ONA ROSE MUHANDO ALIVYO WACHEZESHA DIAMOND NA WEMA NIBEBE NA SECRET AGENDA MLIMANI CITY...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 апр 2023
  • Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 172

  • @PendoMartinBagra
    @PendoMartinBagra 19 дней назад +1

    Nakupenda sana dada rose umechagua fungu Lilo jema mungu aendelee kukutambulisha ..,.

  • @RoseLelion-en9ri
    @RoseLelion-en9ri Год назад +5

    Nani nwingine anaona diamond akianza kuimba n Rose muhando gospel Kama Mimi. ..God will do wonders

  • @HappyUrassa-ud9rz
    @HappyUrassa-ud9rz Год назад +10

    Wema Sepetu Mungu wa mbinguni akakufanyie wepesi na njia mwakani ukapakate ktk jina la Yesu nakupenda my dear

  • @gudilamsumai9989
    @gudilamsumai9989 Год назад +14

    Mungu aliyekuponyesha machungu dada rozi ndiye atakeye niponyesha machungu yangu

  • @teddylameck3355
    @teddylameck3355 Год назад +7

    Daimond namchezea Yesu jomon ...wema sepetu Yesu wetu ainuliweee

  • @meggiependo4455
    @meggiependo4455 Месяц назад

    Mama Rose umeugusa moyo wangu kwa nyimbo yako Mungu akuongoze vyema shetani asije kupotosha

  • @graceamran326
    @graceamran326 Год назад +19

    Rose muhando simbaaaaa shujaaaaaaa nakupenda sana dada wema kunakitu nakiona cha fraha mbele yako mungu ajibu hitaji la moyo wako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @aliaalr6366
    @aliaalr6366 Год назад +11

    Rose muhando Simba wakike😂😂💃💃💃💃💃💃💃🇧🇮💋NAKUPENDA Sana mama yangu rose

    • @Swahili14
      @Swahili14 Год назад

      No truer words said 😇🙏
      Rose Muhando is a Diamond PLATNUMZ in the gospel music world 😂🥂
      Her vocal range 🙌🔥💥

  • @nicolenicholaus638
    @nicolenicholaus638 Год назад +13

    Mungu awasamehe wale wanaowaita wakristo makhafiri, much love wema na diamond mwaaaaaaaaaah❤❤❤❤❤

    • @jamilashabani8424
      @jamilashabani8424 Год назад

      Hivyio ndo ilivo huwez kubadilisha

    • @nicolenicholaus638
      @nicolenicholaus638 Год назад

      Asa mnaishije na makhàfiri Diamond and wema all are Muslim na hawaonyesh utofaut mwombe Mung akusameh tu maybe you don't know what ur talking about

    • @jamilashabani8424
      @jamilashabani8424 Год назад

      @@nicolenicholaus638 siwez kuongelea hili swala kwa upana kwassbu litachukua mda kidogo wa wew kuelewa
      Ujuwe kabla hujamwiita mtu khafiri lazma utambue khafiri ni mtu wa aina ngan ungekuwa umesoma Quran na bibilia vzr ukaelewa hata nikikwambia we ni khafiri huwez kukasirika si unaelewa khafiri ni mtu flani

    • @jamilashabani8424
      @jamilashabani8424 Год назад

      @@nicolenicholaus638 naweza nikawa sijuw ni kitu ngan ninachozugumza na ww lakn nikaelewa Quran inazungumza nn

    • @jamilashabani8424
      @jamilashabani8424 Год назад

      @@nicolenicholaus638 na ukitaka kuelewa dini zote mbili zipoje soma vyitabu vyake vyiote utaelewa kwassbu Quran ipo ya kiswahili siyo kiarabu pekee yake
      Muombee sana mwenyezi mungu akuongoze

  • @elizabethmafuru5338
    @elizabethmafuru5338 Год назад +30

    Wema umependeza Mungu akupe hitaji la moyo wako

  • @angelstacy7592
    @angelstacy7592 29 дней назад

    Wapi kelele ya Yesu😍😍😍🙏🙏

  • @jescamathias4673
    @jescamathias4673 11 месяцев назад +1

    Jamani mbona waimbaji wa nyimbo za injili hatuwaelewi wanakoelekea jamani

  • @elizabethbigilwa6822
    @elizabethbigilwa6822 Год назад +12

    Wema umeñenepa na umependeza
    Kazi nzuri ya Chibaba

  • @godsentkamih8124
    @godsentkamih8124 Месяц назад

    Si Mungu amugeushe diamond pia iyo sauti yake imwimbie .

  • @oswinngatunga-sj1ex
    @oswinngatunga-sj1ex Год назад +9

    Nimebarikiwa na huduma yako Dada Rose mungu azidi kuku inua

  • @TrissaJoseph-ou3jh
    @TrissaJoseph-ou3jh Год назад +3

    Muumba habagui dini wala kabira.... Na ni mmoja tu..kama wapo wengine sisi tunamjua mungu mmoja.tu anae tupa uhai..mungu awabariki kama ni moyo wa dhati wema.... God bless u upate katoto.tena kwa mimi kawe kakike...

  • @wisemelodytz589
    @wisemelodytz589 Год назад +11

    Ila rose ni stage killer jamani Mungu atukuzwe embu cheki ilo shangwe mpaka una enjoy kumbe ata concert za gospel zinachangamka

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 Год назад +1

      Nimependa maneno yako

    • @wisemelodytz589
      @wisemelodytz589 Год назад

      @@gosbertmuta5421 asante brother

    • @Swahili14
      @Swahili14 3 месяца назад

      ​@@wisemelodytz589she's indeed the Diamond PLATNUMZ of gospel world
      Na Diamond ni Rose muhando wa bongofleva 😂❤

    • @gladnesssanga1601
      @gladnesssanga1601 Месяц назад

      amen

  • @magreth1492
    @magreth1492 Год назад +14

    Yani Diamond anataka Rose angekuwa anaimba muziki wa kidunua amsajili wasafi😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @Swahili14
      @Swahili14 Год назад

      Wallahi
      Siku zote nimekua nkiisi Rose Muhando ni Diamond PLATNUMZ wa gospel music world😂😇
      In her prime 2000s 2010s Rose Muhando alikua na VOCALS zakufa mtu hakuna wakumgusa 💥🙌❤️

    • @margarethshirima5654
      @margarethshirima5654 Год назад

      Kwani juu ni wimbo ni wa wapi?

  • @colletatesha5265
    @colletatesha5265 Год назад +3

    We shusho sjui shushu sjui nan acha kujikweza na kiburi Rose mhando ni shidaaaa

  • @DavidAmani-rn5ux
    @DavidAmani-rn5ux Год назад +3

    Tanzania zidini kuungana mkono muko number moja africa

  • @mildredachiengi4518
    @mildredachiengi4518 Год назад +1

    Jeshi la Mungu hilloo Jass'usi. la mbinguni

  • @AnchilaMpalile
    @AnchilaMpalile 4 месяца назад +1

    Daaaaa dunia inaelekea mwisho niwakati ni huuuuu

  • @humphreyjuma5723
    @humphreyjuma5723 Год назад +1

    Rose muhando simba wa Gospel Tz

  • @jamariclenanyekie7566
    @jamariclenanyekie7566 Год назад +3

    Awesome ❤

  • @celinapeter9474
    @celinapeter9474 Месяц назад

    Christina love 💕😘

  • @Kasa.c
    @Kasa.c 15 дней назад

    I'm happy for Diamonds transformation. If he can remove dreads as a show of respect before God , I know he may soon make a decision to give his life to God and serve him through gospel music.

  • @DeniseNishimwe-zc7no
    @DeniseNishimwe-zc7no 26 дней назад

    Dada rose kwl nakupenda ila kumbuka umeponea kufa.angalisho san dada shetani anawinda nafsi yako.jua yakwambo Diamond ni mutumishi washetani ame sign kumutumikia mpaka mwisho.weny kuimba gospel Tanzanie mue macho sana

  • @DanielMunga-ih4ph
    @DanielMunga-ih4ph Год назад +4

    ROSERR MUHANDO SIMBAAAAA

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt Месяц назад

    Rose muhando simba 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @chemsakeza1384
    @chemsakeza1384 Год назад +4

    Ivi wema na daimond mu naswawumu kweli

  • @user-si6xo4tr7o
    @user-si6xo4tr7o Год назад

    Niceeeee..Dada...rose

  • @RepherBuyeshe-ee4by
    @RepherBuyeshe-ee4by Год назад

    Hapo sawa

  • @chmarkdambala6816
    @chmarkdambala6816 Год назад +1

    Glory to God

  • @PeterKiria-vv6kj
    @PeterKiria-vv6kj Месяц назад

    Diamond amependeza kucheza gospel song 😂😂😂😂 jamqn mungu ni mwema awape mahitaj yenu kwa wakat

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 Год назад +2

    Muhando atabaki kua muhando jamani

  • @elizabethandrew2542
    @elizabethandrew2542 Год назад +1

    Uko sawa rose

  • @suzypaul4559
    @suzypaul4559 Год назад

    Safi dada angu malkia wangu wa nguvu hujawah fel

  • @OfficialLastborn-sm3ef
    @OfficialLastborn-sm3ef Год назад

    Barikiwasana .....

  • @NeustaNestory
    @NeustaNestory Месяц назад

    Moto wenu unawasubil mbinguni, nyie ndo mnaifanya injili iwe ngumu watu hawampokei Yesu kisa upumbavu wenu,, tafuta kujua neno la Mungu

  • @user-sk6rv4se4j
    @user-sk6rv4se4j 15 дней назад

    Njamani

  • @estherwafula291
    @estherwafula291 Год назад +5

    Wow 🥰 happy umuona diamond church

  • @euniceandilo
    @euniceandilo Год назад +2

    Wema murudie mungu kama hapo Hawali,nyimbo zako za kwanza ni za gospel.

  • @Estherjaph
    @Estherjaph Год назад

    Sepetu haloooooow

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb Год назад +1

    mathayo12:34 Enyi wazao wa nyoka, mwawezaje kunena mema, mkiwa wabaya?

  • @user-fx7ov4hz8h
    @user-fx7ov4hz8h 3 месяца назад

    Acsante kwanyimbo lakini mume gunduwa Nini kwake Diamond ,ametumwa n'a shetani kuwa ngusha nyinyi waimbaji , munashoita gospel, gospel...tayari mume toka kwalengo la mungu, maana munawashirisha waimbwa mwitu kwenye shamba la bwana.

  • @ashleykazungu
    @ashleykazungu Год назад

    ❤❤❤❤❤

  • @richardsalamba
    @richardsalamba Год назад

    Munguakubalik mm nakupe daxaln. Hakuna kma ww mm wa. Kway

  • @user-yu3kg6zl8q
    @user-yu3kg6zl8q Месяц назад

    shushu atasimamaje wivu

  • @EvodiusLaurent-qy8jn
    @EvodiusLaurent-qy8jn Год назад

    God wise for diamond

  • @nancymongi9910
    @nancymongi9910 Год назад +1

    Kwakweli hakika Yesu anavifaa.

  • @Fondo0
    @Fondo0 Год назад +47

    Shusho amekunja sura ! Amekataa ata kusimama wakati wengine wamesimama wanadance! Shusho anasumbuliwa na wivu na hakuna siku atawezana na Muhando. Shusho acha kiburi

    • @devothamwashitete9007
      @devothamwashitete9007 Год назад +2

      Kweli kabisa ,shusho cjamuelewa

    • @linetharrison1006
      @linetharrison1006 Год назад +3

      Niliona hivo pia,wivu tu

    • @zxf9699
      @zxf9699 Год назад +1

      Angalieni maisha yana mwisho na mwisho wetu ni kufa kwann munakuwa wanafiki uislamu wenu upo wapi niwapi katika Qur'an kuna andio yesu amekufa daimond kumbuka azabu za mungu zipo na hatuziwezi

    • @winfridagama5832
      @winfridagama5832 Год назад +8

      @@zxf9699 na wewe huku ulifuata nini.

    • @nevershymagava6940
      @nevershymagava6940 Год назад +1

      Rose ni habari nyingine kiukweli kila mtu aheshimu cha mwenzie na kuridhika na kile Mungu amekupa.!!

  • @kevinnyambas180
    @kevinnyambas180 Год назад

    Hiyo ni church ama club

  • @kevinchimasia7533
    @kevinchimasia7533 Год назад +1

    Hapo sioni kama Kuna Mungu wa Kweli aliye hai

    • @donnihope1768
      @donnihope1768 Год назад

      Umewaza vyema.Neno linasema wakusanyikapo wawili au watatu kwaajili ya JINA LAKE yeye yupo kati yao. Sasa kusanyiko hili si la watu waliopatana kwaajili ya jina la Yesu. Kila mtu ana jina lake na dhumuni lake so..
      Hakuna Roho Mtakatifu hapo

  • @BahatiAssey-lu4sj
    @BahatiAssey-lu4sj Год назад

    Natamani😢😥😥🤔🤨🤔🤔yaliyo semwa na kuandikwa yanakaribia yesu kristo tusaidie tusiingie majaribuni

  • @mohammedabdallah9821
    @mohammedabdallah9821 Год назад

    😨😨😨duuuh,hapo ndo anaabudiwa mungu?

  • @joyminister9042
    @joyminister9042 Год назад +1

    Kila goti na Kila kinywa kitakiri yesu ni bwana

  • @zainabuabel
    @zainabuabel Год назад +1

    Diamond leo kakamatika

  • @vincentkabutiei5557
    @vincentkabutiei5557 Год назад

    Rose muhando Simba wa kweli ady platnumz ame penda hio energy

  • @user-zk3cg4em8x
    @user-zk3cg4em8x 5 месяцев назад

    Simbaa wakike anauguruma

  • @bethkatunx7677
    @bethkatunx7677 Год назад

    Michanganyo michanganyo

  • @rosejoseph2093
    @rosejoseph2093 Год назад +2

    Wameanza kuchanganyika magugu na ngano haaaaaa kimwili ila kiroho yote magugu YESU tusaidieeee nyakati hizi hata mitume walitamani kuzion yaani Kama live band za bar oohooo GOD

    • @boscomwangosi1042
      @boscomwangosi1042 Год назад +1

      Yesu hakuhumu na wewe usihukumu,lkn pia hakuja kwa wenye haki.alikuja kwa waliopotea yaan wenye dhambi.

    • @aminamisoji7851
      @aminamisoji7851 Год назад

      Apo Mungu ameamsha mioyo ya watu Mungu kajizihilisha

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 Год назад +18

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ingia haki Mungu tuhurumie dunia ikipo fika sipooo! Tambua wakati na majira mwenzio kesho anapandisha cheo na dunia wewe Yesu tuoe macho ya ki roho Baba tupone

    • @amtarecords9287
      @amtarecords9287 Год назад +7

      Kuweka hii show gospel ni zambi au? Swali tu

    • @rehemashariff3119
      @rehemashariff3119 Год назад +2

      @@amtarecords9287 neno linasema usifungiwe nira pamoja nao roho wa Mungu anauwezo wakukufahamisha hayo soma zaburi.1:1 hapo utajua Mungu anahitaji uishi vipi

    • @wisemelodytz589
      @wisemelodytz589 Год назад +8

      Hizi biblia mnasoma juu juu mnakuja kuhukumu watu, embu fikiria siku ya pasaka ni matamasha mangapi ya muziki wa kidunia yalifanyika ila hili likawa kubwa tena mpaka watu wa kidunia walikuwepo, kwa nn huyu Mungu asitukuzwe??

    • @jamilaenock5616
      @jamilaenock5616 Год назад +1

      Hiyo Bible yako umeisoma bila kuielewa alafu msijihesabie haki mbele za Mungu

    • @wisemelodytz589
      @wisemelodytz589 Год назад +3

      @@rehemashariff3119 bible hiyo hiyo ikaja ikasema mwapata faida gani mkiwapenda walio wa kwenu?? Maana yake nyinyi mlio mjua bwana tokeni nendeni kwa wana wa mataifa mkachangamane nao muwaonyeshe upendo wa baba yenu muwarejeshe zizini Mungu anawataka sana, na hicho ndicho kilichofanyika juzi hayo ya kibiashara ni siri yao wenyewe

  • @kevinnyambas180
    @kevinnyambas180 Год назад

    Hizi ni mapepo ndio maana shusho hawezi simama

  • @alicejumaa89
    @alicejumaa89 9 месяцев назад

    Madness

  • @joycesdismas-gj5fl
    @joycesdismas-gj5fl Год назад

    Walio mvalisha mupo ila mulimpa shida

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv Год назад

    Sema naeyupo akika mungu anaupendeleo nimefulai

  • @kevinnyambas180
    @kevinnyambas180 Год назад

    Instead of leading people to God ur leading them to hell you ulianza kwa roho unamalizia kwa mwil

  • @Chebaibaiever
    @Chebaibaiever Год назад +1

    Simba wa mbinguni

  • @dianamdaku9802
    @dianamdaku9802 Год назад

    😂😂😂shushooo

  • @jackisrael.I.B.E.X
    @jackisrael.I.B.E.X Год назад +1

    Glory to God💕

  • @Sssqw12Aaaq-ck8up
    @Sssqw12Aaaq-ck8up Год назад +1

    Yanudiani kesho kwamungu akuna iyo utavuna uricho panda

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 Год назад +2

    Rozi na shusho tamaa.zenu zimewabonza

  • @rosepallangyo1352
    @rosepallangyo1352 Год назад

    Acha wasio na akili washerekee kwa shetani nilimshangaa kasian alivokua amina kama rose muhando akosei wakati ata uyu anadanganya watu tuu ata kwa nabii mkuu ashafika

  • @user-ed4hn1kv2q
    @user-ed4hn1kv2q Год назад

    This is demonic according to 2st Corinthians 2:14

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 Год назад +6

    Shusho kanuna

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 Год назад +3

      Itakuwa ana wivu sana😂😂😂😂

    • @Fondo0
      @Fondo0 Год назад

      Asubiri auze mavazi na sura ya yellow.

    • @Fondo0
      @Fondo0 Год назад

      Anahisi waru Iko Kwa kooh! Shusho hapendi Muhando... Anakuwa na wivu juu Muhando anajua kuimba, nyimbo zake ziko na vibe na reasonates with masses of people, hata Kwa club zinapigwa but alaah shusho anauza sura na mavazi. 😂😂

    • @gressluhimbo1020
      @gressluhimbo1020 Год назад +1

      Nikajua nimeona peke angu

    • @salomesalala
      @salomesalala Год назад +1

      😂😂😂 ananuna sasa mpaka tumemuona watazamaji.big up Rose

  • @eliaichraymond1215
    @eliaichraymond1215 Год назад +3

    😳😳😳

  • @WinnieEmali-qz3rx
    @WinnieEmali-qz3rx Год назад

    Nlpoaw

  • @Cindyaclee
    @Cindyaclee 5 месяцев назад

    shusho you will never be rose so low down your ego otherwise you'll go no where

  • @clarawilliam9959
    @clarawilliam9959 Год назад

    Zuchu yuko wap

  • @aishaswalehe6848
    @aishaswalehe6848 Год назад +4

    Mbona kristna shushuu ajigus

    • @mercypeter162
      @mercypeter162 Год назад +2

      Hajapenda Ros anavyompiga bao Ros amejaa upepo. Yy sikuhizi anauza sura Na kuonyesha mavazi. Mwenzake anaimba mpaka wema amechangamka yy amepoaaa

    • @mwangyomboasifiwe9987
      @mwangyomboasifiwe9987 Год назад

      ​@@mercypeter162daaah

    • @Fondo0
      @Fondo0 Год назад +2

      Shusho anasumbuliwa na wivu! Hakuna siku atawezana na Muhando...shusho anauza sura na mavazi wakati Muhando anapiga content!!

    • @mercypeter162
      @mercypeter162 Год назад +2

      @@Fondo0 kabisaaa muhando kazi iko kwenye damu na moyo

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 Год назад

      Kwa Rose Muhando ni mziki mnene Christina Shusho atasubiri Sana. Mama hatari huyo.

  • @khadijajacobo627
    @khadijajacobo627 Год назад +1

    Madam 🌹 Rose umependeza na ilo vazi refu mama limekukaa atar

  • @dianamkita6571
    @dianamkita6571 Год назад

    Nimependa Diamond na Wema wanavyoburudika

  • @felister6700
    @felister6700 Год назад

    Ilikuaga zamani Rose lakini sio wa sasa

  • @marymngodo5420
    @marymngodo5420 Год назад

    Hahahahaahaj🔥🔥🔥🔥🔥🔥