MUNGU ni mwema kila la kheri nyote MWENYEZI MUNGU awe Nanyi nyote awadangulie awatawale awaongose awalinde awatunze awafunike awasingire kwa Damu ya BWANA wetu YESU KRISTO awapikanie awashindie awaweseshe vyema kwa kila Jambo katika Jina la YESU KRISTO barikiwa Sana Yanga shalom
Na msiache kutegemea Mungu na Dua kwa wingi kuvunja nguvu zote chafu ili tusifanikiwe nawaombea Tena na Tena msirudie makosa shikamaneni na msirudi nyuma kuipambania timu yetu na furaha yetu
Kwa aina ya mpira wa Kocha wetu wa Sasa kunahitajika wachezaji wachezaji kuwa na fitness ya kutosha lakini kuongeza wenye Kasi kama Zidane na Emartan wa Dodoma Jiji .
Mungu tunakuomba tupe nguvu ushindi na tulud na point3 mhimu naamini ww ndio baba wa ma baba naamini utajibu amen
Ameen InshaAllah
MUNGU ni mwema kila la kheri nyote MWENYEZI MUNGU awe Nanyi nyote awadangulie awatawale awaongose awalinde awatunze awafunike awasingire kwa Damu ya BWANA wetu YESU KRISTO awapikanie awashindie awaweseshe vyema kwa kila Jambo katika Jina la YESU KRISTO barikiwa Sana Yanga shalom
Yanga bingwa 🎉 yaan pacome anachezz hivo anatumia shisha akiacha si watu wataham ligii
Kama unaipenda yanga na kuamini tutakua machampion like hapa
Amina
Naiwe kwa uwezo wa mungul
ameeen
Makolo pembeni hapa ni wananchi tu💚💚💚💚💚
Kabisa
Na msiache kutegemea Mungu na Dua kwa wingi kuvunja nguvu zote chafu ili tusifanikiwe nawaombea Tena na Tena msirudie makosa shikamaneni na msirudi nyuma kuipambania timu yetu na furaha yetu
Amina
Mungu ibariki young Africans mungu ibariki tanzania
Allah Awajalie heri inxhallah
1 love ❤ mungu atawasaidia
Kila la kheri mama bingwa wetuu INSHAALLAH
Mwenyezi mungu hawatangulie katika safali yenu
DAIMA MBELE KWA MBELE 💚💛💪
Mungu awasaidie katika kila jambo 🎉🎉
Me ❤❤❤❤ jaman wanajeshi wng na mungu awabariki sana
Yanga ubingwa lazima cha muhimu tushikamane wachezaji,benchi la ufundi,viongozi na wanachama/mashabiki.
God bless Young African 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwangu yanga ikishinda ni raha tu ikifungwa ni raha tu kwangu sijawahi kuichukia hata sku moja🔰🔰🔰🔰
My tim😊😊❤
Kama nayaona majibwa poli yanavyo sikia uchungu. Daima Mbele Nyuma Mwiko Boss kasemaYanga Bingwa 🔰🏆🎖️🔥🔰
Kila la kheri inshaallah yanga bingwa daima mbele nyuma mwiko 💚💚💚💛💛💛🎉🎉
Amee
Hapo ndio safari ya Algeria au?
Wanarud dar@@onesmojustice2348
Yanga daima mbele nyuma mwiko
Lindi to dar, Algeria kesho@@onesmojustice2348
Kwa aina ya mpira wa Kocha wetu wa Sasa kunahitajika wachezaji wachezaji kuwa na fitness ya kutosha lakini kuongeza wenye Kasi kama Zidane na Emartan wa Dodoma Jiji .
Yanga bingwa 🎉🎉🎉🎉🎉
Yanga bingwa
Daima mbele nyuma mwiko
Alizoa kusafili bus tumpe mda atazizoea ndege
All the best my TEAM
Kila la kheri jesh letu uko muendako mfike salama. A matoke mazur
Sasa wale waliofurahi sasa muda wa msiba tayari wakae tayari
YANI COACH KASHACHOKA NA NI SAFARI YA PILI TU, YANI HAKUNA KULALA MDA HAURUHUSU. CHEZEA CAF CHAMPIONS LEAGUE WW😂🎉❤
Kila laheri timu yetu Yanga MUNGU awatangulie ktk safari na awaepushe na majeraha na mchezo wetu tupate ushindi wa points 3muhimu 🙏
Mungu ni mwema kila wakati
Kikubwa nikumwombea dube sio kumkejeli hata yy mwenyewe hajisikii vzr kama afungi
Ludo master 🙌😂
Good
Diaraa wangu kama Hana furaaha jamen
Yanga 🔰🎉
❤❤❤ good 👍👍👍
Mungu awalinde mfike xalama
Mungu atusimamie tuchukue ubingwa
Yaani dube ana gundu ikiwezekana abaki daa msisafiri naye
Alikamwe mbn yupo kimya sana
Kama anaogopa anapokwenda zibwabe anapanda basi au
Tafadhali Prince Dube huo uoga wako usiupeleke mpaka uwanjani maana hufungi magoli pengine unogopa kufunga kama umeogopa kupanda ndege
Kiwango hiki sio makolo hii ni WA baba sio wamama kolo
Yanga Africans Chama kubwa
Tutafuzu zu mungu ni mwema
Siku hizi hadi kufunga anaogopa dube wetu
Kwelinoma atadumeee😂😂
My team 🔰🔰🔰
Tunawatakia mafanikio mema ya point 3
Nic san
Huwo mchezo wanaochez azizi na yao unaitwaje
Aucho mzize where are they?
Allaah Akbar
Firstttttttt 😅
Dua muhimu
🎉
GOD BLESS YANGA
Yanga
My Team ✅✅
Musonda Bishoo😂🎉🎉🎉
😂😂😂😂 ila ni mume wa mtu na watoto 3😂😂😂
ha ha ha ha ila kazi kazi 🎉🎉🎉 kwa musonda
Mbn aucho boka mzize hawaonekan
Anacheza tu
ND kaanza kuogopa na nyavu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Aziz nenda ukaamke huko. We still trust you.
Nuksi zote zishasafishika kwa Namungo amini kwa sasa watacheza vzr
Wanaelekea wapi
algeria
Kamanda kimataifa anacheza au anaendelea kuitumikia card????
Anacheza
@SophiaChmpaya okay All the best 💥💥💥
kadi haihusiani caf
Mmefunga viwili Leo mnajisahau na kuanza kuchekacheka😏na bado kipigo Kiko palepale 😂
Aah bibie mbona kama hacra hv
acha shobo bwege nini na vigogoli vyenu vya penati sis kufurahi wewe inakuuma nini labda8 wee mkia fc
Tena mpk wagaiwe vipenat ovyooo
Daima mbele nyuma mwiko
Yanga bingwa