#PART2
HTML-код
- Опубликовано: 16 авг 2023
- #PART2: ''BOSI ALINISINGIZIA NIMEMBAKA, NIKAFUNGWA MIAKA 30'' - KIJANA YASSIN...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Kumsingizia mtu jambo ambalo hata hajafanya daa!Mungu niepushe kwenye hii laana ambayo inaweza tafuna vizazi vyako
Kwa Mara ya kwanza nimeshukuru huyo mama kufa.Kufa kabisa potea why umdhurumu kijana maskini Kama huyu
Pole kwa mkasa Ila chozi lako halijaenda Bure yuko wp Sai Ana mengi akujibu huko akher
Pole sana ndugu, maskini atetewa na mwenyezi bora, mimi ni Joseph nikiwa DRCongo Goma mashariki mwa congo
Pole sana kakaangu,Allah atakulipia 😭😭🤲
Pole sana ndugu Yangu yote ni maisha tuu mungu amelipa
Kaka usidai tena Mungu atakulipia kwa njia nyingine
😢😢😢😢mm nimesikia vibaya sana ilamungu jee yeye ndo zaidi so kaka pole sana namunguuu akupe akupe kazi nzuri sana enye kwa baada ya 2 uwe uko na kilakituuu unacho kitamannii
Pole Sana Wallah Mungu Yupamoja Nawe😢
Ukiapa kwenye vitabu vya mungu kizuluma utaweza pona mirere onasasa kilicho mkta mama uyo
Masikini pole sana 😢yaan sisi wenye watoto wa kiume aki roho juu juu
Yaan we acha tu Mungu atusaidie kwakwel
Nimekusimiliza vizuri nikweli hukubaka ili mungu atakuinua Sana mpaka utashangaa
Pore sana umri unaluhusu pambana maisha yapo mungu atakusimamia
Majaji wengi wa Tanzania watakua na sehemu yao maalum katika moto wa jahannam
USIWAHUKUMU WATU. SIRI YA ALLAH TABAARAKALLAH WA TA'ALA. WATU HUTUBIA NA ALLAH TABAARAKALLAH WA TA'ALA NI MWINGI WA KUSAMEHE
@@fabssaleh7273 kwani nikisema kama mtu akifanya dhambi ataenda motoni ndio nimehukumu hapo
26:36 26:37 26:37 26:38
@@fabssaleh7273😊
😅😊😊.
Daah pole sana kijana umepitia kipind kigumu sana yoyote kwa yote muombe mungu ata kulipa
Pole kaka Mungu atakufata machozi
Hukumu ya rushwa hiyo tu mahakimu wengne hawana utafiti wanahukumu tu bora mungu ana hukumu yeyote anayempenda mungu kazi yako nzuri kuliko dhuluma za watu na uonevu
Jaman jaman nimeumia sana mungu tutetee sisi binadamu hatuna huruma jaman
Usijali mdogo wangu mungu yuko na ww huyo jama na mke wake ni kitu kimoja ni nia yao kukudhulumu tu
Pole kwa mara nyingine tena unanikumbusha mtoto mu marekani mweusi WA myaka 7 Alie hukumiwa hadhabu ya kifo kwa kuzingishiwa kuwa ame husika na kifo cha watoto2 WA kike wazungu huyu akanyongwa kwa umeme WA 6600 volt.
Pole sana man
Daaah inasikitisha sana mungu atakulipia
Wanaokwenda jera sio wote wanahatia, wengine wanakwenda jera kwa kesi ya kusingiziwa
Pole sana ndugu
Majaji pia wanadhulmaa kubwa sanaa
Mungu kamuonesha mungu nimwema
Dar. Pole sn broo.. ILa haki yk haipotei vumilia sn.. ILa Wana wake shida sn
Ndg Yaasin pole sana kwa yote uliyopitia ALLAH atakulipa kwa subra yako,kama huyo JAMAA hapokei simu usimfuatile tena, yeye hataki kukulipa hapa duniani laakin atakulipa mbele ya Hakimu wa Mahakimu ambae ni ALLAH "S.W.T" Pambana kupata rizqi sehemu utapata In Shaa Allah
Kaka mungu akutangulie katika maisha yako hv mm nimekuombea mungu akujalie
Pole sana
Pole sana Mr Yassin maana Mungu alisimama nawe
Sio swala jepesi mm imenigusa mno ila malipo ni hapa hapa .
Boss wako malipo hapa weee umebaki yeye yuko wap
Allah akbar
Pole Yasini. Nitakutafuta kwa maongezi pia niangalie namna ya kukusaidia.
Poleee Sana
Hakikazuluma nikitu kibaya sana kinafupisha maisha kiliochako mungu kajibu naataendelea kajibu kwa waliotow ushahidi wa uwongo nawalio hukumu walaniwe hao
Pole sana kakangu mungu atakusaidia
Pole sana kaka
Pole sana ndg mungu atakupambania
jaman pole san
Pole sana kijana mshukuru mungu kwa kuachiwa huru pia mshukuru mungu kwa kumuondolea pumzi yule dada mungu amejibu
Pole sana bratha na pia malipo ni hapa hapa duniani na huyo mwanamke Allah kulipizia bado huyo jamaa pia apate chake insha'Allah
Thank God hiyo nuguu alikufa
Mungu kalipa apa apa duniani
Pole sana pambana tuu.
Pole sana kabisa
SUB HAANA ALLAH.
KILA MCHIMBIA MWENZIWE KISIMA HUINGIA MWENYEWE.
MTIHANI KWELI. ALLAH TABAARAKALLAH WA TA'ALA AMSAMEHE - AMEEN YAA RABB.
Pole sana kaka Allah akupe mwisho mwema
Tatizo linaanza kwa wenye dhamana ya upelelezi sijuwi hawana weledi ama tamaa za hongo au kudharau viapo na wajibu wao,sidhani ishu km hii ilikuwa na sababu ya hata kufika mahakamani.sijuwi watu hawa wanaopewa dhamana kubwa km hizi zinazobeba maisha ya watu wengine hutumika taratibu gani.kuna haja ya chombo kizima cha polisi kiwe kitengo maalum cha jeshi la wananchi km wenzetu kenya kwa asilimia kubwa wako smart sn na wana mapenzi na raia na wanapendwa pia na raia.
Pole dogo maisha ayo
Wee ata usimdai tena, haki ya mtu haizami 😢😢
Pole mwanangu
Pole sana hiyo kesi ilkuwa siihalalli kwa nini hukupelekwa kupimwa namahakama ilifanya makosa
Pole sana kaka angu mungu atakulipia kwahayo yaliyo kukuta
Pole sana broo
Mungu mkubwa hoyo mama mungu ari muhukumu. Pole sana
Ama kweli Mungu nimkubwa
Pole xana mungu Yu pamoja nawe
Pole sana mungu atakusimamia
Mm ni miongoni mwa whangarei nilifungwa miezi sita kwa dhulima
Dah yule mzee alie kua gerezan umshukuru
vibaya sana kumdhulumu mwana wa mwezako utalipwatu
Pole Sana kupatwa na tatizo hilo
Aiseee yaan mmmmh,kwanzaa tumshukru Allah maana yeye ndo muweza wa yoteee lakn niskufchee ishi ukimpendeza sanaa mungu maana kesi ilikuwa ztooo huyooo mama cc hatulipiz ubaya wala hatutoi hukumu yeyotee ilaa kama kwer cc hatukufanya hcho kitendoo hakika Allah hachelew Anajibu kwa wakat.....Polee Sana kk mi nko Iringaa Ilulaa nmeskilza machoz yamenitoka kabsaaaaa pole Sana mungu atafanya njia paspo na njiaa kk
Hizi kesi za kubaka zina mitihani sana .sasa hivi wanawake wengi ndio silaha yao ukimuudhi kidogo tu anakufanyia mtego ema yeye mwenyewe au mtoto wake wakike au wakiume na mahakimu wengi ni wanawake hawasikilizi chochote zaidi ya kufunga watu (huzuni sana)
Mungu yupo na ipo siku yao
Usiogope kijana na huna sababu yakumlani au kumlaumu muachie Mungu ndie mtoa hukumu alisema ktk maandiko matakatifu kua hasira na kisasi ni juu yake ona tayari amepata adhabu ya kifo maana kama yeye ni mke wa mtu ni nini kilipelekea kutoa mimba mpaka akafariki na huyo Mume wake pia Iko cku atapewa adhabu yake wewe endelea kumlilia muumba wako atafanya jambo ninahakika vile ulivyopata mtu gerezani akakusaidia kuandaa rufaa ninahakika utapata atakaekuinua na utainuka watashangaa hata huyo doctor wa mchongo atapata pigo tuu. Pole kijana wangu.
Naumia sana! Mimi nilihukumiwa miaka3, lakini nikakaa gerezani siku 90 nikatoka. Ila kwa kukata rufaa. Mahakamani hakuna haki hata kidogo.😮😮😮😮
@@ahmedmukolwe43qq
Pole dogo, Hawa wanawake tujihadhari nao sana.
Malipo ni hapa hapa chini ya juwa ahera kwenda maesabu Kisha tangulia. Atakiona cha moto.
Pole mweye nguvu ni Mungu
Pole kijana ,Mungu amekunusuru ,nakushauri bora uende nyumbani kwanza utulize akili maisha ya dar bila kazi ni mtihani kwako ,pili hapo kwa rafiki yako kuna mke pia, angalia usije kurukamkojo ukayakanyaga mavi.Alafu najiuliza kwa nini baadhi ya kina mama tunakuwa na roho mbaya kiasi hiki ,! Hivi kweli mtoto wa mwenzio ni wa kwako??Au tunaimba kinafiki tu!!!
Pole kaka yangu
Aloo kumbe alikufa mungu yupo
Pole sana kaka ila malipo ni hapa hapa ww muachie mungu
Pole sana jamaa
pole saana kuhusu mambo ya ushahidi naona umechanganya kutokana na mteso au mfadhaiko wa kisaikologia kwa kuwa victim anayedai kubakwa na Dr lazima watoe ushahidi wao wote kisha ndo mtuhumiwa ajitetee hivyo ushahidi wake ni huo anaoita wa mara ya pili kwa kuwa aliutoa baada ya Dr kuongea.
Angekutaka angesema
Mungu atakulinda kila jambo huja na sababu ili tujifunza haki haipotei
Huyo Mama bora kafa acha akambane aliyotanguliza
Pole sana lakini umeona mungu alivyo kulipia uko aliko mungu anampa stahiki yake dhuluma mbaya sana hakiya mtu haipotei
Nimewahi kusikia story kama hii zamani kidogo
Sio Tu Aliyemsingizia ana Makosa Ukisikiliza hapo, Utagundua Mahakimu ni Wapuuzi sana... Maana Hata Mtu asiye hakimu Angejua Hii Ni Kesi ya Kutunga... Hakimu Aliyemfunga ALAANIWE MILELE
Pole sana arusha kuna kijana anitwa godfrey fund nagar alisingiziwa kulawitwi mungu ampiganie
Yule alibak kwel
Jamani Uwiii Kuna watu wataungua Kwa Mungu acha kabisa
Aloo kumbe alikufa mungu yupo 23:35 24:00
POLE SANA BRO,HAKI YAKO ITALIPWA TU NA HUYO MALUUNI ALIYEKUSINGIZIA MUNGU AMESHAMLIPA TAYARI NA BADO.
sasa kama kabakwa xiyuwsjua yy jaman 😭😭 watuwengine jaman😭😭 mungu Amshinde🤗🤗
pole sana kakaangu😭😭😭😭
Pole kaka
daku
Hivi Tanzania hamjaweza tu kucheki ushahidi wa dna za wabakaji mpk leo.
Tatizo la mahakim wetu haki nyuma mwiko
😢😢😢
Hakika haikuw rahx mung akubariki
😢😢😢😢
Hugo mama mbaya sana
Ukora wa mahakimu wakenya na tanzania wao ndio watakua kuni jikoni la jehonamu
Very painfully
Wewe kijana pole sana kijana bado mdogo tena mshamba sio jasiri kwanini hukumtafuta mumewake 😢😢😢
ALLAH ATAMPILIA
Dogo pole sana mimi kwanza nakuomba ata hapo kwa lafikiako uwondoke mana wanawake hawana huluma kabisa pambana dogo
Jasho LA mtu aliliki hizo pesa zako alizo kudhululu atakulipa mbele ya Allah
Pole sana ila huyo bosi wako hanautu hatakkulipa huyo
😭😭😭
Wewe pia huku sema ukapimwe ndio ushadi ugepatikana soma sheriya maraigine
Kwanza km ni mimi cnqeenda huko kwa huyo boss
Pole san nduguyang unanikumbush mbali san maan Keaikama yako kuna mdogowangu kafungwa miak 30 kama hiyo mpaka sas sijuw yuko wap