ASKOFU MKUU SHOO AVUNJA PROTOKO MBELE ya RAIS SAMIA, AMUOMBA AWASHIKE MKONO WAZEE wa KANISA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 46

  • @musa-v3f
    @musa-v3f Год назад

    asante Mungu kwa wazee wetu mtumishi lutabingwa na mzee wetu mtumishi mchungaji Mwanga Mungu awabariki na awape maisha yenye furaha

  • @sarahmuhammed6872
    @sarahmuhammed6872 Год назад +5

    Ingekua yupo ms8kitini na mashekhe mngesema mama ana UDINI bt yuko.namaskofu kimyaaa hskuna mtu.anenai.udini

    • @Mumewangu
      @Mumewangu Год назад

      Hahaha tuwachukulie tu

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Год назад +2

    Tunahitaji tasis za dini zilipe Kodi watu wengi wanakwepa Kodi wakiweka hisa zao kwenye miradi ya Taasis za dini ili zikwepe Kodi ni lazima Sasa Taasis za dini zilipe Kodi

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania Год назад

      Taasisi za kidini haitokaa itokee zilipe kodi. Siku zinalipa kodi basi hazitokuwa taasisi za kidini tena. Na zikibadilika hatari yake hakuna mwenye ubavu wa kuimudu.

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania Год назад

      Tuanze na ccm kwanza!

  • @gapserminja5215
    @gapserminja5215 Год назад

    Makao makuu ya kikristo ni roma kwahiyo kama kanisa hatutaunga mkono swala hilo.maaskofu wetu wamesoma na wanajua wanachokiongea kwaajili ya kulitetea taifa hili mungu awasaidie wasirudi nyuma kuhusu mkataba huo feki.mungu awalinde sana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Год назад +2

      Wakatoliki wanajulikana kwa vurugu dunia nzima

    • @popekatalango9409
      @popekatalango9409 Год назад

      yesu kazaliwa nazareti Israel kaishi huko,na hija mnaenda Isrel lkn makao makuu ni Italia ilikuwaje?hpo mlipigwa na ki2 kizito halaf mnajiltia mna akili nawasomi kumbe vilaza tu wafata upepo

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania Год назад

      @@popekatalango9409 Maaskofu wa katoliki ni vichwa vya masters na PhD tu. Hauwezi linganisha na baraza la mawaziri lililojaa vyeti feki. Tukiwapa TEC waongoze nchi hii kwa miezi sita tu nchi itapiga hatua saana sana. Jamaa wanajua sana.

  • @georgeobute724
    @georgeobute724 Год назад +1

    Element mkataba na dining nivitu tofauti huu sio wakati wakujukombo kumekuwepo natatizo la ugovi wa madaraka ktk kanisa la kkkt hivyo basi watu wanashidwa judavua vitu

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Год назад

    Tunahitaji tasis za dini zilipe Kodi na kanda ya kaskazin ijengwe hospital ya Kanda ya kaskazin ijengwe Arusha tuache kutumia KCMC ili zilipe Kodi na hospital ya Kanda ya ziwa ijengwe mwanza tuachane na Bugando zilipe Kodi

    • @Jerie-q1c
      @Jerie-q1c Год назад

      eeeh

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania Год назад

      Ni ndoto zako lakini taasisi za kidini haitokaa itokee zilipe kodi kwa namna unayotaka. Siku zinalipa kodi basi hazitokuwa taasisi za kidini tena. Na zikibadilika na kutokuwa taasisi za kidini hatari yake hakuna mwenye ubavu wa kuimudu.
      Kuwa mpole tu.

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania Год назад

      ccm ianze kulipa kodi kwanza.

  • @DeusiSetivin-ls9uz
    @DeusiSetivin-ls9uz Год назад

    Ivi askofu umeusoma mkataba au unaongea mambo ya kiutawara utuereze mkataba umeusoma na unamanufaa Gani kwa taifa usifuaye bendea upepo angaria haki bira haki taifa ritakua kupata shida

  • @Hananja.r
    @Hananja.r Год назад

    Kumbe Askofu Malasusa. Anawakilisha Kanisa la Kilutheri la Uzaramo na Uluguru? . Kinachosemwa hapa na uhalisia sawa?. Ni sauti ya mpita njia tu.

  • @omarimmbaga5632
    @omarimmbaga5632 Год назад

    Kwenye kuwapa mkono wazee ni kuuvunja protoko

  • @BeatriceHenry-t3i
    @BeatriceHenry-t3i Год назад +1

    Hii ngoma nzito

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa Год назад +1

    Mama maji ni ya shida Dodoma fukuza watendaji wanaokuhujum kunakero sana

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania Год назад

      Alishasema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake sasa wewe unalalamika nini? Yeye mwenyewe anakula kwa urefu wa kamba yake.
      Unataka maji hamia mtoni ama ziwani.

  • @FredAlex-f8n
    @FredAlex-f8n Год назад

    Ago ni ya kwel

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g Год назад

    Kanisani hakuna Protoko.

  • @godsonmosi8428
    @godsonmosi8428 Год назад

    Ikifika hapo tusiambiwe tunachanganya dini na siasa ✍️✍️✍️

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Год назад

      Usipotoshe maneno!!

    • @godsonmosi8428
      @godsonmosi8428 Год назад

      @@jumakapilima7295 kama hujaelewa tulia

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania Год назад

      Dini na siasa zinachanganyika pale ambapo dini inakemea ulaji wa wanasiasa. Wanasiasa hawataki kukemewa na viongozi wa dini pale wanapofanya michongo yao ya uizi.

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Год назад

      @@Kijana-wa-Tanzania usipotoshe, wanaume wanafirwa mbona hatuoni kanisa kutoa waraka?

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania Год назад

      @@jumakapilima7295 Upuuzwe sababu haujielewi. Hili la mkataba ni jambo la kitaifa. Haukumsikia raisi akisema kila mtu ale usawa wa kamba yake lakini watu wasipitilize? Ile ni ruhusa ya kula rushwa.
      Ukitoka viongozi wa dini watoe waraka wa kukemea wanandoa kuwa na michepuko?
      Makanisani unajua wanakemea mangapi?
      Serekali uliisikia ikikemea ufisadi uliogunduliwa na CAG? Sababu raisi mwenyewe fisadi tu.

  • @MtakahelaJuma-kn8ln
    @MtakahelaJuma-kn8ln Год назад

    Ivi Kwann watanzania baadh wanafki sana nchi hii inavyokwenda Kila seem tatizo alaf mtu usemi ukweli unasifia tu au unapingatu

    • @husseinissa7118
      @husseinissa7118 Год назад

      Ww ndo tatizo kwenye familia yako nchi inatatizo gan au kisa mama kawapa uhuru wa kuongea ndo mnaropokwa mbn awamu ya tano mlikaa kimya pumbu zikawashuka na ukiongea unapotea au unajizima data

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania Год назад

      @@husseinissa7118 Mbona haulinganishi na awamu ya nne? Huo ndio unafiki unaozungumziwa sasa.

  • @Kijana-wa-Tanzania
    @Kijana-wa-Tanzania Год назад

    Kikwete katokea kusema tusichanganye dini na siasa akiwa kama mwanasiasa akuhutubia kusanyiko la dini; leo Samia amehutubia kusanyiko la dini huku yeye ni mwanasiasa.
    Mbona hamuishi matakwa yenu wenyewe?

    • @Mumewangu
      @Mumewangu Год назад

      Huyu ni Rais wa wananchi wote haangalii udini

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania Год назад

      @@Mumewangu Raisi wa wote akikosea atakosolewa na wote pasipo kuleta udini.

    • @Mumewangu
      @Mumewangu Год назад

      @@Kijana-wa-Tanzania mnamuona dhaivu magu alipokuwepo nani alijaribu kuinuwa mdomo wake? Wewe uliufyata.

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania Год назад

      @@Mumewangu Kama ni dhaifu hiyo ni juu yake. Hatutaki unafiki unaoliangamiza taifa. Mambo ya Magu yamepitwa na wakati na tunaye mtu tofauti anayeongoza sasa.

    • @Mumewangu
      @Mumewangu Год назад

      @@Kijana-wa-Tanzania duh. Umekosea sana sana kama hukumuomba M/mungu msamaha nakuhesabia siku saba zijazo utapata Balaa . kwa kusema mambo ya mungu yamepitwa na wakati. Dah nakuonea huruma.

  • @abdulkarimukusaga3617
    @abdulkarimukusaga3617 Год назад

    Hawa wazungu msiwamini sana kanisani niwatu wamchongo sana

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania Год назад

      Sio tusiwaamini sana, tusithubutu kuwaamini kabisa. Ni majambazi yanayojificha nyuma ya mgongo wa dini.

  • @sarahmuhammed6872
    @sarahmuhammed6872 Год назад

    Kwahiyo.maskofu.pia waendesha nchi???kazikwel8lweli.wsmeshindwa na waumini.wataweza wananchi??

  • @PeterIdan
    @PeterIdan Год назад +1

    Arudishe ndege yetu yenye aende kutumikia utumwa Kwa dubai

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Год назад

      Mtateseka sana mwaka huu, mama Yuko kazini, kkkt tayari wamemuelewa!!