Machachali Tv
Machachali Tv
  • Видео 915
  • Просмотров 3 565 117

Видео

NTOBI AENDELEA KUMUANDAMA TUNDULISSU AMUITA MROPOKAJI TENA.
Просмотров 4468 часов назад
NTOBI AENDELEA KUMUANDAMA TUNDULISSU AMUITA MROPOKAJI TENA.
SIASA MCHEZO MCHAFU!!! MBOWE NA LISSU MAMBO SAFI, WADAU WAHOJI, PICHA HII YAZUA GUMZO
Просмотров 4679 часов назад
SIASA MCHEZO MCHAFU!!! MBOWE NA LISSU MAMBO SAFI, WADAU WAHOJI, PICHA HII YAZUA GUMZO
HII KALI SASA!! WAKILI PETER MADELEKA AMMPA UJUMBE MZITO MBOWE.
Просмотров 1,9 тыс.2 часа назад
HII KALI SASA!! WAKILI PETER MADELEKA AMMPA UJUMBE MZITO MBOWE.
GODBLESS AWAONYA WAJUMBE WA CHADEMA KUCHUKUA RUSHWA UCHAGUZI HUU.
Просмотров 1,5 тыс.2 часа назад
GODBLESS AWAONYA WAJUMBE WA CHADEMA KUCHUKUA RUSHWA UCHAGUZI HUU.
KAZI KWELI KWELI! MDUDE NAE AKASIRIKA KUKAMATWA KWA DR SLAA KISA MBOWE.
Просмотров 8392 часа назад
KAZI KWELI KWELI! MDUDE NAE AKASIRIKA KUKAMATWA KWA DR SLAA KISA MBOWE.
GODBLESS LEMA ASHANGAZWA NA KOSA ANALOSHIKIRIWA NALO DR SLAA, AMTAJA MBOWE
Просмотров 2,8 тыс.2 часа назад
GODBLESS LEMA ASHANGAZWA NA KOSA ANALOSHIKIRIWA NALO DR SLAA, AMTAJA MBOWE
HIKI NDICHO ALICHOANDIKA JOHN HECHE, KWENYE HII PICHA AKIFURAHI NA TUNDULISSU AMUITA MWENYEKITI WAKE
Просмотров 1,2 тыс.4 часа назад
HIKI NDICHO ALICHOANDIKA JOHN HECHE, KWENYE HII PICHA AKIFURAHI NA TUNDULISSU AMUITA MWENYEKITI WAKE
NENO LA KWANZA LA NTOBI BAADA YA KUTUMILIWA UWENYEKITI CHADEMA
Просмотров 1,7 тыс.4 часа назад
NENO LA KWANZA LA NTOBI BAADA YA KUTUMILIWA UWENYEKITI CHADEMA
KIMEUMANA KIKAO CHA KAMATI KUU CHADEMA CHAFANYIKA LEO, TUNDULISSU AKUTNA NA JOHN HECHE.
Просмотров 8 тыс.4 часа назад
KIMEUMANA KIKAO CHA KAMATI KUU CHADEMA CHAFANYIKA LEO, TUNDULISSU AKUTNA NA JOHN HECHE.
KIMEUMANA GODBLESS LEMA ATANGAZA KUFUNGUKA UPANDE WAKE HIVI KARIBUNI
Просмотров 1,6 тыс.4 часа назад
KIMEUMANA GODBLESS LEMA ATANGAZA KUFUNGUKA UPANDE WAKE HIVI KARIBUNI
MBOWE AMSHTUMU TUNDULISSU HANA USHAHIDI TUHUMA ZA RUSHWA, YERICO NYERERE APIGILIA MSUMARI.
Просмотров 4894 часа назад
MBOWE AMSHTUMU TUNDULISSU HANA USHAHIDI TUHUMA ZA RUSHWA, YERICO NYERERE APIGILIA MSUMARI.
HAYA HAPA MANENO MAKALI YA MDUDE, BAADA YA KUKAMATWA KWA DR SLAA, NA HAJULIKANI ALIPO.
Просмотров 2,8 тыс.4 часа назад
HAYA HAPA MANENO MAKALI YA MDUDE, BAADA YA KUKAMATWA KWA DR SLAA, NA HAJULIKANI ALIPO.
HII HAPA TAARIFA RASMI YA CHADEMA KUMTIMUA UENYEKITI NTOBI, NDANI YA CHADEMA.
Просмотров 1,2 тыс.7 часов назад
HII HAPA TAARIFA RASMI YA CHADEMA KUMTIMUA UENYEKITI NTOBI, NDANI YA CHADEMA.
MANARA ATANGAZA KUMUUNGA MKONO MBOWE AENDELEE KUWA MWENYEKITI CHADEMA SIO TUNDULISSU
Просмотров 1867 часов назад
MANARA ATANGAZA KUMUUNGA MKONO MBOWE AENDELEE KUWA MWENYEKITI CHADEMA SIO TUNDULISSU
MIPANGO MIZITO, YAENDELEA MBOWE KUSHINDA UCHAGUZI, MARTIN MARANJA ATANGAZA KUMSAPOTI MBOWE.
Просмотров 3,8 тыс.7 часов назад
MIPANGO MIZITO, YAENDELEA MBOWE KUSHINDA UCHAGUZI, MARTIN MARANJA ATANGAZA KUMSAPOTI MBOWE.
KIMEUMANA MDUDE ACHUKIZWA NA KAULI YA MWENYEKITI ARUSHA KUWA TUNDULISSU ANASALITI CHAMA.
Просмотров 1,6 тыс.7 часов назад
KIMEUMANA MDUDE ACHUKIZWA NA KAULI YA MWENYEKITI ARUSHA KUWA TUNDULISSU ANASALITI CHAMA.
KIMEUAMANA NTOBI AFUTWA UONGOZI CHADEMA KISA KUMTUKANA TUNDULISSU MITANDAONI
Просмотров 2,2 тыс.7 часов назад
KIMEUAMANA NTOBI AFUTWA UONGOZI CHADEMA KISA KUMTUKANA TUNDULISSU MITANDAONI
JOHN HECHE ATAMBA HII NDIO TIMU YA KULETA MABADILIKO CHADEMA
Просмотров 2,1 тыс.9 часов назад
JOHN HECHE ATAMBA HII NDIO TIMU YA KULETA MABADILIKO CHADEMA
KUMEKUCHA NTOBI AMSHANGAA TUNDULISSU KUMUOGOPA WENJE KISA KUGOMBEA NAFASI YAKE.
Просмотров 8459 часов назад
KUMEKUCHA NTOBI AMSHANGAA TUNDULISSU KUMUOGOPA WENJE KISA KUGOMBEA NAFASI YAKE.
KUMEKUCHA GODBLESS LEMA AMLIPUA POUL MAKONDA, AMWAMBIA AMERUDI ARUSHA SASA.
Просмотров 4,8 тыс.12 часов назад
KUMEKUCHA GODBLESS LEMA AMLIPUA POUL MAKONDA, AMWAMBIA AMERUDI ARUSHA SASA.
JRBRA KABOMBE AMJIA JUU MBOWE BAADA YA KUSEMA ALIMFADHILI TUNDULISSU NYUMBA, GARI NA MENGINE.
Просмотров 1,9 тыс.12 часов назад
JRBRA KABOMBE AMJIA JUU MBOWE BAADA YA KUSEMA ALIMFADHILI TUNDULISSU NYUMBA, GARI NA MENGINE.
KUMEKUCHA GODBLESS LEMA KUSEMA ANAMSAPOTI NANI KATI YA TUNDULISSU NA MBOWE HIVI KARIBUNI
Просмотров 1,8 тыс.12 часов назад
KUMEKUCHA GODBLESS LEMA KUSEMA ANAMSAPOTI NANI KATI YA TUNDULISSU NA MBOWE HIVI KARIBUNI
BAADA YA MBOWE KUSEMA NYUMBA ALIOKUWA ANAISHI TUNDULISSU ILIKUWA YA KWAKE, MSIGWA AMJIBU UMEISHIWA.
Просмотров 1,8 тыс.12 часов назад
BAADA YA MBOWE KUSEMA NYUMBA ALIOKUWA ANAISHI TUNDULISSU ILIKUWA YA KWAKE, MSIGWA AMJIBU UMEISHIWA.
KIMEUMANA!!! MBOWE AMTOLEA UVIVU TUNDULISSU "HANA NIDHAMU"
Просмотров 79514 часов назад
KIMEUMANA!!! MBOWE AMTOLEA UVIVU TUNDULISSU "HANA NIDHAMU"
BAADA YA TUNDULISSU KUMUITA MBOWE MUONGO,YERICO NYERERE AMJIA JUU KWANINI ANATOA SIRI ZA CHAMA?
Просмотров 2,7 тыс.14 часов назад
BAADA YA TUNDULISSU KUMUITA MBOWE MUONGO,YERICO NYERERE AMJIA JUU KWANINI ANATOA SIRI ZA CHAMA?
GODBLESS LEMA AVISHTUMU VYOMBO VYA HABARI VINAVYOTAKA MIDAHALO NA VIONGOZI WA CHADEMA
Просмотров 2,1 тыс.14 часов назад
GODBLESS LEMA AVISHTUMU VYOMBO VYA HABARI VINAVYOTAKA MIDAHALO NA VIONGOZI WA CHADEMA
KIMEUAMANA PETER MSIGWA AKATAA KUWA YEYE, TUNDULISSU NA GODBLESS LEMA HAWAJATENGENEZWA NA MBOWE.
Просмотров 1,7 тыс.14 часов назад
KIMEUAMANA PETER MSIGWA AKATAA KUWA YEYE, TUNDULISSU NA GODBLESS LEMA HAWAJATENGENEZWA NA MBOWE.
KUMEKUCHA DR SLAA AMTAKA MBOWE AFIKIRIE TENA UPYA, MAANA ATAHAIBIKA KWENYE KURA, DHIDI YA TUNDULISSU
Просмотров 69714 часов назад
KUMEKUCHA DR SLAA AMTAKA MBOWE AFIKIRIE TENA UPYA, MAANA ATAHAIBIKA KWENYE KURA, DHIDI YA TUNDULISSU
MDUDE ACHUKIZWA NA KAULI YA YERIKO NYERERE KWAMBA MBOWE NI ALFA NA UMEGA CHADEMA
Просмотров 1,4 тыс.14 часов назад
MDUDE ACHUKIZWA NA KAULI YA YERIKO NYERERE KWAMBA MBOWE NI ALFA NA UMEGA CHADEMA

Комментарии

  • @hectorgold147
    @hectorgold147 Час назад

    hamuwezi kushinda nyie 21inatosha

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 Час назад

    Kumbe team Lisu wote mhitimu matusi

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 Час назад

    Mropokaji Lisu

  • @CatherineMalinda
    @CatherineMalinda 4 часа назад

    Naitakia Simba usindi

  • @JimmyJames-bo4pq
    @JimmyJames-bo4pq 4 часа назад

    Naitakia Simba ushindi wa moja bila, ubaya ubwela

  • @shabanimoka8020
    @shabanimoka8020 4 часа назад

    Nawapata vizuli sana nikiwa DRC Kongo

  • @JaphetyAliphonce
    @JaphetyAliphonce 5 часов назад

    Mungu hakukuleta kwa bahati mbaya tz tutetee mungu akulinde😢😢😢😢😢😢

  • @omarinyahegs4539
    @omarinyahegs4539 5 часов назад

    Ndiyo maana walikuvua uwenyekiti

  • @tripedSaigarai
    @tripedSaigarai 7 часов назад

    Dumisha adabu dogo.

  • @tripedSaigarai
    @tripedSaigarai 7 часов назад

    Du

  • @johnesmwita
    @johnesmwita 7 часов назад

    Wajumbe wa bodi ya chadema SACCO

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 8 часов назад

    Kumbe chadema ina watu wajinga kama huyu

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni 14 часов назад

    Slaa namkubalisana

  • @BarakaMwaisumo
    @BarakaMwaisumo 16 часов назад

    Nakubal sana kissu

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 21 час назад

    Wewe wakili mwaache tabia ya kumpelea mbowe pengine wewe na mnajuana sisi tunamtaka lisu ama lema ndio viongozi tunaowataka me naitwa ramadhani y, ossujacki nikiwa nairobi tundu lisu ni kiongozi mwenye udhubutu na amepitia changamooto makubwa sana kuliko na huyo mwenye utajiri wa kujinufaisha kupitia chama tunamwoomba aachie wengine

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 23 часа назад

    La mwisho Asante kwa Mwenyezi MUNGU kumpa wazo Mh . Tundu A Lissu la kugombea nafasi ya M/ kiti badala ya wazo la awali. Maono mapya baada ya ushindi wako wewe TAL na J Heche yatakifanya chama cha CHADEMA kizaliwe upya... Watu wanaokiunga mkono Chama hiki CHADEMA wanachadema na wasio wanachadema wote wana KIU ya kuiona CHADEMA iliyo chini yako Mh. Tundu A Lissu na Mh John Heche... Imani yao kauli mbiu ya NO REFORM NO ELECTION inaweza kufanya kazi chini ya UONGOZI na Uenyekiti wako tu na si vinginevyo ... OMBI letu wajumbe wasipuuze maoni yetu wananchi ; wanachama makini lkn maelfu ya watu wanaoiunga mkono CHADEMA wanaweza kupuuza wakitaka lkn wasifanye hivyo na HISTORIA itabaki mikononi mwao wkt wote . Wajumbe tupeni VIONGOZI hao Tundu A Lissu na Mh John Heche. AMEN

  • @MariamDilla
    @MariamDilla День назад

    Wajumbe wa mkutano mkuu 2025 Msipotupa VIONGOZI ambao wa-tz na wanachama makini wa CHADEMA tunaowataka tambueni mtabaki na Jina tu la CHADEMA lkn Chama kitakachobaki ni km vile vingine na mnavijua. Uhalali wa CHADEMA ni kukemea RUSHWA ndani na nje ya Chama na si vinginevyo..... Wapokea RUSHWA na watu wa nusu mkate hawana nafasi ktk CHADEMA mpya itakayojengwa na VIONGOZI wetu vijana makini na wenye weledi nao ni Mh. Tundu A Lissu na Mh John Heche.. Tupeni VIONGOZI hao na MUNGU atawabaliki. AMEN

    • @MariamDilla
      @MariamDilla 23 часа назад

      Kiongozi wangu na Kamanda; kaka yangu Mh. E. Mbowe SAUTI ya watu ni sauti ya MUNGU... Watu wanadhani majira haya si Yako ; majira haya ni ya Vijana ulioshiriki kuwajengea UWEZO na ni Mh. Tundu A Lissu na Mh John Heche. Imani ya wa-tz wengi utatumia BUSARA kabla ya uchaguzi kuchukua uamuzi wa HEKIMA nao ni WA kutoa jina lako ktk kinyang'anyiro hk Cha 2025..... Uamuzi huo itakupa heshima kubwa na LEGACY Yako itasimama mahala pake na kukumbukwa na vizazi na vizazi vya TAIFA hili lkn na Dunia kwa ujumla.... Ktk Hilo hupashwi kusikia SAUTI za wapambe na pengine km wapo chawa ... Ktk uamuzi huo sikia SAUTI ya MUNGU itakavyo kuongoza basi. Imani ya Watanzania wengi ni kuwa CHADEMA kwa sasa itakuwa imara zaidi chini ya Lissu na John Heche na si vinginevyo. Asante kwa usikivu na MUNGU akuonyeshe Ile kweli - AMEN

  • @MariamDilla
    @MariamDilla День назад

    TAIFA hili 🇹🇿 litabadilishwa kwa usaidizi wa VIONGOZI vijana na makini ktk majira na nyakati hizi nao ni Mh. Tundu A Lissu na John Heche. Wajumbe msipuuze maoni ya watanzania wanowaunga mkono mkadhani Chama hk ni Mali yenu ! Chama hk ndio tegemeo la wa-tz tafadhali tupeni TAL na J Heche ili Chama kibaki salama basi TUPENI. NATARAJI MH. GODBLESS LEMA BADO HUTONYAMAZA KWANI WA-TZ TUNA KIU KUSIKIA TOKA KWAKO.... MH. LEMA WEWE NI HAZINA YA TAIFA HILI HIVYO HATUPO TAYARI KUKUPOTEZA . IMANI YANGU WEWE UTAKUWA SEHEM YA VIONGOZI WAPYA NDANI YA CHADEMA BAADA YA UCHAGUZI... PEOPLE'S POWER 🔥💪🏾❤️👏🏾🇹🇿

  • @MariamDilla
    @MariamDilla День назад

    Mh. Godbless Lema Asante kamanda wewe si kiongozi wa kaskazini wewe ni kiongozi wa wa-tz wote. We believe in you bro... People's POWER 🔥🔥🔥🔥💪🏾❤️

  • @MariamDilla
    @MariamDilla День назад

    Watu WANATETEA RUSHWA km ndio kila kitu. Wapambe wa Mkuu ndio wote wanapambania RUSHWA. UJINGA ni Baraka hv kwa nn watu wanaopinga RUSHWA ndio maadui kwa Chama ; Uchaguzi huu utofautishe CHADEMA na Ccm kwa wajumbe kuwapa Mh. Tundu A Lissu na Mh. John Heche KURA zote . Asante Mh. G. Lema kwa ushauri kwa wajumbe wa mkutano mkuu..

  • @MariamDilla
    @MariamDilla День назад

    People's POWER 🔥🔥🔥💪🏾 thanks Hon. G. Lema

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 День назад

    Alfa na Omega ni Mungu tu.Mbowe kana hadharani sifa usiyostahili.

  • @MkJj-m7g
    @MkJj-m7g День назад

    Kwani, yule M/kiti uvccm aliyewatarifu polisi;kule Ngara kutowatafuta watu watakaowapoteza, alikamatwa?

  • @HENRYNa-l5y
    @HENRYNa-l5y День назад

    Watanzania wengi ni wajinga, wanafikiri Rushwa ni mpaka uione ww, au iwepo video lakin vitendo kwa wanaopokea rushwa hawaoni kabis

  • @SelemaniHamiss
    @SelemaniHamiss День назад

    Badilijina.wesio.mzalendo

  • @marymremi1051
    @marymremi1051 День назад

    madeleka wewe ni mcha Mungu lakini usimbebe lisu siba maana hana haki ya kugombea ila hana hekima hakuna asiekosea hata kama mbowe ila awe ni mtu anaona m mabaya tu duniani hakuna mkamilifu ni Mungupeke yake hata angepewa urais asingeweza amejaa lawama hajiamini kama mbowe kamkosea basi kuma busara zake hata kumwita Rais wa nchi huyu mama ni dharau heshima hana kibur ni kikubwa kwa hiyo duniani wote hatujakamilika .

  • @Mzalendowetu
    @Mzalendowetu День назад

    Mbona kelele zimekuwq nyingi sana kwa Slaa.kwani huko jela yuko pekeyake? Acheni hizo huyu mzee amezidi.

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 День назад

      Mbona swali lako la kipumbavu sana? Kwa mfano unataka kuhalalisha kuwa ukikamatwa kwa nguvu na kufirwa ni halali kwa kuwa hautakuwa peke yako?

  • @Mzalendowetu
    @Mzalendowetu День назад

    Wengine hata hamjitambue.kwa nini umtukane Nembo ya Nchi?

  • @Mzalendowetu
    @Mzalendowetu День назад

    Slaa huu ni wakati wake wa kujitathimini hawezi kumdhalilisha raisi wetu kwa kiasi kikubwa hivyo.kwa maoni yangu akishindwa kuthibitisha afungwe ili iwe fundisho kwa wengine.

  • @MathayoSaid-d4t
    @MathayoSaid-d4t День назад

    Point.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 День назад

    Ccm tutaendelea kutawala daima Vyama vya Upinzani ni Vya Ruzuku tu na Wasaka Tonge

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 День назад

    Rushwa kuleni akili kichwani kura ni siri msichague Chama cha kinachoongozwa na familia

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 День назад

    Msameheni tu ni Mzee

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 День назад

    Wamtoe tu huyo Mzee asije akaumwa zaidi nasikia ni mgonjwa mhurumieni

  • @mahanjisanga3077
    @mahanjisanga3077 День назад

    Sungu utaenda peke yako kwa mbowe .sisi mbeya tunataka mabadiliko kaka .usinune

  • @JohnLawei
    @JohnLawei День назад

    Siyo waropokaji wewe Ni wasemakweli ulete upuuzi karibu yao uone

  • @JohnLawei
    @JohnLawei День назад

    Lisu big up

  • @ElinaMbura-h7w
    @ElinaMbura-h7w День назад

    Mhe Lissu ni mtu wa watu anafaa sana

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya День назад

    Huyu Ntobi ana kauli chafu,sawa tyuu wakiondolewa

  • @ErickyKatunzi
    @ErickyKatunzi День назад

    Thubutu, mbowe na Lissu, wajanja wanatafuta watakaoisaliti chadema. Hivi unafikili Lissu na mzee Mbowe niwajinga. Poleni mnaofikilia Hawa wazee wamegombana.😅😅😅.

  • @NiyonkuruThierry-r7v
    @NiyonkuruThierry-r7v День назад

    Ahaaa, akipigwa down akabaki Chadema, nampa ng’ombe wa maziwa.

  • @NiyonkuruThierry-r7v
    @NiyonkuruThierry-r7v День назад

    Hapo tusubiri sanduku la kula. Tutashangaana.

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 День назад

    Mbowe anaakili sana. Huenda kawapiga pesa ccm afu anazuga tu kuwaaminisha yuko nao kumbe anajua kashaamua kuachia tu madaraka. Wale mnaokula mlungula ccm mjipange

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 День назад

    Sugu anawashangaa hawa waropogaji.

  • @willibardkambuga
    @willibardkambuga 2 дня назад

    Lema tunakuitaji kambi ya lisu

  • @Mzalendowetu
    @Mzalendowetu 2 дня назад

    Lema ni nabii.hawezi kuwa chini ya Lisu.Lisu hayuko timamu kichwani

  • @Mzalendowetu
    @Mzalendowetu 2 дня назад

    Lisu sio Mtanzania nyie ni kama mazuzu

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express День назад

      Kama sio mtanzania kwanini aligombea Uraisi na hawakumzuia 😂 na nimakamu wa Chadema miaka mi5 hawajamtoa 😂

  • @onesmomasala-rg2wd
    @onesmomasala-rg2wd 2 дня назад

    Sawa namuona

  • @YohanaSanga-t8d
    @YohanaSanga-t8d 2 дня назад

    Wao

  • @paulmarco7174
    @paulmarco7174 2 дня назад

    lissu akihama chadema aslimia 95 ya wanachadema watamfuata,sisi tuko huku chini tunapata maoni ya wanachama mojakwamoja

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 2 дня назад

      Kwa maana hiyo Demokrasia ya Chadema ni kushinda Lissu?