MWANAFUNZI ALIYEUAWA MBOGWE FAMILIA YATOA KAULI, MAMA ASIMULIA KWA UCHUNGU 'MWANANGU ALIPIGWA RISASI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 30

  • @dancerboy2686
    @dancerboy2686 Месяц назад +3

    ni huzuni sana, kwaiy xaiv ni mwendo wa kutoa roho sio tuone askari nae apigwe risasi kama wataflai

  • @damianlyimo1011
    @damianlyimo1011 Месяц назад +4

    Kwahiyo Polisi Mmeua mwanafunzi???

  • @FrancisMabuga
    @FrancisMabuga Месяц назад

    Daaaah inauma sanaa aiseee

  • @lucykebacho4852
    @lucykebacho4852 Месяц назад +2

    Pole wafiwa

  • @ramajuma5620
    @ramajuma5620 Месяц назад +1

    Hivi hawa waandishi hawan maswal ya kuuliz et ulikuwa unatumain nin kwa mwanao pumbavu wew unajua maumivu ya kufiwa 😢😢😢

  • @LethisiaNjika
    @LethisiaNjika Месяц назад +1

    Hivi serikali inajisikiaje mtoto wa mtu anakufa kifo kama hiki jmn? Angekuwa mtoto wa rais au waziri ndo mngefatilia? Daah!!!

  • @hongerakimbwala8650
    @hongerakimbwala8650 Месяц назад

    Dhambi jamani... Pole Sana mama

  • @vaikaayagadiel520
    @vaikaayagadiel520 Месяц назад

    Jamani msikilizeni huyu mama acheni kulaumu, mtoto alikuwa ndani chumbani kwake kitandani

  • @hongerakimbwala8650
    @hongerakimbwala8650 Месяц назад +1

    Hivi eti maziko itafanya serikaki badala ya kufuatilia polisi gani Alifyatua hizo lisasi na ikiwezekana Afukuzwe kazi na kuchukuliwa hatua Kali... Hiyo ndo ingekuwa haki amefanyika

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Месяц назад

      Kauliwa mtoto wa mtu wa hali ya chini ambae kwa viongozi wetu wanatuona sisi sio binaadamu

  • @amedeusfredrick1614
    @amedeusfredrick1614 Месяц назад +2

    Taifa limepoteza waziri, raisi na mfanyabiashara wa kesho kizembe

  • @selemanpaul2710
    @selemanpaul2710 Месяц назад

    Ila hii nchi imekuwa mbay snaa

  • @rizikimohamed2449
    @rizikimohamed2449 Месяц назад +1

    Jamaniiiiiiiii walai mitihani tuu

  • @MirandaThomas-n3v
    @MirandaThomas-n3v Месяц назад +4

    Haya mambo ni yamezidi jamani

  • @AbuuThabiti
    @AbuuThabiti Месяц назад +1

    Wazazi wenzangu nawasihi saana kuwaelimisha watoto wetu waache tabia ya kujiunga na maandamano wala kujihusisha na uvunjifu wa amani ya nchi yetu

    • @lwakainaza
      @lwakainaza Месяц назад +2

      Marehemu hakupigwa risasi kwenye maandamano.

    • @tracyyusuph5466
      @tracyyusuph5466 Месяц назад +2

      Binti hakushiriki maandamano kapigwa risasi akiwa ndani.

    • @rahmaihucha8577
      @rahmaihucha8577 Месяц назад +1

      Kwan mabom ya machoz yanakaz gan??? Je wangeingia bungen kuvuruga wangewafanya nini?

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Месяц назад

      ​@@tracyyusuph5466watu wengine viziwi anaskia lakini katia masikio pamba huyu kauliwa kama Aquline alikuwa ndani ya daladala risasi ikampata .😢

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Месяц назад

    R.I.P poleni sana wafiwa 😭😭.Weledi wa kazi hakuna inamaana maamuzi ya mwisho ni silaha za moto ?mnatumia bunduki kama manati .Alafu utasikia kuna amani nchi hii ,oneni sasa mnaua hata wasiokuwa na hatia bullshit 🚮

  • @FrancisMabuga
    @FrancisMabuga Месяц назад

    Duuu machozi yamenitokaa

  • @barakambise1859
    @barakambise1859 Месяц назад

    Daaaa

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u Месяц назад

    Unashukuru police wakati police wameua?? Tena risasi imepita dirishani

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 Месяц назад

    EWE NCHI YANGU TANZANIA UMEPATWA NA NINI

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Месяц назад +1

    Police ninyi tu Kila siku

  • @tkashatz
    @tkashatz Месяц назад +1

    Mungu itazame tz

  • @SaimonEmmanuel-h9t
    @SaimonEmmanuel-h9t Месяц назад

    Mpk uruma jmn

  • @AbuuThabiti
    @AbuuThabiti Месяц назад

    Kwani alikuwa anaandamana kwa tatizolipi

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Месяц назад

      Sikiliza kwa makini alikuwa ndani

  • @joshuaphilipo618
    @joshuaphilipo618 Месяц назад

    Duuhjj