Kwa kweli nitafurahi viongozi wa dini wakijua kusud laona wakagombea maana tumechoka kabisa kuongozwa na watu ambao wanalikandamiza kanisa najua huo askofu kama atagombea basi Mungu ameamsha watu wake na sisi watu w Mungu tuungane kusapoti kwa ajili ya ustawi wa nchi yetu
Manabii wamekuwa wengi mno, na kila mmoja anatoa unabii Wake! Hiv Wana Mungu tofauti? Tushike unabii upi? Kwani msipotoa unabii, mtapungukiwa Nini? MNAJIDHIHIRISHA KUWA NI MANABII WA UONGO. ACHENI KIWACHANGANYA WATU. Mnachosha Sana kwa kweli.
Mwambie Mungu wao aache kuwatumia watu wake na aache kufanya kazi yake. Na wao wataacha kutabiri. Alafu ukiwa mgeni kwenye mambo ya kiroho usitake kumfundisha Mungu kazi ila kwa upole tafuta kujua naye ni mwaaminifu atakujulisha Mathayo 22:29 [29]Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.
Mwambie Mungu wao aache kuwatumia watumishi wake, Na aache kufanya kazi yake duniani na wao wataacha kutabiri. Alafu ukiwa mgeni kwenye mambo ya kiroho usitake kumfundisha Mungu kazi yake. Tafuta kujua naye ni mwaaminifu atakujulisha. Mathayo 22:29 [29]Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.
Hawa manabii wengine wa uchwara, eti nabii anaona wivu mchungaji au nabii mwenzie kuingia kwenye siasa kuongoza taifa. Ina maana wanapenda tuongozwe na wanaomuabudu shetani nchi iendelee kuzindikwa tu miaka yote tuzidi kuwa wajinga na tusiwe na maendeo, nchi iwe inaongozwa na wanga tu. Wakina daniel, yusuph na daudi wte hawa si walikuwa watumishi wa MUNGU na viongozi pia wakati ule na huo ndo mpango wa MUNGU wanaomcha yeye ndo waongoze sema shetani amewatia upofu Viongozi wengi wa kiroho mnaishia kuoneana wivu na kupigana vita nyinyi kwa nyinyi na kumpa shetani mamlaka
Ameen❤🎉🎉🎉 hakuna adui atakayeniweza kwa jina la Yesu
Aminaaa kubwa 👏🏻🙏🏻🙏🏻 mungu nipe ushindi Aminaaa
Amen nipitieni plZ
Kwa kweli nitafurahi viongozi wa dini wakijua kusud laona wakagombea maana tumechoka kabisa kuongozwa na watu ambao wanalikandamiza kanisa najua huo askofu kama atagombea basi Mungu ameamsha watu wake na sisi watu w Mungu tuungane kusapoti kwa ajili ya ustawi wa nchi yetu
Ameeen Dady
Amen
Mtumishi wa Mungu uchaguzi utakua was haki?ndio maana watu wengi walinyamaza.
Hiv huyu Mungu wa manabii siyo mmoja ee maana kila na bii na unabii wake uongo mtupu vitu vya kupikwa
I receive it
Amina 🙏
Kwa neema na rehema zake Mungu watashindwa❗
Umbea na wivu tu hubiri neno la Mungu sio kuongea mafumbo
Yupo huko kiboko ya wachawi
Huu nao ni UNABII mbona yanajulikana
Ameen
Kabla hujatoa coment'jiulize kwanza ww ni wa ulimwengu upi?
Manabii wamekuwa wengi mno, na kila mmoja anatoa unabii Wake! Hiv Wana Mungu tofauti? Tushike unabii upi? Kwani msipotoa unabii, mtapungukiwa Nini? MNAJIDHIHIRISHA KUWA NI MANABII WA UONGO. ACHENI KIWACHANGANYA WATU. Mnachosha Sana kwa kweli.
Mwambie Mungu wao aache kuwatumia watu wake na aache kufanya kazi yake. Na wao wataacha kutabiri. Alafu ukiwa mgeni kwenye mambo ya kiroho usitake kumfundisha Mungu kazi ila kwa upole tafuta kujua naye ni mwaaminifu atakujulisha
Mathayo 22:29
[29]Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.
Mwambie Mungu wao aache kuwatumia watumishi wake, Na aache kufanya kazi yake duniani na wao wataacha kutabiri. Alafu ukiwa mgeni kwenye mambo ya kiroho usitake kumfundisha Mungu kazi yake. Tafuta kujua naye ni mwaaminifu atakujulisha.
Mathayo 22:29
[29]Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.
We kama hupendi si UTUPISHE! Kujitia msemaji wa wote vipi??? Kasikilize wachungaji huko hapa unatinga wengine na comment zako za kifarisayo😂

😂😂😂😂😂😂
Amen
Amen
Amen
Amen