DIAMOND AWASHIWA MOTO, SHEHE ANENA MAZITO KUSOMA BIBLIA NA KUOMBEWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 506

  • @pamelamugo9627
    @pamelamugo9627 Год назад +28

    Mungu ni mmoja na sote ni wanadamu tumeumbwa na mungu mmoja na sisi sote ni mavumbi..... dini ni roho ya mtu, wivu, fitina, ubaguzi na kuhukumu mwenzako ni vibaya sana. Sote tunaishi kwa nehema na rehema za mwenyezi mungu... am a proud Christian but napenda watu wote kutoka dini zote. Sending love from kenya to super star Diamond, his wonderful family, watanzania na watu wote duniani ❤

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 Год назад +27

    Watanzania tupendane tusitengane. Sisi wote ni wamoja na safari yetu ni moja. One love❤

    • @jacksonlyova27
      @jacksonlyova27 Год назад

      Hiq😊

    • @estherboniphace9695
      @estherboniphace9695 Год назад

      Mungu ni mmoja jamani mtu yoyote mwenye karama anaweza kumwombea mtu.alafu huyo ameachiliwa baraka na mtumishi .ila nanyie wandishi mnakuja vitu sana

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Год назад

      @@estherboniphace9695. Mungu mmoja mbona ww Mungu wako mtu?

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Год назад

      Kupendana tunapendana lkn huezi kumpenda mwanaadam mwenzio ukamuasi M/Mungu/ imani yako. Ingawa ktk imani yenu ni swa lkn kwenye imani yetu ya kiisilam ni unafik. Na mnafik ana adhabu kali kuliko kafiri.

  • @baby_face_
    @baby_face_ Год назад +13

    diamond platinumz yesu akubariki

    • @zilipajohn7368
      @zilipajohn7368 Год назад

      hahaaaaaa Eme

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Год назад +1

      Jamaa hadi sasa ana dhambi nyingi sana, ila kua mkristo hilo si dhani kama atakuwa.

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Год назад +7

    Allah atunusuru jamia Muslim

  • @davidmnyela2459
    @davidmnyela2459 Год назад +25

    Shida ya mashehe ni jina la Yesu kristo linachoma🔥🔥🔥

    • @rosemneney3244
      @rosemneney3244 Год назад +1

      We mtangazaji huna kazi huyo shehe Mungu mwambie na yeye akaombewe

    • @alimatambwe3402
      @alimatambwe3402 Год назад +3

      Jina la Yesu kuuma?wakati Yesu ni Muislam mwenzetu❤sema sisi hatupendi jinsi mnavyo mchafuwa na nyimbo zenu za kijinga,Yesu mwenyewe anakataa nyimbo nzenu na kuwambia,niondoleyeni kelele za nyimbo zenu,kwamaana hiyo ni sheria ya wa Islaeli.sisi na nyie nani anamfata Yesu?kweli nyie hamjielewi.Inalilahi wainailahi Rajiuni.

    • @davidmnyela2459
      @davidmnyela2459 Год назад +6

      @@alimatambwe3402 kwanza umeanza na kumtukana Yesu halafu mwisho unasema unamfuata yesu katika wanafiki namba moja duniani ni waislamu mmewazidi mpaka mafarisayo kipindi cha Yesu alipokuwa duniani😄😄😄
      1.Yesu alibatizwa nionyeshe au niambie mwaislamu yoyote aliyewahi kubatizwa hata kwenye picha,tafadhali
      2.nionyeshe jina la Yesu kwenye quraan Usipige kelele???
      3.nionyeshe andiko kwenye biblia Yesu anasema sizitaki Nyimbo za wakristo,tafadhali

    • @PennyG90
      @PennyG90 Год назад +1

      ​@@davidmnyela2459 akijibu nakunya hapa😂

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 Год назад +3

      ​@@alimatambwe3402 waislamu mmepigwa na kitu kizito kudanganya kuwa Yesu ni mwiislamu mtasubili sana uongo ni nyumbani Kwa waislamu hana hata haya

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Год назад +4

    Umejibu vizur Sana shehe sharifu majini,,umejua kupangua maswali yote kifasaha ,,, mashalah

    • @magrethmeela154
      @magrethmeela154 Год назад

      Jamani alisoma kitabu cha Mungu kwani mbaya nini huyo Ni msanii mkubwa kioo cha Jamii kwani kusoma ndiyo kua Mkristo ata unafiki wewe.

  • @mwibelechekahuka7314
    @mwibelechekahuka7314 Год назад +11

    Huyu jamaa mwambie akaleye watoto anacho hongea nalichosema anakwepa,kumbe anajuwa yeye awezi kuukumu 😝😝😝😂😂😂😂

  • @mwalimuali1850
    @mwalimuali1850 Год назад +1

    Dah Masha Allah mwandishi wa habari leo umependeza kwa ulivyo vaa,Allah akubariki

    • @hafidhidrisa7162
      @hafidhidrisa7162 Год назад

      huyo mchungaj et kasema hakuna wa kumlaani
      heeee yupo nae ni ALLAH

  • @qpwisdomchengula8947
    @qpwisdomchengula8947 Год назад

    Shehk Tumeamini Nyie amna mungu Biblia mbna unaiogopa makavu yaliyopo kule yanakutisha.BIBLIA NA QRN Kuna nini ambacho akija msifia Mwenyezi Mungu.Una amini quran ita muhukumu
    muogope mungu. ACHENI UBAGUZI KAMA MUNGU NI MMJA HUNA HOJA SHEHK

  • @dominarwechungura5797
    @dominarwechungura5797 Год назад +1

    Diamond Simba Mungu akulinde🙏

  • @IssaSaid-vf3lg
    @IssaSaid-vf3lg Год назад +26

    Waislamu... Mnamatatizo fanyeni mbatizwe ee...

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 Год назад

    Jamani kemeeni vinavyomchukuza mungu ushoga,unyanyasaji nk,alichofanya diamond amemtukuza mungu msifieni ,mnaogopa Nini kukemea ushoga kunawalakini

  • @christiankiponda4639
    @christiankiponda4639 Год назад

    Sheikh, Mchungaji, Padre, Nabii, na Mtume na Mtumishi Yeyote aliye Safi mbele za Allah Subhahana, anakuombea tu, Dua Ni Ombi Maalumu.

  • @kassimrajabu56
    @kassimrajabu56 Год назад +14

    Shekhe mwenyewe anajiita majini.😂😂

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 Год назад +4

    Hivi Diamond ndio wa kwanza kusoma vifungu vya Bible
    Mbona kina Mzee Makamba Wana nukuu kila wakati
    Mbengo umekandamizia kuweka kipande cha wimbo
    YESU EEE,YESU EEE👏👏👏

  • @innocentkigabo5415
    @innocentkigabo5415 Год назад +4

    Daimond Hana kosa Kwan mungu so mmoja

  • @faithmucee
    @faithmucee Год назад +3

    When diamond is singing with half naked ladies no one is condemning him, but when he does a decent thing people come out to ridicule him..! je huu ni ungwana? instead of supporting him akifanya jambo la maana you are busy making it a big deal. Have seen many Muslim leaders internationally quoting the bible, and confirming that they know the Bible more than Christians do. Hata nchi ikiombewa, huwa yawakilishwa na dini zote. Diamond, wherever you are, ONLY GOD can JUDGE YOU! don't let any human being make you feel wrong in what you do. KE loves what you do no matter how different it is

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Год назад

      Ww kipofu au kiziwi hata masheikh wakipiga kelele huwasikii?

  • @irenelyamuya5466
    @irenelyamuya5466 Год назад +1

    Omg 🙋🙋🙋🙋Jesus is the only way the truth and life ❤
    Sisi no wa toto wa Mungu mmoja
    Any problem? Any doubt
    Tushikamane jamani kwani Ukristo ni jangwani au 🥺
    God is able . Have mercy on us
    Mungu mwenyewe alihubiri upendo Tupendane sisi kwa sisi .
    ❤️❤️.Yesu hakuja kutangaza dini ❤️❤️❤️
    Tushikamane

  • @saidimafu9524
    @saidimafu9524 Год назад +4

    Kusoma bibilia kwa muislam sidhambi kabisa ata wakristo usoma Qur'an this days

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 Год назад +15

    Kwani shida iko wapi wa Islam munaubaguzi sana 😏😏😏😏😏😏😏

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 Год назад +2

      Yaani hawa ni wabaguzi mpaka wanachefua kha!

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 Год назад

      Lakini haohao waislamu wakiugua wanaongezewa damu na wakristo na hawaulizi imetoka kwa nani? Diamond kuombewa na kusoma kifungu Cha biblia imekuwa shida

    • @niyakhalid5650
      @niyakhalid5650 Год назад

      Sisi tuna Dini yetu na nyinyi mna Dini yenu

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 Год назад +2

    Hajui misingi ya dini mbona kuna waimbaji kibao wanajua dini zao mitatoo watoto wa nje kibao uislam gani mwacheni aendelee na dunia

  • @verrynicemushi2563
    @verrynicemushi2563 Год назад +1

    Mwenye shida siyo Diamond Platinum ni Wewe!

  • @fatemazanzibar877
    @fatemazanzibar877 Год назад +5

    Kweli tuna matatz😂 waislamu

    • @iamjoseph795
      @iamjoseph795 Год назад

      Asante baada ya kujua tatizo ni kulilekebisha .. Kweri pia wa- kristo tuna matatizo ila ni vyema kukubari ba kukumbatiana dini kando sote binadamu

    • @salumalfan3975
      @salumalfan3975 Год назад

      Wewe haujielewi kwann useme tunamatatizo

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 Год назад +8

    Wafanye yao waache ushehe uchwala watuachie simba wetu

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Год назад +1

    Hatuwezi kugombana kisa dini ,wote tunamwabudu MUNGU, DIAMOND TUNAKUSHUKURU .KUMBUKENI JPM ALIJENGA MSIKITI MKUMBWA MNOO .HAKUBAGUA DINI

  • @TwalhaRatib-ss3lh
    @TwalhaRatib-ss3lh Год назад

    Diamond ni msenge sana hata aende huko awe mkiristo.....mwezi mtukufu unamuasi ALLAH subhanaaALLAH

    • @arthurjohn9036
      @arthurjohn9036 Год назад

      Mungu akurehemu maaana moto unatuoteaa wengi wanamuabudu Mungu kwa maneno

    • @frankbundi7713
      @frankbundi7713 7 месяцев назад

      Kwa hivo wakristo ni wasenge ama kipi sielewi?

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 Год назад

    Umesema vizuri sana shekhe majini majini yamekutumia vizuri wasome sana biblia hili wasijekajitetea atukujua kuwa uokovu ni Kwa Yesu kristo mwokozi tu sio kwamwingine Muhammad ni changa la macho

  • @aminahkhuzwayo-iv1wl
    @aminahkhuzwayo-iv1wl Год назад +1

    Sisi wote binaadam,,lakini kanisa na msikiti,,ni vitu viwili tofauti!!,,tuwe wa ukweli,,!!

  • @hasreeyasini
    @hasreeyasini Год назад +1

    Kwa hiyo sheikh kajibu vema nyinyi musio na elim juu ya jambo ilo ni Bora kukaa kimya musipende kujibu jambo musilo na elimu nalo waache wakenue midomo hao wasojua kitu ktk Iman Yao lkn si ww muislam kama haujui Kaa kimya

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 Год назад +5

    Waislam mwacheni mondi sio mbaguzi wa dini mashehe wabaguzi mtakwenda Moroni mkimchukia mondi dini ni moja kumuomba mungu madhehebu ni mengi

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад

      Waislam hawaabudu yesu

    • @idiidi-rq5gk
      @idiidi-rq5gk Год назад

      Mondi hatuish kwakulizisha watu kabulin utaingia pekee yako umekosea sana huo niunafk utauzwa Apo umesha ltadi

  • @AileenLema-r8e
    @AileenLema-r8e Год назад +1

    ww sio Mungu,huna haki wala mamlaka ya kumhukumu Diamond kwa kusoma biblia au kuombewa baraka na Mchungaji
    huna hiyo mamlaka ,acha Mungu afanye kazi yake,
    ww una hukumu leo kesho uko kaburini wapi na wapi bwana we

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 Год назад

    Maà shaà Allah sheikh umeongea vizuri

  • @efraimrichard6440
    @efraimrichard6440 Год назад

    Ila kuna mashkhe kwenye hii nchi kwakweli Aya nisiseme mengi ila sisi wote ni wa mungu na mungu wetu ni mmoja aya madini tutayaacha to mwisho wa siku

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h 7 месяцев назад

    Mazinge kali ya mwaka simba yupo vizuli kiinjil

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 Год назад

    Wanamziki mbn anawaimbia dini zote shehe unaubaguz wew n kiongoz wa din tofaut na msanii

  • @vailethmarimus1769
    @vailethmarimus1769 Год назад

    Ttz ni jina LA yesuu nasiku zote ilo jina linanguvuu

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 7 месяцев назад

    Kama Mungu.ni.wetu wote basi.tumtunzie.heshima sio kupewa.nguvu na mnyama kumtaja.yesu ni laana tudharilishane.huku tumtaje.yesu watanzania hatuhukumu ila wakina.diamondi.hukumu ipo acheni dhihaka

  • @auntymaria7003
    @auntymaria7003 Год назад +3

    Wivu tu ndio unawasumbuwa Naseeb yuko sahihi anajua anachokifanya ALLAH ZAIDI

  • @DastanTundu-wc4xh
    @DastanTundu-wc4xh Год назад +2

    Wakina Mazinge kila cku wanasoma biblia lkn hatusikii mkiwasema, Diamond tu ndio kakosea

  • @mohamedybady8927
    @mohamedybady8927 Год назад

    Shekhe aya umeikosea unatoa fatua alafu huna ilmu ile inatamkwa hivi waqul jaa alhaqqu wazahaqal batwilu innal batwila kana zahuqaa sio wazahaqal batwila hapana ni wazahaqal batwilu innal batwila nenda madrasa ukasome bado Sana wew

  • @petromsomba4523
    @petromsomba4523 Год назад +7

    Sema nilicho ona hapa ni ubaguzi to kwani Diamond kuombewa na mchungaji kuna shida gani wakati wote tunamwabudu mungu! .

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 Год назад +1

      Shangaa! Mbona Raisi anaombewa na dini hata isiyoyake? Wabaguzi sana wajue kuwa ubaguzi ni dhambi.

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 Год назад +1

      C ubaguzi jmn hp ni kwamba hawa wanalea majini na kuwatengeneza so linapokuja swala la mtu kuyasambaratisha ni tatizo

    • @paschalpaschal9369
      @paschalpaschal9369 Год назад

      Mungu mmoja ubaguzi wa dini haufai sote tunaabudu mungu uyo uyo mmmoja

    • @AliMunduli
      @AliMunduli Год назад

      Jamani diamond so muislam nikafiri tuu nsipate tabu

    • @AliMunduli
      @AliMunduli Год назад +1

      Kwanza ukisema tunaamini mungu mmoja so kweli wakirisro na mungu wao na sisi tunamungu wetu

  • @qpwisdomchengula8947
    @qpwisdomchengula8947 Год назад

    Kwa hyo hata Hayati Magufuli kuvaa kanzu na kuingia muskitini sisi wakristo tutumia sheria sasa yakua mzee umekosea.tumuombe mungu atuepushe na haya majanga yanayo tokea

  • @alibinali-zc2of
    @alibinali-zc2of Год назад

    Mungu amuonye njia ya haki lakini ukirsto sidini ni biashara

  • @MshefaTozi
    @MshefaTozi Год назад

    Ao mashe inabid wapigwe wasilet umim mungu ni mmoja

  • @sailoo5722
    @sailoo5722 Год назад +3

    Mungu ni mmoja

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Год назад

      Ww unaabudu mtu/Yesu kazaliwa na Mwengine anasema Mungu wale Kazaa na wa wengine wanakogeshwa na kuvishwa nguo na mm naamini M/Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hafanani na chchte, ssa ndio mmoja huyo tunaeabudu?
      Mungu wa haq ni mmoja lkn kila mmoja anaabudu na chake kwa hio tusilazimishane kua Mungu mmoja tu tunayemuabudu sote na wkt nyie mnawattu.

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 Год назад

    Mungu Ni mmoja tuu akuna mungu wa waislamu wala mungu wa krsto Yan uwo ndo ukwel iz dn zlletwa tuu na binadamu na aslimia kbwa kibiashara Zaid Ila mungu Ni mmoja kwa binadamu wote

  • @geofreyg.mtensa4559
    @geofreyg.mtensa4559 Год назад +1

    Yaani km humjui uyu jamaa Majini ..unaweza sema mtu safi yani, lkn hana lolote yani mkosefu km wakosefu wengine, apo mabibo mwisho madudu yako yanajulikana vzr mno, uyo ananyoa ktk saloon ya MADSON BABER SHOP apo mabibo, muhuni tu km wahuni wengine..

  • @victoriamazula5592
    @victoriamazula5592 Год назад +1

    Waislamu ni waajabu sana. Diamond hana kosa polite. Mbona wakristu hawana ubaguzi. Wee mwanahabaru huns lolote ubaguzi tuu.

  • @difarobelindo
    @difarobelindo Год назад +2

    Awa ndio kina Mpinga Cristo

  • @dalmanallyzubery4084
    @dalmanallyzubery4084 Год назад

    Waislam bhn mtupishe

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 Год назад +1

    Jaman tupendane mungu wetu ni mmoja tuu

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад

      Waislam hawamuabudu yesu

    • @sein.208
      @sein.208 Год назад +1

      ​@@Catherine-mh8sw
      Thank you ❤

    • @Arishafa547
      @Arishafa547 Год назад +1

      Mungu ni 1 lakn tunavyo muabudu ni tofauti sisi siyo katika washitikina

  • @mwalitv4555
    @mwalitv4555 Год назад

    Tusizunguke sanaaaa Shida sio diamond kuhudhuria but shida ni hilo jina la Yesu linaunguza majini..

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Год назад +1

    Ila daimond wakati mwingine unazingua swahiba,,japokuwa mim nakukubali Sana lakin usifanye vitu kama ivyo ikiwa wewe ni mtoto wakislam,,tumuogope mungu,,,nahswa wakati huu wa ramadhan tuheshimu kaka daimond,,usipende kuchukua dhima,,kwakuwapotosha watu wakislam manaake wewe ni unaushawishi,,,acha kiki daimond ,,kwahapa umetereza sana

    • @elishajuma2615
      @elishajuma2615 Год назад

      Acha usnge fala wew usimpangie chakufanya umlishi sister follow your business

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 Год назад

      @@elishajuma2615 sasa ndugu mbona mnapendà kutukana kakosea wapi kasema tu vizuri sijaona kosa kaka kamfahamisha tu na mondi akisifiwa huwa anaona sifa nayote hayo ni amri kutoka freemason kama hamjui

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 Год назад

      @@saleemadhiyabalkhatri7800 hv mnavyotuita makafir sio mnatutukana cjui hata mnafunga nn

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 7 месяцев назад

      Ukafiri diamond ni uzinifu ambao shetan.kampa msimfiche aachee mashehe damu ya diamond itatakwa mkimkandakanda mwambie anavoishi.sio vizuri aokoke yupo.yesu baba lao ambae bila yeye diamond hafiki.popote na mihela mifedha watanzania wenzangu bila yesu bila kumheshimu Mungu ni mi.petrol tanks inaweza ikakuteketeza wewe na kizazi chako chote watanzania nasema.nanyie.mifweza bila yesu ni mibomu ya nyukilia unaweza ukalemaa.na mitoto y'ako yote heli maskin.anaemheshimu.Mungu.kuliko tajiri.anaekula.anasa.anaemzarau Mungu

  • @rajabjuma277
    @rajabjuma277 Год назад

    quruan 109.1-6
    sema enyi makafiri.
    siabudu mnacho kiabudu.
    wala nyinyi hamuabudu ninae muabudu.
    wala sitabudu mnacho kiabudu.
    wala nyinyi hamuabudu ninae muabudu.
    nyinyi mna dini yenu nami nina dini yangu.
    mashehe nawauliza mmerogwa na nn ikiwa maneno ya Allah mnayaficha wapo watakao yafichuwa .tushambiwa wakiristo wana dini yao na waislam wana dini yao mbona mnashindwa kusema kwel mnazunguka hapo unaenda kanisan kufanya nini oo kajenga mskiti kwa pesa za mziki Allah hanashida na mskit

  • @browndebora2195
    @browndebora2195 Год назад +7

    woiiiiiii muacheni mtoto wa mwenzenu

  • @yohana1242
    @yohana1242 Год назад +2

    Oya kusoma bibilia sio zambi kwasabab yesu sisi waislam tunamtambua kma ni mtume wa wanawaizrael kwaio anaepotea ni yule anaesem yesu ni mwan wa mungu na wengine wanasem yey ndo mungu mwenyewe anesem ivo ndo anakosea kwasabab yesu hakusem aitwe mungu au mwan wa mungu ni makosa makubwa na nikufuru kubwa

  • @Churchofecclesia
    @Churchofecclesia Год назад

    Wanataka wakameombee na MAJINI Yao Acha akaombewe kwa YESU KRISTO WA NAZARETH ALIE HAI ALIE MUNGU MKUU

  • @kalundekasiga98
    @kalundekasiga98 Год назад

    Ndio maana Mungu akichukua watu wake hawarudishi , anajua binadamu walivyo wamejaa ubaguzi ,anajua akiwarudisha mtatudanganya Sana na hamtapendana ,Diamond Ana dhambi gani ,mnamuhukumu nyie Mungu

  • @lukhubeni8726
    @lukhubeni8726 Год назад

    Nyie sio Mungu acheni mbwembwe

  • @Arishafa547
    @Arishafa547 Год назад

    Bibilia ni kava tu na ni mabaiki ya vitabu vya mungu walio pewa manabii 3 Mussa (A. S TAURATI ) daudi (A. W ZABURI) issa ibn mariam (A. W) hawa ni mitume na manabii walio kwisha tanguli kabla yetu na nani wanyenyekevu waislam wenzetu so siyo tabu zabur, taurati, injil ni vitabu vya waislam hilo kava tu la bibilia ndg zangu wakiislam kisiwape tabu sana

  • @jay-nyeye1900
    @jay-nyeye1900 Год назад

    Biblia sio kitabu cha kikristo bali ni kitabu chà ufunuo wa Mungu kwa wanadamu wote

  • @Princewaweru
    @Princewaweru Год назад

    Wewe siyo mungu maneno hayavunji mfupa achana nae Simba afanye yake.

  • @ramadhanikimweri1240
    @ramadhanikimweri1240 Год назад

    Daanondi mimi sijaona uislamu wake manaanavaa misalaba mzinifu sana miminachoona aende kwenye makanisa ambayoyanakubaliuchwfu

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 Год назад +1

    Kijana kamfata MUNGU wa kweli amfanyie wepesi.

  • @farajimazengo7332
    @farajimazengo7332 Год назад

    Kwenye. Dini msituletee siasa tafadhar na muisilamu hawezikubali kwamba siasa

  • @davidashery2383
    @davidashery2383 Год назад +1

    We shehe majini mpe YESU maisha

    • @Arishafa547
      @Arishafa547 Год назад +1

      Ampe yesu Maisha YESU kama nani aache kumupa mungu et Ampa mwanadamu mwenzake mnachekesha sana nyie ma comedy

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Год назад

      Yeye mwenyewe yalimshinda.

    • @davidashery2383
      @davidashery2383 Год назад

      @@Arishafa547 Acha ujingaa,yesu ni Munguu aliyevaa mwili wa kibinadamu

    • @davidashery2383
      @davidashery2383 Год назад

      Angekuja kama alivyo watu wangepoteanaa,ndio maana alikuja kama mwanadamu

    • @Arishafa547
      @Arishafa547 Год назад +1

      @@davidashery2383 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nyie ni ma comedy movies kabc kamaile movie yake

  • @ahmadbadawi9664
    @ahmadbadawi9664 Год назад

    Diamond awe muislam asiwe muislam hana faida yeyote kwetu.

  • @JoshuaAbel-ph2yk
    @JoshuaAbel-ph2yk Год назад

    Hivi nyinyi waislam mtwambie mungu wenu ni yupi maana kinachoonekana ibaada zinatutofautisha haswa lipokuja swala la mwislam kutembelea kanisani

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Год назад

    DIAMOND MUNGU AKUBALIKI. ASANTE SANA KUSAPORT WAKRISTO. WOTE NI WANADAMU NA TUNAABUDU MUNGU.

  • @kalundekasiga98
    @kalundekasiga98 Год назад

    Acheni ubaguzi wote niwa Mungu ,Nani alienda kwa Mungu akarudi akasema dini Bora ni ipi

  • @HussainMaula-tj5fw
    @HussainMaula-tj5fw Год назад +1

    Watanzania sio kama hatupendani tunapendana na hatubaguani kwa ajili ya dini kabila au pahala mtu anapotokea umasikini au utajiri ila kwa mujibu wa qur an na suna za mtume hakuna usahihi wa yeye kufanya baazi ya aliyoyafanya.DINI YA KIISLAM HAIONGOZWI KWA AKILI ZA WATU INAONGOZWA KWA MUJIBU WA QUR AN NA SUNA ZA MTUME .

  • @ahamadimbaraka7140
    @ahamadimbaraka7140 Год назад +2

    Hakuna sheikh hapa ulisikia wapi sheikh anapaka rangi ndevu kama mjusi

  • @sostheneabedickenas-gb5gx
    @sostheneabedickenas-gb5gx Год назад

    Shee Mwenyew Ni Wamchongo Tu Angalia Jinsi Alivyo Brich Kwenye Ndevu Alafu Anakosoa Wengine Akwendre Kule Mo Dewji Kila Ijumapili Uwa anaweka vifungo Vya Biblia Jinga La Shee Hilo

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 Год назад +1

    Uyu sheikh gani amepaka blich? Ma sheikh wa mchongo kama uyu atuwataki. We mwenyewe ujakamikika fanya yako Acha u sheikh mchwara. Simba upo saii mungu ni wetu sote kila mtu atakufa ki mpango wake.

  • @Khalfanbakari-xu8ri
    @Khalfanbakari-xu8ri Год назад

    Uislam sio jina bali ni iman then msitumie kaul yakusem waislam mnamatatiz xem muhuck nd anamatatiz kwahy bc kam mmeon hayup xaw nikumuelekez nakumfanya awe xaw kwan hakun aliye perfect zaid y ALLA

  • @bakarikisuda4948
    @bakarikisuda4948 Год назад +1

    IPO kazi hapo...!!

  • @nduwimanaegide8428
    @nduwimanaegide8428 Год назад +1

    Wewe Shehe umechoka sana kwanza wewe si Shehe

  • @bmediafm254
    @bmediafm254 Год назад

    yesu akiamua hakuna wakupinga. kunasiku

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 Год назад

    Nyie mtahukumiwa achen Mambo yenu Kwan Biblia Ni uchawi

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 Год назад

    Binadamu tunachoshindwa kuelewa wote tunamwabudu Mungu 1 ambapo kwa Kiarabu anaitwa 'Allah" kwa Kizungu anaitwa "God" na Kiswahili "Mungu". Sema tunamwabudu kupitia mitume tofauti ambao ni Yesu, Mohamed, Buddha, Nk.
    Hizi inshu zakuona wenzako wanakosea akati vitabu vyote vinaongea karibu kitu kimoja

  • @stellah3844
    @stellah3844 Год назад

    Mond ni kiongoz wa Taasisi kwahyo hawez bagua,,,Ndyo maana hata Marais wanaingiaga kanisan na msikitin haijalishi Dini gan

  • @joycemartin9377
    @joycemartin9377 Год назад

    Yaan hawa wenzetu wanatutenga Sana sisi wakristo Tena hiyo ni dhambi kubwa ambayo mtakuja kuijibu mbele za mungu.....maana mungu mwenyew anasema pendaneni Kama milivyowapenda ninyi Sasa ninyi mko kinyume na maandiko....

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Год назад

      Mnajitenga wenyenu kwa kufuru zenu. Ww unataka tushirikiane kuabudu mtu??? Abudu peke ako tutapendana kwa mengine lkn si kwenye kumkufuru aliyetuumba. Na wala hakuna muisilam alieyesoma dini yake atakaekusapoti kwenye huo ujinga labda umkute anayefata mkumbo. Mana kupendana kwenye kufuru ni dhambi Tena ww ukiona unabaguliwq utakua ni ujinga wako mwenyewe wakutokusoma na kua na imani ya kweli. Mana hata ww unaeamini Mungu Kazaa, wapo wttu au anamwana km kweli unaimani na unachokiamini basi hutotaka kuabudu asiezaa, asiezaliwa na asie na uttu kwa sbbu kufanya hvyo kwako itakua ni unafik na kutokujiamini. Ssa kwa kua nyie hamjiamini na hamukiamini mnachokiabudu mnababaika mpo km kaa baharini anaishi na nchi kavu anaishi ndio unataka na sisi waisilam sote hata waliosoma tuwe hvo? Tukhofia nyie makafiri kusema tunakubagueni na wkt tunajua Dhahir kua hamjitambui

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm Год назад +4

    shekhe ao wanao kuhoji wote wanafki apo alipo anakuoji kava abaya kesho utakuta kava kimini au nusu uchi alafu anaoji unafki sababu unamjibu maswali yake vizur alafu anarud pale pale kuchokonoa ujinga shekhe wetu wewe unajua dini na umesoma unajua kila alicho kataza allah mtu kama hujui dini ya kislam awezi jua lolote Zaid ya cucoment ujinga na uibrisi sa kidunia kwanza allah alisha sema kuimba haram wasio jua dini ya kislam na sheria kislam awawezi jua maana ya dini ya kislam

    • @JumaSeleman-mi2zx
      @JumaSeleman-mi2zx Год назад

      ndio unajidanganya nafsi bro tena sana bibilia sikitabu cha mwenyezi mungu uongo mtupu mi naona naputeza mda wngu kushindana n mtu aliye mkataa mungu

    • @rajabjuma277
      @rajabjuma277 Год назад

      Sio shekhe huyo .sura ya 109 aya ya 1-6 km kweli huyo shehe alikuwa amalize mahojiano .aya ya 6 inamalizia wanambiwa makarir.nyinyi mna dini yeny nami nina dini yangu sasa kanisani kuislam anafata nn hapo aliposema jamaa kajenga mskiti ujuwe tayari njaa hiyo Allah hanashida na mskiti pesa za haram mziki haram mm naomba Allah atuhifazi

    • @sebastianchimoto4307
      @sebastianchimoto4307 Год назад

      wewe.hauna akili.nenda.muimbili wa ukachukuwa dada

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 Год назад

      Ivi damon akitoka kwenye u Islam kuna asara gani

  • @danielkihoza7330
    @danielkihoza7330 Год назад +1

    Laaaaaaa kwaiyo wanao kujaaa kuombewa msiktin inakuaje tuachen ubaguz sote ni wababa mmoja

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 7 месяцев назад

    Diamond ana.alama za giza mwili mzima kama anataka.yesu Atubu lasivo ni ngumu diamondi.kwa maisha anayoishi.hafai msikitin wala kanisani.ila.watu.tunabadilika na kama hutaki kubadilika.hufai.msikitini.wala kanisani watanzania tumheshimu Mungu lakini tukijizira na kuishi tunavotaka itatughalimu Mungu yupo kiyama ipo hakuna atakae kwepa kufa

    • @annIreri-p6g
      @annIreri-p6g 6 месяцев назад

      Yes some people are not Christian or Islamic, simple name pagan, even devil knows the Bible purposely to confused the confused guy's

    • @annIreri-p6g
      @annIreri-p6g 6 месяцев назад

      Kwanza hizo alama ZA giza😂

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 6 месяцев назад

      @@annIreri-p6g tusimpoteze.diamondi.yawezekana.hajui tatuu ni alama.za giza asije akasema.hakuambiwa.au.hakusikia

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 Год назад

    He mungu wetu ni mmoja,mbona marais wanashiriki hafla dini za wengine hamsenii,mashehe pia hushiriki hafla mbalimbali za wakristu mbona hamsenii?mwacheni mtoto WA watu kioo Cha jamii

  • @janetdundul3858
    @janetdundul3858 Год назад

    Chochote mungu hakibaliki mungu binadamu hakuna kupinga kwa ushauli wangu shehe shalifu majini jinalk tuu linashida sasa hacha kuongeza shida TUPENDANE NA UJE MWANANYAMALA KUTOWA MAJINI MWAKA JANA SI ULIKUJA 😂😂😂KALIBU

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Год назад

    Acha ubaguzi ww shehe unajifanya mungu Sana ww siku zote, we umekosea mangapi? Mtu mzima hapangiwi chakufanya Yan we ingekuwa mungu watu wote tungesha kufa, Huna kwa kupeleka roho ya diamond hata akifa

  • @fikiriseleman3460
    @fikiriseleman3460 Год назад +3

    Shida wengi hawaijui din ya kiislam, alichofanya diamond katika uislamu hakiko sawa, na hayo sio utashi wangu binafsi Bali ni maneno ya mungu katka quran haifai kwa mwislam kutenda kinyume na vile alivyotuelekeza mtume muhamed (s.w)

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard2135 Год назад

    Mungu ni 1

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 Год назад +1

    Radhi inamtesa Sasa huyo bwana.🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rajabjuma277
    @rajabjuma277 Год назад

    Hao wameratibiwa mwa makusud wasani wanojita marufu tz waislam kwa nn sio wakristo inamana wakristo ndo hamna kitu kichwan sitaki kuamin hao maalum lakin sishangai wabara ndivyo mlivyo dini mseto

  • @jamilangayabanguha6777
    @jamilangayabanguha6777 7 месяцев назад

    AYIIIWEEE MBEGA MUZABIZABINA HAJUI NAYE .

  • @elizabethmuli5911
    @elizabethmuli5911 Год назад

    One day DIAMOND ATAKUJA KUOKOKA YAAANI KUMPOKEA YESU KRISTO INSHALLAH

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Год назад

      Sifirii kama ataungana na watu wa 🔥 hata kama anadhambi nyingi.

  • @japhetikongo453
    @japhetikongo453 Год назад

    Ushamba katika Dini , Na kukosa Busara.

  • @abdallahnassoro2460
    @abdallahnassoro2460 Год назад

    We mtangaza daa umependeza nilipo angalia mwazo nilikua sijakujua daa umependeza

  • @MasterG-dc1tx
    @MasterG-dc1tx 7 месяцев назад

    Dunia cio yako na mondi cio wako,mungu ni moja kwahio magufuri alikosea kuingia mskitini,acheni ubaguzi ombeni mungu kibnafisi bila kujaza watu chuki

  • @methodmasenda9170
    @methodmasenda9170 Год назад

    Mbona kina mazinge wanafundisha kupitia biblia na tunawaelewa sema ila kunakiroho fulani binausi lakini mazinge anafundisha kweli kweli

  • @The__Lords333
    @The__Lords333 Год назад

    Huyu sheikh hana hekima kbs

  • @nasrakambimton9522
    @nasrakambimton9522 Год назад

    Hoo kidg nimekuherew maan kambra sijakusikiliza nilikuwa nimekujib vibay San Ila nimekuherew nimefut