PART 2;MADUDU YAENDELEA KUFUFULIWA HOSPITAL YA MOUNT MERU MADAKTARI WALINIAMBIA NA DK 12O ZA KUISHI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►RUclips: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Комментарии • 13

  • @emanuelmwalukasa7723
    @emanuelmwalukasa7723 7 дней назад +1

    Pole sana watakua wameua wengi sana

  • @RehemaManase-t7j
    @RehemaManase-t7j 4 дня назад

    Kaka Mungu akulinde hao ni maadui bila wewe kujua,hautakufa Kwa jina la Yesu, wao ma familia zao ndiwatapa hayo magonjwa

  • @RachelMoova
    @RachelMoova 22 часа назад

    Hii Taarifa Inabidi Tu shere adi Haki Ipatikane😢😢Mungu tu atutee maskini

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 6 дней назад

    Hizi hospital zinaua watu wengi sana mimi niliwekwa kwenye kitanda alichotoka mgonjwa wa kipundu pindu dakika hiyohiyo nikaugua ni vile MUNGU bado hakutaka niiache dunia nikapona

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 6 дней назад +1

    Hao wote wapelekwe mahakamani

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 День назад

    Ningemsifu sana huyo aliyefanyiwa hayo kama angewarekodi. Na kweli huyo mgonjwa alitakiwa kumwona mganga mkuu siku hiyohiyo na kumweleza matukio hayo. Unless ana uhakika kwamba wanashirikiana. Na kwanini asingemwambia hata RC ambaye wote tunajua kwamba ni mwepesi kusaidia watu kwenye huduma za jamii akisaidia wengi wanaoonewa?

    • @RehemaManfred
      @RehemaManfred День назад

      Kumbuka mtu anaumwa af anapewa longolongo it's so painful g

  • @GabrielMwakasitu
    @GabrielMwakasitu 6 дней назад

    Serikali ichukue hatua

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 6 дней назад

    Mimi hata hizo dawa siziamini

  • @midilastahans7188
    @midilastahans7188 6 дней назад +1

    Swala la usafiri shikilia hapo.kaka yangu alpata changamoto yaoyo hapo mwaka Jana lkn tulilipa milion na laki sitaki ya usafiri WA hosptali .msikatae titoa na dar tukapelekwa na gari ya happy na nes mmoja.

    • @RayOmar-vk2nn
      @RayOmar-vk2nn 4 дня назад

      Haha😅😅😅happy nation milion😂😂😂shetani ashindwe

    • @RehemaManfred
      @RehemaManfred День назад

      😂😂😂happy jmn