PART:1 DAKTARI AFICHUA MADUDU YA HOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA "ADAI KUUZIWA DAWA MILIONI 3 NA NUSU
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- #JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RUclips: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
Pole sana kaka Hospitali zimekua ni biashara yaani Tumuombe Mungu tujue tiba mbadala tuepukane na hizi roho za kununua vyeti au majibu ili awe Daktari. Udaktari ni wito sio kazi😢
Ameeen
Watanzania wanao kufa kwaajili ya matibabu ni wengi kuliko Kongo au Gaza
Asante sana daktari kwakutusaidia kufichua madudu yaliyotutesa kwa mda mrefu kwaajili ya tamaa za dhambi zinazofanyika pale kwetu mount meru hospital.
Ni hatari sana madaktari wa hapo mount meru wanayo fanya sio sahihi na ukivunjika mguu au sehemu yeyote wanakuuzia vyuma za kufunga hiyo sehemu
Bahati nzuri ni Arusha. Makonda ataweka sawa!
Pole sana kaka, Hao madokta ni wanyama, na ugonjwa huo iwapate wao Kwa jina la Yesu, wewe Sio mgonjwa, Kula papain sana na matango
Pole sana ndugu, Hii Ndiyo Tanzania, Haya mambo serikali isipokuwa makini watu wataanza kuchukua hatua mikononi
Kazi ya Afya inahitaji Mungu,sio Tamaa wala maslai jamani...Mungu akufariji sana Daktari.Wewe umeweza Kuliona sababu wewe ni medical personnel kwa wale ambao sio NI WANGAPI WAMEKUFA AU KUPOTEA???Watu wa Afya Mtalipwa haya mambo sio Ya ivi😭😭
Ndugu yangu ungekuta saiv tunaimba siimbaliiiii, mshukuru sana mungu.
Pole sana kaka ,mimi nilimpeleka mgonjwa hapo alikuwa ni mjamzito wakamfanyia us scan ,na vipimo vingine .badae tukalipia almost 70,000/= vipimo na baadhi ya dawa .lakini cha kushangaza majibu ya vipimo niliambiwa mpaka niandike barua ya hayo majibu
Hapo mount meru hakuna madaktari ni waizi na wafanya biashara za madawa
Haya mambo yanafanyika katika nchi nyingi zetu za Africa. Ni makosa kabisa. Wananchi wa kawaida wanateseka sana. Many hospitals do this to patients. They care more about money than their patients. Thank you for speaking out.
Pole sana comrade kiufupi utaratibu wa kitabibu hauko hivyo RC Makonda limemfikia atalipambania wazembe ni wengi sana
Sawa sawa ....upewe pesa zako zote. Pia jamani waziri embu toa number zako
Tz Mungu wangu komesha haya
Alisema mtanikumbuka. Na kweli tunamkumbuka
Kazi iendelee au kazi iendelezwe ? Mitano tena ??
Pole kaka mungu yupo atawajibu
Tiba ni kazi ya wito ni hatari sana kucheza na Afya za watu
apo madaktar wamezengua,laakin tujitaidi kuepuka ujuaji tunapokuwa sehem za afya,ata kama unajua afya ila ujuaji tupunguze kwakweli utatugharimu maisha yetu 🙏
Makonda mwananchi wako huyo Kaka, Fanya kazi yako!
Asante kwa ujasili huh.
Mkuu wetu wa Mkoa atakuwa amelisikia Hilo?Makonda pambania Hilo kwa heshima🤔🤔🙏🙏
Mkuu wa mkoa atafanya nini ?
Kaka pole sana nakushauri nenda mahakamani ili iwe fundisho kwa madaktari uchwara matapeli
Mahakama gani ?? Hizi zetu hakimu anapigiwa simu tu anaitupa kesi !
@@richardnganya2311Ila ipo siku yao tena hao mashetani mbele za Mungu.
Pole sana ndugu yangu Mungu akupe wepesi wakati huu mgumu Amina
Pole sana kakangu kwanza kabisa hao ni matapeli tuu nenda kafanye matibabu sahihi moshi hospital inaitwa Albina wako vizuri sana nilimpeleka babangu alikuwa na shida ya moyo kama ulivyosema lakini kwasasa ni mzima kabisa
@ndelimbijohnswai.hii hospital ipo moshi sehemu gani
Tunaomba matokeo ya uchunguzi hadharani,Mount Meru inalalamikiwa sana,viongozi wa hospitality hawasikii malalamiko hayo au na wao ndio sehemu ya tatizo
Pole sana ndugu. Toa namba za simu yako nitakupa ushauri wa alternative medicine bure.
Pole🤝ila kwanini msingeshauriana na takukuru ingeweza kubainika ukweli zaidi kulikoni maana hiyo pia ingeweza kubwa solution nzr tu kwa upande wako kwa kuwa huenda hukuridhika.hilo lingeweza kubaini ukweli ama kupata haki kwa maoni yangu tu.
Duh
Takukuru yetu huwa wanampigia simu mtuhumiwa !!
Jamaa ana akili sana hata huko hakuna kitu kingetendeka kamwee ....bora njia alioifanya
Taa Sisi zote zipo kimaslahi
Hizi umbwa tunazisomesha kwa kodi zetu kisha zikishamaliza kusoma zinatugeuzia makalio zinatujambia sisi walipa kodi😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Pole waziri mwenye dhamana aigilie kati kuichunguza mount meru😅
Waziri ??
Pole baba yangu Ila usitibiwe tena hapo utachomwa sindano ufe na mm sitak ufe baba yangu MUNGU Akulinde na kukuponya
Yaani wafungwe wote kabisa.
Wanyongee
Pole sana kaka, sasa tuelewe kuwa hapo Mounteru kuna wezi , majambazi, wanajificha nyuma ya pazia,
Na huyo anaesema kuwa hawezi kujua kila kitu ni majibu gani hao, eti watu ni wengi, kama hawamudu hizo kazi si waajiri watu ili kuongeza nguvu, kuliko kuulizwa swali na kusema huwezi kujua, .
Makonda shughulika na hao Majambazi kwanza wauuwaji shetani hao
Sawa
ILO CYO SWALI NI JIBU TENA WANA SMG WAMEZIFUNIKA ZA USAID UHUUUUU
Kaka ndiyo tabia yao hapo niliwahi kumpoteza mdogo wangu hapo kwa uzembewao hapo😊
Pole sana. Ila ni kweli Mount Meru hospital ni uozo. Hasa Emergency na hiyo inayoitwa ICU, pale ni biashara kwa kwenda mbele. Uchunguzi ufanyike na hatua zichukuliwe.
Duh ni hatari mnoo tumuombe Mungu sana wacheza na uhai wa binadamu wenzao madaktari
Pole sana baba, ni kweli kabisa unayosema mount meru ni jina tu saiv wapo kibiashara sana😭😭😭inaumiza sana
Ndo maana mi siendagi hospitali😂
Tanzânia má tapeli wengi sana!!!
Pole sana br
Huyo Administrator anajua kitu. Huenda hao ndio kikosi kazi chake. Msikilize tu jinsi anavyo defend😊
Mount meru wapigaji wazuri sanaaaaa
doctor Elia na Aisha Mungu anawaona
Atariii sana MUNGU akutetee
Pole sana . Na ulichofayiea sio haki.Ila wewe ni mtu wa medical umeathirikaje kisaikolojia na majibu ya uongo!?
Pole,sana ndugu yetu serekali yetu ishulikie Hilo swala
Watu wa hospitali huwa tunamuomba Mungu atujaalie riziki. Yaani watu wasipoumwa tutakufa. 😂😂😂
Pole sana ni ujinga wa Serekali hii watendaji Leo wanafanya mambo ya ovyo
Ipo siku najua watanzania mtanikumbuka 😮😨😨😯
Duniani kuna watu na majitu. Hawa Mungu awatizame kwa hasira na kuwazamisha hadi wajue wao ni wanadamu sio miungu. Mara nyingi watu hawa wakistaafu tabu na mashaka huwaandama bila kujua kuwa waliyapanda wenyewe.
Tumikieni watu sio matumbo yenu. Mishahara mnalipwa kwa kuridhia leo mnakuwa tayari kuangamiza ili mchume visivyo vyenu. Majipu yawaote kila angle ya maisha yenu. Ovyo kabisa hapa namaanisha mko sawa na takataka.
Pole sana kaka....eti majibu ni yaserikali.....serikali ndiyo inaumwa? Yaani tunaimani na mkuu wetu wa mkoa . Yaani tunaomba mkuu wa mkoa ampeleke huyu kaka akamuoneshe mmoja baada ya mwingine...fukuza
Pole, shida hii ya kunyimwa rufaa ya kwenda India ilinipata Muhimbili MOI hospital mwaka 2015. Nililazimika kusaini kuondoka bila rufaa kwa ridhaa yangu mwenyewe. Walisema siwezi kupewa rufaa kwa matibabu wanayoweza kufanya. Niliomba rufaa baada ya kughundua kasoro kubwa ktk operation walionifanyia baada kuvunjika mfupa baada ya accident. India waligundua kipande cha mfupa kimeoza kikaondolewa kikatupwa. Wakasema hata mganga wa kienyeji angefanya vizuri zaidi ku-'aline' kipande cha mfupa. Kama nisingekwenda India, mfupa ungeoza cansorous pengine hadi kukatwa. Niliwasamehe bure.
Pole!
Kweli wafanyakazi saiv wanafanya kama wanavyotka si taluma yao tena mungu tusaidie
Mzee wetu aliteseka sana Mt Meru, yani nachukia sana hiyo hospitali
Makonda atawaweka sana mm eyewa isige kuwa Dockt mkuu nigekufa na ilikuwa kipindi cha makufuli kama auna hel wanakuuwa
Uyo mzee Alex Ernst akishikwa vzr na Aisha na yule doctor mwingine wataeleza maelezo yalio nyooka
Mambo ayo yanafanyika bongo tu
Nilipima mkoani nikaambiwa moyo umetanuka nikapewa rufaa nikapanda gari kwenda jakaya kikwete nimefika huko nikapimwa upya nikakuta shida sio Moyo kutanuka😅😅😅😅
Mount Meru hospital shikamoo
Kuna siku nilienda ucku saa 4 hivi nimebanwa na kifua asthma (pumu) nmekaa pale nje yule boda na ndg yangu wakamwita nesi kuwa mbona mnampita tu jmn mtu hapumui mbona mtamuua hajajibu chochote yule boda aliyetuleta akamwambia ndg yangu twende niwapeleke kuna pharmacy ipo karibu na mount meru kwa wale wanaojua mount meru ukikata ile kona ya kuingia kwao kuna pharmacy kubwa ndo nikapelekwa hapo nikahudumiwa Mungu mkubwa nlitoka salama na nilichomwa sindano nikawa fresh ,,, kwahiyo hizi hospital za serikali cyo pwa tunaonewa sanaa
Pole sana kaka yangu tunajua serikali yetu ni sikivu na watashugulikiwa ipasavyo kabisa tunategemea majijibu tuyaone humuhumu live mtandaoni tunaomba.
Pole sana
Hii ni balaa lkn swal langu haya malipo tunayofanya tukiende kwenye hiz hospital zinaenda kwenye acount gani jaman? Ujue haya mambo tunakutana nayo jaman nilimpeleka baba mkwe wangu niliyopitia we tulia tu in
Duuuu..
Like he is making stories..
Mtu anashikilia tuu, milioni 3 na nusu…
Lazima Compasation tutafute tu mzee wangu..
Hatari sana. Je watu wengine itakuwaje?
Wengi wanateseka ila awasemi sema baba nimekupenda bure huu utakua mfano mzuri kwa wenye iyo tabia
Kifupi ni kwamba ungetoa hizo pesa na wangekupoteza ili ukose ushaidi,aisee.pole sana kaka
Nimependa sana, unavyotoa ushahidi juu ya ukairitimbi uliofanyiwa na uongozi wa madakitari!" Hongera sana mzee wangu, Mh, mkuu wa mkoa Mh Paul Makonda, namwamini Kwa uchunguzi wake wa kina na yakinifu, atarifanyia kazi"
Haki unayo hapo mzee wangu!"
Huyo mfawidhi awekwe kikaangoni ataongea vizuri.. maana kama majibu tu wamemnyima mgonjwa je wangeruhusu mgonjwa kukutana na mtu wa ngazi ya juu ???? Hawezi kulalamika y ameenda kwenye media akati kwenye simu tu kashindwa kuongea kitu cha kueleweke. @ watanzania kwa umoja tupaze sauti kusaidia wale ambao hawana hata uwezo wa kufika kwa hizi media na wanapitia haya huko mahospitalini.
Huyo Dr mwenyewe NI dudu
Kuna dada alipata shida ya figo kwasababu ya hawa wasenge tumeshamzika masikini yeye kaenda anakifua alafu wao wakasema anaugonjwa wa kifua kikuu mwisho wa siku hizo dawa zikamleta figo kufeli
Wameniulia mama angu hao sina hamu nao,staki kuisikia Mount Meru😰😰Haifai
Daktari kuna dawa inaitwa Streptokinase/alteplase / tenecleplase ni kindi la rtpa, zinatimika kumanage acute MI, dose ya sindano moja ni balaaa
Hao madakitali wamesomeshwa bure na kodi za wanainchi halafu wanasumbua watu…! Na wanasababisha vifo Ndy maana wanaNg’olewaga meno kwa koleo na kucha kwa ujeuli wao😢😢
Jenga hoja kusema wamesoma kwa kodi za wana nchi wakati ni mkopo na wanalipia mkopo
Nani anawang'oa?
@ ukiwa mkopo ndy utake kumuuwa binadamu mwenzio kisa pesa za mchongo
@JohnKiboko jikite kwenye hoja why litokee misconduct?, lakini si kusema tumesoma kwa kodi zenu, unajua riba tunayolipa?, waliosoma kwa kodi zenu ndiyo hao wanaowaamulia utumbo walisoma bure enzi zao.
Ningependa tusikilize na upended wa mshitakiwa,,pia atuambie ye dactal wa wapi?
Kweli kwanini asiende kwenye menejimenti kwanza?
Nitashangaa kama hao madaktari watakuwa kazini mpaka muda huu
Hakuna daktari yeyote anauwezo waku kamilisha dakika za logo chá MTU. Mimi ni daktari!! Mungu ndo anajua dakika zetu za kuishi
Ninukweli mtupu kwanini tuandikie mate na wino upo🎉🎉 ush 32:19 ahidi anao doctor na recoding na kwanini anyimwe rufaa
Ccm oyeeee, kazi iendeleee
Watanzania wengi Sana hawana akili hasa wanachama wa chadema. Sasa chama na hospital wap na wapi?.ivi huoni Kama unatumia vibaya Sana akili?. Unapoenda hospitali unaenda kwenye ofisi ya chama?. Kwann watu wa chadema Kila kitu mnaona ni siasa?
@@EmmanuelMlowe-u1vHEBU TOFAUTISHA SAMIA WA CCM NA SAMIA WA IKULU NA SAMIA ANAYETEUA WAZIRI WA AFYA
Wewe ni mgonjwa kweli 😮
Sidhani huyu ni mlalamikaji 😂😂
😢
Huyu ni kama mpelelezi
@@halimamasai2234ndio utajua hujui, kuwa dunia ni kijiji
@@halimamasai2234 sasa wewe unadhani huyu ni doctor au Nersi
Pole sn mkuu ongera kwa kutoa Siri za maovu ya nchi yetu
Madaktali wengi ukienda unaumwa wanakumalizia bora ujitibu kienyeji
Mungu akusaidie ndugu
Tanzania bado kazi tunayo mimi ni mmoja wapo lakin najua ni ufunguzi wa uchumi na mzunguko wa pesa pia kujivunia majengo ya hospital na zahanati
Du Pole sana😢
Makonda atashuulika mtetezi wa wayonge 😢
Jenister Mhagama kazi kwako,waziri mkuu ingilia kati,hao madaktari kama bado wapo kazini wanailetea serikali taswira mbaya mbaya mbaya sana sana kwa Serikali ya awamu sita.Hayo amefanyiwa daktari jamani tumeisha.
afu kibaya bro anatoa hela yake Yan hii nchi hatari
Wanaoenda Mt Meru ni wageni Arusha,hapafai pale wanakuua chap tu😢
Hiyo hospitali ni yahovyo kabisa siku nyingi. Kuna madaktari wa ajabu.
3 m ni gharama kubwa kwa madawa ya kawaida dawa nyingi ni antibiotics na hizi dawa huwa niza bei yakawaida 3 m sidhani akienda kwengine .kma bei .itakuwa hiyo
Mama mh. Samia Suluhu Hasan,clip inayotrend ni ya kweli,watu wengi wanafanyiwa haya hawana mtetezi zaidi ya kuhatarisha maisha yao.mf Mimi nilpatiwa dawa iliuopitwa na wakati na hosp ya Selian Lutheran hosp,Tume iliundwa na wizara ikishirikiana na RMO na Dr Chande Tume ikajiridhisha ktk vikao 6 kilichofuata wote waliohusika kuhabarisha walipata adhabu k.m mtangazaji wa TBC leodgar Manga alihamishwa Singida na mwandishi wa gazeti la D/News Aliachishwa kazi! Mama wizara inajua swala hili wakiwepo makatibu wa wizara Afya na R.M.Os wliopita mkoa Arusha. Mama Tuhuma nyingi hazifanyiwi kazi na mara nyingi wengi wanaogopa Kutoa Taarifa hata kama SI la uzembe kwa hofu ya maisha Yao kuona hakuna hatua zozote zilizochukuliwa
Hapo ingekuwa takataka ya dar ingelopo hovyo na mmasai wa afya angese wamekata picha je na huyu vp kakata picha ovyo sana mnapenda kuteteana
Makonda Maunt meru pamekua ni hatari tunakuomba unda tume ya uchunguzi haraka haya mambo nimengi sana
imagine watu wasio jua haki zao wanavyo onewa
Hao ndio madaktari tulionao na wakiongozwa na CCM ya akina Wasira!et kazi iendelee ni aibu!
Mmmmmh Mungu awasaidie tu
Ndugu yangu moja alipata ajali pale Arusha, wakati tunafikiria pa kumpeleka mtu moja alisema huyu watamweza kcmc tu lakini nendeni m meru mpewe barua ya rufaa, lakini m meru nawajua mtababaishwa sana kwa haki hamtapewa rufaa, toeni hela mtapata kwa haraka. Kweli tulipofika daktari moja akasema hebu elewekeni mkomboe mda mkawahi kcmc, tukampa pesa na haraka akatupeleka kwa mhusika barua ikaandikwa haraka ndani ya dakika 10 tayari tukaenda kcmc
Duuu
nawewe niwakukamatwa umetoa rushwa
@@paulabelleghe451 bila rushwa nchi hii hupati huduma
Watu wanateseka sana kwenye hio hosptal ila Mungu ataamua waendee kutesa watu