Mm nimeshaota yanga tunashinda 3 sasa nasubir nione tena hao waarabu walicheza bila mashabiki zao kuwepo uwanjani Eweee Allah nenda ukaifanye ndoto hii kuwa kweli wananchi tupate furaha Ameen🙏🙏
Natokea mkoa wa songwe niawatakie wote wachezaji wangu wayanga,huko muendako mungu akawatie nguvu muamke salama wote,tuweze kumpambania point tatu zidi ya sm ulger huko Algeria mashabiki tuwaombee wachezaji wetu Dua za pamoja inshallah.
IN SHAA ALLAH,ALLAH ATUFANYIE WEPESI KATIKA MTANANGE HUO.ILI WANA YANGA BARANI AFRIKA NA DUNIANI KWA UJUMLA TUPATE LADHA NA FURAHA YA MICHUANO HII MIKUBWA BARANI AFRIKA.KILA YA KHERI MUNGU AWAPE WANAJESHI WETU KATIKA MAPAMBANO HAYO NA.MENGINEWE.AAMIIN!!
'Waandishi' ka siafu😂😂😂😂 bongo siku hizi ukimuona mtu ana ki backpack,jua huyo 'mwandishi' ana vi mike kama 6!😂😂😂 We have to regulate these guys! Diploma in journalism at least! Ts tooo much
Mechi za makundi ni ngumu mno, na kadiri mechi zinapozidi kupungua ndo pressure inazidi kuwa kubwa, kwa maana ya kwamba mechi ya kwanza ya makundi inautofauti mkubwa sana na hizi zinazofuata. Kila la kheri kurwa na dotto wa Tz.
M/Mungu awajaalieni Kheir na mafanikio Allah awajaze Imani kwenye Timu Inshaallah
Nakubali kaka,, naikubali yanga yangu, YANGA BINGWA 💪💪💪
Asante. Sana. Eeh. Mungu. Baba. Wa. Mbinguni. Muumba. Ardhi. Na. Mbingu. Tunakuomba. Uwaongoze. Hao. Vijana. Wetu. Wa. YANGA v v wakaweze. Kushinda. Mechi. Yetu. Ijumaa. Na. Hao. Wamanga. Tunaomba. Kupitia. Mwanao. YESU. KRISTO. WA. NAZARETH. ALIYE. HAI. AMEN
I nshall Allah semaji la caf
Mm nimeshaota yanga tunashinda 3 sasa nasubir nione tena hao waarabu walicheza bila mashabiki zao kuwepo uwanjani Eweee Allah nenda ukaifanye ndoto hii kuwa kweli wananchi tupate furaha Ameen🙏🙏
"Naiwe kama ulivyoota,, YANGA BINGWA 💪💪💪
Mungu awabariki sn
Allah awatangulie awape wepec mfike salaam na mkapate ushindi inshallah
Natokea mkoa wa songwe niawatakie wote wachezaji wangu wayanga,huko muendako mungu akawatie nguvu muamke salama wote,tuweze kumpambania point tatu zidi ya sm ulger huko Algeria mashabiki tuwaombee wachezaji wetu Dua za pamoja inshallah.
Uk songwe wilay gan
Dua muhimu
Kwa uwezo wa MUNGU inshallah tutashinda🙏
YANGA BINGWA 💪💪💪
Kila la kheri mungu ata jalia inshallah
Iwe khery kwenu mwenyezi mungu awafanyie wepesi
Safari Njema kwenu Wana Young African Sport Club
IN SHAA ALLAH,ALLAH ATUFANYIE WEPESI KATIKA MTANANGE HUO.ILI WANA YANGA BARANI AFRIKA NA DUNIANI KWA UJUMLA TUPATE LADHA NA FURAHA YA MICHUANO HII MIKUBWA BARANI AFRIKA.KILA YA KHERI MUNGU AWAPE WANAJESHI WETU KATIKA MAPAMBANO HAYO NA.MENGINEWE.AAMIIN!!
Nawaombea mufike salama mupigwe angalau goli 3. safari njema
Semaji la caf
😂😂...mdomo umeisha semaji ..au ujeuri mmeacha...
'Waandishi' ka siafu😂😂😂😂 bongo siku hizi ukimuona mtu ana ki backpack,jua huyo 'mwandishi' ana vi mike kama 6!😂😂😂 We have to regulate these guys! Diploma in journalism at least! Ts tooo much
Paka wa kizungu
we taira hyo sio shilijisho hyo klabu bingwa
Umewakomesha! Hakuna vya bure bure!
Nendeni mkachimbiwe kaburi huko hakuna kina Kayoko Huko
Na jumamosi chura anafungwa anakuwa wa mwisho katika kundi lake
Kwahiyo tufanyeje?
Waandish wachovu! Inaonyesha kabisa hakufanya research yoyote kuhusu game! Kaamka eti tumesikia wanabadilisha uwanja! Do Ur researches boy!
Wewe mganga wa kienyeji wa kupiga ramli!
Si mlisema mnataka kucheza na malaika nyie
Punguza maneno wee mtoto
Wanaoamini Young Africans itongoza kundi A tujuane
Amka😂
Mechi za makundi ni ngumu mno, na kadiri mechi zinapozidi kupungua ndo pressure inazidi kuwa kubwa, kwa maana ya kwamba mechi ya kwanza ya makundi inautofauti mkubwa sana na hizi zinazofuata.
Kila la kheri kurwa na dotto wa Tz.
Muda wa kushangaza dunia kwa uchawi
Ndiyo ww ugopi unamjuaje mchawi kama na ww simchawi inashangaza makolo acheni kuteseka mtazeheka mapema
Wachawi simba na pamba hushahidi tff.
@NassoroSipemba simba kavunja dirisha ndio kalipishwa 5 m yanga uvhawi wenu tff wamekulipisheni 15m