Nafurayi sana kwa maelezo na mafundisho yote ambayo ,,, MUNGU AZIDI KUWABARIKI SANA. Nina wafwata from DRC HAUT-KATANGA PROVINCE MTAA WA LUBUMBASHI BASI NASEMA YAKWAMBA MUNGU AZIDI KUWABARIKI SANA
Masomo ni mazurisana kukuwangu wametotolewa na kuku wa kienyeji mayai nikuku chotara na nimewapa chanjo zote kasoro marex je naweza kuwapa hiyo chanjo baadae
Somo liko Safi mno lkini nna maombi mawili ya kuelkezwa naomb unielzee haina za vitmn na je kwakiwngo gan una chngany otc na iyo vitamn kwenye maji swali lamwisho naomba unielkeze direct chanjo ya ndui siku GN inatlewa aba ya izo chanjo za mwisho kutolewa
+Michael Charles Chanjo ya ndui inatolewa cku ya 56. Aina za vitamin ziko nyingi sana la muhimu ni kuwa kuna vitatami ambazo hazina antibiotics na zingine Zina antibiotics, kuhusu kuchanganya ni kijiko cha chai kwa 5lita za maji
Kama utatumia ya kidonge utawanyima maji tu kwa muda wa masaa 2-4 iliwapate kiu. Umesikia kuhusu changamkia fursa what's app group? Ukijiunga utakua karibu na wafugaji wengine
Mimi nimefuata utaratibu wote wa chanjo kama ulivyo eleza clip zako za awali,na sasa nimeanza marudio ya zile chanjo za mwamzo na nimebakiza chanjo ya ndui ,lakini kuna tatizo limekuwa likionekana Kwa vifaranga kuzubaa, kutokula, je tatizo nini
Mbali na chanjo zote unaweza kuwapatia lakini, hata mkusanyiko wa hizo chemicals/vaccinations mwilini mwao na bado huwa wapo ktk hatua ya uchanga huwa ule mfumo wa mwili bado haujawa madhubuti(immunity) na na huwa kuna reactions zinatokea mwilini mwao ili kufanya zile vaccinations zote ziende kuungana na immunity ya miili yao ambayo hua ni natural ndio unaona wanakuwa hivyo maana, hapo kuna natural immunity na artificial immunity ikitaka kuungana lazima kuwe na hitilafu flani, sorry bro ni mambo ya kitaalamu zaidi hayo hata kiumbe yeyote huwa hivyo.
chanjo asilia ya kuku wa kienyeji ni pilipili, alovera, muarobaini, katani, furahisha na majani ya mtiri, changanya pamoja twanga wape kuku wako na pumba hafi kuku hata siku moja, mawasiliano 0763858132
Ujenzi wa banda bora la kuku 👉 ruclips.net/video/0XmXo-8o5DY/видео.html
Changamkia fursa ni Daima❤
Hakika lazima nijifunze zaidi hongereni Sana
Mpo vizuri sana je vifaranga miezi mitatu wanapatikana na bei gani
Nafurayi sana kwa maelezo na mafundisho yote ambayo ,,, MUNGU AZIDI KUWABARIKI SANA.
Nina wafwata from DRC HAUT-KATANGA PROVINCE MTAA WA LUBUMBASHI BASI NASEMA YAKWAMBA MUNGU AZIDI KUWABARIKI SANA
Utaratibu huu nimeutumia na matokeo yake ni mazuri sana.
Pamoja Sana ndugu
naomba unijuze kwa uzoefu wako,, vfaranga 100 hula kg ngapi kwasiku?
Ninashukuru kwa masomo juu ya vifaranga. Barikiwa sana.
Tuko pamoja
Otc 20 Ni Nini?
Antibiotics
Asante kwa mfunzo mzuri
Shukran kwa somo
Uko vizuri
Asante sana
Somo zuri sana
Tuko pamoja
Safi sana, hata Mimi namehamasika kuingia kwenye industry ya ufugaji.
Endelea kutupa elimu hii utukomboe watanzania wenako
#changamkiafursatv
Tuko pamoja mkuu
Asante Sana ubarikiwe
Habr samahan kama vifaranga vina mwezi mmoja hawapata chanjo yyote lakin wako vizur naweza kuwapa chanjo gani
Hata mm pia nimepata elimu
nashukuru kwa elimu juu ya ufugaji wa kuku Ubarikiwe. Naomba Namba yako
+Friday Malaso 0752209073 /0712404341
ahsante kwa msaada wako
Nimependa
Kiongori m naomba ratiba ya izo chanjo
Nashukuru mafunzo yenu ni mazuri ila bei yake ni vp kuhusu hizo chanjo
nashukuru kwaelim naomba unituie uaaji mabanda yakuku
Asante nimekupata.
Shukrani
Shukrani sana kwa somo zuri
Asante
asenti mimi takwita mwalimu
Mkuu shukrani kwa ushaul mafunzo ya chanjo ila naomba unisaidie hiyo list ya mangojwa
Looks
Nimeipenda
Naomb za wasp
Je kuku wanalipa
Hi
Palace
Naomba kuunganisha kwenye gruup
Lihitaji kuku mpaka mda huu sijajubiwa kama niwapata vifara au
Hivi vifaranga huchanjwa kwa mda gan tangu watotolewe?
🙌🙌🙌🙌
asnt kwa ushauri mzur
Mim nataka kuaza kufuga
nzuri.
Pamoja
Samahan
Hivi kaz ya otc 20 huwaga ni ni?
OTC 20 ni antibiotics
@@obadiayusuph7096 nai twa Khalid naka nijiunga na wafugaji w kuku nifanyeje
Masomo ni mazurisana kukuwangu wametotolewa na kuku wa kienyeji mayai nikuku chotara na nimewapa chanjo zote kasoro marex je naweza kuwapa hiyo chanjo baadae
Iyo chanjo ya marks ni ya umri gan wa kuku
Kama haujachanja vifaranga wana mwezi nikipi cha kufanya kwanza
Ndg nashkru kwa somo lako zuri nisaidie namba za group la whatsaup
somo zuri je nitakupataje?
0752209073 /0712404341 nitafute
Ahsante kaka
Swali langu nimuda gani sahihi ya kuwapa kuku chanjo ya tatu moja ?
Kuna dawa ambayo inasemekana inatibu magonjwa matatu kwa mara moja ni kweli kichupa kimeandikwa Tatu moja kwa muhuri tunaomba jibu
Nipo mkoa wa rukwa wilaya ya sumbawabga vijijini karibu na ziwa rukwa
Asante sana
Nahitaji incubeta ndogo ya wastani wa mayai 500 na nipo arusha naipataje?
ninashida mtetea wa aina ya Kuchi anaeza kupandwa na jogoo ya tofauti?
Tunakua tunaambiwa kua kuku wa kienyeji hawaathiriki na gomboro vipi hili jambo lina ukweli
kuwapa chanjo zote haimaanishi kuku wako hawata kufa point ya msingi
Pia za kizungu zina weza pata chanjo hii?
Ndio
Vifaranga wa bata wanapata ugonjwa wa kuzunguka na kisha hudondoka na kufa huo ni ugo jwa gani na tiba yake ni nini0
Kwani Leo unaumwaa???
Marex hii hata kama umetumia incubator ndogo yani vifaranga wacheche kama 30 au 60
ex
Renmbo
Chand ya ndui ikitolewa mapema ina madhsra kwa kifaranga?
Hapana
Tandazo lililotumika hapo chini ni la aina gani?
Ukiweka tone mbili kwenye jicho moja la kuku , je kuna madhara gani ?
Hakuna madhara ila ni uharibifu wa chanjo
@@changamkiafursa nashulu ndugu
Naomba kuungwa kwenye group mana mm ni mfugali naitaji nizidi kuboresha ufugaji wangu ndugu
Nataka namba za group la whatssap
Somo liko Safi mno lkini nna maombi mawili ya kuelkezwa naomb unielzee haina za vitmn na je kwakiwngo gan una chngany otc na iyo vitamn kwenye maji swali lamwisho naomba unielkeze direct chanjo ya ndui siku GN inatlewa aba ya izo chanjo za mwisho kutolewa
+Michael Charles
Chanjo ya ndui inatolewa cku ya 56.
Aina za vitamin ziko nyingi sana la muhimu ni kuwa kuna vitatami ambazo hazina antibiotics na zingine Zina antibiotics, kuhusu kuchanganya ni kijiko cha chai kwa 5lita za maji
Kama kuku wangu sikuwapa chanjo yeyote je naweza nikawapa chanjo hiyo ya mwisho ya ndui
Ndio
Naomba namba yako.
0752209073 /0712404341
umefanya vizuri sana ila GOMBORO si ugonjwa wa new castle plain?
Gumboro sio, new castle . new castle ni mdondo.
Je? ni muhimu kuchemsha maji ya chanjo?
Nivizuri ili kuwa na uhakika
Nashida nukofahamu kutofautisha kuku dume na joke. Je nitawezaje kutofautisha jogoo na tetea Kati ya mwezi 1 n 2
Naomba namba yako ya group LA wasap
Kuna huu mmea wa alovera, kitungu saum mtu huwapa kuku kwa taratibu ipi?
Video hiyo itakua hewani J3, kumbuka tu kusbscribe ili usipitwe
ChangamkiaFursa Tv I have subscribed
Stay tuned
Umesikia kuhusu changamkia fursa what's app group?
Napenda sana kufuga kuku wa kienyeji nataka nipate elimu ya kutosha nakupataje docter!
Pawalenyamegafosi
nimefwatilia kwa umakini Sana bado kuna tatizo Vifaranga wanalegea miguu wanashindwa kusimama tatizo nn?
+glory Maiko
Tatizo linaweza kuwa ni upungufu wa madini kwenye chakula au hakuna chanzo cha joto kwenye bruda. Kwahyo ongeza DCP kwenye chakula
me naomba kujua chanjo ya Marek's, tunapo nunua vifaranga utajuaje Kama wamepatiwa chanjo ya Marek's,??
Naulizie Newcastle Sikh ya saba unawanyima chakula na maji ama maji tu?
Kama utatumia ya kidonge utawanyima maji tu kwa muda wa masaa 2-4 iliwapate kiu.
Umesikia kuhusu changamkia fursa what's app group?
Ukijiunga utakua karibu na wafugaji wengine
xory na baada ya hayo masaa mawil baada ya kuwapa unaweza kuwapa maji yakawaida?!
+christer mbawa
Ndy
Kuku wngu wana tatizo sana la kuharisha naombeni msaada wadau tatizo nini?
+stanley martin
Wanaharisha kinyesi cha rangi gani?
Jitahidi kuzingatia usafi wa vyombo vya chakula na Maji pamoja na mazingira kwa ujumla
Thnks
@@changamkiafursa nataka nianze ufugaji kanuni gani nizitumie
Mbona unavyoongea hutoi sauti?
nna mtaji wa laki nne ndapataje vifaranga wa kienyeji pure npo mwanza ni mgen na ndafanyaje nikuze mtaji Wang bila kusnguka
U
Huo mchanganyiko wa 1 nachanganya aina zote zadawa au ni ainamoja ? Nieleweshe mtaalm
Unachanganya kijiko cha Chai kwenye maji lita 5, kila dawa
Llll
nipe no yako
+kashinde maliga
0752209073
Chanzo ya ndui ikitolewa kabla ya mwezi(ikiwahishwa zaidi kwa kuku ina madhara)
Mimi nimefuata utaratibu wote wa chanjo kama ulivyo eleza clip zako za awali,na sasa nimeanza marudio ya zile chanjo za mwamzo na nimebakiza chanjo ya ndui ,lakini kuna tatizo limekuwa likionekana Kwa vifaranga kuzubaa, kutokula, je tatizo nini
+Kajika Malagi
Fuatilia kinyesi wanachojisaidia maana kuku wana magonjwa mengi
+ChangamkiaFursa Tv
Vip otc 20 na vitamin huwa unawapa
Mbali na chanjo zote unaweza kuwapatia lakini, hata mkusanyiko wa hizo chemicals/vaccinations mwilini mwao na bado huwa wapo ktk hatua ya uchanga huwa ule mfumo wa mwili bado haujawa madhubuti(immunity) na na huwa kuna reactions zinatokea mwilini mwao ili kufanya zile vaccinations zote ziende kuungana na immunity ya miili yao ambayo hua ni natural ndio unaona wanakuwa hivyo maana, hapo kuna natural immunity na artificial immunity ikitaka kuungana lazima kuwe na hitilafu flani, sorry bro ni mambo ya kitaalamu zaidi hayo hata kiumbe yeyote huwa hivyo.
ChangamkiaFursa Tv asante kwa ushaur vifaranga wangu wameshusha mabawa naomba unisaidie niwape dawa gan
sawa naomba unisaidie formula chakula cha Vifaranga wa kuanzia siku moja hadi wiki 8 na dawa za kwenye maji
nataka kujua tiba asili isiyotumia dawa Za viwàndañ
Nitaandaa Endelea kufuatilia Changamkia fursa tv
chanjo asilia ya kuku wa kienyeji ni pilipili, alovera, muarobaini, katani, furahisha na majani ya mtiri, changanya pamoja twanga wape kuku wako na pumba hafi kuku hata siku moja, mawasiliano 0763858132
Asante kwa mafunzo naomba uniad kwenye group 0764625578
ex
Ninatamani niwe wewe naomba na ya simu yako mpendwa.
0752209073
NIMEHAIKA KUPATA ADDRESS YENU:
a) Simu zenu,
b) WhatsApp YENU,
C)Namna kupata VIFARANGA
Tafadhali nisaidieni.