Dada hongera sana kwa ujasiri ulionao na hta kuuheshimu uumbaji wa MUNGU Baba Muumba wetu. Natamani Mungu akubariki watoto mapacha wazuri sana na wenye IQ kubwa. ❤❤❤❤❤
Lakini si nikweli kaka yuko sawa tu Dada AISHA hujakosea ni kweli ni mwanaume bkra amemaanisha hajawahi kukutana na mwanamke kimwili@@michaelmaziku991
namjua huyu zawad japo nilimuona mda sana ila alikua nimtu mwenye akili mno japo nimlemavu naalikua analelewa na mama tu na alikua anamshauli mama ake vzrisana
@@OmanOman-ns3iw Hivyo Yani Hila Huyu Coment Yake Anajifanya Kama Yeye Anaweza Mpenda Huyu Kijana Wakati Angemuitaji Angemnyanyapaa Tu Kama Ao Alio Wasema Mwamba
Mwenyezi Mungu ibariki familia hii na kupitia baadhi ya matukio kama hayo ndio ukuu wa Mungu unatukuka na kujidhiilisha kikamilifu❤❤🙏
Mwenyezi mungu awape watoto wema na wazuri mungu awe nao katika ndoa yao na masikilizano
❤❤❤, watu hamkosi cha kusema eti mdada mkubwa !! Kwahio, unasemaje sasa !!wameoana,sasa🎉🎉🎉🎉🎉
Dada hongera sana kwa ujasiri ulionao na hta kuuheshimu uumbaji wa MUNGU Baba Muumba wetu. Natamani Mungu akubariki watoto mapacha wazuri sana na wenye IQ kubwa. ❤❤❤❤❤
❤❤❤ hongera dada pamoja na mume wako mwenyezi mungu awape maisha marefu hadi pale kifo kitakachowatenganisha
Hayo ndo mapenzi ya dhati...... Wewe dada yangu mungu Atakubari zaidi na zaidi
Hongereni na Mungu awatunze kwenye maisha yenu
Allah ibariki ndoa hii na uwape masikilizano mema na upendo wao udum daima❤
Mrembo hongera kwa kupata mwanaume bikra
😅😢yn jmn bikra kwl,
😂😂😂😂jmn umefanya nicheke
Km huna cha kuandika ni bora ukakaa kimya iyo ni km kejeli ht km ulikuw unamaanisha
Lakini si nikweli kaka yuko sawa tu Dada AISHA hujakosea ni kweli ni mwanaume bkra amemaanisha hajawahi kukutana na mwanamke kimwili@@michaelmaziku991
Mashaallah neema Allah Awawekey wepesi ❤
Jaman hongeren mungu awafanyie wepes
Mashallah majina yao zawad na neema manzur
Hongereni sana maharusi ❤❤🎉
Hongereni sana Mungu awatangulie
Mungu aibariki ndoa yenu idumu Amen
Hongera kwa ushindi
Mungu Awatunzie Ndoa Yenu Amin🤲🤲
Kweli Mungu awabariki sana
Mungu awabariki
Mungu awatunze🙏
Allah aibariki hii ndoa
Good choice❤
Aisee ZAWADI kabadilika ht km kule kutetemeka kumeisha kweli mapenzi ni tba ukizngatia hajawahi Toka azaliwe.Mungu awasimamie,hongara da NEEMA
Allah awabarik
ManshaAllah
+MUNGU+ AWABARIKI na kuwatunza na kuwazidisha hata na uzao wako baada yenu 1 WAKORINTO 1:9
Zawadi Mungu amekupa akili kubwa sana
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
MUNGU awalinde❤
Mungu wngu ww ndoo jnaimba inavyo taka
Laahaula walaa quwwata illaa billaah
namjua huyu zawad japo nilimuona mda sana ila alikua nimtu mwenye akili mno japo nimlemavu naalikua analelewa na mama tu na alikua anamshauli mama ake vzrisana
Bb harusi anaonekana white kumbe bkacj.mungu awajalie ndoa idumu lasivyo kunakuchapiwa...
Wakuaga na hasira awa ngoja ajichangabye uyo dada😅
❤❤❤
💪💪❤️❤️❤️
Yani ww dada emewaishimisha walemavu juu pengine ndio wa.kwanza kufanya hayo ongera mwaya
ndugu mwandishi kama ujaoa nipo hapa
😂😅😅😅😅
Huyu mwanamke ni mtu mzima zawadi ni mdogo loooh
Yan wacha tunyamazeee
Ndio Nn Sasa Mbona Wengi Wetu Tunaishi Na Wanawake Wakubwa Hiyo Ni Kawaida Kikubwa Ni Upendo Gani Unapewa Na Mkeo
@@officiallnobystar ndio mwaya
@@OmanOman-ns3iw Hivyo Yani Hila Huyu Coment Yake Anajifanya Kama Yeye Anaweza Mpenda Huyu Kijana Wakati Angemuitaji Angemnyanyapaa Tu Kama Ao Alio Wasema Mwamba
Mapenz
Zawadi nimesoma nae hongera
Anakazi?????
Nimefurahi Leo kukuona nyondo
Upendo wakweli ni huu
Huyu kaka ukiacha ulemavu alio nao, anaonekana kuwa na Akili kubwa kuliko wanaume wengine wasio na ulemavu
Neema nimtu na nusu
Innalillahi wainnailaihi rajiun
Subhanallah Kwani kuna msiba? Acha roho mbaya
For what now jmn
Unaelewa ulichoandika au unaaandika tu ilimradi
Bwana harusi anafanya kazi gani jmn
Wanasema mwanasheria
Mwandishi wa vitabu
Mungu awabariki