ITAKUTOA MACHOZI, MKE WA BOSS ACHUKULIWA MME NA DADA WA KAZI AFUNGUKA KWA UCHUNGU NILIFUKUZWA KA MBW

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 116

  • @salomenkilila4494
    @salomenkilila4494 Месяц назад +4

    Yaaan sijui ndo sielewag unaposema mdada wa Kaz kachukua mume wako
    Mdada ndo alimfata mumeo au mumeo ndo alimfata mdada wakazi

  • @tumainimwamakamba7756
    @tumainimwamakamba7756 Месяц назад +1

    Pole sana pambania haki za wanao

  • @Rahela-u4b
    @Rahela-u4b Месяц назад +1

    Pole. Sana. Allah. Atakulipia. Hapahapa duniani 😊

  • @jennifersongani2734
    @jennifersongani2734 14 дней назад

    Mnawaonea sana wa dada wa kazi,mumeo ndio kamchukuwa dada wa kazi,sio dada wa kazi kamchukuwa mumeo

  • @florakitosi4927
    @florakitosi4927 Месяц назад

    Yaani hadi machozi yamenitiririka, mama mwenzangu nakupongeza kwa kumshika Mungu kiasi hicho. Ingawa inaumiza sn naamini Mungu atakupa tu. Namshikuru Mungu anaendelea kutufariji sii akina mama tuliyokumbwa na masahibu haya.ASANTE MUNGU KWA AJILI YA HUYU MAMA.

  • @hashimomary3365
    @hashimomary3365 Месяц назад +1

    Dada unaonekana wazi kuwa ulishindwa kumuhudumia mmeo,kwanza ni kosa Dada wa kazi kumluhusu kuingia chumbani kwako

  • @AmerBinzoo
    @AmerBinzoo Месяц назад +1

    Urimretea mboga wanaume wegine nimarimbukeni kama ariona unaupugufu kwanini hakukwambia harafu wadada wegine wanakuwa na matuguri akifika tu anaaza kumfanyia mumeo

  • @DeboraMakoye-o4w
    @DeboraMakoye-o4w 2 месяца назад +4

    Dah! Mwanzo nilijua kikitu kumbe nikel sitaweka dad wakz kamwe

  • @casiankipanga1274
    @casiankipanga1274 2 месяца назад +1

    Pole Sana mama.Ni kwel wa mama weng wapo bize Sana kwenye ndoa zao.Tujifunze hapa

    • @barakatimotheo3125
      @barakatimotheo3125 2 месяца назад

      @@casiankipanga1274 wadada wakaz watakuwa wanaaibisha ninamke hajua kunipikia hajui kunipasia nguo hajui kupikia wageni hasa hApo nina mke au nina box ndani tu

  • @mwanahamismohamed7877
    @mwanahamismohamed7877 2 месяца назад +1

    Pole sana mama kumbe ndio wewe duuu kazi ulikuwa nayo kweli mnatakiwa muwe makini sana na hao wash-hand maana kweli wanaume wengine ninwazuri wengine ni makurumbembe huyo wa kwako umempoteza mwenyewe

  • @EmanuelChuri-l8r
    @EmanuelChuri-l8r Месяц назад +1

    Dada kama kweli unayo yasema MUNGU Atakulipa

  • @salmasaid5321
    @salmasaid5321 Месяц назад +1

    Hii story si ya kweli mdada wa kazi kasema awakuwa na mtoto huyu mama anasema anawatoto wawili jaman

    • @Emmashirima-v3z
      @Emmashirima-v3z Месяц назад

      Nakubaliana nawew yule dadakasema hawakuwa na watoto nauyu nae anasema anawatoto wawili nikonjiapanda🥺

  • @omarisungura-7294
    @omarisungura-7294 Месяц назад +1

    Kwenu wapi dada

  • @AmerBinzoo
    @AmerBinzoo Месяц назад

    Mbona hicho kimfanyakazi chenyewe mbona kirisema haukuzaa mtoto hats mmoja

  • @obedlange5375
    @obedlange5375 25 дней назад

    Mh we sio wewe mama mbona maongezi hayapo sawa hayafanani namaongezi ya huyo dada wa kazi! Au wewe mama unataka kiki tu kwenye mtandao???

  • @MariamRashid-sm5zw
    @MariamRashid-sm5zw 2 месяца назад

    pole sana mwanangu tukifa atuendi nanyumba wala mafari mungu atakupa zaidi yaicho mungu ndio kilak8tu

  • @JosephSiwavula
    @JosephSiwavula Месяц назад

    Wamama wengi siku hiz hamuerew maam yandoa ukisha let mfakaz ndan kam umemaliz kaz zk anafany mfanyakaz ndomaan wanaum wanaamua kuwaacha

  • @ChantalNdikumana-uh7mm
    @ChantalNdikumana-uh7mm Месяц назад

    Pole maman Mungu atakulipia uyo aduwi wako mutumishi

  • @LovenessNestor
    @LovenessNestor 10 дней назад

    Pole sana mama

  • @annabyekwaso-wt7oi
    @annabyekwaso-wt7oi 2 месяца назад

    Eeh mpola muno ,Mungu atakulipia hvi karibuni,nayeye atachokwa tu na mme atakukumbuka.

  • @SiscoJohn-o3j
    @SiscoJohn-o3j 2 месяца назад

    Safi sana umeyataka mwenyewe hujitambui wajibu wako kama mke iwe fundisho Kwa wa mama wengine

  • @SalmaChibwana
    @SalmaChibwana Месяц назад

    Pole Sana ndugu mungu ni mwema

  • @AnatoriNtakirutimana
    @AnatoriNtakirutimana 2 месяца назад

    Urishindwa kumuhudumia mumewako vizuri Pole mama

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 2 месяца назад +1

    Kwani tatizo lakutaka wafanyakazi ndani nimi wakati machine zipo zaaina zote kama unapesa kuchemsha ubaba au kusonga Ugali watoto weka care.basi

  • @TabuMudi
    @TabuMudi 2 месяца назад

    Pole sana Dada yote ni mapito tulia kaa l÷a watoto wako
    Tatizo kuna wanaume wengine ni viranga na matamanio yao. mtu anayekaa na watoto ni lazima ukaenae kwa wema maana unahofia watoto. Hii story yako mumeo ni mzandiki mnafiki

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 Месяц назад

    Ila ww mwanamke ulijisahau Sana uliona kama unaishi na kaka yako tatizo wanaume tunatamaa Sana yawezekana hata tendo la ndoa ilikuwa, mtihani na huyu binti an a ma tatizo Sana

  • @AshuraHabibu-x6z
    @AshuraHabibu-x6z Месяц назад

    Pole sana

  • @EuniceUlomi
    @EuniceUlomi 2 месяца назад +1

    Story ya kutengeneza hadi machozi unayatafuta kwa manati😏

  • @BEATRICENYONGOLE
    @BEATRICENYONGOLE 2 месяца назад +1

    Pole dada mapito mtu akikuchoka hawezi kukutafutia sababu

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 2 месяца назад

    Pole Mungu atakulipa tu. Apandacho mtu ndicho anacho vuna

  • @SesiliaSamwelkamau
    @SesiliaSamwelkamau Месяц назад

    sasa kwanini wewe umuachie mfanyakazi wako afue nguo za mme wako tena za we unafikiri nini kitatokea zaidi ya mme wako kumpenda mtu ambaye anamjali na kumkea vizuri kuliko wewe alaf sasaiv mme kampenda dada wa kazi unaanza kusema ooooh kanichukulia mme wangu we vipi maboss wa kike mjifunze kuishi na dada wa kazi vizuri na siyo kumtumikisha makazi mengi😊

  • @hashimomary3365
    @hashimomary3365 Месяц назад

    We Dada ni kabila gani?jifunze kuwa mkweli utakuwa huru daima

  • @mwalukojohnjohn6467
    @mwalukojohnjohn6467 Месяц назад

    Unazingua nawew bhana mama wewe,, kwanza niskuone unalia lia hovyo apo ebu,,,!! uwongo hatutak apo

  • @KizaSamwelmpenda-y4x
    @KizaSamwelmpenda-y4x Месяц назад

    Pole sana dada usije kuamuni mtu

  • @OmanOman-ji1iy
    @OmanOman-ji1iy 2 месяца назад

    Pole dada mngu atakusaidia❤❤❤❤❤

  • @HassanMarejeta-zi3ju
    @HassanMarejeta-zi3ju Месяц назад

    Sasa mama ulikuwa unajisahau sana muda mwingi wewe ulikuwa uko bize na mashamsham yako ya mitaani

  • @HawaAhmed-yj8wo
    @HawaAhmed-yj8wo 2 месяца назад

    Ndo mjifunze wanawake wenzangu, huyu mwenzetu mpole sana wameamua kumuonea.

  • @SamiraMakame-w9c
    @SamiraMakame-w9c Месяц назад

    Mwanamme hata umfanyie nini akiamua lake atafanyatuuuu.huyo ndo mwnamme!!

  • @ElikaHosea
    @ElikaHosea Месяц назад

    Mmmh sasa uyo mama ndokam ivi alivo simam kabisa anaelekeya kuwa bibi je uyoo mme simkubwa tu uyo mdada kaolewa na mzee

  • @SophiaMiteo
    @SophiaMiteo Месяц назад

    Wewe mwandishi acha. Upumbafu mashwari mengine. Sio yakuuriza u na zidi kumumiza 2huyo dada 😅😮😅

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys Месяц назад

    Ila yule mdada wakaz nimuongo Pele alipo sema kama mama mjengo hana watoto kumbe dadaangu watoto unawo

  • @glorywilliam3972
    @glorywilliam3972 Месяц назад

    Huku dada wakazi anasema huna mtoto , ww unasema una watoto. Mnatuchanganya

  • @samirasais1419
    @samirasais1419 Месяц назад

    Mtu muelewa lazima aelewe huyu mama anasura yakike ata camera anaogopa kutazama sio yule kauzu anazungumza matusi eti ule au ule mshenzi yule tulia dada malipo yanakuja nautayashuhudia

  • @ElizabethJackobo
    @ElizabethJackobo 2 месяца назад

    Polesana dada munguatakulipia malipo niapaduniani

  • @MahangaAlicia
    @MahangaAlicia Месяц назад

    Mungu atakupiganiya

  • @SubiraMohammed-nl2vz
    @SubiraMohammed-nl2vz 28 дней назад

    Na yeye tunaomba atuletee mrejesho

  • @neemashuma4884
    @neemashuma4884 2 месяца назад +1

    Mbona kama story ya kutunga we mtu mzima kweli acha uongo

  • @SalmadaMsungi
    @SalmadaMsungi 2 месяца назад +1

    Hii ni stor ya uongo, mbona yule dada kasema huyo mama hakuwah kuzaa na huyo mwanaume? Halafu huyo mama kasema anamiez mitatu toka arud nyumban kwao na ikiwa yule dada kasema ishapita zaid ya mwaka toka ammiliki huyo baba?

    • @kibibisafi3331
      @kibibisafi3331 2 месяца назад

      Ule mdada ndio mongo kaongeya habari zote za kujitetea eti ana mtoto wa miaka 5 na mimba yule dada ana roho mbaya

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 2 месяца назад

      Umeonaeee hii story ya kutunga😂😂😂

  • @zulfajuma8394
    @zulfajuma8394 2 месяца назад

    Nikweli maisha nipopote mungu atakupa kwa njia nyingine😢

  • @MahangaAlicia
    @MahangaAlicia Месяц назад

    Pole sana kbs

  • @ShabaniSharifu-w2u
    @ShabaniSharifu-w2u Месяц назад

    Mpuuzi wewe Mama mnawatesa Sana mabint wakaz

  • @ElikaHosea
    @ElikaHosea Месяц назад

    Waongo kweli yaan si mmesem amuna watoto mfanya kaz ndokazaa saiv wewe umeyachika bila hata mtoto

  • @auriliamushi4092
    @auriliamushi4092 2 месяца назад

    Mama kusema kweli kitendo Cha kumruhusu msichana wa kazi aingie chumbani kwako ulijisahau huo sio uhuru yaani msichana achukue nguo bila wewe mara akutandikie kitanda ni sawa na kuwa ulishindwa yote . House maid kuona chupi yako au ya mume umeshajivua hiyo ndoa wewe ni mzembe chumbani

    • @mariumseif6751
      @mariumseif6751 Месяц назад

      Hivi mnawajua wa dada wa kazi au mnawasaport tu pengine hta hizo boxe hajafua ila anajielezea na kujitetea tu na mwanaume akiwa malaya ni malaya tu ht house girl awe anaishia uwani atachit tu

  • @BukuruIbrahim-o3m
    @BukuruIbrahim-o3m 2 месяца назад

    Inauma sana

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 2 месяца назад +1

    Yaani midada ya kaxi inakuja & uchawi,hilo mbwa mfu lilimchukua mumeo kwa uchawi.

    • @GraceKamene-bw3ds
      @GraceKamene-bw3ds 2 месяца назад

      Hamna uchawi hapo Wacha nikwambie Mimi ni experience Hawa maboss wakike wanakuwanga na dharau sana mtu anakuwachia kazi zote na mwshowe nanalalamika mwanamke haibiwi uja mwenyewe

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys Месяц назад

    Mmh mfanyakaz kwangu simtaki ata dakika

  • @saay4273
    @saay4273 Месяц назад

    Hiiii story ni uongo uwongo 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @maryamshija566
    @maryamshija566 2 месяца назад

    nikireta mdada wa kazi niiteni mbwa😢😢😢

  • @MariamRashid-sm5zw
    @MariamRashid-sm5zw 2 месяца назад

    mungu atakufuta mqchozi yako uyo mumei atarudi kama mlivyoanza

  • @chandemacheleking
    @chandemacheleking 2 месяца назад

    Kweli dada unachoengea hili linasabisha kuwa hutuaminia katika mapezi

  • @zahariawaziri6794
    @zahariawaziri6794 Месяц назад

    Wanaume hawana cha kuhidumia vizuri n bac tu maana mm kila kitu nlkua nafanya mwenyewe lakn bado mfanyakaz alkua anachombezwa n hivyo tu nlipata muungwana akaamua kuacha kaz bila kusema sababu ila nmekuja kujua baadae so sijui tusiwe na wafanyakaz Sasa da mtihan kwel

  • @MariamMustapha-bf1qj
    @MariamMustapha-bf1qj Месяц назад +1

    Ni kiki hy

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso Месяц назад

    Pole ila kuna funzo hapo

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 2 месяца назад

    Ndio WaOman huwajengea banda nje ya nyumba mashahala wote

  • @GeraldKitinga
    @GeraldKitinga Месяц назад

    Ndugu zangu Dada wa kazi akikupatia weeee

  • @MichaelHakme
    @MichaelHakme Месяц назад

    Ulikua hufui wala kutandika kitanda hua ndivyo mlivyo mna penda kuachia kilakitu wadada wakazi mnastahili hivo kula chuma hicho

  • @ElikaHosea
    @ElikaHosea Месяц назад

    Alaf saivi unasema tumezaa watoto wawili

  • @SheinZahor
    @SheinZahor 29 дней назад

    Wewe unakaa tu hufanyi kitu kill kitu dada

  • @auriliamushi4092
    @auriliamushi4092 2 месяца назад

    Nenda ukawe house girl kwa mama mkwe

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 2 месяца назад

    Hii story ya uongo😂😂 yule dada kasema hujazaa na yule mume sasa mbona tena unasema una watt wawil

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 месяца назад

    Makosa hapo yapo kwenye kumpa uhuru mwingi Dada wa kazi

  • @zahariawaziri6794
    @zahariawaziri6794 Месяц назад

    MM nakuelewa jaman hao ndo wanaume

  • @MariamRashid-sm5zw
    @MariamRashid-sm5zw 2 месяца назад

    chakumuuliza hakuna bahaz yawanaume akiwa anakitu mtaishi vizuli akipata anatafuta wakutumia nae bahadhi yawanaume wapo ivyo

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 2 месяца назад

    Dunia simama nishuke pole mwaya sizani kama wataishi kwa amani

  • @magesanga1751
    @magesanga1751 2 месяца назад

    Umeyatimba chumbani unamwachi dada mama wa hovyo kabisa unatuzalilisha wamama

  • @omarisungura-7294
    @omarisungura-7294 Месяц назад

    Tatizo mnajisahau sana

  • @omarisungura-7294
    @omarisungura-7294 Месяц назад +1

    Mpa chupi

  • @naimazuber3646
    @naimazuber3646 2 месяца назад

    Before hakuna watoto now kuna watt wawili hmmmmm

    • @SaidHassan-ot3un
      @SaidHassan-ot3un 2 месяца назад

      Inaonesha kama ya uongo vile?

    • @chandemacheleking
      @chandemacheleking 2 месяца назад

      Yule dada kasema ana mtoto mmoja huyu kasema yupo kijiji miezi 3

  • @omarisungura-7294
    @omarisungura-7294 Месяц назад

    Hilo nifundisho kwa wadada

  • @OmanOman-ji1iy
    @OmanOman-ji1iy 2 месяца назад

    Hata mie niliacha kilakitu nikaondoka

  • @osmondswai6511
    @osmondswai6511 Месяц назад

    😂

  • @johnsonfaraja8283
    @johnsonfaraja8283 Месяц назад

    Pole dada

  • @ShukurMkan
    @ShukurMkan 2 месяца назад

    Pole sana dada

  • @BukuruIbrahim-o3m
    @BukuruIbrahim-o3m 2 месяца назад

    Pôle nitafute nnayeye atumukaze cini

  • @فاطمهمحمد-ج3ع
    @فاطمهمحمد-ج3ع 2 месяца назад

    Polesana dadaangu

  • @naimazuber3646
    @naimazuber3646 2 месяца назад

    Hii story sielewi

  • @Mariam-w9s3b
    @Mariam-w9s3b 2 месяца назад

    Hii ni yakutengeneza bhana

  • @omarisungura-7294
    @omarisungura-7294 Месяц назад

    Wema umejisahau

  • @ZuhuraAdinan-t1r
    @ZuhuraAdinan-t1r 2 месяца назад +1

    Pole mpenzi allah atakupa mume mwengine kamloge uoyo nae atoke apo kwamumeo

    • @barakatimotheo3125
      @barakatimotheo3125 2 месяца назад

      @@ZuhuraAdinan-t1r wanaumwe wenyewe wachache hafu unazingua rudi kwa kugwi wAko

    • @mohdkidarasa
      @mohdkidarasa Месяц назад

      😌😇

    • @SesiliaSamwelkamau
      @SesiliaSamwelkamau Месяц назад

      eti kamloge hayajakukuta wewe mnawazaga tuu kuloga😊

  • @auriliamushi4092
    @auriliamushi4092 2 месяца назад

    Omba mpaka kesho ngooo

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 2 месяца назад

    Msunze ili akufundishe

  • @barakatimotheo3125
    @barakatimotheo3125 2 месяца назад +4

    Mjinga wewe ulijiona wew bos mpaka ukashindwa kumhudumia mume wako wamama jitambueni mpaka boksa za mume afue dada wa kaz ujue hapo huna nyumba

    • @AhmedA-zw3jv
      @AhmedA-zw3jv 2 месяца назад +1

      Jamani Mimi ni dada WA kazi ila boksa za falimia nzima nafuta nguo za mama zote nafu watoto wakike na kiume zote mafua kiufupi kazi zote za ndani NI zangu kibaya zaidi boss wangu WA kike Hana kazi yoyote ni MTU Tu WA kulala na Kula ila zote nafanya labda binadam tumetofautiana

    • @barakatimotheo3125
      @barakatimotheo3125 2 месяца назад

      Wanawake wengine wanajiendeza sana

    • @AhmedA-zw3jv
      @AhmedA-zw3jv 2 месяца назад

      @@barakatimotheo3125 Sawa Ila NI makosa makubwa Sana kuchukua baba mwenye nyumba na mfanya kazi hata Sisi wadada tupo kwenye utafutaji ila siyo kuchukua boss

  • @SiscoJohn-o3j
    @SiscoJohn-o3j 2 месяца назад

    Unawezaje kumluhusu dada wakazi aingie chumbani kwako

    • @kibibisafi3331
      @kibibisafi3331 2 месяца назад

      Why not

    • @HawaAhmed-yj8wo
      @HawaAhmed-yj8wo 2 месяца назад

      ​@@kibibisafi3331anaingia chumbani kwako kufanya nini kama wewe ni mzima wa afya?

    • @auriliamushi4092
      @auriliamushi4092 2 месяца назад

      Aache uzembe aliolewa kufanya nini

    • @HawaAhmed-yj8wo
      @HawaAhmed-yj8wo 2 месяца назад

      @@kibibisafi3331 akafate nini chumbani?

  • @magesanga1751
    @magesanga1751 2 месяца назад

    Wemama umejichangajnya

  • @JoyceChacha-i3w
    @JoyceChacha-i3w 22 дня назад

    Mhh

  • @MauaDilunga
    @MauaDilunga Месяц назад

    Pole Sana dada