CASFETA ARDHI - YESU NDIYE BWANA (Official live video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 май 2024
  • Wafilipi 2:9-11
    [9]Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
    [10]ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
    [11]na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
    Ufunuo wa Yohana 5:13
    [13]Na kila kiumbe kilichoko mbinguni na juu ya nchi na chini ya nchi ya juu ya bahari, na vitu vyote vilivyomo ndani yake, nalivisikia, vikisema, Baraka na heshima na utukufu na uweza una yeye aketiye juu ya kiti cha enzi, na yeye Mwana-Kondoo, hata milele na milele.
    Tunamshukuru Mungu kwa neema yake ilioachiliwa juu yetu katika msimu
    huu wa sita wa ibada yetu ya kusifu na kuabudu (WORSHIP FEST SEASON SIX) 🙏
    Mungu awabariki nyote mlio husika katika Ibada hii. Tunawapenda sanaa❤
    Host;Casfeta Ardhi praise team
    MD 🎹 @itselikorg
    Organ 🎹 @_iamjonah
    Auxilliary🎹 @david.bilha
    Second aux @joeswabijo
    Lead Guitar 🎸 @joh_wagalla
    Bass Guitar 🎸 @gloirebass_gb
    Drummer🥁 @drewchitete_1
    Pia tunatambua na kuthamini mchango wa kazi iliyofanywa na
    Sound engineer and producer @mitchell_mike_jr
    Video production 🎥 @squarefilms
    Lights @visualmatterz & Fardo VC
    Screen @Audax(John Urasa)
    Graphics @dopects.studio
    Composing @heshborn.neve@daud_mahene
    Vocal arrangements @heshborn.neve
    Stage &Backline @haddypro_co_ltd
    PA ‪@CCCUpangaTAGChurch‬
    Management @davidemmanuel.m @goodluck.kavishe_
    Photography ‪@pascalisaack6076‬ @Mgesha255
    .
    .
    .
    #unveilingdivineglory
    #worshipfest
    #Worshipfestseason6
    #CasfetaArdhi
    #lughayetuniupendo

Комментарии • 190

  • @Officialbiro_zadoki
    @Officialbiro_zadoki 20 дней назад +8

    I've been repeating this song More than 10 X .....God bless you watU WA Mungu ❤️❤️

  • @OridaCharles
    @OridaCharles 21 день назад +6

    Kabla ya kusikiliza wimbo nilivutiwa na sare zenu niliposikiliza wimbo sasa nimefurahi sana Mungu awabariki kwa kazi nzuri

  • @EstherJohn16
    @EstherJohn16 24 дня назад +14

    Wadada woteeeee wakaka woteee mmependeza na sauti tumezsikia😍

  • @EstherJohn16
    @EstherJohn16 24 дня назад +11

    Wapiga mziki woteeee mmetisha Mungu akumbuke utumishi wenu awatendee mema

  • @emmanuelwesly7115
    @emmanuelwesly7115 25 дней назад +13

    Nice
    Kenya 🇰🇪 represented likes for 🇰🇪

  • @sofiabrightony
    @sofiabrightony 20 дней назад +3

    Miziki Inalia Utukufu Unashuka Yesu ndiye Bwana❤🎉

  • @MaryMponi-qe9qz
    @MaryMponi-qe9qz 13 дней назад +2

    Wimbo n mzuriiii sanaaaaaa nmefurah Sana kukuona mdogo wangu Sifa MUNGU azid kukuinua mdogo wangu 👍

  • @PetervanShikuku-339
    @PetervanShikuku-339 21 день назад +4

    I love you and am blessed all the way from Kenya🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @FurahineJoseph
    @FurahineJoseph 26 дней назад +5

    HEY WHO IS WITH ME WAITING FOR THIS FIRE OF PRAISE AND WORSHIP, MORE LIKE IF YOU ARE WITH ME

    • @DICRASDANIEL
      @DICRASDANIEL 25 дней назад +2

      me 🎉🎉🎉🎉

    • @AbisalumDanda
      @AbisalumDanda 25 дней назад +2

      Me too, I'm waiting for this blessings❤

  • @elizabethmsele7243
    @elizabethmsele7243 24 дня назад +4

    Heshima na adhama zote ni za Bwana YESU🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shukurundelwa8923
    @shukurundelwa8923 19 дней назад +3

    Hongera Aru students kwa injili

  • @user-mi1pg7fh6r
    @user-mi1pg7fh6r 2 дня назад

    Kila ninapo sikiliza huu wimbo napata amani ya moyo. MUNGU yu wetu sote. Amen 🙏❤. One love Ardhi university casfeta singer's ❤

  • @rtlusungu
    @rtlusungu 22 дня назад +2

    Hongereni sana wimbo mzuri sana.
    Wadogo zangu Heshbon na Helen nafurahi ninapoona mlipofikia.. endeleeni mbele kwa ushindi .. am a proud brother to see y'all.. Glory to God .

  • @theresiakaswamila5578
    @theresiakaswamila5578 24 дня назад +2

    I see u victor Kibugi 🎉🎉🎉🎉 Mungu aendelee kuwainua kwa viwango vya juu

  • @IssaiahJd-ej4th
    @IssaiahJd-ej4th 13 дней назад +1

    bwana asifiwe samahani nahitaji mawasiliano yenu mnaweza kunipatia

  • @ElizabethLemunga
    @ElizabethLemunga 24 дня назад +1

    Ooh hallelujah Glory to God
    Hongereni sana casfeta Ardhi

  • @WITNESSHAULE-km8ou
    @WITNESSHAULE-km8ou 15 дней назад +2

    Weeembo ni mzuri Mungu awabariki🙏🙏🔥🔥

  • @ElijahRudo-eq4ex
    @ElijahRudo-eq4ex 19 дней назад +1

    Hongereni kwa kutupatia kitu kizur mmenibariki mno

  • @ministermossesmungure
    @ministermossesmungure 24 дня назад +2

    Amazing and Huge powerful be blessed abundantly family 🙌🙏🏽🙌🙏🏽

  • @biggyronnymusic
    @biggyronnymusic 24 дня назад +3

    Uwiiiiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @amJonah-uc1fr
      @amJonah-uc1fr 23 дня назад

      Sio powaa mziki tuu... 🙌🏾 Yesu Ndiye Bwana

  • @nicejaphetbk
    @nicejaphetbk 15 дней назад +3

    Yani ni🔥🔥🔥 Yesu ndie Bwana

  • @boniphacegospel6764
    @boniphacegospel6764 21 день назад +1

    May GOD Bless you all Brothers and Sisters of Casfeta Ardhi Praise Team🙏🙏
    I Appreciate you all my Brethrens🙌🙌

  • @veronicamosha7650
    @veronicamosha7650 24 дня назад +1

    Hakika Yesu ndiye Bwanaa Ametisha
    It is so hooot🔥🔥🔥🔥🔥
    Kazi yenu ni njema mnoo👏👏👏👏
    To God be the Glory🙌🙌

  • @Dunamis11
    @Dunamis11 24 дня назад +3

    Proud of you Heshborn! 👏

  • @andrewhilary4380
    @andrewhilary4380 15 дней назад +2

    Kazi njemaa

  • @CalvinMrema-vw7bg
    @CalvinMrema-vw7bg 25 дней назад +2

    He is Almighty God King of kings God of wonder 🔥🔥🔥 all the Glory to God🔥🙏

  • @samwel_laurent
    @samwel_laurent 24 дня назад +2

    It's terrific amazing song ever 🔥🔥🔥🔥🔥🙌👏

  • @alex.munubi9
    @alex.munubi9 24 дня назад +1

    Mnatishaaa Fam...
    Mungu awabarikiniii mnooo 🎇🔥🙋🏾‍♂️

  • @neyemman9177
    @neyemman9177 24 дня назад +1

    This night was firee🔥.. filled with the mighty presence of God . Mungu awabariki team kwa utumishi mwema .. its unforgettable night ❤

  • @EliasHassani
    @EliasHassani 3 дня назад

    Mpo vzr majesh ya bwana

  • @vicentpatrick558
    @vicentpatrick558 24 дня назад

    Mzee wa siku 😇

  • @EstherJohn16
    @EstherJohn16 24 дня назад +1

    Hongereni Sana wadogo zangu... Kigeregere nimekielewa😁

  • @user-tt8yz8pn2p
    @user-tt8yz8pn2p 11 дней назад

    Keep on don't allow evil take your potential gift from God🔥🔥

  • @ibraahpaul7893
    @ibraahpaul7893 24 дня назад +2

    Wimboo mkalii saaana

  • @EstherJohn16
    @EstherJohn16 24 дня назад +1

    Mungu akubariki Sana mdogo heshiborn

  • @EstherJohn16
    @EstherJohn16 24 дня назад +1

    Agape mwenye step Zake😂😂

  • @christopherdavid8635
    @christopherdavid8635 24 дня назад +1

    alooo moto sana
    mbarikiwe sana team MUNGU awatunze
    mmebarikiwa sana.
    hiyo intro

  • @FarajaNdayanse
    @FarajaNdayanse 24 дня назад +1

    💯💯💯, i know you boy❤‍🔥 ! keep it up @sharom band

  • @AshuraDyuke
    @AshuraDyuke 24 дня назад

    TukianzaStep master brother Agape na sololist Heshbon na team Kwa Ujumla MUNGU awabariki sana Kwa utumishi mwema

  • @EstherJohn16
    @EstherJohn16 24 дня назад +1

    Happy km happy

  • @joelmodest7627
    @joelmodest7627 24 дня назад +1

    Woza Forća 🔥🙌🏽

  • @DottoLyema
    @DottoLyema 19 дней назад

    Wimbo mzuri sana mungu akuongeze baraka

  • @user-vr2po8qd8c
    @user-vr2po8qd8c 24 дня назад +2

    Nakuona Heshborn Baraka. Yesu ndie Bwana

  • @user-zu7ti1lv4b
    @user-zu7ti1lv4b 23 дня назад

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa kushare kwangu wimbo mzuri #Givenkamendu

  • @sethmapunda4899
    @sethmapunda4899 24 дня назад +1

    Kwa Yesu raha yani humu tuuuuu

  • @MusaNihyo
    @MusaNihyo 24 дня назад +1

    Aaaaaiiiiiiiii ĺovely song nlokuwa nikiisubiri kwa hamu sanaaaaaa...
    YESU ndiye BWANA oooh❤❤...
    MUNGU azidi kuwatumia vema..
    Mmebarikiwa na mzidi kubarikiwa❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @HelinaMsalila-us4yo
    @HelinaMsalila-us4yo 24 дня назад +1

    Nabaeikiwaa saaana na hii team🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥰 MUNGU AWABARIKI

  • @AbisalumDanda
    @AbisalumDanda 25 дней назад +1

    Heshima na adhama ziko mbele zako Bwana

  • @ibrahimmkoko5670
    @ibrahimmkoko5670 24 дня назад

    🔥🔥🔥Mungu awabariki kwa kazi nzurii! Tunabarikiwa😇😇

  • @zabronerastus2359
    @zabronerastus2359 24 дня назад +1

    Heshborn baraka neve..........big up brother... super star 😅

  • @KedmondHaule-fy8uj
    @KedmondHaule-fy8uj 21 день назад

    MUNGU awabariki kwa kazi njema hii

  • @BetheliAggcichurch
    @BetheliAggcichurch 22 дня назад

    Waooh Mungu awabariki wanacasfeta

  • @gideontweve4306
    @gideontweve4306 11 дней назад +1

    Chitete 🔥👌

  • @citysuncvt1535
    @citysuncvt1535 24 дня назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @andrewzuberi4415
    @andrewzuberi4415 24 дня назад

    Hakika yesu ndiye Bwana wimbo mzuri sana🙌🙌

  • @AbisalumDanda
    @AbisalumDanda 25 дней назад +1

    Unveiling devine glory❤❤❤❤

  • @user-vk3ep9hz8r
    @user-vk3ep9hz8r 23 дня назад

    MUNGU awe nanyi kazi njema

  • @ability_wilbard_off1720
    @ability_wilbard_off1720 17 дней назад

    This is good & POWERFUL!!!..God Bless you All

  • @user-si3ts1px8z
    @user-si3ts1px8z 22 дня назад

    Hongeleni sana kazi nzuri

  • @charlesbenedict1641
    @charlesbenedict1641 24 дня назад +1

    can't stop manifesting this❤

  • @FADHILIMSANJILA
    @FADHILIMSANJILA 25 дней назад +1

    Looks so nice

  • @EdigaNsabi
    @EdigaNsabi 23 дня назад

    see you eden kifungo MUNGU awainue

  • @emmanuelwesly7115
    @emmanuelwesly7115 25 дней назад +1

    Yesu ndiye Bwana 🎉🎉🎉

  • @shaddyngailo
    @shaddyngailo 25 дней назад +1

    Eweee Saka sakata eeeh Saka

  • @FADHILIMSANJILA
    @FADHILIMSANJILA 24 дня назад

    Woowooooo hallelujah Mungu mkuu

  • @JoshuaLaizer-oh8kv
    @JoshuaLaizer-oh8kv 25 дней назад

    Hakika YESU ndiye Bwana kila goti litapigwa mbele zake na kila ulimi utakiri kuwa yeye ndio Bwana

  • @almolukas3749
    @almolukas3749 19 дней назад

    Good song ❤ YESU NDIE BWANA

  • @baryblessmmbando
    @baryblessmmbando 24 дня назад

    YESU pekee.... Wa kupewa sifa YESU NDIE BWANA🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @geofreytemenaoh5185
    @geofreytemenaoh5185 24 дня назад +1

    🎉🎉💥💥💥Glory to God Glory to God

  • @markoezekiel5144
    @markoezekiel5144 26 дней назад

    Waiting

  • @charlesmwanyemba3061
    @charlesmwanyemba3061 22 дня назад

    Hakika ni yeye🙌

  • @ZakiaKatima
    @ZakiaKatima 24 дня назад

    Mmetisha sana

  • @MaryWilliam-sr8zb
    @MaryWilliam-sr8zb 24 дня назад

    Hakika yesu ndiye Bwana ....

  • @innocentjmollel4974
    @innocentjmollel4974 10 дней назад

    You guys are Blessed sanaaaaaaaaaa😂❤❤❤❤❤❤❤

  • @AvithaKajemi
    @AvithaKajemi 22 дня назад

    Mungu awabariki sana❤❤❤

  • @godwinngongolo901
    @godwinngongolo901 26 дней назад

    Sitaki kupitwa na mbaraka huu

  • @mawazomwampashe974
    @mawazomwampashe974 24 дня назад

    I see you ney mtambalike🔥🔥🔥

  • @ajemimlangwa8873
    @ajemimlangwa8873 24 дня назад

    Yesu ndiye Bwana 🙌🙌🙏

  • @vicentkailembo3104
    @vicentkailembo3104 22 дня назад

    Safi ..sana dada groly from casfeta ardhi ...🌹🌹I love casfeta.........

  • @deusmbise
    @deusmbise 23 дня назад

    ❤ grace upon grace
    Good work🙌

  • @MagdalenaNguma-jz4nh
    @MagdalenaNguma-jz4nh 24 дня назад

    Waooooooo
    Nice song😘
    Be blessed

  • @gloryhapphson9713
    @gloryhapphson9713 24 дня назад

    🔥🔥🔥🔥🔥Hakika Yesu ndie Bwana🔥🔥🔥

  • @irenedavid2305
    @irenedavid2305 11 дней назад

    My lovely family ❤

  • @AyubuNoel-oi6zr
    @AyubuNoel-oi6zr 24 дня назад

    YESU NDIYE BWANA🔥🔥

  • @lidyaleedr698
    @lidyaleedr698 24 дня назад

    To God be the Glory 🔥 🔥 🔥

  • @belinabernard7468
    @belinabernard7468 24 дня назад +1

    🔥🔥🔥

  • @ambakisyekediely
    @ambakisyekediely 24 дня назад

    🎉🎉🎉🎉🎉weeeeeeeh YESU PEKEE NDIO JINA .....Hii Miziki Backvocalz weeee🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥YESU AWATUNZE SANA VIJANA WA MWENYE JINA PEKEE LAKUTUKUZWA🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

    • @johnemanuel9310
      @johnemanuel9310 24 дня назад +1

      🔥🔥🔥🔥🔥🔥YESU NDIYE BWANA ooh ❤❤❤

  • @markoezekiel5144
    @markoezekiel5144 24 дня назад

    The giver of life ❤

  • @DanielDeogratius-tm2ue
    @DanielDeogratius-tm2ue 23 дня назад

    Glory to GOD.... 😊

  • @daudifrank3664
    @daudifrank3664 25 дней назад

    9 minutes left 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AbisalumDanda
    @AbisalumDanda 25 дней назад

    Few hours later,❤ YESU NDIYE BWANA song is going to be a blessing to everyone.

  • @user-ym6ri7ro7r
    @user-ym6ri7ro7r 24 дня назад

    Glory to God 🙌

  • @suzethmayala7638
    @suzethmayala7638 24 дня назад +4

    Shout out kwa mdogo wangu happy mlaponi 🎉🎉🎉🎉

  • @danielwandwi1784
    @danielwandwi1784 24 дня назад

    This is 🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾
    Pipipi🎉🎉🥳 YESU NDIYE BWANA OOOOO🔥🙌🏾

  • @AgapeMasanza
    @AgapeMasanza 24 дня назад

    Glory to God ❤

  • @ev.kastenhelandogo2841
    @ev.kastenhelandogo2841 24 дня назад

    Waaaooh 🔥🔥🔥🔥

  • @JescaNkini-wj2xs
    @JescaNkini-wj2xs 25 дней назад

    ❤❤❤so lovely and amazing..
    Utukufu kwa Bwana Yesu ❤

  • @user-be6cv4gz6d
    @user-be6cv4gz6d 24 дня назад

    Nice 😊

  • @sethmlavi6173
    @sethmlavi6173 3 дня назад

    🔥🔥

  • @enockfrancis211
    @enockfrancis211 24 дня назад

    Nicee sana, Glory to JESUS