@@jacquelinephilimon5163 safi bro na mtu asikusumbue Hapo, ili upate baraka Wa mzaz wakiroho acha kua kinyume nae, watu hawajuagi thaman ya watumishi Wa Mungu wanaonaga tu makosa, ila wakiwa na shida sasa baba niombeee, shenz kabisa🤔 Hawa ndo walisababisha wana Wa Israel kusimama kusumbili ukoma wao uishe, wakina miliamu hao 😢 mtu anashindwa kumtafuta Mungu anaangalia Nan kafanya nn
P T ...nakutambua sana baba keep the real gospel in town lazima utasemwa baba muhimu wako mahusiano yako na MUNGU wako#sisi ni wale tunaosaidiwa na bwana
Umejitahidi kuongea, ila nadhani ungekuwa na lengo la kumuonya ungemtafuta inbox na kumueleza haya, mm nadhani unatafuta attention ya watu au kutrend kama yeye, mm nazungumza nikiwa siyo muumini wa Tonny wala muumini wako....cdhani kama umefanya vizuri, jitahidi kuubiri bila kuwasema watu ili Mungu awabadilishe na cyo kumuattack mtumishi yeyote....kama umeliona hili gonga like hapa na itawasaidiq watumishi wengine wahubiri watu wabadilishwe na c kusemana kama kina harmonize na kina diamond na kina kajala
Cassian yuko sahihi kwasababu yeye alisema hadharani na watu wengi wamesikia je akimwambia kwa siri hao waliosikia hilo somo la upotovu watajuaje kama hilo somo sio sahihi?, kumsema hadharani inamponya yeye na wote tunaomfuatilia pst Tony ili tujue kapotoka, mi nampenda pst Tony sana ila kuna vitu haendi sawa.
Pst.Tony kapola nakuomba na ninaomba Mungu usikatishwe na tamaaa ya watu wa hovyo kama hawa ambao kua yao mpaka wawaseme wengine keepup bro God bless u ever,,!
I've never been attentive to pastor Tony preachings but i think he's so much into celebrities world he loves to associate with those kinds, he maybe be have his valid reasons and i pray that the darkness from that side may not overpower the anointing in him if there is any
Kuwataja Hao aliwataja aliwataja katika angle ya kumaanisha kwamba Hao wasanii wanauwezo wa kumrudia na kumtumikia Mungu sema basi tu ni kwamba hawajui,maana yesu alikuja kwa wenye dhambi kwa hiyo na Hao wasanii Wana nafasi ya kubadilika,na pia kama wanaweza kushawishika wakatunga nyimbo ya kumsifu Mungu haitokua na shida yoyote,so wakati wa mungu ni wakati sahihi so anajaribu kuwashawishi wake kundini like kuwin their soul.. so ulitakiwa uanze mwanzo wa kongamano mwanzo mwisho,sasa kama atakua amekosea labda kwa angle za level za kitumishi kwenye vyama vyenu huko..,so shida sio Nani kaimba ila ni nini kimeimbwa,ndio maana rahabu kahaba nae alitumiwa kufanya kazi ya Mungu,so it's possible kwa uelewa wangu mdogo
Mimi hungojea sana mungu anifunulie wahubili wa uongo, tena na wale wa ukweli , kabla ya kutaja mtu, Kisha niedee hizo kondoo hizo simepotea ,Dunia inahitaji unabii wa mungu Ili injili ikubalike bele za mungu
Ubarikiwe na Bwana Yesu Mch. Cassian kwa kufanya kazi ya mhubiri wa Injili. Mtumishi wa Mungu hapaswi kuwainua watu wenye roho ya Mpinga Kristo, watungao na kupenda nyimbo zenye uwezo mkubwa wa "mind & spiritual pollution", kuwainua katika madhabahu ya Kristo ni jambo la upotofu. Watoto wamemezwa na nyimbo chafu, vyombo vya habari, vyombo vya usafiri, kila mahali, "mind pollutants are at work", sasa hata kanisani kwa watumishi wa Mungu jamanii?! Hapana. Mambo haya ynapaswa kukemewa kwa neno la hekima.
Kukosoa sawa ila kusifia Aaaaaaaaaaah........ WATU TUMEOKOKA, TUMEACHA POMBE, SIGARA, Hutukuti Kidimbwi, hatukeshi COUNTER, saiv tunakesha LEADER'S CLUB kwa MUNGU hamuon hlo. MAN of GOD fundisha neno, acha kufundisha kupitia mifano ya huduma za watu 😢😢,. Ingia CHEMBA MUOMBEEEE KAM UNAHC ANAKOSEA,. Utakuw hauna tofauti na MAFARISAYO sas
Mi kiukweli pt kanitoa sehem ambapo mtu ata aniambie nn hawezi nibadilisha yaani mi ni wakuitwa tajiri mtoto nimeacha kwenda disco nimeacha pombe then mtu anakuambia nn
@@JenniferAela watu tumeacha shisha, Bangi, kwenda kidimbwiiii, Kukesha Counter mpka asubuh. Yan mzazi unamwambia naend kweny mkesha wa MUNGU anasema ASANTE MUNGU KWAAAJILI YA HUYO PASTOR WENU. MUNGU AMUWEKEEEE
I LOVE YOU SO MUCH PASTOR TONY KAPOLA OSBORN DAIMAAAAAA🙌 PASTOR TONY ACHANA NA IZI KELELE ZA HAWA WATU WENGINE NA CHUKI ZAO NA MAHUBIRI YAO YA KINAFKI NA KUJIFANYA WA KILOKOLEEEE SANA YAAAN WAO NDIO YESU SASA😂😂 PT SONGA MBELE3EEE TUNAOKUOMBEA NI WENGI SANA BABA KAPOLA OSBORN
2Wakoritho 6:4 bali katika kila neno tujipatie sifa njema, kama watumishi wa Mungu; katika saburi nyingi, katika dhiki, katika misiba, katika shida; 14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza? 15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini? 16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. 17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
Who made you a referee over the church? The right way to correct a wrong doctrine is by personally correcting the minister , this maintains the unity in the body of Christ. Kenya loves Pastor Tony Kapola🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@RyanElias1bado hawajajua jmn natamani wapitie mafundisho ya PT mimi yamenibadilisha maisha yangu kwa asilimia zote kabisa maana yeye anafundisha mtu ujielewe na ujue kujiombea na kuweka imani katika kila unalofanya… watu wengi wanapenda mambo ya miujiza ya kuwekewa mikono lakini sisi watu wa mkuyuni tunaamini katika kufunga na kujiombea wenyewe katika kila tunalofanya
Mungu anatumia watu wake, kuonya na kurekebishana ili sote tuende mbinguni, hapendi tuanze vizuri na tumalize vibaya anaumia sana mungu baba, sababu anatupenda saaaana kama baba
Mwanasiasa yukoje na muhibiri yukoje,siasa ni kuleta Maendeleo kwa watu bila kuumiza wengine na kutaza kufanya mabaya hali kadhalika dini ni vivyo hivyo
Watumishi wa Mungu wamekosa hekima sasa, huu ni uropokaji na sio injili, sidhan kama huyu pasta anawasikilizaga mahubiri ya watumishi wengine kwa lengo jingine zaidi ya kutafuta kosa ili aje mitandaoni kukosoa, I love you pastor Tony Osborn, injili sio vita mpak tuwachukie watu wengine Kwa sababu eti wanaimba nyimbo za kidunia, alaf pia Mungu angekuwa na hasira kama huyu pasta basi tusingekuwepo maana duh
Hubirini injiri, msikae kukosoana, Nan kasema nn au kafanya nn, tunamuda mchache Yesu yukaribu kuja, na Kama mkristo mwenzako kakosea ungemfata binafsi na sio kutuhubiria sis kumuhusu, unapohubiri ww hubiri kweli ya MUNGU watu wamjue MUNGU na wajue kupambanua kila mmoja Kwa binafsi yake kupitia Roho mtakatifu, mfate umwambie Kwamba ndugu yangu Hapa unakosea
@@conciousclement2 wE NDO UNA MIHEMKO NA PUNK LAKO KMA DEFAO,,,WAEFESO 4:28, WAEFESO 5:11, 1TIMOTHEO 5:20-22 KASOME HUKO..AFU ACHENI KUKARIRI, YAANI MTU ASIONYWE ANAPOKOSEA MPAKA MAANDIKO? LILE NI NENO LA MUNGU SIO PENAL CODE MFYUU!! YAANI TUNAHITAJI ANDIKO KUKEMEA UOVU? MZIKI WA KIDUNIA UNAENDA KUIMBA MAHALI PATAKATIFU KWA MUNGU? NYOKO KABSA
Kanisa la Sasa tunashindwa kutofautisha mhubiri na inspirational speaker.kisa Kuna kamstari ka Biblia tunadhani ni mhubiri .Hakika Mungu atupe macho ya kuona maana tuna macho ya kutazama tuu huku fahamu zetu zikiwa zimefungamana na kutazama
Pst ton alijificha nilimutambua mwaka mumoja uliopita kashajichanganya kitambo, but wewe mtumishi mungu Akulinde na tunakuombea na tunakupenda sana sana niko Mombasa kenya
@@veeJesusyaniiii seriously mtu anaandaa sermon kumcritisize mwingine🙌🏾🙌🏾🙌🏾did God sent these men to judge other ni huzuni kwanini usiplay nafasi yako , ubiri injiliii eeeeeiiiiiiiiiiiiiii looking at this fyuuuuuu
Naona ameandika pastor Tonny ili apate viewers alafu atangaze kununua vyombo. Maana kwenye ufalme wa Mungu ni kuutangaza ufalme sio kumkandamiza mmoja ili wewe ujiinue Yesu hakufanya hivi.
Acha kuponda watumishi wewe siku ya mwisho ukifika mbinguni hautaulizwa uliwaponda watumishi wangapi utaulizwa, how many souls have you win so sir I respect you go and win souls, achana na watumishi maana haujui wamewekewa reveletion gani
Ni kweli kila Mtumishi anatakiwa kusimama katika utumishi wake, yaani karama ile Mungu aliyomjalia, kuwasema watumishi wenzako hiyo sio karama ni uchonganishi, CASSIAN please STOP
Nilikuw mhuni sana, nlisahau mlango wa kanisa Ila kupitia pastor TONYosborn asee asaiv kila siku nataman kuwa naibada BWANA YESU MBARIKI PASTOR TONYOSBORN
MKOMBOZI MITIMINGI HERBAL CLINIC UPONYEKE NAWE UKAFANYIKE SHUHUDA KWA WATU WENGINE TUNA DAWA ZA ASILI ZA TIBA MBALI MBALI ZILIZOTHIBITIKA KUWEZA KUTIBU MAGONJWA MBALI MBALI KAMA VILE :kina dada huyo HAPA MITIMINGI TRADITIONALCLINIC Anatibu fangasi sungu ukeni na U.T.I sungu (2)P. I . D .Maumivu wakati wa tendo la ndoa na halafu mbaya ukeni . (3) Mirija ya uzazi uliolegea . (4)Maumivu ya tumbo chini ya kitovu na changu (5)UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME (6)BAWASIRI AU HEMORRHOIDS ) BAWASIRI YA NDANI NA NJE (7)PRESHA ,SUKARI NGIRI N.K (8)LIFE CARE;dawa ya asili yenye uwezo wakuboresha kinga za mwili ni msaada pia kwa wenye virusi vya ukimwi _dawa zote zina kibali cha wizara ya afya kitengo cha tiba mbadala WASILIANA NASI KUPATA DAWA piga 0673060366 WhatsApp ♥
@@rajabmohammed3982 MWEHU KWELI WEWE, SECULAR NI MZIKI WA WATU WA MATIFA....ISNT COMMON SENSE COMMON TO U? OR DO U THINK BIBLE IS AN ENACTED LEGISLATION/LAW? UNGEKUWA UNASOMA BIBLE WALA USINGEMUULIZA HUO UFOKO WAKO MTU MWENYEW UNAITWA RAJABU KWAHYO NI WAZI MWEUPEE KICHWANI HAYA KULA HYO
*2 CORINTHIANS 6:14* "Do not be yoked together with unbelievers. For what do righteousness and wickedness have in common? Or what fellowship can light have with darkness?"....... *Proverbs 4:14-15* Do not enter the path of the wicked, and do not walk in the way of the evil. Avoid it; do not go on it; turn away from it and pass on. *Psalm 1:1-2* Blessed is the man who walks not in the counsel of the wicked, nor stands in the way of sinners, nor sits in the seat of scoffers; but his delight is in the law of the Lord, and on his law he meditates day and night. *1 Corinthians 15:33-34* Do not be deceived: “Bad company ruins good morals. Reply
Watching from Kenya,tuweni makini maana hatujui siku wala saa ya kuja kwake Yesu 🙏 tunaweza sema mmoja ni mkweli kuliko mwengine lakini siku moja yaja😂😂 hukumu itamkuta kila mtu..lets be wise 🙏
Kwa kweli Mungu akubariki sana kwa kusema ukweli maana hata Bwana Yesu aliwaonya wazi watu si kwa uficho, mtumishi wa Mungu kizazi hiki kimetabiliwa ,hao watu watafanya miujiza yamkini kuwadanganya hata wateule lakini mteule kamwe hadanganywi , ni kizazi cha wamchukuao Mungu. Endelea kufanya kazi na Mungu aendelee kukutia nguvu
Mungu awabariki watumishi wake uyu mtumishi aombewe maana ana umati mkubwa sanaa unaomfata na wote natamani kufika mbinguni kwa kufuata mafundisho yake
Namshukuru Mungu Kwa ajili ya Pastor Tony ...nimejua kuomba,tumepona mioyo,tumemuona Mungu Kwa sura nyingine,tunapata ujasiri wa kuface life....kama kupotosha ndo huku....Bora tupotweshe TU KULIKO injili isiyo na matokeo....Mungu mlinde PT...
Mungu akuzidishe paschal, unaifanya kazi yake vizuri na usione uko pekeako ktk kusema kweli, pambana sana na uovu bila kusita maana MUNGU amejisazia wengine wa kuungana na wewe ktk kusema ukweli... Amen
Ndio maana roma alisema ukienda baa kuna umoja kuliko kanisani yeye apo kaonyesha walokole hawana umoja kwa sababu kama tunaumoja angemtafuta na amuulize kama ni sahihi au sio sahihi na kama sio sahihi amfundishe ila kama ni sahihi aeleweshwe
Nimegundua mtu kukosa unyenyekevu mbele za Mungu akiwa madhabahuni huwa kuna kujisahau na kwenda nje ya mstari wa kweli aloo.watumishi tujifunze kumentain annoint bila hivyo ni hatari tutaongea ya kwetu.hongera paskali kws hapo nakupongeza
@@tujajackson8142 ni kweli Mungu akimutambulisha mtu kwa watu badala ya kumuachia Mungu utukufu anaupokea yeye Mungu anakaa pembeni tunaanza kuona madhaifu yake maana aliyemsitiri anaondoka
Bila kujua nini alisema mwanzo na bila kujua nini alisema mwishoni....uka base na ka clip tu lazima utaona makosa...maongezi yana connect..sasa hapa hatuona connection sababu hatujui ujumbe ulianzia wapi mpaka akasema hivi na aliishia wapi ku connect na clip. Sasa watu tunachukua ka clip tunaanza kutafsiri
Ev Kassian mafundisho yako unaosimamia somo gani unatangulia mafafanuzi katikati ndipo unasoma unawaongozaji wasikilizaji bila kuwenga msingi wa neno acha kiki wafundishe watu neno la kweli bila kumtaja mtu ili watu walipime neno la Mungu katika kupokea mafundisho mbalimbali wataufahamu ukweli kuliko kushambulia fundisha neno la kristo kwa usahihii utawasaidia watu na watatoa sadaka zao kwa kazi ya Mungu
You make me cry 😭 every i listen 👂🏾 your preaching 😭 i hope my kids will never leave my teaching 😢 Eeh MUNGU saidia watoto wangu.kwa jina la YESU KRISTO naomba 😭🙏🏾🙏🏾🙏🏾Amena
Kwan jamn pastor ..kapola kavamiwa na roho chafuuu.. wallah alkua mzurii saana at maandiko...na alkua anasema ukweli..saah ameshakuwa naye Christina shusho dah😢😢😢😢
Barikiwa sana mtumishi, Endelea kuwakosoa watumishi wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Wengi ni matapeli kwa sasa, wamepotosha asili ya Neno la Mungu. Wamekalia mafanikio, sio Neno lakweli la Mungu. Wanaendelea kupoteza utakatifu wa Tanzania katika uso wa Mungu.
Wew hubiri wewe ndio hieleweki tunamwelewa pastor tony kapola 🎉 🎉🎉🎉🎉 unamzungumzia mwenzako bdala kihubiri neno watu wamjue mungu kupitia wewe unamwongelea mtu
Ur need An extra Capacity and revelations kuelewa PT ameitwa kwaajili ya nani na kwaajili ya nini, and by the way Kwa muda Ambao nmemfahamu na kumfatilia, I have no ubishi, The man is Blessed 📌📌 Wale mnaoanza kumfahamu Leo Acha muendelee kubishana Huku mitandaoni😅
Bina damu sijui tuta jua lini huu ushindani wa mwili na nyama hauna tuzo tuta viacha vyote!!! Hubiri neno kwa nafasi yako shinda mechi zako’ huwezi kuwa juu kwa kumshusha mwingine’ huwezi mshusha mtu alie pandishwa na Mungu cos hujui kusudi la Mungu lililopo ndani yake’ huta kua msafi kwaku mchafua mtu mwingine live your own life and let God take away ata muhukumu kwa nafasi yake’ dhat it👏🏻
Mtumishi wa Mungu nimekukubali ,hata ukipingwa endelea kusema ukweli, watu ,wameharibu ukristo lakini Kristo adhihakiwi wanajidhihaki wenyewe, Mungu akubariki ila ni kizazi kimetabiliwa ni wachache tu watakaosimama na kweli, jitunze mwenyewe nafsi yako, maana kizazi hiki kitakuwa kama sodima na gomora
Muda mwingi anafundisha kupata hela na mambo mengine ya duniani which ni mambo ya motivational speakers yule sio pastor ni mpigaji ni vile tu kakamata akili za wengi hasa mabinti wadangaji malaya na wanaotaka kufanikiwa bila kufanya kazi
Brother should I tell you something..... Use your time not to judge other's speech use your time to express and represent the one you see and feel should be praised and raised up and God himself he will show up the truth
Shambani mwa Bwana mavuno ni mengi ila wavunaji ni wachache cha ajabu hata hao wachache bado wanapigwa vita ili waache kuvuna Live long man of God Pastor Tony.
Huyo mpuuzi tangu alipojiunga na ma charlatan kina Ubert angel, kina Bushiri waabudu mashetani ndio amepotezwa kabisa. My Brethren, kanisa limevamiwa na mashetani mbwa mwitu wakali. Pasipo maarifa ya kiroho umekwisha na kuangamia kabisa.
Ni kweli kabisa alipojiunga na ubert Angle basi ikawa mwisho wangu wa kumfuatilia, wale wana mikataba na shetani ili kuwapoteza wengi. Alianza vizuri sana lkn mmmh
Amen Bwana akubariki na akusaidia sana pia mtumishi wa Bwana katika huduma hii unayoifanya naamini wapo utakaotusaidia kuwaelewa manabii wa uongo Ukawe na nie ileile daima na milele Hakika LOLOTE ULIFANYALO LIFANYE KWA UTUKUFU WA BWANA
Sisi wa mkuyuni tunaosaidiwa na BWANA tu like hapa
Na tulivowengi😂😂
🔥
😅😅😅😅😅 Dah any way I love PT for life nampenda sana Baba yangu wakiroho Pastor Tonny Osborn kapola baba your new Generation is on fire 🔥
@@jacquelinephilimon5163 safi bro na mtu asikusumbue Hapo, ili upate baraka Wa mzaz wakiroho acha kua kinyume nae, watu hawajuagi thaman ya watumishi Wa Mungu wanaonaga tu makosa, ila wakiwa na shida sasa baba niombeee, shenz kabisa🤔 Hawa ndo walisababisha wana Wa Israel kusimama kusumbili ukoma wao uishe, wakina miliamu hao 😢 mtu anashindwa kumtafuta Mungu anaangalia Nan kafanya nn
@@jacquelinephilimon5163 😍😍😍😘😘😘😘😘❤️❤️❤️❤️👌👌👌👌👌👌
P T ...nakutambua sana baba keep the real gospel in town lazima utasemwa baba muhimu wako mahusiano yako na MUNGU wako#sisi ni wale tunaosaidiwa na bwana
As long as i see God through pt😂😂😂😂😂😂😂😂tumia kinywa kingine mdomo2 hautoshiiiiiiì😅😅😅
Umejitahidi kuongea, ila nadhani ungekuwa na lengo la kumuonya ungemtafuta inbox na kumueleza haya, mm nadhani unatafuta attention ya watu au kutrend kama yeye, mm nazungumza nikiwa siyo muumini wa Tonny wala muumini wako....cdhani kama umefanya vizuri, jitahidi kuubiri bila kuwasema watu ili Mungu awabadilishe na cyo kumuattack mtumishi yeyote....kama umeliona hili gonga like hapa na itawasaidiq watumishi wengine wahubiri watu wabadilishwe na c kusemana kama kina harmonize na kina diamond na kina kajala
Hao walio yapokea tayari.. nani atawaambia sio sahihi.
Casian ana deal na nguvu ya mtandao...kuharibu na Kutengeneza.
Cassian yuko sahihi kwasababu yeye alisema hadharani na watu wengi wamesikia je akimwambia kwa siri hao waliosikia hilo somo la upotovu watajuaje kama hilo somo sio sahihi?, kumsema hadharani inamponya yeye na wote tunaomfuatilia pst Tony ili tujue kapotoka, mi nampenda pst Tony sana ila kuna vitu haendi sawa.
Msikilize vizuri mwinjilisti kaka, alafu soma biblia, "ya hadharani yanakemewa hadharani..."
Wewe mwenyewe umemalizia Kwa kuombea like...Dah! Dhambi inayofanyika hadharani hukemewa hadharani Ndugu yangu!
Amepotosha hadharani akemewe hadharani hii ni Biblia Petro alikemewa hadharani na Yesu tena kwakusema Shetani rudi nyuma.
Mungo mbariki Pastor Tony muinue zaidi kwa viwango Vyatumbo Jud sana’Much respect Baba keep the good work Baba uwezi kuanguka IJN Amen
Hahahaha nawe amekudakaa😂😂😂
Pascal mungu akupe baraka Kwa kusema ukweli, siku zote ukweli watu awaukubali na ukubari kuchukiwa na watu kuriko mungu akuchukiye ❤
Pst.Tony kapola nakuomba na ninaomba Mungu usikatishwe na tamaaa ya watu wa hovyo kama hawa ambao kua yao mpaka wawaseme wengine keepup bro God bless u ever,,!
I've never been attentive to pastor Tony preachings but i think he's so much into celebrities world he loves to associate with those kinds, he maybe be have his valid reasons and i pray that the darkness from that side may not overpower the anointing in him if there is any
Golden comment❤
❤❤
Amen Amen
He is already overpowered and corrupted
exactly
Pastor Tony is preaching the truth...a true gospel. Jesus came for the lost. God loves all. We should stop judging people.
@@Here.there24 Amem
@@Here.there24 Amen
We should stop judging people,Amen
WE LOVE YOU PASTOR TONYY ❣️❤️❤️❤️❤️
MUNGU mbariki Pastor Tony
Sisi wamkuyuni
Amen🎉
@@JenniferAela Amen🙏
MUNGU akutie nguvu sana pasta casian ,watu hawajuw unacho kifanya baba, amina
Tony ni motivation speakers na sio mtumishi wa Mungu
Pascal unachokifanya leo generation ijayo ndio watakuelewa zaidi....kasiani ninakuelewa unalialert kanisa la Mungu. God bless you pascal.
Tony Kapola may God keep you and increase you.
Soma Bible na uelewe yesu alikuja kutafuta wenye dhambi pasta kapola yuko sahihi yesu hakuwa na wema tu bali na wenye dhambi
Kuwataja Hao aliwataja aliwataja katika angle ya kumaanisha kwamba Hao wasanii wanauwezo wa kumrudia na kumtumikia Mungu sema basi tu ni kwamba hawajui,maana yesu alikuja kwa wenye dhambi kwa hiyo na Hao wasanii Wana nafasi ya kubadilika,na pia kama wanaweza kushawishika wakatunga nyimbo ya kumsifu Mungu haitokua na shida yoyote,so wakati wa mungu ni wakati sahihi so anajaribu kuwashawishi wake kundini like kuwin their soul.. so ulitakiwa uanze mwanzo wa kongamano mwanzo mwisho,sasa kama atakua amekosea labda kwa angle za level za kitumishi kwenye vyama vyenu huko..,so shida sio Nani kaimba ila ni nini kimeimbwa,ndio maana rahabu kahaba nae alitumiwa kufanya kazi ya Mungu,so it's possible kwa uelewa wangu mdogo
Afadhali umekiri kwa uelewa mdogo
umenena vyema
Bora ungenyamaza tu
Mimi hungojea sana mungu anifunulie wahubili wa uongo, tena na wale wa ukweli , kabla ya kutaja mtu, Kisha niedee hizo kondoo hizo simepotea ,Dunia inahitaji unabii wa mungu Ili injili ikubalike bele za mungu
@@kelkel4483 ulipo kunywa soda maana kuna watu wanajua yesu alikuja kwa waliokoka
Mtumishi wa Mungu Asante nashukuru. Naomba uniwezeshe kuchanga chochote kwa kazi hii ya mtumishi wako.
Thank you, God, for this Revelation message 🙏🏾 it’s 1:28 am 7/7/2024 watching this beautiful message… Ubarikiwe sana Mtumishi
🇺🇸
Ubalikiwe anatufunza mengi
Wewe unayedhani umesimama angalia ......... I respect anointing ya Kapola God keep you man of God 🙏 hata Yesu alikosolewa sana na mafarisayo 😅
Cassian Mungu wa Mbinguni azidi kukutia nguvu ktk kazi yake ya kuongoza / kukosoa watumishi wanaoenda kinyume na kazi yake.
Ubarikiwe na Bwana Yesu Mch. Cassian kwa kufanya kazi ya mhubiri wa Injili. Mtumishi wa Mungu hapaswi kuwainua watu wenye roho ya Mpinga Kristo, watungao na kupenda nyimbo zenye uwezo mkubwa wa "mind & spiritual pollution", kuwainua katika madhabahu ya Kristo ni jambo la upotofu. Watoto wamemezwa na nyimbo chafu, vyombo vya habari, vyombo vya usafiri, kila mahali, "mind pollutants are at work", sasa hata kanisani kwa watumishi wa Mungu jamanii?! Hapana. Mambo haya ynapaswa kukemewa kwa neno la hekima.
Kww Hiyo kumsema Mtu hivyo madhabahuni ndio neno la Hekima..!?
Umeongea ktk ukomavu sana kiimani Mungu akutunze akufiche mikononi mwake
Kukosoa sawa ila kusifia Aaaaaaaaaaah........ WATU TUMEOKOKA, TUMEACHA POMBE, SIGARA, Hutukuti Kidimbwi, hatukeshi COUNTER, saiv tunakesha LEADER'S CLUB kwa MUNGU hamuon hlo. MAN of GOD fundisha neno, acha kufundisha kupitia mifano ya huduma za watu 😢😢,. Ingia CHEMBA MUOMBEEEE KAM UNAHC ANAKOSEA,. Utakuw hauna tofauti na MAFARISAYO sas
Hakika
Hawaoni namna Pastor Tony anavyookoa watu wamekalia kujudge tu
Mi kiukweli pt kanitoa sehem ambapo mtu ata aniambie nn hawezi nibadilisha yaani mi ni wakuitwa tajiri mtoto nimeacha kwenda disco nimeacha pombe then mtu anakuambia nn
@@toytv89 hawaon hayoooooo watu tumeacha hata Zinaaaaaa 😂😂😂
@@JenniferAela watu tumeacha shisha, Bangi, kwenda kidimbwiiii, Kukesha Counter mpka asubuh. Yan mzazi unamwambia naend kweny mkesha wa MUNGU anasema ASANTE MUNGU KWAAAJILI YA HUYO PASTOR WENU. MUNGU AMUWEKEEEE
Pastor Casian. Be blessed. Endelea kuihubiri KWELI.
PT has just Saved My Soul🙏🏾
I LOVE YOU SO MUCH PASTOR TONY KAPOLA OSBORN DAIMAAAAAA🙌 PASTOR TONY ACHANA NA IZI KELELE ZA HAWA WATU WENGINE NA CHUKI ZAO NA MAHUBIRI YAO YA KINAFKI NA KUJIFANYA WA KILOKOLEEEE SANA YAAAN WAO NDIO YESU SASA😂😂 PT SONGA MBELE3EEE TUNAOKUOMBEA NI WENGI SANA BABA KAPOLA OSBORN
2Wakoritho 6:4 bali katika kila neno tujipatie sifa njema, kama watumishi wa Mungu; katika saburi nyingi, katika dhiki, katika misiba, katika shida;
14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?
16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
Mungu akubariki sana Paschal unahubiri injili ya kweli be blessed man
Kukwaruza sauti ndio injili ya kweli 😂 tafuteni ela
@@toytv89unadhani pesa ndio kipaumbele?
Mimi ni mshabiki wa pastor Tony, kwa hapo ameteleza ,naunga mkono hoja ya Ezekiel, Mungu wetu akubariki mtumishi kwa kuliona hilo na kuchukua hatua
No one ana haki ya kuhukumu mwenzake Tuihubiri injili kila mtu anamafunuo yake na mafunuo ni tofauti 🙌🙌
SOMA MAANDIKO NA WEW USITUCHOSHE...INAITWA KUONYANA,,,,MTUME PAULO ALIWAONYA TENA KWA UKALI,, 1Timotheo 5:20-22, waefeso 5:11 HUYO MOTIVATIONAL SPEAKER WENU ASIONYWE KISA
paschal mungu awe juu yako na akutie mafuta ya roho mtakatif uendelee kuihubili kwel ya nyakat hiz za meisho
Yesu anarudi jamani, tusaidiane, ukiona mwenzako anaenda tofauti na maagizo, na amri za mungu ,tuonyane sisi kwa siku,Mungu baba anatupenda sanaa
Kweli hali ni mbaya mno tuombeane
Lakini wenzetu wanatuangalia ss tunaowashauri tuna Tania gani Kwanza kama njema watatusikiliza😢
Yeah fact kbs
Who made you a referee over the church? The right way to correct a wrong doctrine is by personally correcting the minister , this maintains the unity in the body of Christ. Kenya loves Pastor Tony Kapola🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante mtumishi ..ni hatari kuizoea madhabahu
We love Him moree and moree ❤❤❤ Pastor Tony
hello handsome😂 kabla hujasema zaidi kuhusu PT naomba pitia shuhuda za siku ya alhamisi😊 ubarikiwe mtumishi
God Bless you my Sister……………. They dont understand what we learn Yet
@@RyanElias1bado hawajajua jmn natamani wapitie mafundisho ya PT mimi yamenibadilisha maisha yangu kwa asilimia zote kabisa maana yeye anafundisha mtu ujielewe na ujue kujiombea na kuweka imani katika kila unalofanya… watu wengi wanapenda mambo ya miujiza ya kuwekewa mikono lakini sisi watu wa mkuyuni tunaamini katika kufunga na kujiombea wenyewe katika kila tunalofanya
Tunaojua tunajua na haturudi nyuma wacha tuendelee kumtetea Pt wetu kwasababu tunajua vile ametutoa wapi kiimani
😂😂😂😂😂😂 sisi wa mkuyuni wala atuna shida wenyewe
Mimi najiuliza kama kumrekebisha pt kwanini awake picha ambayo haiendani na somo
Mungu anatumia watu wake, kuonya na kurekebishana ili sote tuende mbinguni, hapendi tuanze vizuri na tumalize vibaya anaumia sana mungu baba, sababu anatupenda saaaana kama baba
Hivi Toni ni mtumishi wa Mungu au inspirational speaker ili baadae awe Mwana siasa
umeona mbali sana! religion sikuizi ni stepping stone tu!
Mwanasiasa yukoje na muhibiri yukoje,siasa ni kuleta Maendeleo kwa watu bila kuumiza wengine na kutaza kufanya mabaya hali kadhalika dini ni vivyo hivyo
Man of God,kama humuelewi mtu anae sema yeye ni mtumishi wa Mungu kwa kukosa mafunuo,nyamaza usiseme vitu huna uhakika.....laana nyingne zinaepukika
Uko busy kujadili maisha ya mutu wakati maisha yako mwenyewe ya nakushinda unaacha kushuulikia ndoa yako au watoto wako wewe uko busy kujadili mutu
🤗@@SisterDuu
Watumishi wa Mungu wamekosa hekima sasa, huu ni uropokaji na sio injili, sidhan kama huyu pasta anawasikilizaga mahubiri ya watumishi wengine kwa lengo jingine zaidi ya kutafuta kosa ili aje mitandaoni kukosoa, I love you pastor Tony Osborn, injili sio vita mpak tuwachukie watu wengine Kwa sababu eti wanaimba nyimbo za kidunia, alaf pia Mungu angekuwa na hasira kama huyu pasta basi tusingekuwepo maana duh
Alaf ni kama anahukum yy Nan?? Atuachie PT weetu
Well said braza
Bila PT mtapata wapi views 😂😂😂😂 poleni masikini, Tarehe 20 twenzetu Zanzibar wapemba wakaokoke
Twenzetu Zanzibar, hajui watumishi wanaitwa tofauti. Anaacha kuhubiri injili watu waokoke, anakaa madhabahuni kabisa kumuongelea mtumishi mwingine vibaya.
Ila maubili ya Tony hunipa ujasili Sana.... Nakuwa huru......
😂😂😂😂😂 wanachekesha sana
Hubirini injiri, msikae kukosoana, Nan kasema nn au kafanya nn, tunamuda mchache Yesu yukaribu kuja, na Kama mkristo mwenzako kakosea ungemfata binafsi na sio kutuhubiria sis kumuhusu, unapohubiri ww hubiri kweli ya MUNGU watu wamjue MUNGU na wajue kupambanua kila mmoja Kwa binafsi yake kupitia Roho mtakatifu, mfate umwambie Kwamba ndugu yangu Hapa unakosea
Well done
Kwenye bibilia walikosoana Acha na leo wakosoane
@@NemesiTembaTupe Mstari Wa BIBLIA Usiongee Kwa Mihemuko
ACHA WAAMBIWE UKWELI BANA!! NENO LA MUNGU LINAPOKUWA CORRUPTED ACHA WATU WAWAAMBIE UKWELI, 1Timotheo 5:20-22, waefeso 5:11
@@conciousclement2 wE NDO UNA MIHEMKO NA PUNK LAKO KMA DEFAO,,,WAEFESO 4:28, WAEFESO 5:11, 1TIMOTHEO 5:20-22 KASOME HUKO..AFU ACHENI KUKARIRI, YAANI MTU ASIONYWE ANAPOKOSEA MPAKA MAANDIKO? LILE NI NENO LA MUNGU SIO PENAL CODE MFYUU!! YAANI TUNAHITAJI ANDIKO KUKEMEA UOVU? MZIKI WA KIDUNIA UNAENDA KUIMBA MAHALI PATAKATIFU KWA MUNGU? NYOKO KABSA
Kanisa la Sasa tunashindwa kutofautisha mhubiri na inspirational speaker.kisa Kuna kamstari ka Biblia tunadhani ni mhubiri .Hakika Mungu atupe macho ya kuona maana tuna macho ya kutazama tuu huku fahamu zetu zikiwa zimefungamana na kutazama
You are right , this is 100% truee
Wewe una mjua PT kweli au? Mwamba anapiga 24hrs nahisi 🙌
😂😂😂😂😂😂Tunao Mwelewa PT Tuimbe kidogo lile sebene letu, ❤aaaahh oohh Yesu Wee, nimezisikia Habari zako Nataka Nione kwa Machooooooooooooo
Pst ton alijificha nilimutambua mwaka mumoja uliopita kashajichanganya kitambo, but wewe mtumishi mungu Akulinde na tunakuombea na tunakupenda sana sana niko Mombasa kenya
Bwana Yesu asifiwe sana mm n mkenya ila sio shida mtu akimkosoa mwenzie huenda anajua zaidi yetu ,ila tue makini tunapo sikiliza injili namuunga mkono
Daah Ila mafundisho ya Pastor tonny.... Huwa nayapenda hunipa ujasili Sana...... Hasa kwenye Biashara Huwa najiamini na kuwa huru....
Naomba nikushauri. Mfuate Pastor Tony usiwaskilize hawa mbweha wanaacha kuhubiri injili wanamuubiri Tony
@@veeJesusyaniiii seriously mtu anaandaa sermon kumcritisize mwingine🙌🏾🙌🏾🙌🏾did God sent these men to judge other ni huzuni kwanini usiplay nafasi yako , ubiri injiliii eeeeeiiiiiiiiiiiiiii looking at this fyuuuuuu
Naona ameandika pastor Tonny ili apate viewers alafu atangaze kununua vyombo. Maana kwenye ufalme wa Mungu ni kuutangaza ufalme sio kumkandamiza mmoja ili wewe ujiinue Yesu hakufanya hivi.
Alafu muwe mnasikiliza kitu mwanzo mwisho ndio muwe mnalaumu mtu akikosea Kwan Ni vibaya kumkosoa
@@veeJesuskuna spiritual understanding ukikosa huwezikujua kipi sahihi na kipi sio. Usiite watumishi mbweha ikiwa kiroho chako hakijakomaa nakushauri tu mpendwa
Nimependa hili hubiri pastor ❤️ endelea kuutafuta ukweli na njia ya kweli na uzima Dunia iko ukingoni sana Mimi ni msabato nakukaribisha kanisani ❤️❤️
Wewe Umefanya Ukweli Gani Kuhusu MUNGU??
mwbie pastor wako aache majungu
Acha kuponda watumishi wewe siku ya mwisho ukifika mbinguni hautaulizwa uliwaponda watumishi wangapi utaulizwa, how many souls have you win so sir I respect you go and win souls, achana na watumishi maana haujui wamewekewa reveletion gani
Wewe revelation ya Paschal unaijua? Je kama hicho anachokifanya ndio revelation yake
Ni kweli kila Mtumishi anatakiwa kusimama katika utumishi wake, yaani karama ile Mungu aliyomjalia, kuwasema watumishi wenzako hiyo sio karama ni uchonganishi, CASSIAN please STOP
Wanajua kujifanya miungu watu 💔watuachie pastor wetu
@@stevenalex9121hakuna revelation ya kumsema mtu😂angetaka kumuonya angetumia hekima ya kumfata
Mungu akubariki sana Cassian umenena vyema sana, sasa wahubiri wanaangalia pesa tu
Mungu kwanini usije tuuuu mahana mambo yamekua mengiiiii 😢😢😢😢 iv bba shuka 😢😢
😢😢😢😢God katikati ya ghadhabu kumbuka rehema😢❤
Nilikuw mhuni sana, nlisahau mlango wa kanisa Ila kupitia pastor TONYosborn asee asaiv kila siku nataman kuwa naibada BWANA YESU MBARIKI PASTOR TONYOSBORN
Muonye,mkemee,mkaripie waziwazi bila kuogopa kitu chochote Paulo anamuagiza Timotheo kufanya hivyo Amen!!
Amina Amina
MKOMBOZI MITIMINGI HERBAL CLINIC UPONYEKE NAWE UKAFANYIKE SHUHUDA KWA WATU WENGINE TUNA DAWA ZA ASILI ZA TIBA MBALI MBALI ZILIZOTHIBITIKA KUWEZA KUTIBU MAGONJWA MBALI MBALI KAMA VILE :kina dada
huyo HAPA MITIMINGI TRADITIONALCLINIC
Anatibu fangasi sungu ukeni na U.T.I sungu
(2)P. I . D .Maumivu wakati wa tendo la ndoa na halafu mbaya ukeni .
(3) Mirija ya uzazi uliolegea .
(4)Maumivu ya tumbo chini
ya kitovu na changu
(5)UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
(6)BAWASIRI AU HEMORRHOIDS )
BAWASIRI YA NDANI NA NJE
(7)PRESHA ,SUKARI NGIRI N.K
(8)LIFE CARE;dawa ya asili yenye uwezo wakuboresha kinga za mwili ni msaada pia kwa wenye virusi vya ukimwi _dawa zote zina kibali cha wizara ya afya kitengo cha tiba mbadala
WASILIANA NASI KUPATA DAWA piga 0673060366 WhatsApp ♥
Wewe na familia Yako mtakemewa waziwazi mpaka mshangae
Kwakweli mtumishi wa mungu cassian kusema unwell hawa watu wanatuumiza wanachafua jina la bwana wa majeshi moyo unauma😢😢😢😢😢
Ubarikiwe mtumishi. naona injili za Paulo zinarudi Mungu wa Mbingu na nchi amrudishe huyo pastor kwenye mstari naona waz anaptea
Hongera kwakazi ngum umejitoa maishayako kwajili ya waenda mbinhuni
Asante Sana maana me mafundisho anayoyafundisha huaga siyapokeagi vzur roho yangu inakataaga kabisa yani
😂😂😂Ukiona hivyo ujue hakuna ujumbe uliotumwa kwa ajili yako kupitia yeye.
Ata mm sisikii kitu Roho mtakatifu nisaidie
@@magejay4715sio lazima uelewee ujue Kuna watu wameendaliwa
Pt tunakupenda yaan Hadi bas Mungu akutunze🎉🎉🎉🎉🎉
Kwanza n kosa kubwa sana mbele za mungu kuimba nyimbo za dunia madhabahun haiwezekan kinywa ichoicho kitoe maji masafi na machafu. Enhe mola tusaidie
Kindly give us scriptures too
Lakini uku disko tunapiga za gaspel 😂
Vipi Unapotukanaga Kule Na unapoomba Kwa MUNGU Ni Sawa Au Siyo
@@rajabmohammed3982 MWEHU KWELI WEWE, SECULAR NI MZIKI WA WATU WA MATIFA....ISNT COMMON SENSE COMMON TO U? OR DO U THINK BIBLE IS AN ENACTED LEGISLATION/LAW? UNGEKUWA UNASOMA BIBLE WALA USINGEMUULIZA HUO UFOKO WAKO MTU MWENYEW UNAITWA RAJABU KWAHYO NI WAZI MWEUPEE KICHWANI HAYA KULA HYO
*2 CORINTHIANS 6:14* "Do not be yoked together with unbelievers. For what do righteousness and wickedness have in common? Or what fellowship can light have with darkness?".......
*Proverbs 4:14-15*
Do not enter the path of the wicked, and do not walk in the way of the evil. Avoid it; do not go on it; turn away from it and pass on.
*Psalm 1:1-2*
Blessed is the man who walks not in the counsel of the wicked, nor stands in the way of sinners, nor sits in the seat of scoffers; but his delight is in the law of the Lord, and on his law he meditates day and night.
*1 Corinthians 15:33-34*
Do not be deceived: “Bad company ruins good morals.
Reply
We accept pastor Tony Mungu abariki kazi ya mikono yako@pastor tony kapola
Watching from Kenya,tuweni makini maana hatujui siku wala saa ya kuja kwake Yesu 🙏 tunaweza sema mmoja ni mkweli kuliko mwengine lakini siku moja yaja😂😂 hukumu itamkuta kila mtu..lets be wise 🙏
Apo umenena
Kuwa makini haimaanishi kutosema kweli ya Kristo. Acha aseme kilichosahihi kwani yeye hayuko responsible kwako bali kwa anayemtumikia
Exactly, ajionae amesimama angalie asianguke, hakuna binadamu aliye mkamilifu mbele za Mungu, ni kwa neema tu na rehema zake ndipo anatuhesabia haki
Kwa kweli Mungu akubariki sana kwa kusema ukweli maana hata Bwana Yesu aliwaonya wazi watu si kwa uficho, mtumishi wa Mungu kizazi hiki kimetabiliwa ,hao watu watafanya miujiza yamkini kuwadanganya hata wateule lakini mteule kamwe hadanganywi , ni kizazi cha wamchukuao Mungu. Endelea kufanya kazi na Mungu aendelee kukutia nguvu
Baba Mungu akukumbuke hatuwezi kufanya ibada pamoja sio kwelivijana wetu walianza vizuri wanamaliza vibaya
Ungekuwa mwema ilitakiwa umtafute na kushauriana naye sio Kusema hapo,kiukweli umezinguaa Mungu azid kumuinua zaidi na zaidi Tony
Mungu awabariki watumishi wake uyu mtumishi aombewe maana ana umati mkubwa sanaa unaomfata na wote natamani kufika mbinguni kwa kufuata mafundisho yake
Namshukuru Mungu Kwa ajili ya Pastor Tony ...nimejua kuomba,tumepona mioyo,tumemuona Mungu Kwa sura nyingine,tunapata ujasiri wa kuface life....kama kupotosha ndo huku....Bora tupotweshe TU KULIKO injili isiyo na matokeo....Mungu mlinde PT...
Mungu akuzidishe paschal, unaifanya kazi yake vizuri na usione uko pekeako ktk kusema kweli, pambana sana na uovu bila kusita maana MUNGU amejisazia wengine wa kuungana na wewe ktk kusema ukweli... Amen
Kusema ukweli ni kuhubiri injili sio kukosoa watumishi kama humuelewi mtu kaa kimya mnajichumiaga ma laana hivi hivi
Ndio maana roma alisema ukienda baa kuna umoja kuliko kanisani yeye apo kaonyesha walokole hawana umoja kwa sababu kama tunaumoja angemtafuta na amuulize kama ni sahihi au sio sahihi na kama sio sahihi amfundishe ila kama ni sahihi aeleweshwe
WE LOVE OUR PT AND WE ARE SUPER PROUD OF HIM❤😂
Nimegundua mtu kukosa unyenyekevu mbele za Mungu akiwa madhabahuni huwa kuna kujisahau na kwenda nje ya mstari wa kweli aloo.watumishi tujifunze kumentain annoint bila hivyo ni hatari tutaongea ya kwetu.hongera paskali kws hapo nakupongeza
Hii imewakuta hata manabii wengi. Wapo waliofika sehemu wakajisahau na Mungu akawakataa
@@tujajackson8142 ni kweli Mungu akimutambulisha mtu kwa watu badala ya kumuachia Mungu utukufu anaupokea yeye Mungu anakaa pembeni tunaanza kuona madhaifu yake maana aliyemsitiri anaondoka
ila kwa kusikiliza kipande huwezi jua maana au alichomaanisha... ni mpaka usikilize mafundisho yote ndio utajua alimaanisha nini@@piusbaruhuwundi8987
Bila kujua nini alisema mwanzo na bila kujua nini alisema mwishoni....uka base na ka clip tu lazima utaona makosa...maongezi yana connect..sasa hapa hatuona connection sababu hatujui ujumbe ulianzia wapi mpaka akasema hivi na aliishia wapi ku connect na clip.
Sasa watu tunachukua ka clip tunaanza kutafsiri
Ev Kassian mafundisho yako unaosimamia somo gani unatangulia mafafanuzi katikati ndipo unasoma unawaongozaji wasikilizaji bila kuwenga msingi wa neno acha kiki wafundishe watu neno la kweli bila kumtaja mtu ili watu walipime neno la Mungu katika kupokea mafundisho mbalimbali wataufahamu ukweli kuliko kushambulia fundisha neno la kristo kwa usahihii utawasaidia watu na watatoa sadaka zao kwa kazi ya Mungu
Ni mapepo muchafu inawaongoza awa wantu, brother pascal,ayifayi kumwita ule kijana pasta,asistahili ,kwitiwa pasta.
PTE your the best 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Paschal YESU akutunze tu.nakwel hatuchangamani.
Nampenda sana Pastor Tony
Mungu akuinue juu sana usisikilize maneno ya watu wataongea sana
endelea mbele Mtumishi wa Mungu Pastor Tony
Amen ameni tena ameni nabarikiwa mno MUNGU wa mbinguni akutunze baba
You make me cry 😭 every i listen 👂🏾 your preaching 😭 i hope my kids will never leave my teaching 😢
Eeh MUNGU saidia watoto wangu.kwa jina la YESU KRISTO naomba 😭🙏🏾🙏🏾🙏🏾Amena
Isaya 54:13
@@AminaIssa-lx9hs
*Isaya **54:13** Na watoto wako wote watafundishwa na BWANA, na amani ya watoto wako itakuwa nyingi.*
Asante dada Kwa maandiko
Hawa vijana wana siri kubwa sana mwanzo alianza vizuri sasa hivi amejifunua enyi mliohama tag eagt holiness klpt rudini haraka mnapotea watoto wetu
Sana yaani walidanganya wenginila sasa YESU KAWAUMBUA
Wapentecost nao siku hizi ni wajanja wajanja tu,wanavaa kama wadunia na vibinti malaya malaya ndiyo viimba choir,
@@FridayMwassani kweli kbs.lkn sio wote ila wengi wao mmhhh
Ko eagt irudi kwa tag
Kwan jamn pastor ..kapola kavamiwa na roho chafuuu.. wallah alkua mzurii saana at maandiko...na alkua anasema ukweli..saah ameshakuwa naye Christina shusho dah😢😢😢😢
Ameeeeen!!! Mtumish wa Mungu, lihubirini neno, Onya, karipia na kukemea pia. Natumai Mungu wa mbinguni yupo pamoja na ww
Neno watunge nyimbo atamalizia anamaanisha nini mh ndg ata kama ushabiki mbinguni hatuendi.ivo
Barikiwa sana mtumishi,
Endelea kuwakosoa watumishi wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Wengi ni matapeli kwa sasa, wamepotosha asili ya Neno la Mungu. Wamekalia mafanikio, sio Neno lakweli la Mungu. Wanaendelea kupoteza utakatifu wa Tanzania katika uso wa Mungu.
Akiwakosoa ndio anawabadilisha au 😂 tafuteni ela mtamuelwa Tony kama Huna ela uwezi muelewa
@@toytv89 Hela inakujaje hapo Sasa.
Ukwel ni upi mtumishi
Unamjuaje mtu ni tapeli
Hakika yesu yu karibu...
Mbona anamuhubiri mtu tenah.
Yesu tuhurumie🤭
Je wale wenye dhambi watengwe?
Mungu tupe hekima🙌
Kuna injili kubwa hapo, but yatambulikana kwa jinsi ya Rohini 1kor2:14 si kwa akili.
MUNGU AKUBARIKI BRO CASIAN.... WEWE NI POLISI WA KIROHO. NAKUOMBEA SANA NA NAKUPENDA SANA KWA UKWELI WAKO WA 100%
Wew hubiri wewe ndio hieleweki tunamwelewa pastor tony kapola 🎉 🎉🎉🎉🎉 unamzungumzia mwenzako bdala kihubiri neno watu wamjue mungu kupitia wewe unamwongelea mtu
Ur need An extra Capacity and revelations kuelewa PT ameitwa kwaajili ya nani na kwaajili ya nini, and by the way Kwa muda Ambao nmemfahamu na kumfatilia, I have no ubishi, The man is Blessed 📌📌
Wale mnaoanza kumfahamu Leo Acha muendelee kubishana Huku mitandaoni😅
Kweli kbs Dav...😂 ngoja inaitaji akili nyingne kumuelewa Pastor Tony kaitwa kwaajir ya watu gan maana sio kila mtu atamuelewa .
Pastor Tony is the besttt
Mungu akutunze baba yangu pastor Tony kapola hakika Mungu yupo pamoja na wewe Kila eneo❤
Bina damu sijui tuta jua lini huu ushindani wa mwili na nyama hauna tuzo tuta viacha vyote!!! Hubiri neno kwa nafasi yako shinda mechi zako’ huwezi kuwa juu kwa kumshusha mwingine’ huwezi mshusha mtu alie pandishwa na Mungu cos hujui kusudi la Mungu lililopo ndani yake’ huta kua msafi kwaku mchafua mtu mwingine live your own life and let God take away ata muhukumu kwa nafasi yake’ dhat it👏🏻
Pastor tonny haowatu achananao.Kama umeshindwa kuwahubiria injili ya kuwaleta acha
MUNGU wa mbinguni mbariki pastor Tony kwa viwango vya juu zaidi 🙏🙏
MI MTU ASIEHUBIRI UFALME WA MBINGUNI NAMUONA NI MOTIVATIONAL SPEAKER TU,,TONY IS ONE OF THEM
Winning souls is our first priority, not wrestling our selves in the same Kingdom,
Hukumu ni ya Bwana. Sisi yetu ni kuitangaza na kuifunua kweli ya Kristo Yesu
HAKUNA ANAE HUKUMU, ILA NI VZURI KUKEMEANA MNAPOKOSEA, KUAMBIANA UKWELI...HATA PAULO ALIWAKEMEA WAJINGA...BIBLIA INATUAMBIA KBSA KUAMBIANA UKWELI WAEFESO 4:25
Hapa Ndo kuifunua kwel ya kristo ndugu
Mtumishi wa Mungu nimekukubali ,hata ukipingwa endelea kusema ukweli, watu ,wameharibu ukristo lakini Kristo adhihakiwi wanajidhihaki wenyewe, Mungu akubariki ila ni kizazi kimetabiliwa ni wachache tu watakaosimama na kweli, jitunze mwenyewe nafsi yako, maana kizazi hiki kitakuwa kama sodima na gomora
Kwani Tony ni pastor!mi namuona kama motivational speaker.....anachohubiri sio Habari za wokovu na kwenda mbinguni....
Mi pia nlijua hivo et
Mbona anajiita pastor 😂😂
Muda mwingi anafundisha kupata hela na mambo mengine ya duniani which ni mambo ya motivational speakers yule sio pastor ni mpigaji ni vile tu kakamata akili za wengi hasa mabinti wadangaji malaya na wanaotaka kufanikiwa bila kufanya kazi
Brother should I tell you something..... Use your time not to judge other's speech use your time to express and represent the one you see and feel should be praised and raised up and God himself he will show up the truth
Am from 🇰🇪 nilipendaga kapola lakini niligundua kajichanganya kupitia mafunzo na mtamushi yake nikajua hii ni roho nyingine...
Spirit of discernment
I really don't understand what is happening with our men of God nowadays.
@@samuelmdota8452 we need to pray for them the devil is after them ...
The devil has nothing he takes what God has made
Hakika anazidi kubadilika tu😢😢
Pia mimi nilimpenda sana ,alikua akinitua moyo sana lkn sasa namuombea mungu amsaidue🙏🙏
@@AmAm-xt1og kweli Kaka ni wa kuombea
Shambani mwa Bwana mavuno ni mengi ila wavunaji ni wachache cha ajabu hata hao wachache bado wanapigwa vita ili waache kuvuna Live long man of God Pastor Tony.
Tony anavuna au anaharibu mavuno
Nabarkiwa kwa mafundisho yako mchungaji pascal,mungu akupe maisha marefu,
Mungu akulinze mtumishi Paschal.Mungu alikuleta duniani na kukuacha hai kwa ajili ya nyakati hizi ili Uonyeshe njia bila kupepesa macho.
Huyo mpuuzi tangu alipojiunga na ma charlatan kina Ubert angel, kina Bushiri waabudu mashetani ndio amepotezwa kabisa. My Brethren, kanisa limevamiwa na mashetani mbwa mwitu wakali. Pasipo maarifa ya kiroho umekwisha na kuangamia kabisa.
Tru
True
Ni kweli kabisa alipojiunga na ubert Angle basi ikawa mwisho wangu wa kumfuatilia, wale wana mikataba na shetani ili kuwapoteza wengi. Alianza vizuri sana lkn mmmh
Alikuwa kijana mzuri sana Tony, sijui nn kimempeleka kubadili mafundisho yake
@@apostle_AngazaGNpesa
Amen
Bwana akubariki na akusaidia sana pia mtumishi wa Bwana katika huduma hii unayoifanya naamini wapo utakaotusaidia kuwaelewa manabii wa uongo
Ukawe na nie ileile daima na milele
Hakika
LOLOTE ULIFANYALO LIFANYE KWA UTUKUFU WA BWANA