ZUCHU YUPO TAYARI KUFANYA HILI JAMBO ILI AOLEWE NA DIAMOND ASHINDWA KUJIZUIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 55

  • @RehemaKatana-m6l
    @RehemaKatana-m6l 18 дней назад +12

    Zuchu forever 🥰...mwanamke kujiamini zuu.. hongera

    • @RabiaWahadh
      @RabiaWahadh 18 дней назад +2

      Kabis Umeongea Point 💯✔️ Nakupend San Zuch 💯💯

    • @ArshanaEsthy
      @ArshanaEsthy 18 дней назад

      unaongeya point

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 18 дней назад +2

      Kama anajiamini asiwe anajiliza akitendwa akae kimya, mwanamme muhuni anakupiga tukio then anakuomba msamaha hata kukupa chochote utakacho ili umrudie, ukirudi baada ya muda unapigwa tukio tena, mapenzi gani hayo, bora angemuoa then amsamehe hivyo sio boyfriend, ujinga huo.

    • @Lizawansima
      @Lizawansima 18 дней назад

      Ina kuusu nini❤❤❤

  • @SmilingFreshwaterLake-tg5qp
    @SmilingFreshwaterLake-tg5qp 18 дней назад +4

    Jibu nzuri baby Zuuuu

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 17 дней назад +2

    Diamond anampenda saaana saana Zuchu Diamond Kafa Kaoza hawezi mwacha Zuchu maisha yake yoote na Zuchu hawezi achana na Diamond waowane tu tulee vijukuu

  • @wardatyhemed
    @wardatyhemed 18 дней назад +4

    mm.najuw ni muislamu na anachokifany anajuw km ni dhambi ila mapenz❤

  • @WycliffeAbdulLigare
    @WycliffeAbdulLigare 17 дней назад

    Zuhura ndio ataolewa na simbaa tu mwanamke shupavu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @radhinamedi8301
    @radhinamedi8301 16 дней назад +1

    Nahisi mumemuelewa munaesema anangangania amesema RAHA YA KUNGANGANIA NA WEWE UNGANGANIWE.

  • @azizabiroribirori8665
    @azizabiroribirori8665 18 дней назад +4

    😂😂😂😂😂😂 we ni mwanamke ❤❤❤❤

  • @Nikita_8017
    @Nikita_8017 18 дней назад +3

    Internet never forgets

  • @Loraine2t
    @Loraine2t 18 дней назад +2

    😂😂😂😂😂😂jamani Zuchu😂😂😂😂😂

  • @esthermutabuzi4582
    @esthermutabuzi4582 18 дней назад +5

    Ni kweli Zuchu amemkuta Diamond ametulia. Aliyepitia njia ngumu na Diamond ni Zari. Diamond cheated a lot alipokua na Zari kuliko wanawake wote na ndio maana alishindwa kusamehe.

  • @Ndiyooo
    @Ndiyooo 18 дней назад +1

    Mama dangote njooo hkuuu 😅😅😅😅

  • @JacksonKachila
    @JacksonKachila 18 дней назад +1

    Zuchu yuko sawa

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h 18 дней назад +1

    Zuchu mambo

  • @MkundeLugula
    @MkundeLugula 18 дней назад

    Ana kiti ❤ mbinguni hyo

  • @drvuairamadhan8488
    @drvuairamadhan8488 18 дней назад +2

    Mtihani mzito sn

  • @AdelphineUWIMANA-f3z
    @AdelphineUWIMANA-f3z 17 дней назад

    Nakapenda kanawajibu serious

  • @Thebaddest255
    @Thebaddest255 18 дней назад +1

    Ndo maana ake baby ng’ang’ania 😂 tamba❤

  • @omranalbarwani7190
    @omranalbarwani7190 18 дней назад

    Zuchuuuu❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @EmanuelMbandi
    @EmanuelMbandi 16 дней назад

    Hakuna muoaji hapo

  • @Fantastic.-gm1eo
    @Fantastic.-gm1eo 16 дней назад

    Huwenda K*ma ya zuchu inabana ana kashimo tight ndio maana mond amenasa😂

  • @NamaaAntoni
    @NamaaAntoni 16 дней назад

    Misijakuelewa maswala yandoa nimaliziano ya watu wawili weee ukotayali nayeye hataki

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 18 дней назад +11

    Mmekaa mnaongea uzinifu mnaona sifa mnasifia upuuzi nakujisifia eti mmekaa kwenye uzinifu myaka 4 nawanao coment wakisifia nao wazinzi ona watakavyo kuja kwenye comment yangu wazinzi kunishambulia kila atakae nijibu nae mzinifu sababu sijamtaja mtu nimemtaja zuzu

    • @iddsimba3849
      @iddsimba3849 18 дней назад

      Umeongea point ☝️

    • @MuniraShughuli-kc7vj
      @MuniraShughuli-kc7vj 18 дней назад +1

      Wasubir kesho Kwa Allah

    • @ArshanaEsthy
      @ArshanaEsthy 18 дней назад

      acha wivu

    • @Lizawansima
      @Lizawansima 18 дней назад

      Wewe wakwaza kuzini wewe malaya

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 18 дней назад +1

      @Lizawansima nilijuwa tu wazinzi watajileta wenyewe bila kuitwa badilika uzinifu hauna baraka niuchafu bibi,

  • @mariaamuri9627
    @mariaamuri9627 18 дней назад

    Haki Zuchu wewe hii sasa duuh!. 😂😂😂

  • @josephinesisso6598
    @josephinesisso6598 18 дней назад +1

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @messiahfeatures3994
    @messiahfeatures3994 17 дней назад +1

    Diamond anakupiga matukio kila leo mbn wewe hakuna tukio hta moja ulilompiga? Ndo maana wewe ni kin'gan'ga au hapendwi na mwinginewe yaan huvutiki kwa wanaume🙄

  • @mesimkenya7107
    @mesimkenya7107 18 дней назад +2

    Definition of unhealthy relationship/This is toxic guys

  • @salama1113
    @salama1113 17 дней назад

    Maneno unayatupa hayo kulia badae hakuna😂😂😂

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 17 дней назад

    Kwakweli amna ndoa lokole ni mke mwenza

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 17 дней назад

    Forget it no marrage there😭😭😭😭😭

  • @Ndiyooo
    @Ndiyooo 18 дней назад +2

    ZUCHU ana tanaa ya oesa zoote za diamond 😢😢😢😢😢

  • @Living7Stone
    @Living7Stone 18 дней назад

    Eti Diamond Planamzi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Planamzi 😂😂😂😂😂😂

  • @racheljombo9137
    @racheljombo9137 18 дней назад +1

    😢

  • @Living7Stone
    @Living7Stone 18 дней назад

    Planamzi ni nani?😂😂😂😂😂

  • @TawhidaKale
    @TawhidaKale 17 дней назад

    Pole pole

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 18 дней назад

    Diamond sio muoaji miaka 4?? 😮😮

  • @ZaitunJuma-l5p
    @ZaitunJuma-l5p 18 дней назад

    Mali