GOD YANGA NA LASTBORN HUWAMBII KITU/GUSA ACHIA TWENDE KWAO/KOCHA ALITAMANI KURUKA KWA MASHABIKI LEO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 56

  • @RevithaRevitha-f5q
    @RevithaRevitha-f5q 2 дня назад +6

    Yani Mungu ni mwema tumepata ushindi mwenye kununa Anne sisi kikubwa point 3 na pira ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 2 дня назад +3

    Jezi mbaya wameletewa na sanda atushitaki wote alafu atumjui yy sanda atatujuaje💚💛

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 дня назад +3

    Mashabiki tumshukuru Mungu. Tumpe muda kocha wetu.

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri День назад

    💚💛💚💛💚💛💚💛daima mbeeeeeeelee walipo tupo na hatuhami yanga ng'ooooo

  • @LucaiyaKyaka
    @LucaiyaKyaka День назад

    Asante babaaa kwamaelezo yk Allah akuzidishie Inshaallah

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 2 дня назад +5

    Tnakupenda god nikweli ata mm naanza na mafuta 😂😂😂😂 Yanga oyeeeeee 💚💚💚💚💚

  • @Allyhadiya
    @Allyhadiya День назад +2

    Alhamdulillah

  • @DaudiKitaulo
    @DaudiKitaulo День назад

    Ila nachopenda yanga Huwa wanajikubali sana

  • @SamilaHuseen
    @SamilaHuseen День назад +2

    Naipenda yanga yangu haina baya nitakupenda leo nahata kesho

  • @onesmokalinga5368
    @onesmokalinga5368 День назад

    nakukubali sana mkuu mpira unajua

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga 2 дня назад +3

    Semaji la mashabiki 💛💚

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 2 дня назад +5

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sauti jmn dah!!!!! Kamwe hongera sana semaji letu 💚💚💚💚💚💚

  • @MuscatKing-h9z
    @MuscatKing-h9z День назад +2

    Sana

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 2 дня назад +2

    God nimchambuzi mzuri Ila huyu jamaa anaehoji sio mzuri

  • @BrendaMussa-l4e
    @BrendaMussa-l4e 2 дня назад +4

    Tumpe muda tutamuelewa tu makoro wakae kimyaaaa

  • @ephraimramadhani
    @ephraimramadhani 2 дня назад +2

    Mwenyezi Mungu ahimidiwe,yani leo Yanga tumeshinda?BUNDI aliyekuwa jangwani kafa,sasa mtazipata za kutosha.

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja День назад

    Makoro tunawakumbusha tuh zisianze ooh mawaziri wamekaa kikao na refa ooh gsm ooh sindano wanatua.

  • @ibrahmahuve3134
    @ibrahmahuve3134 День назад

    Mtoa jezi wetu kafel saana yaan Jezi iuzwe dar tu mtu wa mkoan ili apate lazima amtumie alieko dar hana maana

  • @RaphaelKandege-l4h
    @RaphaelKandege-l4h День назад

    Good

  • @RaphaelKandege-l4h
    @RaphaelKandege-l4h День назад

    Good god

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga День назад

    Kolo hivi pamba ni kipimo chenu?.

  • @Sanjey-vp1fm
    @Sanjey-vp1fm День назад

    Pipa na ufuniko zakutana LUWANGWA

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 11 часов назад

      Wangefungwa au kutoa sare mngeongea pia
      Binadamu wamezaliwa wanasema

  • @IbrahimMaulid-h5h
    @IbrahimMaulid-h5h День назад

    Sioshida Ila maranyingi sabu inafeli maksi anakaba anashambulia

    • @denishaule6314
      @denishaule6314 День назад

      Mara nying mara ngap….hii mechi yake ya pili….😂😂😂 ss waafrika tuna shida gan

  • @HalidiMnahwa
    @HalidiMnahwa 2 дня назад

    GOD jamaa anaujua mpira

  • @NyatunzeJongo
    @NyatunzeJongo 2 дня назад

    Hahahaaa weweeeeee

  • @MkaliZuberi
    @MkaliZuberi День назад

    Tabu iko pale pale namungo sio kipimo Bora. alafu mnafikika kirahisi golini kwenu. kipimo cha timu yenu mtakipata vizuri mtakapofika nyumban algeria.ila kwa Leo mjifariji kwanza

    • @UmmyHamisi-ru2rw
      @UmmyHamisi-ru2rw День назад

      Kwahyo namungo angeshinda angekua kipimo sahih?

    • @MkaliZuberi
      @MkaliZuberi День назад

      @UmmyHamisi-ru2rw mie sijasema kushinda yanga vibaya . nimesema namungo sio kipimo Cha kuonesha mazaifu yetu kwan kwamba huko nyuma hatukuwahi kushinda ?

    • @UmmyHamisi-ru2rw
      @UmmyHamisi-ru2rw День назад

      @@MkaliZuberi kwa kifupi inaonyesha umeumia sana

    • @MkaliZuberi
      @MkaliZuberi День назад

      @UmmyHamisi-ru2rw mi siumii na team za nafasi za chini

    • @UmmyHamisi-ru2rw
      @UmmyHamisi-ru2rw День назад

      @@MkaliZuberi maelezo meengi ungesema tu umeumia bhas tujue kimoja. ..🤣 kwahyo watu wasifurah kisa sio kipimo sahih?vchwa vlishajaa hamira tayar kwamba kila uchwao yanga anapoteza 🤔 mxeew 😏

  • @GucciJackson-q1n
    @GucciJackson-q1n 2 дня назад

    😂

  • @maryfides591
    @maryfides591 День назад

    Yani jamani mungu ni mwema katufuta machozi hongereni sanaana wana yanģa

  • @crazydaddy9217
    @crazydaddy9217 День назад

    GSM(A) 2 - 0 GSM(B)
    BAHASHA KIBOKO YAO

    • @tumvisiagekonga2142
      @tumvisiagekonga2142 День назад

      Kanunue jezi za sanda ziishe, msilete lawama kwa semaji wetu

    • @crazydaddy9217
      @crazydaddy9217 День назад

      @tumvisiagekonga2142 huyo hapo levo mshabiki kama wewe anaomba kama mbwa.
      Ali kamwe si alisema mchezaji aombe radhi sasa tutaona kama 🌈 🏳️‍🌈 fc mtaweza kumsaidia

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 11 часов назад

      @Crazy
      Acha mawazo mgando kwahiyo ikipoteza GSM kauza
      acheni kijifichia hapo

    • @crazydaddy9217
      @crazydaddy9217 11 часов назад

      @jaffjeff6912 jibu suala moja tu tutamaliza mjadala
      Mdhamini wa namungo sio GSM?

  • @SamilaHuseen
    @SamilaHuseen День назад

    Naipenda yanga yangu haina baya nitakupenda leo nahata kesho

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga День назад

    Kolo hivi pamba ni kipimo chenu?.