WAMENICHAPIA

Поделиться
HTML-код

Комментарии •

  • @noru9028
    @noru9028 Год назад +75

    Sijawai kupataga like hapa naomben Leo n mm TM joti nijuze tunaupendo

  • @esmaelinhoharnandez4479
    @esmaelinhoharnandez4479 Год назад +52

    kama wa mkubali joti ni king wa comedy tz gonga like

  • @njikuhr1875
    @njikuhr1875 Год назад +11

    Duuuh watu mnawahi sana ku comment. Nilijua mimi ndo namba moja. Lkn nipeni like wakurungwa

  • @pallangyodaniel8918
    @pallangyodaniel8918 Год назад +6

    😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😃😃king comedian, majirani mmetulia na vigua vyenu🤣🤣🤣😃😃😄😄😃😃😃😃😃

  • @kevinantony8002
    @kevinantony8002 Год назад +8

    Naiyona riziki yangu nashukuru😂😂😂 Aya twendeeee😁😁😁

  • @ibrahimnjohole1684
    @ibrahimnjohole1684 Год назад +14

    Ahahaha....kwahiyo unataka ukamtekenye bi mkubwa huyo ujipooze uongo!Joti fara sana wewe daaaah😀

  • @escaladeokonkwo1048
    @escaladeokonkwo1048 Год назад +177

    DuuuuH Nilijua Nmewai Kumbe Nmechelewa Aiseee Japo Like 5 tuuu Naomba

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu Год назад +2

      like unazipeleka wapi kenge wewe. ?
      acha ushamba 😏

    • @zaitunirashidi5532
      @zaitunirashidi5532 Год назад

      Hii comment kila ukiingia Kwa jot lazima iwepo...mi sicomment nimeacha kama ndo ivo😢

    • @mbizoo89
      @mbizoo89 Год назад

      Million vip?

    • @mozespatnam7469
      @mozespatnam7469 Год назад +1

      Like zitakusaidia nini wew

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 Год назад

      hahahaeee unaetaka like 5 nimekupa

  • @LearnwithMadamnaomi
    @LearnwithMadamnaomi Год назад +8

    Hahaa 😂wenye nyumba wanafik hahaaa mpe mwiko alambevau sufuria akolombeze,😅

  • @nimujocentre2173
    @nimujocentre2173 Год назад +17

    Etiii Rizki yangu naionaaa😂😂😂 Joti fala sana

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 Год назад +15

    😂😂😂😂 jot umeshindikana unataka ukamfanyeje bibi wa watu eti ridhiki yangu naiona 😂😂😂😂

  • @Oshkoshmadala
    @Oshkoshmadala Год назад +6

    Wazee wa CUBA sio mchezo 😂😂

  • @stevenmwasomola2417
    @stevenmwasomola2417 Год назад +5

    😅😅😅😅😅😂😂😂 riziki yako unaiona baba😂😂😂

  • @philmoneric6256
    @philmoneric6256 Год назад +4

    Bro we ni hatarii m siku wezii ur ze best in comedy

  • @chrissoty7368
    @chrissoty7368 Год назад +5

    Naiona naiona riziki yangu 😀😀😂😂😂😂😂😂😂😂😂 joti Mwehu

  • @Son_TV_Online
    @Son_TV_Online Год назад +4

    Mzee M'bembe katisha sana😂😂😂😂😂

  • @EllyJr-z5y
    @EllyJr-z5y Год назад +1

    Naqubal sana joti uko vizuri sanaa🎉🎉

  • @siyayemduda2029
    @siyayemduda2029 Год назад +11

    Hatari jot the best comed

  • @AsmaAsma-gd3mv
    @AsmaAsma-gd3mv Год назад +5

    Ziwa Victoria ft ziwa Nyasa😂😂

  • @abdulazizimohamed3093
    @abdulazizimohamed3093 Год назад +3

    Joti noma sana huna kazi mbovu

  • @adammgaya5396
    @adammgaya5396 Год назад +9

    Joti unatalent Sana brother Ila nimemiss ukiigiza mpemba

  • @crisndembwele4016
    @crisndembwele4016 Год назад +7

    😂😂😂 Hahaha Hahaa eti asantee naiona rizk yangu qmamaqe jot 🙌🙌🤣🤣 🤣

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Год назад +1

    Joti umekosa nyama hadi majani unakula we kiboko😂😂😂😂😂😂❤️❤️

  • @defrankline
    @defrankline Год назад +25

    The ending is priceless!

  • @koyesandatuya5422
    @koyesandatuya5422 Год назад +4

    Jot we ni noma sana

  • @ninahmbonea6248
    @ninahmbonea6248 Год назад +25

    Huyu mama akumuelewa Joti alivyo sema naiyona liziki yangu, kumbe liziki yenyewe ndiyo huyo mama kwa mujibu wa Joti 🤣

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Год назад

    Halafu we jot una lana unataka kumugeuzia kibao bibi wa watu😁😁😁yaan nimecheka mpaka basi👍👍👍👍❤❤❤❤❤❤

  • @meshackaloyce9662
    @meshackaloyce9662 Год назад +7

    Hahahahaha 🤣 jott umetisha

  • @michaelbalele929
    @michaelbalele929 Год назад +2

    Eti nipozee kwa bibi daaa 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @erickmuli1030
    @erickmuli1030 Год назад +6

    Ziwa nyasa😂😂😂halichezi

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Год назад +1

    Eti mwanamke sio wa kumwamini😁😁😁👍👍👍❤❤❤

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Год назад +2

    😂😂😂😂..Mtoto Joti maku mjue..!...yaani hapo ulipotaka kuruka na huyo bi mkubwa ndio umenifurahisha....🤣🤣🤣🤣

  • @user-kimwana
    @user-kimwana Год назад +4

    😂😂😂naiona riziki yangu 😂😂😂joti 🙌😍

  • @robinhorobson8857
    @robinhorobson8857 Год назад +7

    Joti asema ameiona riski yake kwa mama,😂😂😂😂😂

  • @wearetogether8497
    @wearetogether8497 Год назад +15

    😂😂😂😂 kila la kheri Joti nakuona mbali sana kimataifa zaidi. Taifa linapaswa tujivunie kipaji chako 😂😂😂

  • @sylvesterwilly3543
    @sylvesterwilly3543 Год назад +7

    Naenda kuandaa kiwanda cha vipaji 😂

  • @albogastmselejr4583
    @albogastmselejr4583 Год назад +2

    Dem Ana Takrooooo 😁😁

  • @thomasmturi8116
    @thomasmturi8116 Год назад +6

    Jot msenge Sana anataka akammalize mama

  • @halimawendo8400
    @halimawendo8400 Год назад +5

    Naiona riziki yangu😂😂

  • @stephenkingu4670
    @stephenkingu4670 Год назад +7

    Joti mskaji wangu Toka mbez beach.
    Unakuwa kama yanga na thumba kutambulisha uthiiiiiku😁😁😁😁😁

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 Год назад

    Yan joti comedy zako uwa zinaniacha hoi mwishon🤣🤣🤣🤣🤣

  • @maxwellkongoman781
    @maxwellkongoman781 Год назад +34

    Jotti never disappoint 🔥✊✊✊

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Год назад +9

    Naiona riziki yangu 😢😢😅

  • @finiaskalist747
    @finiaskalist747 Год назад +5

    Eti naiona mama iiiiiii twende maghetoni mama😆😆😆

  • @officialbaloteli7965
    @officialbaloteli7965 Год назад +5

    Wa 10 leo toka Njombe😂😂😂

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 Год назад +4

    Joti uyo unampeleqa wp😂😂😂😂😂😂😂

  • @kasukukasuku3896
    @kasukukasuku3896 Год назад +2

    🤣🤣joti this is fantastic comedy🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lwimikomwambene
    @lwimikomwambene Год назад +28

    Joti never disappoint

  • @louiskhamsini8616
    @louiskhamsini8616 Год назад +4

    Joti n mwisho, legendary the GOAT😂😂😂😂😂😂🙌

  • @oldmanmpitanjia2805
    @oldmanmpitanjia2805 Год назад +5

    Joti ni chiziii 😂😂😂😂😂😂😂

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 Год назад +4

    Huyu Bibi Nampenda Sana

  • @athumanmgissasimbadamu3316
    @athumanmgissasimbadamu3316 Год назад +3

    Hahahaha Magetoni Tena 😀😀😀😀😀😀

  • @nyandatvmaujanjasupply4607
    @nyandatvmaujanjasupply4607 Год назад +5

    Jotiii kiboko nimecheka sanaaa aiseee 😅😅

  • @charlesmbena9121
    @charlesmbena9121 Год назад +5

    Joti ni mwehu Sana daaaa nimecheka Sana mwishoni eti naiona riziki yangu 😅😅😅😅😅😅😅😂

  • @moseslaizer7349
    @moseslaizer7349 Год назад +7

    😂😂😂 Unataka kutoa machungu kwa mama hahaha

  • @TungoZaMswahiliJk
    @TungoZaMswahiliJk Год назад +2

    Nmeiona lizk yangu😂😂😂

  • @samsonilengteng-oc4hp
    @samsonilengteng-oc4hp Год назад +6

    Jotii😂😂😂😂👏👏

  • @dnx_Gr
    @dnx_Gr Год назад +4

    Kama kawa✌️✌️

  • @SalmaMohamed-ck3og
    @SalmaMohamed-ck3og Год назад +1

    Wa mwisho jamani❤❤❤❤....joti🙌🙌😅😅😅😅

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Год назад

    Hehehehehe mbona pulling & injeshen😂😂😂ndege kesharuka uyo😂😂😂😂chezea wazee wa cuba

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 Год назад +12

    No stress 😂😂😂😂😂😂 nimecheka kifala sana. Ata siku moja simuachii dem wangu kwa washkaji kama kuweka gheto sawa ata weka yeye dem. Nishai amelowa😂😂😂.

  • @maxmillanayo2979
    @maxmillanayo2979 Год назад +4

    Nachelewaga lisaa kila ikitoka😊

  • @lovenoor988
    @lovenoor988 Год назад +2

    Hahaha nakukubali

  • @issaothmanhamis4857
    @issaothmanhamis4857 Год назад +1

    Hatari mkuuu

  • @focusernest5610
    @focusernest5610 Год назад +8

    Joti utapata laan bibi wa watu unampeleka wapi😋

  • @ssd5579
    @ssd5579 Год назад +3

    😅😅😅😅😅😅😅joti amechinjiwa

  • @evaristimramba9047
    @evaristimramba9047 Год назад +4

    My best cmedian

  • @allymukhsin2962
    @allymukhsin2962 Год назад

    Sisi ndo wazee wa cuba 😂😂😂😂😂😂

  • @rafaelmnazaleth9969
    @rafaelmnazaleth9969 Год назад

    Una njaaa masikiniii😂😂😂😂😂😂😂

  • @ngosha4207
    @ngosha4207 Год назад +4

    Moja kama kawaida yangu

  • @patrickmwanyumba1239weitww
    @patrickmwanyumba1239weitww Год назад +5

    Akhasanteni xana, let Allah empower you all.

  • @jeymah505
    @jeymah505 Год назад +2

    MLETE NA DADA KIBOGA SASA JAMANIIIII@JOTI..

  • @dicksonmwelekete5713
    @dicksonmwelekete5713 Год назад +2

    Japokuwa. Nimechelewa. Sema hata Kwa zile like mlizonipaga. Kipindikile. Zilikuwa zakutosha. Gonga like Kwa joti.

  • @khatibaliy4738
    @khatibaliy4738 Год назад +1

    Joti nakukubali sana huna baya

  • @akramSaid-lg7gp
    @akramSaid-lg7gp 7 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂 naiyona riziki yanguuuuu😂😅

  • @stevenbugas7554
    @stevenbugas7554 Год назад

    The woman outside yeye ni mtazamaji tu😂😂😂

  • @simonandrew1489
    @simonandrew1489 Год назад +4

    Good Job Mr Joti

  • @koyesandatuya5422
    @koyesandatuya5422 Год назад +5

    Jamani leo wa kwanza .

  • @aminasaid591
    @aminasaid591 Год назад +1

    🤣🤣🤣🤣sijala,sijaonja🙌

  • @allymagesa4431
    @allymagesa4431 Год назад +6

    Joti fara unawaachiaje wana Dem😁😁😁😁

  • @tato8979
    @tato8979 Год назад +2

    😂😂😂 sijala sijaonja

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Год назад +1

    Jigoo umechinjiwa nishai😂😂😂

  • @kevinkundy1338
    @kevinkundy1338 Год назад +1

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅kaona asife kinyonge Ana taka kumla na mama

  • @stellahpeter1808
    @stellahpeter1808 Год назад +1

    Kwani hzo like mnazoomba mnapelekaga wap

  • @michaelipius2660
    @michaelipius2660 Год назад +3

    Noma san 🤣🤣🤣🎂🤣

  • @Seifbrown
    @Seifbrown Год назад

    Pole sana 😂joti kwa kazi nzuri kali sana na jami 😂yako big up 😅sana leta like ❤

  • @kizz_kido
    @kizz_kido Год назад +1

    Wanayanga wenzangu naombeni like ata moja moja tu

  • @adamsiwakwi7845
    @adamsiwakwi7845 Год назад

    Umenivuja mbavu aiseee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @goodboy-sc2ek
    @goodboy-sc2ek Год назад +6

    😊😅😅😅😅nimeamka nayo namalizia kula daku walikula daku kwa kuchelewa nipe like

  • @davabackup7767
    @davabackup7767 Год назад

    😂😂😂 mbaya sijakula sijaonja 😂😂😂

  • @nacetsiringa1334
    @nacetsiringa1334 Год назад +3

    Joti pumbavu 😂😂😂

  • @-thegreat-zawadimmasa307
    @-thegreat-zawadimmasa307 Год назад +1

    Namkubali Sana huyu bwana

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 Год назад

    Sijala na nimechukuliwa chakula changu iíiiiiiiih iiiiih....🤣😂😅

  • @kiginafrancis5818
    @kiginafrancis5818 Год назад +5

    😂😂😂😂 joti ni tz finest

  • @gametongwe3539
    @gametongwe3539 Год назад

    Mr.bean wa Tanzania ✅✌😂💯🔥

  • @alladitahnoordin4895
    @alladitahnoordin4895 Год назад +1

    Wazee wa Qyuba hawatambui 😂😂😂

  • @swalihinanahonyo9685
    @swalihinanahonyo9685 Год назад +3

    Dah 😂😂😂

  • @erasmopeter7800
    @erasmopeter7800 Год назад +1

    Wazee Wa Cuba naombeni like tujuane

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Год назад +3

    Nimewahi leo haya tena joti wamemchapia huko 🤣🤣🤣🤣🤣like kumi tuu kwa joti,🤣🤣🤣

  • @danielmihanjo5472
    @danielmihanjo5472 Год назад

    Eti wazee wa Cuba 😂😂😂😂😂

  • @LilyKoba-wx2pj
    @LilyKoba-wx2pj 6 месяцев назад

    Joti nakukubar miaka100 unajua broo