1. KUONDOA MAZUIO KATIKA MIFUMO YANAYOZUIA KUFANIKIWA KWAKO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 130

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 Месяц назад +2

    Amina Mungu akutunze mwalim Christopher Mwakasege, pamoja na mama na huduma yote ya Mana, hakika haki yangu katika mifumo, imerejeshwa kwa Dam ya Yesu kristo wa Nazareth.

  • @ulumbimtua8876
    @ulumbimtua8876 6 месяцев назад +15

    Asantee Jehova kwa kutuletea mwakasege,Mungu aendelee kukuinua zaidi❤

  • @christinakiula3743
    @christinakiula3743 6 месяцев назад +6

    Mungu wape nguvu mpya watumishi wako wa MANA waendelee kuifanya kazi yako katka jina la Yesu. Damu ya Yesu inene mema juu yao.

  • @adventinahevaristo9558
    @adventinahevaristo9558 6 месяцев назад +8

    Mshahara wangu niliodhulumiwa kule mpunguzi naamn naenda kulipwa .... Sehem ya kumi nitakutolea Mungu 😢😢

  • @LucyGasper-df2uc
    @LucyGasper-df2uc 5 месяцев назад +5

    Bwana ondoa zuio lililofanywa kwa njia ya matamko ,sadaka ili kuzuia mafanikia ya kiuchumi ,taaluma,ucha Mungu ktk watu wa nyumba ya baba zetu na mama zetu ktk kizazi hiki.Kwa jina la Yesu kristu wa Nazareti.Amen

  • @victoriaodhiambo6071
    @victoriaodhiambo6071 6 месяцев назад +8

    Bwana Yesu naomba uniondolee kila zuio katika kumiliki kwangu na uduma yangu. Na kila mazuio katika mazabau za ukoo zivunjike Katika jina la Yesu Amina.

  • @RosinaWawuda-g9d
    @RosinaWawuda-g9d 9 дней назад

    Barikiwa Sana Mwalimu Christopher na All Your Crew Wapendwa Wa Mungu Maana Ministry I Love Inside Deep My Heart..Niko Kenya 🇰🇪 Yetu Na Barikiwa na Huduma Yangu Yaani Sina Cha Kulipa Mungu Wetu Awalipe.

  • @justicemollel4928
    @justicemollel4928 5 месяцев назад +1

    Hallelujah! Hallelujah! Ubarikiwe sana babaetu mwl. Wewe ni chombo cha Bwana. Namuomba sana Mungu aweze kukulinda kukutunza na kukuimarisha katika kuwepo hapa duniani ili upate kulikamilisha kusudi la Mungu alilokupa

  • @josephinesisso6598
    @josephinesisso6598 6 месяцев назад +4

    Mungu baba kaondoe Kila zuio ktk familia yetu ,vifungo vya kiuchumi,elimu,Afya,ndoa na kibali kutoka kwako baba Mungu naomba ukafungue nakuharibu madhabau chafu ktk Jina la Bwana wetu Yesu kristo naomba nikiamini🙏

  • @andrewaloyce5954
    @andrewaloyce5954 2 месяца назад +1

    Kwa dam ya yesu naondoa kila zuio lililowekwa kwenye maisha yangu

  • @AngelaPeter-g2u
    @AngelaPeter-g2u 6 месяцев назад +12

    Damu ya YESU iliyomwagika msarabani ikaondoe kila zuio ktk maishayangu kwa JINA LA YESU.am8na.

  • @lymsannouncement2321
    @lymsannouncement2321 6 месяцев назад +6

    Kila zuio kwenye mfumo wa ndoa, elimu,AFYA, kazi lililo kwenye familia yangu uzao wangu,kwa mume wangu Deusdedit na familia yake liondoke kwa jina la YESU KRISTO wa Nazareth Alie hai.
    Kika zuio kwenye mkutano huu liondoke kwa jina la YESU KRISTO wa Nazareth. Amen

  • @petergasper7957
    @petergasper7957 6 месяцев назад +2

    Ubarikiwe sana unaetafsiri kwa ndugu zetu viziwi. Nao wanapata neno la mafundisho.

  • @NdeshiStephen
    @NdeshiStephen 5 месяцев назад

    Ahsante yesu kwa hii semina.mungu nakuomba tuondolee mifumo inayoleta audio la afya ,ndoa,elimu,uchumì.

  • @LucyGasper-df2uc
    @LucyGasper-df2uc 5 месяцев назад +2

    Hakuna wa kufananishwa na wewe Mungu wetu.Wewe huwarehemu watu wako wanaokulilia usiku na mchana

  • @noelamboya5698
    @noelamboya5698 6 месяцев назад +2

    Hakika Mungu ni mwaminifu, asante kwa somo hili uliloachilia kwetu tukalisikia kama watumishi wako.

  • @jullymosi9943
    @jullymosi9943 5 месяцев назад +1

    Eeh! Mungu tupe maarifa ya kutosha ili kushughulikia ipasavyo udhalimu na ugandamizaji uliopo ktk mifumo ya maeneo mbalimbali kwenye familia na jamii yetu inayozuia mafanikio ya maisha yetu.

  • @angelbachuba9036
    @angelbachuba9036 6 месяцев назад +1

    Mungu wa Rehema naomba toba kwenye mifumo iliyofanya zuio kwenye uchumi wangu na tumbo la uzazi. Mungu naomba uniingize ndani yako. Amen

  • @christinakiula3743
    @christinakiula3743 6 месяцев назад +1

    Mungu ni mwema Singida tumefikiwa na semina. Kwa damu ya Yesu tukauone wokovu wake katika kila sehemu. Amen

  • @DinnaRossana
    @DinnaRossana 5 месяцев назад +1

    Mungu Baba wa mbinguni katika jina la Yesu ninaomba kila zuio lililoshika uchumi wa familia yangu Elimu shindwa kwa jina la yesu..

  • @HadijaMwakaselema
    @HadijaMwakaselema 5 месяцев назад +2

    Yesu kumbuka kazi za mikono yangu

  • @nuruelkeneth9940
    @nuruelkeneth9940 6 месяцев назад +1

    Amen 🙏 napokea miujiza ya kazi kila nilikotuma maombi yakazi nikaitwe kesho naamini kupitia mtumish wa Mungu milango itafunguka kwani nimechoka mazuio kwenye maendeleo yang 🙏🙏

  • @ruthgreen3274
    @ruthgreen3274 6 месяцев назад +1

    Mungu Akutunze na kukubariki Mwl Kwa Utukufu wake, wewe na familia na team nzima!!

  • @GwamakaAmosi
    @GwamakaAmosi 6 месяцев назад +2

    Mungu uinuliwe katika yote uilinde madhabahu hii onyesha ukuu wako singida katika siku tano

  • @EvEmanuelSamson
    @EvEmanuelSamson 6 месяцев назад +2

    Amen NAMI napokea furusa /milango ya mafanikio kwa uwepo huu mkuuu

  • @RispaPeter-r4x
    @RispaPeter-r4x 3 месяца назад

    Ameen ,,,,Tunakushukuru kwaajili ya mtumishi wako Tunaomba ukamlinde

  • @JaquelineMasanja
    @JaquelineMasanja 6 месяцев назад +1

    Mungu ni mwema NAMI anikumbuke na kuniondolea Kila zuio na kunipa mpenyo pamoja na familia yangu

  • @Fstqfstq2018
    @Fstqfstq2018 6 месяцев назад +1

    Amen ubarikiwe napokea mamlaka ya kumrikii haki yangu

  • @MercyLaman
    @MercyLaman 6 месяцев назад +5

    Mungu akubariki sana mtumishi

  • @EvEmanuelSamson
    @EvEmanuelSamson 6 месяцев назад +1

    Naungana pamoja katika semina na maombez mungu anapobark nam nibarikiwe saa hii

  • @wilfredjohn4829
    @wilfredjohn4829 6 месяцев назад +1

    Barikiwa Baba yangu Mungu akulinde na kukutunza Amen...

  • @AnthoniaMaji-zm9tf
    @AnthoniaMaji-zm9tf 4 месяца назад

    Mungu akubariki sana. Mara nyingi neno langu hupitia kinywa chako😊

  • @priscaTweve-l2y
    @priscaTweve-l2y 6 месяцев назад +3

    Amen Barikiwa Mwalimu

  • @JescarMwakipesile
    @JescarMwakipesile 5 месяцев назад

    Asante Mungu kwa elimu hii ni kubwa mno na yenye maelezo ya kina.Mbariki Mtumishi wako..

  • @AnitherFideri
    @AnitherFideri 5 месяцев назад +2

    Kila zuio liondoke kwenye maisha yangu kwa jina la yesu

  • @MwaminiMuumbaji
    @MwaminiMuumbaji 5 месяцев назад +1

    Ee YESU nirehemu

  • @salomengowi3383
    @salomengowi3383 6 месяцев назад +1

    Nifanye nini mimi zaidi ya kukuabudu na kukusifu mchana na usiku Ee Mungu, hakika Unajua kunipigania nisikate tamaaa, pamoja Na vita yoteeee lakini Bwana hunitia nguvu Na kunipa amani🙏🙏

  • @anethsiame8789
    @anethsiame8789 5 месяцев назад

    Asante kwa somo hili naamini Mungu anampango mzuri na Mimi kumfungua mifumo yangu

  • @marymessay2768
    @marymessay2768 5 месяцев назад

    Asante Yesu kwa ujumbe wa neno lako la uzima, mifumo yote ya hila inayozuia mafanikio yangu inaondoka kwa moto na kwa damu ya Yesu,

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n 5 месяцев назад

    Asante sana MUNGU Baba wa Mbinguni Akubariki YESU ni mshindi nimepona

  • @jackeniibraimusenga2200
    @jackeniibraimusenga2200 6 месяцев назад

    mungu wa mbinguni asante kwa mwalimu christopher mwakasege juu ya neno hili. aminaaa

  • @lymsannouncement2321
    @lymsannouncement2321 6 месяцев назад +1

    Asante Yesu kwa upendo huu mkuu

  • @daudimhoha320
    @daudimhoha320 5 месяцев назад +2

    Kazi.nzuri.

  • @OscaGidion
    @OscaGidion 5 месяцев назад

    Asante mungu mwema kila wakat tunazid kumtukuza kila wakat wewe ni Ebenezer

  • @DeborahDaffi
    @DeborahDaffi 6 месяцев назад +1

    Nakuomba Bwana wewe utuamue wewe na kurejesha mfumo wako katika huduma yetu., katika familia, katika biashara zetu. Katika kazi za watoto wangu. Na wanaotafuta kazi wafungulie mifumo. Bwana pigana na mifumo yote iliyofungwa ee Bwana. Nipe kukutumaini wewe.

  • @elizabethalex6138
    @elizabethalex6138 5 месяцев назад

    Yesu Napokea urejesho kwenye Maisha yangu katika Jina La Yesu Kristo

  • @mwendwanoah5225
    @mwendwanoah5225 5 месяцев назад

    Haleluya utukufu kwa Bwana Yesu jidhihirishe katika mji wa singida

  • @reginalderasto5247
    @reginalderasto5247 5 месяцев назад +1

    Watu wa sound Mungu awasaidie

  • @siahulomi1445
    @siahulomi1445 5 месяцев назад

    Mungu naomba umfungue mama yangu apate uponyaji kwa dam ya Yesu Kristo.naomben pia kila anaeomba amuombee mamangu apone stroke.

  • @SalomeMwakilambo
    @SalomeMwakilambo 4 месяца назад

    Kwa nguvu ya neno litokalo kinywani mwako Mungu, ninaomba utuondolee mazuio ya kumiliki nyota zetu utuondolee mazuio ya ya mifumo ya baraka zetu kiroho, kimwili na kiakili

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 6 месяцев назад +1

    Mungu azidi kukutunza na Familia yako na team nzima ya Mana 🙏

  • @DavidLaizer-b5f
    @DavidLaizer-b5f 5 месяцев назад +1

    mungu azidi kukueka wengi tunatengemea mafundisho yako

  • @MARTHAALEX-p6o
    @MARTHAALEX-p6o 6 месяцев назад +1

    Yesu kumbuka maisha yangu Amen

  • @MariamMarco-z7r
    @MariamMarco-z7r 6 месяцев назад +1

    Yesu niko hapa usinipite mwokozi

  • @fatnasaid4301
    @fatnasaid4301 6 месяцев назад +1

    Yesu nitetee na uwe nami kila siku

  • @danielmamelafrokenya3816
    @danielmamelafrokenya3816 6 месяцев назад +3

    Haki ya ardhi ya baba yangu tuliodhulumiwa mungu aturudishiiii

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 6 месяцев назад +1

    Asante YESU KRISTO

  • @smartmwakipesile3842
    @smartmwakipesile3842 6 месяцев назад +1

    Mbingu zikunenee mema mtumishi wa Mungu

  • @emmanuelelias7589
    @emmanuelelias7589 5 месяцев назад

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @EvelynRwegasira
    @EvelynRwegasira 5 месяцев назад +1

    Killa zuio liondoke katka maisha yangu kwa neno la BWANA

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 6 месяцев назад

    Asante Yesu kunisikizisha neno lako nchi ya utumwa 😊🇸🇦🇸🇦👋

  • @GeorgeNanyaro-g3o
    @GeorgeNanyaro-g3o 5 месяцев назад

    Mungu nimwema damu yako inenemema katika nyumbani kwangu mungu wasitahili bwana

  • @philipomollel4677
    @philipomollel4677 5 месяцев назад

    Mungu asinipite nijue mfumo mpya uliopo kwny maisha yangu

  • @kate-sommy
    @kate-sommy Месяц назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉 NICE 👍👍👍 11:18

  • @joelkimario42
    @joelkimario42 6 месяцев назад +2

    Damu ya agano jipya itufunike na kutufundisha neno lako

  • @NickolausHappy
    @NickolausHappy 6 месяцев назад

    Asante Baba Mungu kuniletea Neno

  • @ibrahimhassan8665
    @ibrahimhassan8665 2 месяца назад

    HAKIKA: AMEN

  • @ibrahimhassan8665
    @ibrahimhassan8665 2 месяца назад

    Chochote kilichoingia kwa Mlango wa Dhambi (Udhalimu unaozaa dhulma): kinaondoka kwa Damu ya YESU.

  • @AllenMpeta
    @AllenMpeta 5 месяцев назад

    Amen! 2:57

  • @ElizabethqueenMwangake
    @ElizabethqueenMwangake 6 месяцев назад

    Amina ubarikiwe sana

  • @furahangilangwa7904
    @furahangilangwa7904 5 месяцев назад +1

    Namuombea mama angu apokee uponyaji wa miguu

  • @marynakei2621
    @marynakei2621 6 месяцев назад +1

    Yesu kumbuka biashara yangu

  • @EvaEzekiel
    @EvaEzekiel 5 месяцев назад

    Asant Yesu

  • @HopeMbise-k9n
    @HopeMbise-k9n 6 месяцев назад

    Tunashukuru mungu amekuwa msaada kwa wengi

  • @benadethamlay3395
    @benadethamlay3395 6 месяцев назад

    Eeeh Yesu mwema nakutumainia

  • @ernestbutagalala
    @ernestbutagalala 6 месяцев назад +3

    Jaman mafundi mitambo rekebisha kidogo tupate kuidanilodi jamn tunawaomba lakn

  • @Lovenessimon-zz8qg1jz6j
    @Lovenessimon-zz8qg1jz6j 6 месяцев назад

    Asante asante

  • @SalmaChai-x3c
    @SalmaChai-x3c 6 месяцев назад

    Bwana yesu asifiweh.....kwa tv ni jina gani tu search

  • @LucyLwiva-h9l
    @LucyLwiva-h9l 6 месяцев назад

    Amina kubwa ubarikiwe

  • @kate-sommy
    @kate-sommy Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ 12:23

  • @dianamlowe1950
    @dianamlowe1950 6 месяцев назад

    Mungu nikumbuke kwenye uzO wa tumbo langu

  • @PendMartinShalua
    @PendMartinShalua 6 месяцев назад

    Asante sana naamini mfumo wangu umebadilika asante san mtumish wa MUNGU

  • @NeemawillibardPaschal
    @NeemawillibardPaschal 6 месяцев назад

    Amen❤❤❤❤😊

  • @SalomeLyakurwa
    @SalomeLyakurwa 6 месяцев назад

    Amen

  • @MariamMarco-z7r
    @MariamMarco-z7r 6 месяцев назад

    YESU usinipite

  • @MariaEnock
    @MariaEnock 6 месяцев назад +1

    Watu wa singida msikose kwenda kwenye semina nawaomba

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 6 месяцев назад

    Amina Amina

  • @JoyceAmos-p2s
    @JoyceAmos-p2s 6 месяцев назад

    Amen🙏

  • @AnitherFideri
    @AnitherFideri 5 месяцев назад

    🎉🎉🎉

  • @gracenashengena3366
    @gracenashengena3366 6 месяцев назад +22

    NAAMINI NYUMBA YANGU YA MERU NITAIPATA WALE WANAOTAKA KUNINYANGANYA MUTUMA NA WENZAKE EE YESU INGILIA KATI NIWEZE KUPATA ADUI WAPATE KUSHINDWA MHARIBU.ASHINDWE KTK DAMU YA YESU

  • @justinacosmas
    @justinacosmas 5 месяцев назад

    Mbona me funga download jaman

  • @Emmylyimo
    @Emmylyimo 6 месяцев назад

    Yesu ingilia kati mtoto wangu

  • @VickyKamnde
    @VickyKamnde 6 месяцев назад

    🙏🏻🙏🏻

  • @HadijaMwakaselema
    @HadijaMwakaselema 5 месяцев назад

    Ameni

  • @LinahRasia
    @LinahRasia 6 месяцев назад

    🙏🏼 🙏🏼

  • @JoyceAmos-p2s
    @JoyceAmos-p2s 6 месяцев назад

    Ameni🙏

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 6 месяцев назад

    Najunganisha namaombi

  • @subbyluckson6231
    @subbyluckson6231 6 месяцев назад

    Amen

  • @EdsonAndrea-w4g
    @EdsonAndrea-w4g 6 месяцев назад

    🙏🙏🙏

  • @furahangilangwa7904
    @furahangilangwa7904 5 месяцев назад

    Navunja maagano yote yaliyofunga uchumi wa kaka yangu