    Pastor paschal cassian wimbo wako una upako wa juu sana, unanifundisha mambo mengi, Mungu akutunze kwaajiri ya utukufu ❤❤💚💚⛪️⛪️⛪️🔔🔔🧎🧎🧎🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♂️

  • @RahabuMoshi
    @RahabuMoshi Месяц назад

    Umenawa mikono yako Mungu awape kibali cha kutubu

  • @raiszongo4136
    @raiszongo4136 2 месяца назад +4

    Dunia imejisahau,itaangamizwa waliyasifu mapenzi badala ya Mungu.. what's a message is this! Keep it up best gospel music.. MUNGU akubariki

  • @Eunicemakokha-gc9ss
    @Eunicemakokha-gc9ss Месяц назад

    Very strong message to world only the strong in faith underatand this ❤❤❤❤ God foresake us

  • @rachelkihaka
    @rachelkihaka 2 месяца назад +6

    ❤❤❤❤ natamani hao wahusika wasikilize hii nyimbo maana ni zaidi ya ujumbe hata kwangu umenigusa sana

  • @Luhangakiteba
    @Luhangakiteba Месяц назад

    Mungu pekee wa kweli asifiwe kwajina la Kristo wake

  • @erickchaula5084
    @erickchaula5084 2 месяца назад +12

    Nyimbo hizi zinanitoa hatua moja kunipeleka hatua nyingine kiimani yesu akutunze mtumishi

  • @ChristianKasereka-v7r
    @ChristianKasereka-v7r Месяц назад +2

    Hongera kwa ujasiri huo uliouchukuwa kuionya dunia kuhusu Siku za mwisho.

  • @QeenRose-y4z
    @QeenRose-y4z 2 месяца назад +12

    Kweli kabsa tumrudie mungu dada, kaka, mama, babu wote, ni enzi ya mwisho wapendwa mda n sasa

  • @JustinaMambo-jb4uj
    @JustinaMambo-jb4uj 2 месяца назад +2

    Amen 🙏🙏🙏🙏 nice song love from Zambia ❤❤❤ groly to God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @T.O.G.W.M
    @T.O.G.W.M 2 месяца назад +3

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Be blessed alot servant of Almighty Jesus Christ waambie ukweli ......Imani yako ni ya Ukweli haitigizi ni imara

  • @AimeBirusha-j6u
    @AimeBirusha-j6u Месяц назад

    Tuko wengi Mungu amulinde alipotoka ni mbali hiyo neema niya kila mutu aitafutaye

  • @RUTACHTV
    @RUTACHTV 2 месяца назад +4

    Ooh Aleluyaaaaa wimbo mzuri sana. Ubalikiwe na Bwana

  • @NeddyNekesa-i6z
    @NeddyNekesa-i6z 16 дней назад

    Ujumbe uwafikie tena kwa mpigo bro🎉🎉🎉

  • @mariamEvelyn-h8p
    @mariamEvelyn-h8p 2 месяца назад +3

    Ni mda wa toba,tutubu jamani dunia inaelekea pabaya 🙏🙏

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 2 месяца назад

      No kweli.kabisa
      Mm nishata mara nyingi sana kwamba yesu amerudi

  • @HappyNassari-b2q
    @HappyNassari-b2q Месяц назад

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu umenawa mikono yako

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 2 месяца назад +11

    Wamejisahau kwenye hii dunia utadhani wataishi milele hapa duniani waambie pengine waeza badilika

  • @WafulaSoita-bg5gt
    @WafulaSoita-bg5gt 2 месяца назад +1

    Hapa Kenya wako wengi

  • @WingoAsake
    @WingoAsake 2 месяца назад +3

    Nyimbo inagusa sanaaa❤❤

  • @VumiliaMngongo-xr5jb
    @VumiliaMngongo-xr5jb 26 дней назад

    🎉 Amina mtumishi kz ya bhana iende mbele juu

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 2 месяца назад +6

    huwa cpendi kuona watu wa jinsia moja wakiwa katika hali hiyo..ctak macho yang yawatazame hata kidogo..na nmeangalia huu wimbo cjajua kuna watu waaina hiyo😢😢😢😢

  • @MethewMethew-n5i
    @MethewMethew-n5i Месяц назад

    Cassian mungu aendelee kukupa mafunuo mengi tunabalikiwa sana

  • @cedrickabongo7377
    @cedrickabongo7377 2 месяца назад +3

    Wouaw 🎉❤very deep the gospel preached in this song, bless you to the fullest, evangelist

  • @BoazDaniel-g9p
    @BoazDaniel-g9p 26 дней назад

    Ubalikiwe mutumishi mungu akubaliki sanakwaujumbehuhu tumebalikiwa

  • @chrismudogo9574
    @chrismudogo9574 2 месяца назад +12

    Mungu ainuaye watumishi wake azidi kukuinua Mwinjilisti Paschal.Asante kwa maonyo haya

  • @GabrielMatheo-h3m
    @GabrielMatheo-h3m 22 дня назад

    Paskal mtu wa mungu endelea kupewa mafunuo

  • @gilbertmtoshu-gm7bt
    @gilbertmtoshu-gm7bt 2 месяца назад +11

    Saut ya mungu Sasa imewafikia wale waimbiao mapenz na kusifu pombe😢

  • @kimamicharles7308
    @kimamicharles7308 2 месяца назад +1

    Natokwa na machoz ya uchungu kwa ujumbe huu barikiwa mtumishi😢😢

  • @estherndunge3064
    @estherndunge3064 2 месяца назад +5

    Roho ananena hapa Walio na masikio wasikio Wenye macho ya kiroho wayaone yaliyo duniani Mungu ameghadhabika na matendo ya binadamu badala Watumie vipaji kumtumikia wanatumikia dunia 😢😢😢😢 Mtumishi Mungu akubariki sana

  • @T.O.G.W.M
    @T.O.G.W.M 2 месяца назад +2

    From Kenya I love you very much from 2019 umekua wa kunijenga Imani we hutishiki we ni strong barikiwa zaidi...... Servant of God

  • @Yohanasalage
    @Yohanasalage 2 месяца назад +4

    Mtumishi Cassian endelea kutumika kwa uaminifu na Mungu wa mbiguni atakushindia, wimbo umebeba ujumbe mzito siyo kwa wale waliotajwa kwenye wimbo na wengine pia tubadilike tuache uovu tusimamie maagizo ya Mungu.

  • @jeremiahmanga8050
    @jeremiahmanga8050 Месяц назад

    waooooh balikiwa sana mtumishi 👍

  • @JohnBalibuno
    @JohnBalibuno 2 месяца назад +16

    Mutumishi wa Mungu nasikiyaga kubarikiwa kupitiya huduma Yako ya nyimbo.ubarikiwe zaidi upande kiwango kingi'e

  • @HellenMwanzuga
    @HellenMwanzuga Месяц назад

    Wow mko vizuri sana brother's

  • @revocatuskamugisha8138
    @revocatuskamugisha8138 2 месяца назад +8

    Amen 🙏🏿 barikiwa kaka yangu nakupenda zidi kutupa nondo za ki Mungu ❤

  • @beatriceedgar9070
    @beatriceedgar9070 Месяц назад

    Unastahili kupewa sifa,Mungu akulinde na maadui karma wetu

  • @Pastor_Furaha_kalinga
    @Pastor_Furaha_kalinga 2 месяца назад +5

    Kwakweli MUNGU akulinde sana kamanda maana kwakweli huu naukweli unaumaga siku zote MUNGU akubaliki sanan

  • @HOTUBAMusic
    @HOTUBAMusic 2 месяца назад +2

    Mungu anisamehe tu maana nipo miongon mwa wanaoimbiwa 😭🙏🙏

  • @JosephineJacob-zo8sq
    @JosephineJacob-zo8sq 2 месяца назад +5

    Mtumishi uzidi kutukumbusha asante sana😢😢

  • @faridashabanifaridashabani5950
    @faridashabanifaridashabani5950 Месяц назад +2

    Amina Sana nimebarikiwa kweli Mungu tuteteee tupe mwisho mwema ❤❤❤❤🙏🥰

  • @Gospel-x3
    @Gospel-x3 2 месяца назад +3

    Kuna wengine naona wanauza nafsi zao bado kwa ahadi hewa tu ,wenzao wanaomba wangehubiriwa injili ya Kristo mapema wasingie hicho chama na wewe unadanganywa hapo na "ooh utapewa hii ooh utapewa utajiri amka!!!!!!!"

  • @IssackMmtule
    @IssackMmtule 2 месяца назад +1

    Dah kweli nyakati za mwisho MUNGU ana sema na watu wakee😢😢

  • @PascalMsafiri-x1f
    @PascalMsafiri-x1f 2 месяца назад +3

    🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲nimekukubali sana sasaivi wakina diamond wanaolewa na pididy

  • @rosemassawe9456
    @rosemassawe9456 Месяц назад

    Mungu azidi kukutumia nchi mbali mbali ili mungu azidi kuinuliwa

  • @NationKelvin-fm7lk
    @NationKelvin-fm7lk 2 месяца назад +5

    Sauti ya Mungu yazidi kubembeleza.

  • @AidanNsasu
    @AidanNsasu Месяц назад +1

    Jamani wahadzabe nikabira nzuri selekali iwasaidie watotowao waende shule wataelimika sana hapowalipofikia nipa, uri selekali iwapeleke TV zasola ❤🙏👍nimefurahisana watangazaji kwmahojiano mzuri 😀😄😁🤭😆

  • @BarakaSenior
    @BarakaSenior 2 месяца назад +9

    Nyimbo kama hizi za kugusa mtu ndo tunataka,,, wimbo mzuri sana

  • @Lawi-s6c
    @Lawi-s6c Месяц назад

    Nadhani moyoni Mwa Matha lazima awe wazi mbele za Mungu na wanadamu na wanadamu
    Yupo Jehova anaona usifiche ukweli

  • @JohanesJester
    @JohanesJester 2 месяца назад +3

    Ubariwe kwakuwakumbusha tunamuona msanii mmoja kwenye kanisa Ra pastor ton

  • @marinteldaisy855
    @marinteldaisy855 2 месяца назад

    Huu Wimbo unaongelelea watu wote kwa jumla si kina Diamond tu,kila mmoja wetu n jukumu lako kumtukuza mungu

  • @NepaOfficialCaunty
    @NepaOfficialCaunty 2 месяца назад +6

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu kwakutukumbusha Mana Wengi Wetu Tunajisahau Sana. Amen🤝🏼🤝🏼🤝🏼🤝🏼🤝🏼🤝🏼💥