Nay Wa Mitego - Happy Day (Official Music Lyrics Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии •

  • @razakilipwelele5518
    @razakilipwelele5518 27 дней назад +62

    Tunaoamini tunaishi kwa baraka zake mungu,sisi ambao tunachelewa kula lakini hatulali na njaaa😢😢😢.Tujuwane hapa

  • @bahathjohn1064
    @bahathjohn1064 27 дней назад +77

    kama rais wako ni nay like lako hapa💪💪💪namkubali sana

    • @albathman9271
      @albathman9271 27 дней назад +2

      rais wa kitaa

    • @williamriwa2953
      @williamriwa2953 24 дня назад +1

      Anajua sana kukonga nyoyo zetu wakitaaa

    • @bahathjohn1064
      @bahathjohn1064 24 дня назад

      @@williamriwa2953 tungekuwa wachangamfu kama yeye wote tungetembelea juu ya anga, sio kwa uoga huu hatuna ushirikiano🥲🥲

  • @Thebull123
    @Thebull123 18 дней назад +1

    This guy never disappoints.
    Nuff respects 🙏 from Nairobi 🇰🇪

  • @ChanceSalven
    @ChanceSalven 27 дней назад +10

    ❤❤❤❤❤ kk unajua kweli jameni munipe liké zangu miwakwanza

  • @ivantompoo-c9k
    @ivantompoo-c9k 28 дней назад +26

    Kaka nichunguze vizuri ulipo nipo like uwe kama mm kwa rais wa kitaa

  • @hildahaule
    @hildahaule 24 дня назад +2

    Nice 👍 Song Na Wa Maana Sana Wenye Ujumbe Na Maono Ndani Yake GOD Bless Ney Wa Mitego

  • @MoN_KaDO
    @MoN_KaDO 27 дней назад +16

    Rais wa kitaa ni mmoja tu. Wengine ni wasindikizaji.. shoutout Mr Nay 🙌 👏 🙏

    • @hasanipoy3976
      @hasanipoy3976 27 дней назад

      Hapo hamekosea kabisa tunapenda moja ngumi mwambie mama kwa nini hanauwa watu hovyo

  • @luckyluchano1
    @luckyluchano1 25 дней назад +2

    Mr. Nay nakupenda tu bure. Kaza mwendo kabisa bro...much love from kenya 🇰🇪

  • @jonakajigili6991
    @jonakajigili6991 27 дней назад +4

    Oyaaa weeee .... nyimbo ya hustlers

  • @raiszongo4136
    @raiszongo4136 24 дня назад +2

    Asante Baba 🔥🔥🔥🔥 kuishi ni baraka

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 24 дня назад +4

    Kwenye Hii Mitambao Muachieni Tu DARASA🔥✊🏾

  • @PrinceFrance-h9v
    @PrinceFrance-h9v 26 дней назад +7

    nyimbo flan hv ya maan kabisa

  • @KelvinGwakisa
    @KelvinGwakisa 24 дня назад +1

    Fireeee kaua aloooo🔥

  • @mwajumashabani8778
    @mwajumashabani8778 27 дней назад +17

    ❤❤❤ Ukiufata Moyo utakuponza😂😂😂😂

  • @BarackTaikoh-od5up
    @BarackTaikoh-od5up 24 дня назад +2

    Kwasasa naufuara wimbo na kicheko mdomoni sababu mara hii nay umenikubalisha
    Hâta kama Niko🇨🇩

  • @KhassimAbdul
    @KhassimAbdul 27 дней назад +22

    NILITAKA KUKATA TAMAAA ILA KUSKIAA HUU WIMBO NGUVU IMERUDI❤❤❤❤BIG UP BROTHER GUD MUSIC 🎵🎵🎶🎶

  • @PerfectJbo03
    @PerfectJbo03 27 дней назад +6

    We Bwana unajua sana nilianza kukufuatilia tokea Ile Ngoma ya ITAFAHAMIKA, siwezi kuacha kukufuatilia ila Nay mmmmmh 🫡🫡🫡🫡

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 27 дней назад +7

    Mwenyekipaji anakipaji tu hata asipoimba mambo myofanya msipige ngoma zake, raisssssss!

  • @Abdulrashid-h8i
    @Abdulrashid-h8i 27 дней назад +8

    Kuishi ni baraka..it's a happy day kabisa..

  • @michel103
    @michel103 26 дней назад +2

    ngoma kali sana kabisa,

  • @KONGWAFAUSTINPHILANTHROPE
    @KONGWAFAUSTINPHILANTHROPE 24 дня назад +2

    BIG UP SANA KWELI RAISI WAKITA❤❤🎉🎉🎖️🏅🥉🥇💯🏆FROM DRCONGO UVIRA 🇨🇩 C'EST TJR PHILANTHROPE

  • @ProtaceKimario
    @ProtaceKimario 24 дня назад +2

    Ngoma kali sana ❤❤❤❤❤

  • @jafaralyyoutubecanalniassa4602
    @jafaralyyoutubecanalniassa4602 27 дней назад +4

    🎉yako nay kutoka Moçambique nakubali sana ngoma zako

  • @patrickmbwambo
    @patrickmbwambo 27 дней назад +6

    Ujaweka tusi kabisa huu wimbo nakusikiliza kwa umakini nimerudi mara tatu

  • @Princelove252
    @Princelove252 27 дней назад +10

    Super mr Nay🔥🔥🔥

  • @maembelaurent970
    @maembelaurent970 27 дней назад +3

    Maisha malefu sana laisi wa kitasa❤❤❤❤❤

  • @LizenMaker
    @LizenMaker 27 дней назад +5

    No. 1 Tanzania. True Boy. 🎉🎉🎉🎉

  • @MohammedNzili
    @MohammedNzili 27 дней назад +3

    Top kabisa

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 27 дней назад +4

    Bonge la ngoma kudadeki, Nay ni noma

  • @Mrishowalengamina-bx2to
    @Mrishowalengamina-bx2to 27 дней назад +6

    Kaz kubwa mda wote inaendaga vizur ❤❤

  • @AyubuDickson
    @AyubuDickson 27 дней назад +11

    President hajawah kutuboa sisi mashabiki zake kila akitoa ss ni kufarah tu hongera msani wangu bora nyakati zote

  • @ZakayoMollely-m4i
    @ZakayoMollely-m4i 27 дней назад +9

    Good 👍 song ujengewe sanamu Yako basata na Kwa serikali

  • @JumamgemamatogoloMatogolo
    @JumamgemamatogoloMatogolo 27 дней назад +5

    Wimbo mzuri kweli kweli kama kuna mtu hasikii aniuliza mimi nimuekeze

  • @PacifiqueLeontina
    @PacifiqueLeontina 27 дней назад +4

    MUNGU azidi kukusaidiya sn kukupa nguvu naipendasn

  • @BONIYI
    @BONIYI 24 дня назад +2

    Ulijifunzia wapi? mziki na mi nikasome❤

  • @MayamimusiclabelMML
    @MayamimusiclabelMML 27 дней назад +10

    Namsubili iyo nyimbo ili nifunguliye sabufa ney is the best artist I m boy from Mozambique

  • @LundikaPwagu
    @LundikaPwagu 27 дней назад +7

    Good sound! Força 💪

  • @abrahmanali9970
    @abrahmanali9970 25 дней назад +1

    asante raisi wa kitaaa kwangoma kali

  • @AlexJumanne-ls5gm
    @AlexJumanne-ls5gm 26 дней назад +5

    Nitakuwa mchoyo nispo comment kwenye hili dude la nay

  • @ObeyEmmanuel-lb9lc
    @ObeyEmmanuel-lb9lc 26 дней назад +2

    Nay kumb unamjua mungu

  • @OdaviaRashid-i7n
    @OdaviaRashid-i7n 25 дней назад +2

    Wakitaa🎉

  • @BigPaul-n6j
    @BigPaul-n6j 27 дней назад +2

    We ni noma nay

  • @mu9tz639
    @mu9tz639 24 дня назад +3

    ❤ raise wamitaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💥💥💥💥

  • @eryclassictz6011
    @eryclassictz6011 27 дней назад +5

    Guch B mtu mnomaaa sanaaa kwenye ngoma za kuchezeka iziii jamaa afaiiii

  • @amipogba6203
    @amipogba6203 27 дней назад +7

    Rais wakita sisi watoto wa mungu ahsante baba

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 27 дней назад +4

    nay mtu wa maana kabisa

  • @RichardKasena
    @RichardKasena 20 дней назад +1

    NAY WA MITEGO well said much lov❤ from KENYA 🇰🇪

  • @ramadhantz5171
    @ramadhantz5171 26 дней назад +2

    Raisi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @wisedulayo6531
    @wisedulayo6531 23 дня назад +4

    Ili Goma noma sana limekata pw ukiskiza kdgo unapata moyo

  • @OptimisteMika
    @OptimisteMika 27 дней назад +2

    Kali kbs

  • @NurdinIddy
    @NurdinIddy 25 дней назад +3

    Kaka nakubari kazi zako hujawahi kuferi

  • @frankmailu943
    @frankmailu943 27 дней назад +3

    Kalii sanaa aisee
    Gech B

  • @GraceMapenzi-m8d
    @GraceMapenzi-m8d 27 дней назад +4

    From Drc 🇨🇩 Goma town alipo toka Rambo🔥🔥🔥

  • @buruanisaidi2411
    @buruanisaidi2411 26 дней назад +3

    Ujumbe kwa watafutaji wote

  • @NuruIjengo
    @NuruIjengo 27 дней назад +2

    Oyaaaa mzigo mkaliii ney big brother 💪💪💪😊😊

  • @Mike_vince2180
    @Mike_vince2180 27 дней назад +3

    Rais kama rais wa kitaa .I listened this master piece this morning and it's a vibe. ❤❤❤

  • @DJAZBABOYS
    @DJAZBABOYS 27 дней назад +2

    Wangapi wana penda iyongoma waweke lik 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🕯️

  • @PaulSaimon
    @PaulSaimon 27 дней назад +11

    raisiiiiiiiiiiiiii wa kitaaaa

  • @Kingkilua-n1r
    @Kingkilua-n1r 27 дней назад +5

    Nay on fire

  • @raher-w4x
    @raher-w4x 26 дней назад +2

    jamani NIMEIRUDIA HIII SONG MALASITA NA BADO NAISIKILIZA WOW NINZURI SANA SHARAP TO YOU NAY❤❤❤❤

  • @Fiddkim
    @Fiddkim 27 дней назад +1

    Baba😮❤❤

  • @Adozby.officiel
    @Adozby.officiel 27 дней назад +4

    Vizuri sana

  • @JmaexChambo
    @JmaexChambo 27 дней назад +2

    Funga mwaka hiyo ney amegusa mioyo ya watu big up brother

  • @JulioJirestz
    @JulioJirestz 23 дня назад +4

    ❤🎉🎉🎉🎉❤ nyimbo

  • @crown-u2w
    @crown-u2w 26 дней назад +3

    Jama noma

  • @clintoniha
    @clintoniha 24 дня назад +5

    Kwa mara ya kwanza nakukubali kaka

  • @rashidmakka8294
    @rashidmakka8294 27 дней назад +10

    HAWA VJANA WANA MCHANGO MKUBWA KWA JAMIII

  • @StevenKumba-w1d
    @StevenKumba-w1d 26 дней назад +4

    Nay wa mitego nampenda kwani ame mkubali Mungu kwaukweli sasa like kama unajuwa kuhishi ni baraka

  • @MwendaLuhungoMululo-in4jw
    @MwendaLuhungoMululo-in4jw 26 дней назад +3

    you are my first priority to me Rais I love your songs always watanzania tunaomkubali Raisi wetu gonga like apa ili mwakani agombee kabsa♥️

  • @AnnoyedCatfish-bs3sy
    @AnnoyedCatfish-bs3sy 27 дней назад +1

    Hii ni hit forever ❤🎉🎉🎉🎉 # Nay wamitego 🔥🔥🔥🔥🔥🌍🙌🏾🙌🏾🙌🏾🤝🤝🤝

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr 27 дней назад +2

    Duh hongera xana hakika unaguxa maixha ya watu tunajivunia kuckiliza nyimbo zako kila hatua dua🎉🎉🎉

  • @abeljoaquimdiombadiombaabeljoa
    @abeljoaquimdiombadiombaabeljoa 27 дней назад +2

    Moto kaka aujawai kuniangusha,,,atakama Niko Mozambiqu❤😊😊🎉🎉🎉

  • @amirihassan5753
    @amirihassan5753 27 дней назад +4

    Huyu jamaa kila ukihisi amemaliza anatoa tena ngoma kali😅

  • @blaisemanirakiza-iz6sk
    @blaisemanirakiza-iz6sk 27 дней назад +3

    Nakubali mzee🎉🎉🎉🎉good vibe

  • @simonhaule8976
    @simonhaule8976 26 дней назад +2

    Huyu jamaa ni wakitaa haijalishi hata kama atakujakuwa bilionea hatatuacha wanyampasira wenye mlo mmoja kutusemea ❤❤

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 23 дня назад +2

    Huyu dogo tungo zake.....ni kwa wenye akili nyingi.........
    Mi namsikililizaga yeye tu kati ya hawa madogo

  • @FrankMagulu-o3h
    @FrankMagulu-o3h 24 дня назад +1

    Kali sana 🤞🤞🤞

  • @raher-w4x
    @raher-w4x 27 дней назад +1

    ❤❤❤❤ all the best NAY

  • @kennysururu3887
    @kennysururu3887 27 дней назад +11

    Rais wa kitaa/Thee Ghetto president

  • @badboyjephanie-uh3mz
    @badboyjephanie-uh3mz 27 дней назад +129

    Tunao mkubali nay tujuane kwaku like hii comment

  • @BokaSabo
    @BokaSabo 27 дней назад +5

    All the best

  • @dcwamilazo3072
    @dcwamilazo3072 27 дней назад +2

    Kwer kbs .kuishi ni baraka 🙏

  • @ngomuotvonline5814
    @ngomuotvonline5814 26 дней назад +2

    President wa Kitaa

  • @Kahogoasili2024
    @Kahogoasili2024 27 дней назад +11

    Nyimbo zuri sana nay

  • @JohnRaperJohnRaper
    @JohnRaperJohnRaper 26 дней назад +1

    Sanaaa sana mr Nay ❤❤❤❤

  • @mwadinikheri3772
    @mwadinikheri3772 27 дней назад +8

    Kama unakubali nay ni jeshi la mtu m1 gonga like haitaj hata kushirikisha watu kwenye song yake

  • @ejibethnyeho9991
    @ejibethnyeho9991 23 дня назад +2

    Hakika rais wa kitaa

  • @musamkyabela
    @musamkyabela 26 дней назад +1

    Nakubaaaaali sana mtu wangu 💪💪💪💪💪

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 27 дней назад +5

    Bonge la ngoma

  • @raindoro5201
    @raindoro5201 27 дней назад +2

    Kaliii

  • @innocentmathias8668
    @innocentmathias8668 27 дней назад +6

    Vesi ya kwanza aliyesikia tone na uandishi wa darasa weka like

  • @Fxbadgers
    @Fxbadgers 27 дней назад +1

    Ngoma kali sana asee, Nay haujawah kutuangusha

  • @ElvisElvis-t6y
    @ElvisElvis-t6y 27 дней назад +2

    Kioo cha jamii rais wa kitaa much love from Kenya 🇰🇪

  • @AdjanixUmagaSantos
    @AdjanixUmagaSantos 26 дней назад +1

    Ninajifunza Kiswahili, na tangu nilipoanza safari yangu zaidi ya mwaka mmoja uliopita, msanii huyu amekuwa kipenzi changu katika safari hii ya ajabu katika ulimwengu wa Kiswahili. Ninapenda sana nyimbo za Mr. Nay Wa Mitego.

  • @YahayaAlly-m9c
    @YahayaAlly-m9c 27 дней назад +2

    Ngoma kali sana

  • @mwl.ombimahenge6782
    @mwl.ombimahenge6782 27 дней назад +1

    Mungu akutunze Rais wa Kitaa. Kazi zako zinaujumbe mkubwa sana,

  • @siwemaSylvester
    @siwemaSylvester 27 дней назад +1

    ❤umetisha kwa kweli asante. Baba for the happy day ❤❤

  • @legawayz6093
    @legawayz6093 26 дней назад +1

    happy say 🤣🎵🔥🔥🔥🔥
    take 👊 rais wa kitaa

  • @Victornaftali
    @Victornaftali 27 дней назад +2

    Uko juuu ney🎉🎉🎉🎉

  • @MbwanaPindo
    @MbwanaPindo 27 дней назад +2

    Rais wa kitaa big up...