"TENDO LA NDOA NI UBUNIFU NA BAILOJIA" -ZAWADI MSIGALA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 39

  • @martinhipolitichuwa366
    @martinhipolitichuwa366 Месяц назад +3

    Ndoa hii ni zawadi kutoka kwa mungu... wabarikiwe sana.
    Kupitia ndoa hii nitaandaa kipindi cha mahusiano na malezi hivi karibuni

  • @LizzyMbegga
    @LizzyMbegga Месяц назад +2

    Mungu awape watoto wa kuwatunza,hongera sana dada,mungu akutunze kwa kumuheshimisha huyu jamaa

  • @joycengweta8166
    @joycengweta8166 Месяц назад +12

    Atupenda Mungu akubariki sana una moyo wa dhahabu wewe dada. Wanaosema umefata hela, ulichokifanya hata yangekuwa mamilioni hayawezi kulipa hayo maamuzi yako. Dada ana upendo huyu. Usibadilike Mungu atakushangaza

  • @ashurantunzwenimana5975
    @ashurantunzwenimana5975 Месяц назад +3

    Hongela

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 Месяц назад +5

    Mungu awabariki na kuwatunza Daima mambo ya Mungu hayatabiriki huu ni upendo mkubwa sana. Mungu hana upendeleo. Upendo umebeba kila kitu kizuri. ❤❤❤

  • @LevinaRutta
    @LevinaRutta Месяц назад +2

    Hongera sana Mr/Mrs Zawadi,ndoa yenu na idumu kwa uwezo wa Mungu
    Nawapongeza wasimamizi wa ndoa ya Zawadi,Mr and Mrs mdau.Hakika ni upendo wa hali ya juu.Mungu azidi kuwainua kupitia upendo mliouonyesha

  • @ShaniUrembo
    @ShaniUrembo Месяц назад +1

    Hongeren sana jamn, Mungu awatunze sana

  • @zulfahaji91
    @zulfahaji91 Месяц назад +1

    M. Mungu awajaalie vizazi. Vyema hongereni

  • @gaudinantengo4317
    @gaudinantengo4317 Месяц назад +3

    Mungu awape maisha marefu na awape watoto wazuri ❤❤❤❤❤❤

  • @bethysamuel219
    @bethysamuel219 Месяц назад +1

    @Mama Doctor Samia suruhu.... Zawadi anauwezo sana kwenye kazi muungalie kwajicho la tatu🙏🏼

  • @martinhipolitichuwa366
    @martinhipolitichuwa366 Месяц назад +1

    Yes... Upendo huzaa hisia njema, na hisia huzaa thamani ya mtu na Ubunifu hujitokeza wenyewe baada upendo kutamalaki

  • @ndolepeter2770
    @ndolepeter2770 Месяц назад +3

    Zawadi wewe ni zawadi kutoka kwa Mungu hata unavyo ongea na kujibu maswali hakika upo vizri sana Mungu akutunze awatunze wote atunze ndoa yenu

  • @AugustinoMsuya
    @AugustinoMsuya Месяц назад +2

    Safi sana hiyo imeenda, zawadi Mungu akubariki pamoja na Familia yako

  • @ALESIACHIJOKA
    @ALESIACHIJOKA Месяц назад +3

    Zawadi mbona kuhusu makapela amecheka sana kulikoni amenifanya hata mie nimecheka sana kwa kweli nimewapends sana. Mungu hawape hitaji la mioyo yao daima . ❤❤❤

    • @annamlozi4538
      @annamlozi4538 Месяц назад

      Yaani hata Mimi uimecheka sana.
      Amenifurahisha kweli.
      MUNGU wa mbinguni awalinde na kuwapa hitaji la mioyo Yao.

  • @stanleyatilio8760
    @stanleyatilio8760 Месяц назад +4

    Atupenda Mungu akubariki Sana.
    Muwe na Maisha mema

  • @AidaRaphael
    @AidaRaphael Месяц назад +1

    🎉🎉🎉 mbarikiwe mno

  • @asifiweNgimbuchi
    @asifiweNgimbuchi Месяц назад +2

    Kwa kweli Mungu mkubwa ukuu wake hautambulikani.

  • @ALESIACHIJOKA
    @ALESIACHIJOKA Месяц назад +4

    Jamani jamani nimependa majibu yake yupo sahihi kabisa na aña upendo wa dhati . MUNGU awabariki KATIKA maisha yako ya ndoa . Nimefurahi kwa kweli . Nawafutilia nikiwa marekani .nawapenda sana.

    • @MakutanoTV
      @MakutanoTV  Месяц назад

      Asante kutazama @OurShoesOurStories

  • @shukurumgoba
    @shukurumgoba Месяц назад +2

    Hahaha eti hiyo imeenda nimependa sana,Mungu awatunze Zawadi na Atupenda

  • @MarthaMilaj
    @MarthaMilaj Месяц назад +1

    Huyu Kaka anaakili Sanaa japokua mlemavu anaongea vizur MUNGU hawezi kukunyima vyotee

  • @agenpeter2126
    @agenpeter2126 Месяц назад +2

    Hongera sana Zawadi!

  • @arafakhamis3336
    @arafakhamis3336 Месяц назад +2

    Hongera adum nawe

  • @adamdumasenior9278
    @adamdumasenior9278 Месяц назад +2

    Hongereni sana @makutano tv

    • @RestutaFesto
      @RestutaFesto Месяц назад

      R. Nimeierewaaaaaaa👍😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @MispinaKasala-u5n
    @MispinaKasala-u5n Месяц назад +3

    Zawadi hoongeeera sana

  • @vumiliarobert1880
    @vumiliarobert1880 Месяц назад +2

    Mungu awatunze

  • @marcelinabwakila7049
    @marcelinabwakila7049 Месяц назад +2

    Mkaka mzuri jamani

  • @AidaRaphael
    @AidaRaphael Месяц назад +1

    Atupenda MUNGU Akuinueeeeee❤❤❤🎉🎉🎉🎉, wewe niwatofaut saaaanaaaa, nimekupenda nurse KWA hilliiWawoooo

  • @EmanuelaIssa
    @EmanuelaIssa Месяц назад +2

    Good

  • @fatumamolel7486
    @fatumamolel7486 Месяц назад +1

    MUNGU awalinde na kuwatunza

  • @richardyohanasanga7017
    @richardyohanasanga7017 Месяц назад +1

    Nyie mnao sema kafata pesa kwanini msiseme kafata shoo.
    Mbona hao jamaa hawana kazi mbovu kunako ndoani.
    Mimi ninamuombea Sana huyu mwamba.
    Na ninafikilia tuendelee kumsaport huyu dada na mume wake.
    Tukuswiga swahiba wangu Mungu akubariki hata kumfanyia interview na hawa watu.
    Huu mioyo wakipekee Sana watu wanapenda kufanya interview sehemu ambayo wanapata chochote.
    MUNGU akubariki swahiba.

  • @joycengweta8166
    @joycengweta8166 Месяц назад +3

    "Tendo la ndoa ni ubunifu". Nimependa hii safi sana. Keep enjoying

  • @perpetuacastory
    @perpetuacastory Месяц назад +1

    MUNGU AWAJALIE KATIKA NDOA YENU YENYE UPENDO KUTOKA KWA MUNGU