KUMEKUCHA KITIMA AMJIBU ASKOFU SHOO "TUSIWE WATUMWA WA MAOKOTO"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 62

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 месяца назад

    Hongera sana Dkt Shoo kwa maono ya mbali

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 2 месяца назад +6

    Askofu Shoo kajiaibisha sana.

  • @peterkiputa2779
    @peterkiputa2779 2 месяца назад +6

    Padri kitima yuko sawa

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 2 месяца назад +5

    Dr. Bagonza KKT, Dr. Kitima RC hawa kwa pamoja ndo viongozi wa Imani ambao ni wazalendo ktk nchi hii ya Tanzania na Mungu awalinde.

  • @gadielsumari
    @gadielsumari 2 месяца назад +1

    Hata mimi nimemshangaa sana askofu Shoo.Sikutarajia kabisa.....wanadiriki kusema samia ni chaguo la Mungu,alikutana wapi na Mungu akamwambia hilo?

  • @samwelgabriel2175
    @samwelgabriel2175 2 месяца назад +2

    Safi Kitime,tusiwe watumwa wa maokoto,raia wanashida kwa sababu ya siasa mbu ya ccm halafu ndo tuwape tena, maaskofu heshimuni watu, rushwa no dhambi

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute 2 месяца назад +3

    Askofu shoo ni mpumbavu sana na mpuuzi sana anataka pesa kahongwa huyo nilikuwa nampenda sana lakini Kawa chawa

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 2 месяца назад +4

    Askofu Shoo, .....ni chawa....mamake!!

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 2 месяца назад

      Chawa haswa tena hafai linazeeka vibaya ni aibu kubwa zee jima kujipendekeza

  • @RITHAMROSSO-t4w
    @RITHAMROSSO-t4w 2 месяца назад

    Shooo duuu

  • @FurahaNelson-z6c
    @FurahaNelson-z6c 2 месяца назад +1

    Shoo leo nimekujua kumbe unahitaji tu sadaka uoni haki za watu umekuwa chawa kuliko mtume

  • @benedictgamuya8855
    @benedictgamuya8855 2 месяца назад +1

    Fr. Kitima Mungu akasimame nawe siku zote na mahali popote. Kanisa kufadhiliwa tu ilikuwa dalili tosha ya kununuliwa. Hawa wengine hata hawafananii. Kofia za kiaskofu ni pambo. Hata hofu ya Mungu hawana.

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 2 месяца назад +4

    Shida huyo huyo ni uchawa tu catholic wako sawa kutetea wananchi,rais na mawaziri wake wote ni mafisadi tu, RIP JPM

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 месяца назад +3

    Ni uzee jamani,hakumbuki alipoanzia.

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa 2 месяца назад

    Hongera Askofu shoo

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 месяца назад +1

    Usicheze na Wakatoliki wana msimamo mkali hawataki longolongo

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 месяца назад

    Kwanini Viongozi wakikosolewa wanauwa watu wanawateka hivi hii kweli wanamjua Mungu wao mwisho wa Uongozi hawatakufa

  • @modestuskangalawe2420
    @modestuskangalawe2420 2 месяца назад +1

    Si taabu atapta Kwa dalili hizo za wananchi kukosa Imani naye Bali atahatarisha maisha yake hapo wengi watakapomlilia Mungu

  • @sifunimelkizedeck882
    @sifunimelkizedeck882 2 месяца назад +2

    Ilitosha tuu pale mweshimiwa rais aliposema katiba ni kijitabu tuu kwa watu wenye kujua uongozi ni nn miaka 5 inamtosha😢

  • @johnmamuya548
    @johnmamuya548 2 месяца назад

    Huyu shooo kazeeka Kwa hio tusmhukum ni uzee

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 2 месяца назад

    Wenge wanaumia wengine wanaogwa tutakufa wote

  • @joycejustin833
    @joycejustin833 2 месяца назад +4

    Wanatutia aibu sana kkkt

  • @zachayojohn7065
    @zachayojohn7065 2 месяца назад

    Hawa viongozi wa dini ndo mara nyingi wana kuwa upande wa wanyonge✓

  • @JosephTarimo-c5h
    @JosephTarimo-c5h 2 месяца назад

    Kilichobaki Sasa ni mungu atusaidie

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 месяца назад

    Kwa mawazo yangu Bagonza ni mwenye msimamo mkali hana chama ila anapenda haki itendeke

  • @MohammedAwadh-gq9si
    @MohammedAwadh-gq9si 2 месяца назад

    Endeleeni kugongana ! Warumi 13: 1......

  • @hockingsshangali1747
    @hockingsshangali1747 2 месяца назад

    kiongozi Shoo ,kasema hayo kwa maelekezo toka juu yake. Alishindwa uchaguzi kwa uwezo wa fedha za askofu kiangozi wa kkt.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 месяца назад +2

    Baba askofu shoo ni askofu mwenye heshima,hrkima na ustaarabu kupita kiasi,Si mwenda wazimu na mdini kama PADRE KITIMA!!

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 2 месяца назад +3

    Hii ni atali sana

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 2 месяца назад +3

    Kkt wanae mwamini ni askofu Bagonza wengine mmm!!

  • @PiusKimaro
    @PiusKimaro 2 месяца назад

    Askof anayetumika kimaokoto,anaongoza genge lawalanguz cyo taasis kubwa kama kkk

  • @godfreymjuni6752
    @godfreymjuni6752 2 месяца назад +1

    Kanisa letu lina viongozi wa baadhi njaa sana . Nitaama ili kanisa

  • @YusuphMdaki
    @YusuphMdaki 2 месяца назад +3

    Yuda Iskari yote

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv 2 месяца назад +1

    Huyo mangi ni mtu WA maokoto mda tu

  • @PIUSSEBASTIAN
    @PIUSSEBASTIAN 2 месяца назад

    Chuki ndo inawasumbuwa kwa mama kili mtu anamaoni yake na uhuru wa kutoa maoni yake kira atakaye msifia mama kala mrungula acheni wivu na udini uliopitiliza acheni kuingilia mipanga ya mungu udini tu ndo unahangaisha na mashekh nao wakisema itakuaje shoo hana kosa ni maoni yake

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 2 месяца назад

    >Utume unaposimama na ukandamizaji wa umma unakuwa kinyume!
    >Kiongozi wa dini lazima achunge kondoo wake kwa wivu mkubwa, hata dhidi ya Kaizari!

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa 2 месяца назад

    Moto wa chini Shoo ni kiongozi msafi hana unafiki kama nyie

  • @MaurusiNyimbo
    @MaurusiNyimbo 2 месяца назад

    wakatoriki huwa hawakurupuki eti nami nawapnda sana maurus eti

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 2 месяца назад +1

    Nilihamia kkkt kwa sababu ya shoe sasa niwakati wa kutafakari

  • @molelakibasa7135
    @molelakibasa7135 2 месяца назад

    Maelezo marefu mno kabla ya kushughulika na kichwa cha habari. Inachosha.

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 2 месяца назад

    Nilisema ludhel wapo kimasilahi mmeona

  • @PIUSSEBASTIAN
    @PIUSSEBASTIAN 2 месяца назад

    MAMA MITANO TENA HAONGOZI KANISA ANAONGOZA INCH YENYE WATU WA DIN TOFAUT TOFAUT SIO WANACHOPENDA KATORIKI WATU WOTE WAFUATE ZIPO IMANI NYINGI NA KILA MTU ANAMTIZAMO WAKE TUACHE NGUVU YA MUNGU IONGEE BILA CHOYO SHOO UKO VIZUR MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU NA FIKRA ZA HOFU YA MUNGU UMEONGRA POINT SANA ASKOF MUNGU NDO ALITULETEA MAMA ATUONGOZE NA MITANO TENA TUNAMPA

  • @NDEWARA
    @NDEWARA 2 месяца назад

    Askofu Shoo ana haki na uhuru wa mawazo na msimamo huru. Mbona Kitima ni CHADOMO damu damu😂😂

    • @DiwaniMwafongo
      @DiwaniMwafongo 2 месяца назад

      @@NDEWARA mijitu mipumbavu utasikia mtu Ana haji na uhuru bata akihubiri ushoga....
      Tuanze kususia makanisa ya machawa!!,
      Concerts za wanamuziki chawa....

  • @barakambasile2651
    @barakambasile2651 2 месяца назад

    Hao nao ninashaka nao nilishasikia yakwamba wameshanunuliwa na mabeberu hata shoo yawezekana kipindi hiki amekosa mgao

  • @godfreymjuni6752
    @godfreymjuni6752 2 месяца назад

    Maskofu wa kanisa ili ni wapenda pesa sana hispokuwa askofu wa karagwe Magonza tu .

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 месяца назад

    Dr Kitima ni Kiongozi wa dini aliye na msimamo hata kwa hayati magufuli alikuwa anapenda kusema ukweli pale alipokuwa anakosea tusome Katiba yetu ya Ccm Kiongozi asiyekubali kukosolewa hastahili kuwa Kiongozi jamani kwanini hatutaki kukosolewa

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa 2 месяца назад

    Kitima ni mdini

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 2 месяца назад

    Shooo hovyoooo lilibanwa likakosa pesa sasa hivi limeachiwa limegeuka chawa hovyo saana shame on u

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 2 месяца назад

    Bagonza nae kaanza kuwa chawa yaliyobanwa yooote yamekuwa machawa

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 2 месяца назад

    Kwa hiyo na yeye akipewa maokoto atanyamaza??

  • @emmanuelmahenge-z7u
    @emmanuelmahenge-z7u 2 месяца назад

    Kitima ni.mpinzan hyu Kila kitu anapinga serikal munafiki tu hyu

  • @sammymdemeka7937
    @sammymdemeka7937 2 месяца назад

    TUACHE UNAFIKI KOSA LA SHOO NI LIPI BINAFSI SILIONI. TUKUBALI KWA MAZINGIRA YA SASA YA KATIBA UPINZANI UTAINGIA IKULU? TUPIGANIE KATIBA MPYA ILI TUJUE RAIS ATATOKA WAPI? HAPO MASLAHI INALINDWA YA UPANDE GANI KKKT HAIJAWAHI TOA RAIS WALA CCT?

    • @godfreymjuni6752
      @godfreymjuni6752 2 месяца назад

      @@sammymdemeka7937 kusema katiba inasema rais razima vipindi viwili ni utaratibu tuliojiwekea . Kwa maana yake Shoo anamanisha uchaguzi wa kipindi cha pili cha uraisi ni dabganya toto . Hapo ndipo alipokosea kutanguzi moira mbele kabla ya uchaguzi wenyewe . Na pia amesahau maneno yake mwenyewe . Nafikiri ni uzee wake anajifikiria yeye . Hakuna mtu kama Walioba unawweza kusikia anaongea maeno ya kijinga kama alivyosema . Viobgozi kama hawa wanajukuta makanisani wenyewe .