Watu 64 watimuliwa nchini kwa ndoa ya jinsia moja

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 май 2024
  • Serikali imewatimua watu 64 kutoka mataifa mbalimbali baada ya kubainika kuwa kuwa viashiria vya kujihusisha na masuala ya ndoa ya jinsia moja.
    Mbali na hivyo, wamewapiga marufuku kuingia nchini (PI) wakimbizi 41 kwa kubainika wanaviashiria vya kujihusisha na masuala hayo.
    Hayo yamesemwa leo Mei 16,2024 na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka 2024/25.

Комментарии • 8

  • @mohamediabdalah7650
    @mohamediabdalah7650 23 дня назад +2

    Bora huyu masauni kuliko yule m'bunge wa pasport zanzibar

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u 23 дня назад +2

    VITA YA USHOGA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA BADO NI DHAIFU SERIKALINI.....NA INASEMEKANA WAHUSIKA WENGINE WAKUU WAKO SERIKALINI!

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 23 дня назад

    Semeni tu kirahisi rahisi kwa vile mambo hayo hayajawakuta watoto wenu au ndugu zenu.

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 22 дня назад

    Toeni kauli tu kuanzia sasa mashoga wote wauwawe

  • @PatrickSaid-zz6gf
    @PatrickSaid-zz6gf 23 дня назад

    Polisi wenyew baadh mashoga na vielelezo vilitolewa hamjafany kitu

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 23 дня назад

    Na raiya wanaojihusisha na huo uchafu wanachukuliwa hatua gani kwani wengi wanajulikana?

  • @Paschalgerad
    @Paschalgerad 23 дня назад

    Wabunge wanapiga kelele sana kuhusu masuala ya msingi ila selikali na wahusika wa sekitahusika wanapuuzia kazi waluzopewa zamana. Kaziyao wanaishia kusifiana tu na kumpongeza rais kiunafiki tuu hawana uzalendo