Tunashukuru kwa maelekezo unayotoa,vifaranga wa kienyeji wanaweza kulelewa bila mama yao ? Je,Kama wanalelewa na mama yao ni kwa mda gani ili kuwatenganisha kuku na mama yao
Asante kwa mafundisho mazuri mm napenda kufuga lkn vifaranga vinakufa nilikuwa na vifaranga 70 vimekufa 50 vimebaki20 nmezipa chanjo na dawa mbali mbali lkn bado zinakufa nifanyeje?
Wafugaji uwa tuna saidiana sasa Wacha na Mimi nifany msaada kwako na ww ukawape msaada wengine..ingia Duka la dawa zuri ambalo halikai na dawa muda mrefu mwambie akupatie Trifarm,aw oxfarm❤
Chick Stater ni Chakula cha Vifaranga au unaweza kuita Chick Mash. Japo ipo chick stater ya kuchanganya na maji ambayo ni kwaajili ya kuwaanzishia vifaranga. Inakuwa na glucose na vitamin
Je kunamadhara kwa mtu alieyewapatia vifaranga wake chanjo ya Newcastle mara mbili kwa kuwa alichanganya vifaranga waliopita sika siku ya saba na wenye hawajafikisha??? Na je kunamadhara gani kwa mtu anayechanganya vifaranga walio anguliwa na tofauti ya kama siku tatu
Nashukuru kwa mchango wenu mkubwa sana, kwa kufunza mbinu za ufugaji bora wa kuku. Nimefaidika sana na elimu mnayotoa. Mimi natoka Kenya, ningependa nijiunge na darasa lenu la what's app. Nifuate utaratibu upi?
Kaka habari ya kazi pole na majukumu Mimi baada ya wiki nne muhudumu wangu wa kuku alinunua growers mash hivyo nikaamua kuichanganya na super starter. Vipi nimeharibu? Na kama no hivyo nifanye nini kusawazisha? asante nahkuru kwa darasa lako.
Elimu nzr sana
Nawezaje kupta vifaranga aina ya saso
Asante kwa elimu yenu
Safi sana
Tuko pamoja,
Asante sana
Endelea kufatilia vipindi vyetu, wewe ni mtu wetu wa nguvu
Hongera mkuu. Unafanya kazi nzuri sana ya kutoa elimu hii. Ubarikiwe!
Tubarikiwe sote ili tufikie malengo
Nahitaji kujuwa chanjo zake
Darasa Zuri Sana'a Hongera Mwalimu
Asante sana
Chanjo zake
Asante sana Darasa litadumu kwa muda gani
Mpaka mwisho wa mwezi huu
Asante
Pamoja sana ndugu
Nataman sana kupata video ya uchanganyaji wa chakula
Nifundishe
Endelea kufatilia vipindi vyetu
Tunashukuru kwa maelekezo unayotoa,vifaranga wa kienyeji wanaweza kulelewa bila mama yao ? Je,Kama wanalelewa na mama yao ni kwa mda gani ili kuwatenganisha kuku na mama yao
Mm nilikuwa nahitaj vifalangs
Unaweza tengeneza video ya uchanjaji wa chanjo ya typhoid na kipindupindu boss
Naomba pia Elimu jinsi ya kulisha Vifaranga chotara
Okay
kuku wa kienyej wanataga mayai sehemu moja siku ya kutotoa inakuaje nsaidieni
Iv hyo mifupa iliyopikwa au ambayo bado aijapikwa???
Naomba niunge kwenye darasa nalipia
Nawapataje vifaranga wa kienyeji nipo chalinze
Asante kwa mafundisho mazuri mm napenda kufuga lkn vifaranga vinakufa nilikuwa na vifaranga 70 vimekufa 50 vimebaki20 nmezipa chanjo na dawa mbali mbali lkn bado zinakufa nifanyeje?
shukrani kaka unatusaidia kupata elimu bora
HBAR naomba no yako ya simu
Mm nauliza jee naweza kuwapa na mabakibaki ya chakula changuu kama vile wali ugalii bila kuleta shidaa?
Hizo gram napimaje kakaang yaani natumia kipimo gani?
Nauliza ni2mie jinsi gani ya kuwa2nza vifaranga wangu ndo wametotorew jan
Kuku wanga wanatokw na maupele uxon nakuvimba midom je niugonja gan make niwape dawagan
Nimepata changamoto ya vifaranga vidole kupinda na nimefuata taratibu za darasa sasa wanawiki 1.5 je inasababishwa na nini?
Hi mbona Nakuomba nijiunge me daresa lako la changamkia fursa hunijibu
Karibu sana. Ukifata maelekezo ya kwenye video, utaunganishwa
Duuuu
Jamani nisaidieni nasumbuliwa na miharo ya ranyi zote na hasa yaugoro ndio kama yote,dawa sijui ni ipi
Wafugaji uwa tuna saidiana sasa Wacha na Mimi nifany msaada kwako na ww ukawape msaada wengine..ingia Duka la dawa zuri ambalo halikai na dawa muda mrefu mwambie akupatie Trifarm,aw oxfarm❤
I want to learn about Feeds Formulations plz!
Mwezi huu video itatoka
@@changamkiafursa iki toka ni tumiye malipo tayari pesa ziko Kaka. ..Asante!
Sawa
Mimi nimeanza kufuga Nina kuku fifalanga Nina Mia moja na Sabin
Hongera sana, watunze vizuri ni mtaji mkubwa huo
Nasubiri nijuwe na mm kulisha vifaranga wangu hawakuwi nawapa mchele na wishwa t na wana sinzia mchana
Pole sana
Jogoo moja anafa wanawake wangapi
Jambo ndugu , si ni wanawake wa tano kwa jogoo mmoja , kwa kiswahili chako naona kama umeelewa
Samahani Naona nimechelewa kujiunga kwenye darasa kutokana na tarehe ya kuanza ambayo nimeisikia, nisaidie nifanyeje?
Darasa jingine litaanza tarehe 10 mwezi wa 9
hii nyavu yachin nikwamaana gani ngugu mwalimu
Am in Kenya, we use mpesa here, how can I join that group?
Send Ksh 500 from m-pesa to m-pesa namba 255(0)752209073
hii chick stater inapatikana madukan ?
Ndio
@@changamkiafursa unachanganya na chakula au kwenye maji
Chick Stater ni Chakula cha Vifaranga au unaweza kuita Chick Mash.
Japo ipo chick stater ya kuchanganya na maji ambayo ni kwaajili ya kuwaanzishia vifaranga.
Inakuwa na glucose na vitamin
Na mimi nahitaji kujiunga kwa sasa, je ninaruhusiwa???
Dawa ya ugonjwa wa ndui nini?
Je kunamadhara kwa mtu alieyewapatia vifaranga wake chanjo ya Newcastle mara mbili kwa kuwa alichanganya vifaranga waliopita sika siku ya saba na wenye hawajafikisha??? Na je kunamadhara gani kwa mtu anayechanganya vifaranga walio anguliwa na tofauti ya kama siku tatu
Nashukuru kwa mchango wenu mkubwa sana, kwa kufunza mbinu za ufugaji bora wa kuku. Nimefaidika sana na elimu mnayotoa. Mimi natoka Kenya, ningependa nijiunge na darasa lenu la what's app. Nifuate utaratibu upi?
Tuma Ksh 500 Kutoka safaricom kwenda m-pesa namba 0752209073
Vifaa. Vya maji
Kaka kwema mi tayari nishaanza ufugaji wa kuku ila sasa nachouliza ntawezaje kutengeneza chakula cha kuku mwenyewe ?
Nitaanda Video ya utengenezaji wa chakula cha kuku. Pia tukianza darasa la what's app tutajifunza karibu
@@changamkiafursa asante sana
Tuko pamoja
stata ya pillets ndio ipi
Inakuwa katika mfumo wa punjepunje
Nitumie namba ya pesa nikutumie uniunge whpps
0656528455
Nisaidie nipate azolla
Kaka habari ya kazi pole na majukumu Mimi baada ya wiki nne muhudumu wangu wa kuku alinunua growers mash hivyo nikaamua kuichanganya na super starter. Vipi nimeharibu? Na kama no hivyo nifanye nini kusawazisha? asante nahkuru kwa darasa lako.
Endelea na chakula ambacho umechanganya.
Kuwa makini na muhudumu, usimuamini sana kama hana uzoefu
@@changamkiafursa darasa lingine kinaanza Lin nataka jiunga
Nasubiri kwa hamu, vidéo ya kuchanganya chakula, kwa sababu mimi nawalisha mchele na mahindi tu. Kwa sababu sina ujuzi wa uchanganyaji wa vyakula.
Utajifunza hapa hapa
Nawashuru kwa darasa hili zuri naomba niwe nanyi nimeipenda
Karibu sana
Nimetuma ila inasema kua namba hii haitumii WhatsApp
Ndio nitakuunganisha japo umechelewa
@@changamkiafursa ok asante sana ,nimejaribu kupiga hiyo namba sana ila haipokelewi
Majukumu tu ndugu
Kwenye group una dumu kwa muda gani
Hakuna kikomo
Shukrani sana kwa darasa. Hii namba 0656528455 ni ya mtandao gani.. Tarimo
Jina gani tutatumia pesa
Hiyo ni tigo pesa, jina Hamis Rashidi
Asante