Walsham tuna mengi kwani kijana wenu neno kalopata wapi yeye kasoma andiko Leo mnaanza kumlaumu ebu tujuwe kuwa kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe ebu tupunguze maneno Waislam huku zimekuwa nyingino hamjui kuwa Mungu ni mmoja
Shusho anasema mtumishi wa mungu , na anajivalia mavazi ya kumubana mwili mbele ya watu. Heshima gani hiyo? Unajitangaza ? Hauna mungu ndani yako ila ni biashara unafanya tu.!!!!!.
Acha wivu mtumishi ili giza liweze kuondoka inahitajika Nuru, kuwa muelewa tu wa maanadiko giza na giza vikikaa Pamoja haina maana ila giza na Nuru vikikaa pamoja mara zote Nuru inashinda.
Mwana wa Mungu ni nuru mahali popote patakuwa na nuru na watu watamtukuza Mungu, MATHAYO 5:14_16.imeandikwa ninyi ni nuru ya ulimwengu.mji hauwezi kusitirika juu ya mlima.wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi,bali juu ya kiango ;nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu,wapate kuyaona matendo yenu mema,wamtukuze baba yenu alie mbinguni.Mungu awabariki sana ❤❤
Shusho na diamond Kati yenu mnanyemeleana,either shusho kwa Wasafi,ama diamond kwa kuokoka na kuwa a real worshiper wa Mwenyesi Mungu .shusho we need you. Be careful
Hivi ndio watu huimgizwa huko pole pole TU! All the best
Dada clistina tunakutegemea sana kuhakikisha wasafi nzima inamjua mungu wa kweli
Eti mtumishi huyo kweli. Mungu tusaidie nyakati za uovu.
Angalia wasikuangushe kwenye neema ya Wokovu mh hayo mabusu acha ninyamase 😍
Hongera kwa dada Shusho 🇰🇪🇰🇪 ❤❤
Bonge la combination mzeee Tisha kinoma
Nimeona picha ya ringtone mahali
Mungu awabariki tunawaombea
Tupo pamoja mama MUNGU ni mwema kila wakati .
Taanza kusikiliza kwa kweli kipindi kitakuwa hot sana
Naipenda Tanzania 💯Mungu bariki Tanzania
Walsham tuna mengi kwani kijana wenu neno kalopata wapi yeye kasoma andiko
Leo mnaanza kumlaumu ebu tujuwe kuwa kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe ebu tupunguze maneno Waislam huku zimekuwa nyingino hamjui kuwa Mungu ni mmoja
babalaooooo forever
Ni upotofu tu ametekwa na giza au ameludi kwao kitabu cha yuda 1:4 kisome
Mama watoto wako watajifunza nini kwako? Ni hayo mavazi ya kubana umechanganyikiwa
Safi umetisha
Nimependa injiri ikipata support
What is injiri?
The Ward of good
Injili gani? hii hii ya YESU KRISTO au?
Niijili ya comedy show
Wooooouh I love it
Ukiona injili inashangiliwa na kupendwa pendwa hivi mteule uwe macho
Siskii breakthrough yoyote😢
Huezi skia na roho yako ya korosho😅😅
Hawa ndo watu sahihi siyo wale comedian
Inapendeza
Mashindano how far???
Shusho anasema mtumishi wa mungu , na anajivalia mavazi ya kumubana mwili mbele ya watu. Heshima gani hiyo? Unajitangaza ? Hauna mungu ndani yako ila ni biashara unafanya tu.!!!!!.
Kipindi kitakuwa kizur Sana...waache ao malaya waangaike ukoo
Nibaki natabasmu mwenyewe
Muna poteza mda Bure hamna mungu apa Giza na nuru abi wezi ku patana
Acha wivu mtumishi ili giza liweze kuondoka inahitajika Nuru, kuwa muelewa tu wa maanadiko giza na giza vikikaa Pamoja haina maana ila giza na Nuru vikikaa pamoja mara zote Nuru inashinda.
👍👍👍
Huyu shusho na mondi mtakuja kuniambia Mungu tuhurumie
Mwana wa Mungu ni nuru mahali popote patakuwa na nuru na watu watamtukuza Mungu, MATHAYO 5:14_16.imeandikwa ninyi ni nuru ya ulimwengu.mji hauwezi kusitirika juu ya mlima.wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi,bali juu ya kiango ;nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu,wapate kuyaona matendo yenu mema,wamtukuze baba yenu alie mbinguni.Mungu awabariki sana ❤❤
Yesu alikuja Kwa wenye Giza wenye Nurul wakae kando
Shusho na diamond Kati yenu mnanyemeleana,either shusho kwa Wasafi,ama diamond kwa kuokoka na kuwa a real worshiper wa Mwenyesi Mungu .shusho we need you. Be careful
WASAFI NI MOTO.
Niwambie watu wa mungu kuna kitu apa kumbuka uyu dada kuna k2 kinamfata wewe tilia apa kuna mausiano nyuma ya pazia mungu ataumbua tu
Mmmh wewe nawe angalia jicho la ki Mungu sio Hilo jingine
YESU CHRISTO ASANTE
Kazi ipo boss
Nakwani uyu watatu amekasirika😳👆
♥️♥️♥️🔥🔥🔥🙌🙌👋👋
Tunasubiri Kwa hamu saaana hiyo session
Umeamua utengeneze njia yako nzr. Combination hii hakuna aliyewah kuiwazia
Hana lolote mwenzenu yuko kimaslahi tu hapo
@@wazirijunior3343 Sasa ulitaka awe kinini?
@@kilungahamis1270 Alitaka afanye bure...hiyo ni kampuni maslahi lazima yawepo😆😆
@@mamboshepea8888 huyu bwana mi sikumuelewa kabisa 🤣🤣🤣
Nuru itashindaaaaaa tu kapelekeni nuru penye giza!!!
❤❤❤
So good
Vp kuhusu akina Masanja kwenye hicho kipindi
😅❤
Hapa lazima ufatilie kipindi
Mutakapoona chukizo limeingia patakatifu asomae na afaamu
Diamond alake kwa shusho anataka azae nae
Waja mnamidomo jmn
Nilifkiri nimeona pekeangu.mmh..
Anataka kuzaa na shusho huyo na rose muhando
Ei!
Rose mhando msindikizaji tu
Wasafi Kuna kipindi Cha kiislam kweli?
Kwann kisiwepo na Diamond ni Muslim..
Kipo siku nyingi
Kipo kila ijumaa shekhe