"MIMI NIMEWAHI KUKUTANA NA SHETANI, NILITIMKA MBIO!" | SIKIA USHUHUDA HUU WA AJABU WA ASKOFU GWAJIMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025
  • Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
    Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

Комментарии • 62

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 2 часа назад +2

    AMINA KUBBWA
    "BILA NGUVU ZA MUNGU HAKUNA ANAEMUWEZA SHETANI".

  • @pastorsimbakavu2951
    @pastorsimbakavu2951 5 часов назад +2

    An international revivalist 🎉🎉❤❤❤

  • @theptouch7884
    @theptouch7884 3 часа назад +2

    Amen🙏

  • @sylviaelias2529
    @sylviaelias2529 3 часа назад +1

    Ameen Mtu wa Mungu

  • @PaulJames-k6b
    @PaulJames-k6b 7 часов назад +1

    Amen nakupenda askofu

  • @BarakaNjamasi
    @BarakaNjamasi 3 часа назад

    Ahaahaaaaa asante sana Baba yangu umenipa kitu kikubwa sana

  • @FirstyNicky
    @FirstyNicky 4 часа назад

    Hatari sana, uko vizuri sana Mchungaji

  • @musoniimmaculleimmaculle5326
    @musoniimmaculleimmaculle5326 9 часов назад +2

    Baba nakupenda,

  • @PastorErickjmi
    @PastorErickjmi 5 часов назад

    Mungu akubariki by pastor erick

  • @Imanialex-uz4ix
    @Imanialex-uz4ix 5 часов назад +1

    Amen

  • @davidkengambi491
    @davidkengambi491 45 минут назад

    USHUHUDA HUU UENDELEE...TUONE WALE WATU ILIKUAJE MWISHONI...

  • @JohnNjuyuwi-c2t
    @JohnNjuyuwi-c2t 5 часов назад +1

    Kweli pasipo Yesu Kristo mwanadamu hatuwezi jambo lolote

  • @lucasezekiel9782
    @lucasezekiel9782 10 часов назад +1

    Jozeee gwash

  • @PabloDallas255
    @PabloDallas255 3 часа назад

    Dah😊

  • @remmyalfred6736
    @remmyalfred6736 4 часа назад +1

    Hahaahaha Mungu akubariki sana dah

  • @Neemaafrican
    @Neemaafrican 4 часа назад +1

    Dah nimecheka sana bila MUNGU sis atuwez kitu

  • @SalimSalimu-z5c
    @SalimSalimu-z5c 8 часов назад +3

    Askof mvuvua Watu unaingilia Kazi ya Mungu

  • @toshanyiti2154
    @toshanyiti2154 3 часа назад

    Mijusi🔥🔥😄😄😄😄

  • @EdigatusprotaziMbahile
    @EdigatusprotaziMbahile 8 часов назад +1

    Duh!

  • @thehopetv2930
    @thehopetv2930 7 часов назад +1

    Naomba kujua ilikua ni somo la lini maana najaribu kuangalia nakosa

  • @sweetlisious
    @sweetlisious 9 часов назад +1

    😍 we love u Dady

  • @LispafulgenceSimon-rs1zg
    @LispafulgenceSimon-rs1zg 4 часа назад

    Duh

  • @ErnestKosima
    @ErnestKosima 3 часа назад

    Najiuriza hii dini yakiyahudi au niukristo

  • @NoelaTembe-x5i
    @NoelaTembe-x5i 9 часов назад +4

    🙏🙏🙏 nahitaji msaada wa uponyaji naomba namba ya mtumishi huyu wa MUNGU

    • @Shedrackwilfred
      @Shedrackwilfred 8 часов назад +2

      *Omba* Endelea kuomba usikate tamàa.
      Kuomba mwenyewe ni vyema zaidi

    • @michaelminja3458
      @michaelminja3458 4 часа назад

      Mhh..... huwezi kuipata kirahisi. Labda uende kanisani kwake

    • @NoelaTembe-x5i
      @NoelaTembe-x5i 2 часа назад

      Asante naomba kamwe sitaacha kuomba MUNGU anionyeshe njia ya kutoka katika hili

    • @NoelaTembe-x5i
      @NoelaTembe-x5i 2 часа назад +1

      Naamini MUNGU atatenda na nitayasimlia matendo yake

    • @lucasvenance5175
      @lucasvenance5175 Час назад

      ​@@NoelaTembe-x5i pole sana kama utakuwa tayari tuzungumze nikupe namba yangu,,, Naitwa mtumishi wa Mungu Lucas

  • @nichoojr.6747
    @nichoojr.6747 Час назад

    Jaman tusijisahau kunao wale watu waliochoma chanjo ya COVID soon watageuka cjui vitugani

  • @EustaKimoshi
    @EustaKimoshi 5 часов назад +1

    Kasheshe

  • @agnesskihamba6807
    @agnesskihamba6807 9 часов назад +1

    😂😂😂❤

  • @erickagwe8841
    @erickagwe8841 3 часа назад

    uongo mwingine bn!!!!

  • @bennagemeestate820
    @bennagemeestate820 4 часа назад

    😭😭😭

  • @Fesary
    @Fesary 6 часов назад +1

    Na mie niliisha kutuna nae live huyo wa mionzi liikuwa hatare sana, ilijuwa usiku

    • @Kazinzatime
      @Kazinzatime 3 часа назад +1

      Tupe sasa ushuhuda ilikuwaje

  • @StephenKudaka
    @StephenKudaka 5 часов назад

    Huyu ni mchawi sasa

  • @FiudiKasitu
    @FiudiKasitu 3 часа назад

    Kweli makenge wanadanganyika

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 4 часа назад

    Gwajima sometimes anajua kuuza watuu😂😂😂😂

  • @samwelkavwanga4491
    @samwelkavwanga4491 3 часа назад

    ❤😂😂

  • @judithgodfrey6503
    @judithgodfrey6503 5 часов назад

    Itakuwa ni miongoni mwa Ile misukule. Hivi iko wap

  • @IconIcon-yz5vm
    @IconIcon-yz5vm 2 часа назад

    Wewe acha kudanganya watu 😂

  • @josephmichael8438
    @josephmichael8438 8 часов назад +1

    Niombeje 😂

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 6 часов назад +1

    😂😂. Vigagula wapo kanisani weengi 😅😅 wanalaza watu. Na kumnyonya nguvu mchungaji

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 7 часов назад +1

    😂😂

  • @erishaaboumpangaje8597
    @erishaaboumpangaje8597 Час назад

    Una ujinga

  • @FiudiKasitu
    @FiudiKasitu 3 часа назад

    Wadanganye makengeeeee weweeee

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 Час назад

    Ifike hatua tuwe na akili haijalishi anaeongea ni mwanasiasa mtu wadini..tuishi kwa ufaham ukweli huo niuongo ibadazote zinarekodiwa vp ckuhio zilikuawapi?akunakitu km hicho cha ajabu watu wengi wanakuckiliza

    • @johnzacharia
      @johnzacharia 25 минут назад

      We hujui kitu, Kama unataka kuamini haya Anza kushughulikia roho za watu utamwona shetani alivyo, upo hivyo kwakuwa hujishughulishi na maisha ya kuokoa roho za watu,watumishi wanakutana na mambo ya ajabu, mambo ya rohoni nimazito we unadhari mashambuliz ya shetani kamera zinaweza kurekodi? Usibishe usichokijua

  • @morespartagwireyi3689
    @morespartagwireyi3689 Час назад

    Amen 🙏