Mkuu samahani nauliza kku wa kroila ukimfuga mapaka akitaga mayai ukiyapeleka kutotolesha kwa onkubeta je ukuaji wa vifaranga ivyo hua ni waharaka au km wa kienyeji?
Mimi nafuga chotara kwaajili ya nyama na mayai pia Huwa napata sana changamoto za kuchanganya chakula na bado sijajua ninapo kosea kwamaana kuku huwa wanapata changamoto ya kulana manyoa na hata kudonoana.lakini pia kuku kukosa nguvu ya miguu na kushindwa kusimama.nitafurahi sana kukinipatia fomla ya kuchanganya chakula kwani nawaona kukuwako wanapendeza kweli na MUNGU atakubariki sana amina.
Asante sana kk kwa ushauri mzuri sasa utufundishe fomla sahihi ya kuchanganya chakula
Ubarikiwe sana kaka kw mafunzo mazuri.
Asante sana/ Francisco/ Mozambiki
Asante kwa elimu
Naitaji kujua malighafi zinazo tumika kuchanganya chakula cha kuku chotala 100
Ni vizuri ukaongea tu bila kuweka hizo sounds zinasababisha usisikike vizuri
Mkuu samahani nauliza kku wa kroila ukimfuga mapaka akitaga mayai ukiyapeleka kutotolesha kwa onkubeta je ukuaji wa vifaranga ivyo hua ni waharaka au km wa kienyeji?
Ni wa haraka
Nahitaj soko la kuuzia kuku aina ya sasso wa miezi 4
Tuelekeze jinsi ya kuchanganya hicho chakula
SAMAHANI NAMBA MSAADA.JINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA KUKU WAKIENYEJI.VIFARANGA 20.KWA MIEZI.2.WANA HITAJI KILO NGAPI?
NA VIYU MUHIMU VYA KUCHANGA NYIA
@@SENAHEMED 0656371244
naomba formula ya kuku wa moyai layers please.
Nahitaji vifaranga chotara F1
Nahitaji formula yako ya chakula cha kuku wa nyama
Pili changamoto ni formular kwa kuku kwa ajili ya nyama naomba msaada wako Mana wako wanavutia haswaa nisaidie iyo formular nipambane na huu umasikini
@@SalvatoryKavishe video yake ninaiaadaa usiwe na hofi
Naomba iyo fomla ya kuchanganya ya kuku kuanzia siku ya 21 ya chotaraa kwaajili ya nyamaa na wanaotagaa piaa fomla yao naiomba pia wanachanganyiwaje
ruclips.net/video/yANpdRlgneQ/видео.html.Angalia hiyo video inakila kitu
Formula ya kuku wa mayai
ipo
No ya cm
0656371244
Naomba fomula ya kuchanganya chakula chotara wa nyama
@@BrianFue sawa ninaadaa video yake
Naomba namba ya simu
0656371244
Kuku mia stata wanakula siku ngapi pia na growa siku ngapi
kama ni chotara wanakula starter siku 21 had 25, grower mpaka mwisho kama unafuga kwa miezi 2 tu
Naomba namba yako nataka nijuwe zaidi kuhusu kuchanganya chakula
@@EmmanueliKimaro 06563712
Namba yako afrika vizuri@@COREKUKUFARM
Asante kwa somo zuri kaka...naomba namba yako ya watsup
@@anoldjose7793 0656371244
formula ya chotara akiwa kifaranga mpaka kutanga
@@mokwaxymokwaxy-fc8lx 0656371244 nipigie
@@mokwaxymokwaxy-fc8lx kuna video nlishazitoa kuhusu chakula
ruclips.net/video/yANpdRlgneQ/видео.htmlsi=FmshhFK_WYmp7LWO. TUMIA HII LINK PLEASE
Namba yako please
@@rosetemu4683 0656371244
Xaw ila tusaidie na masoko mzee
Mimi nafuga chotara kwaajili ya nyama na mayai pia
Huwa napata sana changamoto za kuchanganya chakula na bado sijajua ninapo kosea kwamaana kuku huwa wanapata changamoto ya kulana manyoa na hata kudonoana.lakini pia kuku kukosa nguvu ya miguu na kushindwa kusimama.nitafurahi sana kukinipatia fomla ya kuchanganya chakula kwani nawaona kukuwako wanapendeza kweli na MUNGU atakubariki sana amina.
Asante nitatoa video kuwa na amani mkuu
Nahitaji hiyo formular
@@zahorsalim5304 video ya formular inakuja
Naomba hiyo formula ya kutengeneza chakula Cha chotara kwa ajili ya nyama
@@erasminavictor1526 Sawa isikose kuangalia video kuhusu formular ya chakula cha kuku chotara (nyama) zinazokuja
Naomba watsap namba yako
0656372244
mimi ninahitaji hiyo fomla ya kuchanganya chakula
Nahitaj soko la kuuzia kuku aina ya sasso wa miezi 4
wew uko mkoa gan?