Mbona wadogo wamesamehewa ,huku bara km wanasamehewa wengi mpk wanafika elfu na zaid sijui kwasababu ya magereza yapo mengi au.ila sihaba . ilikuwa rizk yao inshallah 🙏 tunamshukuru rasi wa znz kwa upendo wake
Ukiona hivyo huko wafungwa sio wengi kama huku bara na hata wakazi wake sio wengi kama huku, wananchi wa visiwani hawazidi hata milioni kumi ila huku ni zaidi ya milioni hamsini. Bara watu ni wengi zaidi ya visiwani na ndiyo maana hata wanaofanya makosa na kufungwa pia lazima na wao wawe wengi. Kwa hiyo hilo ni jambo la kawaida.
Ni jambo jema sana Masheikh wetu kuachiwa lakini chama cha upinzani kilitowa msaada gani? Wakati wanakamatwa kinyume na utaratibu Mhe. Othman Masoud ndie alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Katiba na Sheria alikuwa Marehemu Abubakar Khamis Bakari kutoka CUF na hawakuchukuwa hatua yoyote
@hajihassan5433 Othmani Masoud Mwanasheia Mkuu alishasema aliposikia mashehe, wamepelekwa bara alikwenda kwa Dr Sheni, Rais wa Zanzibar na akamueleza kuwa sio katika utaratibu, pili Othmani Masoud akiwa, muendesha mashtaka alisimamia kurejeshwa zanzibar kwa wazee Wakipemba waliodai kujitenga. Lakini Yeye ni mshauri Dr Amani alikubali na kuamuru wapemba warudi na wakarudi, Lakini Dr, Sheni na CCM wanzake akina Seif Idi walikuwa na Lao. Pia Abuu bakar akiwa cuf hao masheikh walikuwa wanakwendana na sera zao hasa kwenye Mikutano ya Muamsho. Leo akawatie ndani wakati walikuwa na msaada kwenye kuwapasha CCM na Serikali zao hasa suala la muungano. Kila mtu Zanzibar anajuwa waliwekwa na nani na kwanini so please stop your nonsense.
Jielumishe kwanza vigezo vya msamaha vikoje, havitolewi kwa kuwa flani ni jinsia fulani, na magereza hawachanganywi na jinsia, wanaume kivyao na kuna wanawake kivyao
Huyo raia wa Urusi ataenda kupata hifadhi wapi au angesaidiwa na serikali kusafirishwa hadi kwao itakua tumemsaidia sana. Hata na mimi naona kama 26 kidogo vile angalau 60 kwa Unguja na Pemba ingekua poa sana.
Wazanzibar wanatuharibia kiswahili tu!, Wafugwa= Wanafunzi, Maji ya bombani=Maji ya mfarejini, Ugali=Sembe, Rula=Mstari, Kiroba=Kiporo, Kufiwa=Kufiliwa nk
Kila sehem ina matumizi yake yanlugha mbina nyie wa bara kwenye l mnaweka r alaf hii wafungwa kuwaita wanafunzi nitafute chemba nikupe sababu zake za ndani zaidi ila kwa haraka haraka ni just tu kuwapunguzia ukali wa matamshi yaani kuwafanya na wao wajisikie tu kwamba bado ni binaadam ndio mana wanaitwa wanfunzi ila huku uraiani tuna waita wafungwa kama kawaida
Naungana na wafunzi kushukuru Rais Mwinyi sana, japo walimu hawajataja hata fani moja wanafunzi walio toka nayo. Nasikiaga chuo cha mafunzo na nilifikiri mfano wa mwinzi anapotoka hapo, anakuwa na taaluma ya kufanya kazi fulani? Ili asirudi kuiba tena kuku mtaani
Mrusi kwao wataenda kumuua kwa sababu yeye na mwenzake ambae alifia jela waliua mrusi mwenzai mitaa yabkwa mchina huko na nikasikia ndugu zake marehem wana msubiria nae wamuue
Ni utaratibu mbona Kila inapofika siku za sherehe za mapinduzi kwa Zanzibar na sherehe za uhuru kwa tz bara Marais hutoa misamaha kwa wafungwa kwa Tanzania bara na wanafunzi wa chuo Cha mafunzo kwa Zanzibar . Ila mh rais mwinyi anajitahid Sana kwenye suala Zima la maendeleo hususani kwenye ujenzi wa miundo mbinu pamoja na kujali maslahi ya wastaafu na wazee .. Zanzibar penchen ya wastaafu imeongezeka kwa asilimia mia halafu Kuna penchen kwa ajili ya watu wazima ( wazee Zanzibar wanalipwa japo sio kikubwa Sana ila Kila mwezi 50,000/= ni jambo zuri Sana . Maana jambo la kulipa wazee sio rahisi nchi nyingi zinashindwa kulitekeleza jambo hili kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo idadi ya watu , issue za kiuchumi , mipango na sera .
Kuna sababu nyingi Sana zinazopelekea mtu kutumikia chuo Cha mafunzo sio wote wamefanya vitendo vya ukatili kiasi kwamba wasiweze kusamehewa na kurudi kwenye maisha ya kawaida ... Vile vile Kuna vigezo , kanuni ili kukidhi matakwa ya kupata huo msamaha ikiwemo nidhamu, uadilifu , tabia njema , umri , afya ,matendo na mienendo yako , historic background pia mambo mengi yanazingatiwa kwakweli .
@@sofitanzanian955 ndugu yangu kusema ukwel sio Kila anaenda kule ukadhan amefanya makosa ... Tuishie hapo Kuna visa mbali mbali vipo ambayo vimepelekea watu kutumikia kifungo Bila ya hatia . ... Ndo maana Kuna viapo vya uadilifu majaji na mahakimu pia kwakua sababu mbali mbali iwe kwa kwa kudhamiria au kutodhamiria akatoa hukum kwa mtu asiyestahiki kuhukumiwa . Sio sahihi kusema walitumikia vifungo kuwa ni wahalifu wametenda makosa ndugu yangu .... nakumbuka zaman kidogo unawez kutwa unatoka kazini usiku ukapewa kesi ya uzururajii na ukafungwa miaka 2 ... So ni hivyo ndugu yangu ila unawez bakia na mcmamo wako unao uamini .
@@yasminjuma9146 ndio nnauhakika nguruwe mijitu inatolewa yanini isokufa huko huko kuja kufanya ufisadi tu mijitu inabaka inauwa inatolewa au halijakufika ndio unaleta mdomo mrefu kama matako yko
Mtafuteni mrusi mufanye interview ana stori yake nzuri na ita hit sana
Wanafunzi ni jina zuri sana hakika wamepitia mafunzo mengi sana.
Safi sana ila mbona ni kidogo sana hao maana wengi wao wapo humo kwa makosa ya kusingiziwa na kubambikiziwa tu
Mrusi anaongea kiswahili kizuri kuliko Aristote
Safi sana
Uhuru uhuru uhuru uza nyumba upate uhuru
Mbona wadogo wamesamehewa ,huku bara km wanasamehewa wengi mpk wanafika elfu na zaid sijui kwasababu ya magereza yapo mengi au.ila sihaba . ilikuwa rizk yao inshallah 🙏 tunamshukuru rasi wa znz kwa upendo wake
Ukiona hivyo huko wafungwa sio wengi kama huku bara na hata wakazi wake sio wengi kama huku, wananchi wa visiwani hawazidi hata milioni kumi ila huku ni zaidi ya milioni hamsini. Bara watu ni wengi zaidi ya visiwani na ndiyo maana hata wanaofanya makosa na kufungwa pia lazima na wao wawe wengi. Kwa hiyo hilo ni jambo la kawaida.
Tunashukuru kwa kupanda kwa sukari 4000 1kg
Njoo kwet elf tatu @@omarissamashaallahpresiden2920
utafananinisha bara na visiwan,,,. bara ni kubwa. mzeee,,,
@@richytarimo4656 akili Maji kujibu comments hujui tafuta mtu akufundishe unamjibu mtu mwengine hajahusu na suala Hilo sugar 1
Hadi mrusi kajua kiswahili Allah amjalie awe mwema na km ataenda kwao basi iwe kheri kwake
ikiwa kuna jela , kuna na qaburi pia, tumuogopeni Allah
Thank you
Kweli hamukukosea kuwaita wanafunz dah mrusi kajua kiswahili tena cha kipemba dah🙆♂️
Mle ndani sio poa pasikie tu
kiongoz imara, ❤
Masheikh wetu kimya tunamshukuru Samia na Chama cha upinzani Zanzibar ACT wazalendo
Ni jambo jema sana Masheikh wetu kuachiwa lakini chama cha upinzani kilitowa msaada gani? Wakati wanakamatwa kinyume na utaratibu Mhe. Othman Masoud ndie alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Katiba na Sheria alikuwa Marehemu Abubakar Khamis Bakari kutoka CUF na hawakuchukuwa hatua yoyote
@hajihassan5433
Othmani Masoud Mwanasheia Mkuu alishasema aliposikia mashehe, wamepelekwa bara alikwenda kwa Dr Sheni, Rais wa Zanzibar na akamueleza kuwa sio katika utaratibu, pili Othmani Masoud akiwa, muendesha mashtaka alisimamia kurejeshwa zanzibar kwa wazee Wakipemba waliodai kujitenga. Lakini Yeye ni mshauri Dr Amani alikubali na kuamuru wapemba warudi na wakarudi,
Lakini Dr, Sheni na CCM wanzake akina Seif Idi walikuwa na Lao.
Pia Abuu bakar akiwa cuf hao masheikh walikuwa wanakwendana na sera zao hasa kwenye Mikutano ya Muamsho.
Leo akawatie ndani wakati walikuwa na msaada kwenye kuwapasha CCM na Serikali zao hasa suala la muungano.
Kila mtu Zanzibar anajuwa waliwekwa na nani na kwanini so please stop your nonsense.
@@hajihassan5433ww punguwani
@@hajihassan5433usiongee usilolijua
Nimeingia Jela mrusi nimetoka Mpemba😂
😅😅😅
Mbona kidogo sana bora wangekua japo 200
Atafutwe mrusi ata kuwa na story nzuri sana jamani
Wanawake wako wapi
Hao wanafunzi waliochiwa ni kidogo sana, na hamna mwanamke hata mmoja inaonesha
Jielumishe kwanza vigezo vya msamaha vikoje, havitolewi kwa kuwa flani ni jinsia fulani, na magereza hawachanganywi na jinsia, wanaume kivyao na kuna wanawake kivyao
@@jasonwatz7457 Haya, sasa wewe tuelimishe hivyo vigezo, kisha tuone kuwa wanawake haviwahusu
hata hvo asilimia kubwa ya waharifu ni wanaume,,, wanawake wako wachache
Duh uyo mrusi wa mda sana alikua na mwenziwe ndani alifariki
😭😭😭😭🙆♂️😭
Kidogo mbona
Huyo raia wa Urusi ataenda kupata hifadhi wapi au angesaidiwa na serikali kusafirishwa hadi kwao itakua tumemsaidia sana.
Hata na mimi naona kama 26 kidogo vile angalau 60 kwa Unguja na Pemba ingekua poa sana.
Kidogo sana hao wange wapa japo 200
Mie hata kama wakwangu kama linatabia mbaya nalifie mbali huko
Kidogo sana
Ndio 26 😳 kheeee
Ba zungu anaongea kiswahili kama babu wa donge anazungumza kizanzibari sana.safi sana.
mrusi kajua kiswahili😂😂jela ni shule naona huyo alosalimika kunyongwa mpaka kukaa maisha jela 😂😂mtihani
Ni wanafunzi au niwafungwa na wametoka gerezani yani urekebidhaji
Wazanzibar wanatuharibia kiswahili tu!, Wafugwa= Wanafunzi, Maji ya bombani=Maji ya mfarejini, Ugali=Sembe, Rula=Mstari, Kiroba=Kiporo, Kufiwa=Kufiliwa nk
Kila sehem ina matumizi yake yanlugha mbina nyie wa bara kwenye l mnaweka r alaf hii wafungwa kuwaita wanafunzi nitafute chemba nikupe sababu zake za ndani zaidi ila kwa haraka haraka ni just tu kuwapunguzia ukali wa matamshi yaani kuwafanya na wao wajisikie tu kwamba bado ni binaadam ndio mana wanaitwa wanfunzi ila huku uraiani tuna waita wafungwa kama kawaida
Mrusi arejesshwe kwao
Kwa nn mwalim wangu mwalim hamadi asiachiwe huru
Maalim hamadi nae inshallah mungu amjalie mwakani nae awemo kwenye msamaha
Allah humma amin 🤲umeniliza my kumtaja mwalimu Hamadi masikin 😢kaka angu haoni harusi Wala misiba 😭😭😭
akaaa mbona kidogoo hee 26 tuu
Kweli hiyo mrusi mngempeleka ubalozi w urusi ili mumfanyie safari y kurudi kwao sasa atafanya nini znz asijekupata tabu ya mazingira tena
Ilpendezesha waachiwe wengi zaidi. Jela si kuzuri.
Naungana na wafunzi kushukuru Rais Mwinyi sana, japo walimu hawajataja hata fani moja wanafunzi walio toka nayo. Nasikiaga chuo cha mafunzo na nilifikiri mfano wa mwinzi anapotoka hapo, anakuwa na taaluma ya kufanya kazi fulani? Ili asirudi kuiba tena kuku mtaani
Mashekhe nao lini
Kifungo cha kunyongwa kasamehewa kafungwa maisha ndo kupunguziwa kifungo😅😅😅.. sasa hapo ndo kupuziwa nini😅😅😅😅
Kule wanaitwa wanafunzi waweza changanyikia kwanza gereza laitwa chuo cha mwafunzo
Hhahahaha apo kwenye anaonesha unaujali ndio tatizo😂😂😂
safi sana raisi wetu una utu na mwenyzei mungu anaona hilo
Sasa kunyongwaa na kukaa maishaa vpp apoooo lakn kulaa ipooo ya uhakikaaaaa😅😅😅😅😅
Ikiendeleza uhalifu mlalamike sudia tu ndio haitaki utani sijui kufungwa sijui msamaha haina hiyo
Kwan walikosea nini Hawa wanafunzi? 🤔
Mmoja namuona anaenda mbio alipo toka getini 😂 anaogopa kuja kuitwa arudii😂😂
😂😂 ta mie ningezipiga mbio mpk niondoke ukanda uo
😂
Kuna mmoja amemsahau mpka raisi duh
Mbona sielewi wafungwa na wanafunzi ni sawa?
Shemegi Khamis Bakar
Inamana Hilo gereza halina wanawake mbona wameachiwa wanaume tu
26 sihaba ao
Watu 26 niwachache sana angewachia kama 500
Sasa we unataka magereza wafanye kazi gani
@@ahmadmohd3771 kwahiyo jela ni kwajili ya watu wapate ajira?
Ao 500 c nd itkua wanemlz wot n bd msamh utadai wat
Huyo mrusi alifanya nini?
Kama India mpaka ujue kihindi😅
Maskini mzungu 😊sasa mnamsafirisha kwao ama?
Kwao wanaenda kumuua huyu mzungu walikua wawili walimuua mrusi mwenzao na yyle mwenziwe walio fungwa wote alifariki akiwa jela
@@MassoudAlly-c9e maskin💔😔
Ushauri wangu kwa huyo mrusi aangaliwe macho mawili na apelekwe kwao kwani warusi si wa kuaminika.
Mrusi kwao wataenda kumuua kwa sababu yeye na mwenzake ambae alifia jela waliua mrusi mwenzai mitaa yabkwa mchina huko na nikasikia ndugu zake marehem wana msubiria nae wamuue
Eti wanafunzi😂😂😂😂
Wafungwa ao wanafunzi
President putin is typing.......
Siigekaa tu hukohuko mijitu inamikosa eti inatolewa
Mzungu nenda urus ukapigane vitaa
Sasa mwandishi unanifadhaisha unapowataja kama wanafunzi ili ghali ni wafungwa..
Wsmeenda kufunzwa hao. Washajua kazi nyingi tu. Mungu awajaalie kheri. Amin
Zanzibar hakuna jela bali kuna chuo cha mafunzo
Sigekufia tu huko hukonipisheni mie
We matako unasiko yako utaingia jela
@@KhalidMohammed-mq3km sasa kumbe wewe huna matako mtu mwenyewe unaonekana hatabando huna msg tangu juzi unasusua kujibu sasa sikia matako niyamamaako sw
Uyoo wa urus kafanya nn tena😢
Aliua tangu 1997 alimchoma moto mzungu mwenzake
wanafunzi🙄🙄😬
Jamaa aanatfta kuraa kweli
Ni utaratibu mbona Kila inapofika siku za sherehe za mapinduzi kwa Zanzibar na sherehe za uhuru kwa tz bara Marais hutoa misamaha kwa wafungwa kwa Tanzania bara na wanafunzi wa chuo Cha mafunzo kwa Zanzibar . Ila mh rais mwinyi anajitahid Sana kwenye suala Zima la maendeleo hususani kwenye ujenzi wa miundo mbinu pamoja na kujali maslahi ya wastaafu na wazee .. Zanzibar penchen ya wastaafu imeongezeka kwa asilimia mia halafu Kuna penchen kwa ajili ya watu wazima ( wazee Zanzibar wanalipwa japo sio kikubwa Sana ila Kila mwezi 50,000/= ni jambo zuri Sana . Maana jambo la kulipa wazee sio rahisi nchi nyingi zinashindwa kulitekeleza jambo hili kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo idadi ya watu , issue za kiuchumi , mipango na sera .
😊😅😊😊😊
Mnawatowa waje kufanya uhalifu
Urampoingia jela ndio utajua nini thamani ya uhuru
Q😊😊😊😊😊
Mnawatoa Ijekutukera
Kuna sababu nyingi Sana zinazopelekea mtu kutumikia chuo Cha mafunzo sio wote wamefanya vitendo vya ukatili kiasi kwamba wasiweze kusamehewa na kurudi kwenye maisha ya kawaida ... Vile vile Kuna vigezo , kanuni ili kukidhi matakwa ya kupata huo msamaha ikiwemo nidhamu, uadilifu , tabia njema , umri , afya ,matendo na mienendo yako , historic background pia mambo mengi yanazingatiwa kwakweli .
@@mwanangusana mbona wewe hujatumikia bwanawe asokosa hatumikii ukiona mtu kafika huko makosa yapo
@@sofitanzanian955 ndugu yangu kusema ukwel sio Kila anaenda kule ukadhan amefanya makosa ... Tuishie hapo Kuna visa mbali mbali vipo ambayo vimepelekea watu kutumikia kifungo Bila ya hatia . ... Ndo maana Kuna viapo vya uadilifu majaji na mahakimu pia kwakua sababu mbali mbali iwe kwa kwa kudhamiria au kutodhamiria akatoa hukum kwa mtu asiyestahiki kuhukumiwa . Sio sahihi kusema walitumikia vifungo kuwa ni wahalifu wametenda makosa ndugu yangu .... nakumbuka zaman kidogo unawez kutwa unatoka kazini usiku ukapewa kesi ya uzururajii na ukafungwa miaka 2 ... So ni hivyo ndugu yangu ila unawez bakia na mcmamo wako unao uamini .
Mjitu ukute imeuwa imetolewa
Una uhakika ?
@@yasminjuma9146 ndio nawewe alikuwemo hawara yko nini alifungwa
@@yasminjuma9146 ndio nnauhakika sasa unasemaje mbuzi mweusi we halafu mjilize lizeuhalifu uhalifu kwenda huko
@@yasminjuma9146 ndio nnauhakika nguruwe mijitu inatolewa yanini isokufa huko huko kuja kufanya ufisadi tu mijitu inabaka inauwa inatolewa au halijakufika ndio unaleta mdomo mrefu kama matako yko
@@yasminjuma9146 kelele wewe mbwa we
Walivyosem wanafunz walinichangany kumbwa wafungwa zanzimba bhn hongren
Zanzibar hakuna jela bali kuna chuo cha mafunzo