Siku 21 za Uleaji wa Vifaranga wa Kienyeji

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 55

  • @changamkiafursa
    @changamkiafursa  3 года назад +1

    *OFA OFA OFA KWA WANACHANGAMKIA FURSA*
    TUFUGE KUKU WA KIENYEJI ni kitabu (Pdf) cha Muongozo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji utakao kupa mwanga wa kufuga kuku wa kienyeji kwa mafanikio kwa kukupa mbinu za namna gani ya kuzuia Magonjwa na kupunguza gharama za uendeshaji wa mradi wako. Sasa pdf inapatikana kwa punguzo la 20%, jipatie nakala yako hiyo kwa kubonyeza link na fata maelekezo.
    wa.me/message/XOAG2ZZZDYA6J1

  • @abelraphael9746
    @abelraphael9746 3 года назад +2

    Dah kaka amakweli wewe ni mwalimu asante sana kwa somo

  • @edgarmikongoti708
    @edgarmikongoti708 2 года назад

    Nakushukuru sana kaka kwa darasa changamoto ninayo kutana nayo ni hii chanjo ya 3 Moja amahakika hii chanjo haifanyi vizuri mpaka nimeamua kurudia chanjo ya newcastle,Gumboro kuanzi Mwanzo hadi Mwisho kwani hii chanjo ya 3 Moja imefanya banda langu waugue ndui sana Ombi tunaomba hawa watengenezaji waje na jibu sahihi ya kutatua tatizo hili

    • @rosepaul7901
      @rosepaul7901 2 года назад

      Mimi ilinimalizia kuku woote, nilipowachanja ktk muda ajabu walikufa woote, iyo 3 moja haifai haifanyi vzr waache kuipigia debe, mm toka nimeiacha, kwa sasa nina kuku wengi sana

  • @godfreymlanda5188
    @godfreymlanda5188 3 года назад +1

    Iko vizuri Sana nipo kwenye kupata maarifa bdo kidogo nianze

  • @kipropfranklinenice6065
    @kipropfranklinenice6065 3 года назад +2

    I like. Your education changamkia fursa keep as going.thanks

  • @douglasamanzi4525
    @douglasamanzi4525 Год назад

    Nataka Vifaranga we like wa kienyeji !!

  • @WilsonMathias-rf4dm
    @WilsonMathias-rf4dm 9 месяцев назад

    Nice

  • @salomesalala9383
    @salomesalala9383 2 года назад

    nimejifunza mengi sana kaka

  • @nasmajuma1690
    @nasmajuma1690 3 года назад

    Asante Sana kaka namimi nimeanza kufuga kupitia masomo yako nilipata vifaranga kumi na2 lakini Sasa kutokana na hali ya kifedha sijawapa njanjo yoyote Leo tarh 30mwezi 3 wamefikisha mwezi mmoja na siku Saba sijawapatia dawa yoyot na mmoja leo kafa na mwingine hali mbaya Sana naomba msaada wako nifanyaje ili wasiendelee kufa!🙏🙏

  • @WilsonMathias-rf4dm
    @WilsonMathias-rf4dm 9 месяцев назад

    Thanks

  • @hamisiramadhani3538
    @hamisiramadhani3538 Год назад

    Naomba kufahamu nidawa zipi zinahitajika kwenye ufugaji na pamoja na chakula cha vifaranga

  • @kasangamrisho3405
    @kasangamrisho3405 3 года назад +1

    Pia napenda sana somo LA kuku wakienyeji

  • @tatukarata6072
    @tatukarata6072 2 года назад +1

    Hapa mm nashidwa kuelew nambiwa niwape Chachi ya 3 moja baad ya wiki3 nimeanza na nyukest na gombolo Sasa nasubiria niwap 3 moja weki ya 3 na nambiwa nirudie baada ya miez 3 hapo niShauriwe

  • @kasangamrisho3405
    @kasangamrisho3405 3 года назад +1

    Nakufatilia sana nda sio mlefu namie nataka kuanza ufugaji

  • @hassanmohd2539
    @hassanmohd2539 3 года назад

    Icho chakula Cha pilets ni ghali Sana kiufupi ni hassara Sana kwa wafugaji

  • @kulthumsaleh5579
    @kulthumsaleh5579 3 года назад

    Kaka nakukubali

  • @juleskayenga4426
    @juleskayenga4426 Год назад

    Mimi naitwa jules na patikana inchini rd Congo ville de goma ,shali yangu niiyi iyo dawa ya tatu moja uku kwetu bado hatuyapate tunaeza ipata namna gani ? kwani natamani niwe mufugaji ninapo kusikiya kwa mutandao naona raha.

  • @jakuhassan8279
    @jakuhassan8279 3 года назад

    Jaku Hassan nipo Zanzibar naomba mawasiliano yenu

  • @jimmyjohn8184
    @jimmyjohn8184 3 года назад

    Vifaranga wangu wana wiki tatu kasoro na tayari wameshapata ugonjwa wa ndui, je naweza kuwapatia hiyo chanjo ya tatu moja kwa sasa au niache sababu wameshapata ugonjwa? Asante

  • @felixmutta9539
    @felixmutta9539 5 месяцев назад

    Namba YAKO ya SIMU nsiomba

  • @ongezamaarifayaufugajiwakuku
    @ongezamaarifayaufugajiwakuku 3 года назад +2

    Pillet/pellet inauzwa madukani?

  • @paulmganga5880
    @paulmganga5880 3 года назад

    Vifaranga wangu wanapo fika umli huu wanaanza kushusha mbawa na kuanza kufa ikiwa nazingatia chakula pamoja na vitamin usafi ktk banda nasafisha kila siku je nifanyeje

  • @isaacrwechungura1885
    @isaacrwechungura1885 3 года назад

    naweza kupata tetea ambazo zinataga kutoka kwako?

  • @kefasimwashitete4766
    @kefasimwashitete4766 3 года назад

    Ntajiungaje mkuu,ili nipate elimu zaidi

  • @samwelwilliumsamwel1062
    @samwelwilliumsamwel1062 3 года назад

    Tatu moja chanjo ya kuku

  • @bamujositv1315
    @bamujositv1315 3 года назад +2

    Hiyo chanjo ya tatu moja inapatikana wapi??
    Vifaranga wangu wanamalizwa na ndui, maeneo ya huku haipo,

  • @marystellamushi8970
    @marystellamushi8970 3 года назад +1

    Ni siku ngapi unaruhisiwa kunyanganya kuku vifaraga na kuwaacha wajilee wenyewe, na pia ukimnyanganya kuku vifaraga vyake unatakiwa kufanyaje?

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 года назад

      Kuwatenganisha vifaranga na mama yao nashauri wiki 4, kwaachia wenyewe nashauri wiki 6-8

  • @nkenemalulu1330
    @nkenemalulu1330 3 года назад +1

    Chanjo ya Tatu Moja, nayo unakuwa unawapa kila baada ya siku 21?

  • @pazinhotv3733
    @pazinhotv3733 3 года назад

    Unawekea chakula cha aina gan..??

  • @mukombero.
    @mukombero. 3 года назад

    Hiyo tatu moja iko huku kenya kweli?

  • @sameersaid5058
    @sameersaid5058 3 года назад +1

    Mimi ndo nishakata tamaa sasa sioni nikitoboa 😭

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 года назад +1

      Pole sana, ni mwiko kukata tamaa

    • @barakamwasapi2373
      @barakamwasapi2373 3 года назад

      Usikate tamaa

    • @sameersaid5058
      @sameersaid5058 3 года назад

      Kwann nisikate tamaa kwanza nafasi ndogo, pili nilijaribu ile namna ya kupata vifaranga wengi kwa wakati mmoja nikafaniwa nilitumia kuku watatu. Nilibahatika kupata vifaranga 27 kwa mayai 30. Wamebakia 12🙆🏾‍♂️ . Kwann nisikate tamaa

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 года назад

      Sababu za vifo ni nini

    • @sameersaid5058
      @sameersaid5058 3 года назад

      Sababu ni maradhi yanayo sababishwa na baridi, mafua sana sanaa

  • @allyrashidi457
    @allyrashidi457 3 года назад

    Hiyo chanjo ya tatu moja sh ngapi ?

  • @neemasamba6500
    @neemasamba6500 3 года назад +1

    Kuku wap anafaa kutamia na utafanya nn ili kuku kutotoa mayai yote ulimpatia

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 года назад

      Kienyeji ndio mzuri kuatamia, ili mayai yote yaanguliwe hayatakiwi kuzidisha siku 7 kwa kuku chotara na siku 14 kwa kuku wa kienye

    • @joycejames4603
      @joycejames4603 3 года назад

      Hongera Sana Kaka kwa ufugaji wenye tija naipataje 3 moja