MH. ASK: MOSES KULOLA... UJUMBE: NAIJULIKANE LEO KUWA WEWE NI MUNGU(3)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 22

  • @lightness9756
    @lightness9756 3 года назад

    Hallelujah hallelujah its amazing choir I bless the Name of JESUS

  • @samwelndabila6630
    @samwelndabila6630 5 лет назад +5

    Mungu akutie Nguvu unayerusha Mahubiri ya Mzee huyu. Mungu akubariki sana tena sana hakika nabarikiwa sana

    • @Cado_TV.
      @Cado_TV.  5 лет назад +2

      Ubarikiwe pia

    • @mwingamwalugala9249
      @mwingamwalugala9249 5 лет назад +1

      Sadocky S. Boaz .ubarikiwe mno kakangu unaifanya kazi ya Mungu na Mungu wa mbinguni anaehubiriwa katika mahubiri yaha atakulipa,hakika ujira wako upo

    • @Cado_TV.
      @Cado_TV.  5 лет назад +1

      @@mwingamwalugala9249 tubarikiwe wote na Mungu atudaidie

    • @ramadhanmgoneke1956
      @ramadhanmgoneke1956 5 лет назад

      Huyu Mzee ninahakika Mungu alimkumbuka katika ufalme wake watumishi wachache sana wanaoweza kufanya kazi Mungu kama huyu nampenda sana endelea kutupa mafundisho yake waslam hii ndiyo njia ya kweli na uzima

  • @abigaellcharess6370
    @abigaellcharess6370 4 года назад +1

    Mungu akubariki mnoooo

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 5 лет назад +1

    Asante sana kwa kuendeleza kueneza injili ya Bwana wetu Yesu Kristo hakika Mungu atakulipa mema.

  • @bernadettewamunzira5882
    @bernadettewamunzira5882 5 лет назад +1

    Mungu akubaliki wewe unaye tuwekeya maubiri ya baba yetu Moses Colola.

  • @colincekinyoa3357
    @colincekinyoa3357 5 лет назад +1

    Hakika huyu baba alitumiwa na MUNGU kwa viwango vya juu sana,, kazi kwetu watumishi tuliobaki duniani

  • @eliamanimodesttesha8608
    @eliamanimodesttesha8608 5 лет назад +2

    asante yesu kwa kumbukumbu hii

  • @nichorausntajunja3144
    @nichorausntajunja3144 5 лет назад +2

    Amina mtumishi. ubarikiwe sana

  • @nezerinejuma5510
    @nezerinejuma5510 Год назад

    Amen 🙏🏾

  • @danielmongane4271
    @danielmongane4271 5 лет назад +2

    Ubarikiwe sana kwako tu Russia mahubiri ya kweli ya mzee modes kulola. Kweli uendeleye ku rusha nyingi. Mimi naichi drc

    • @Cado_TV.
      @Cado_TV.  5 лет назад +1

      Ubarikiwe naamini MUNGU atanisaidia kwani natumai siku za usoni kuna watu hatasikia mahubiri yatapotea but yakiwatandaoni kamwe hayatapotea

  • @hastonmwambene9822
    @hastonmwambene9822 5 лет назад +1

    Hii injili naipenda inanijenga upya

  • @joseengogo706
    @joseengogo706 5 лет назад +4

    MUNGU akubaliki kwa kurusha mafundisho haya yenye kubadilisha watu nakuicha njia pana nakuelekea ile njia nyembamba.

  • @nezerinejuma5510
    @nezerinejuma5510 Год назад

    Nilizaliwa nyama ningemkuta 😭😭😭 najiisi kufurahiwa nainjili yake

  • @nezerinejuma5510
    @nezerinejuma5510 Год назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @brendajuma2212
    @brendajuma2212 2 года назад

    hakika huwa nabarikiwa sana na mahubiri ya bmk. Hakika huyu ndiye alikuwa mnenaji wa injili isiyotiwa maji ndani yake maake aliisema na kuihubiri kweli ya Mungu

  • @abigaellcharess6370
    @abigaellcharess6370 4 года назад +1

    Nitumie hizi 0759917432

    • @Cado_TV.
      @Cado_TV.  4 года назад +1

      Samahan sana sister Abigael kwa WhatsApp ni ngumu kwani ni kubwa mno sometimes zinafika GB 1. Na WhatsApp haiwezakani am very sorry nikuombe tu uendelee kuafatilia nipatapo ntakuwa naendelea kuweka.