Fried Chicken - Kiswahili
HTML-код
- Опубликовано: 6 янв 2025
- Miguu /mapaja au sehemu yoyote ya kuku
Kitunguuu thom na tangawizi mbichi
Mayai
Maji
Hot sauce ya iana utakayopenda
Unga mweupe wa ngano
Chumvi
Pilipili manga ya unga
Pilipili ya unga ya paprika/au yoyote
Unga wa vitunguu maji kama utapenda
Mchanganyiko wa bizari utakayo penda sio ya mchuzi
Mafuta ya kukaangia
yaani i say umenieka kwa shida ever since i started following your tutorials everyone wants me to cook everyday.. thumbs up for you.. mashaAllah Alayk
Thumps up to you, you are good student..keep cooking and thank you for your support and wonderful compliment x
i need your opinion please.. according to you which is the best way ya kutengeza kuku wa kula na ugali
samahani ndio Kwanzaa naiona comment yako , mie napwndelea wa mchuzi wa nazi
thanks for your suggestion.. if you have made a video of it please send me the link..
Sina special recipe lakini this is my base recipe ya mchuzi wa nazi kwa samaki au kuku ruclips.net/video/BRy2V9ASa_s/видео.html
Duuh napenda sana kuku ❤
MashaaAllAH najifunza mengi kwa mapishi yako AllAH akujalie moyo wa imani lnshaaAllAH uwe ukushare na ss mapishi matamu kama hayo
Amin
Napenda sana mapishi yako aunt jana nilipika sambusa kwa manda za kutengeneza mwenyewe kama ulivyoelekeza zimetoka vizuri... Asante sana Allah akubariki
shukran kw upishi s fried chicken nimejaribu nzuri sana mungu akujazi kheri imekua km brost
Thank you jazakal Allahul kheri mashaaAllah kwa upishi huo wa kuku wa nazi tutajaribu inshaaAllah kumpika kuku kama huyo
Inshallah
Aiseee mapishi usafi this woman is msafi i like this one mapishe yake iko smple had mm nitacook home
Aunti Napenda sana Mapishi Yako Upo juu Aunti mungu Hazidi kukupa Mapishi zaidi Aunti
Shukran, AMIN kwetu sote
Maa Shaa Aallah na Jazaki Allahu Khairaan Kathiraan kwa Darsa zako za Mapishi.
Shukran
Yani leo nimejaribu hio recipe masha Allah imetokea vzr ahsante habibty na mister ameipenda.
Alhamdulilah. Hongera kwa jitihada zako
mashallah napenda sana mapishi nauna elekeza vizuri sana jazakallah kher
Shukran, Amin
asant mama. mungu akupe maisha marefu ili uzidi kutufunza mapishi tofuti tofauti ....ubarikiwe
Shukran
mashallah nataka kujaribu kupikia warabu hii kuku nilipika pilau yako walifurahia sana
Shukran dear
Mashaallah Allah akupe afya njema kwa mapishi ya mazr inshaallah Nami nitapika
Amin kwetu sote
Mapishi yako matamu jamani, yaani basi tu! God akubariki dada
Nakupenda wewe Dada mungu abariki mikono yako TOKA nianze kukufalitilia ktk maisha yangu sijawahi juta ktk upishi wangu najikuta very comfidence wallah
Hongera sana kwa jitihada zako , nashkru kua umependa mapishi
Ma Shaa Allah habbty will try this one day In Shaa Allah
May Allah grant you longlife,healthy, happiness
I really missed your videos. Welcome back. 🌹tunajifunza siri za mapishi.
Shukran, thanks for your support
nimeolewa tangu nianze kufatilia video zako na nikimpigia mume wangu anasifia sana mashaAllah hongera sana...naomba kujua kutengene achal
Hongera dada kwa jitihada yako, achari nitajaribu ikisha Ramadhani wakati huu kuna maombi mengi sana ya vyakula dear
Allah akuzidishie unafundsha kupika bila malipo wengne bwana weeeeee oujua jina la kitu elfu 5😂😂😂mashallah mamaangu
shukran wajazakallahu Kheri mm napenda mafundisho mashallah nice
Umenifunza sana kupika. Mola akubariki.
Shukran, Amin
Siachi kusema nakupenda sana we Dada Allah Akupe umri mrefu wenye manufaa
Ahsante sana , shukran kwa dua njema amin kwetu sote 💕💕
Naupenda sana upishi wako..sanasana unvyoeleza taratibu
Shukran, thank you for your support
Mashaallah nzur san nimependa unafahamisha vema
Sada Haroun Ahsante sana dear
ahsante sana aunt fathiya
hiyo ni Ajaab sana.santaa
Shukhuran saana kwa maelezo yako. Kuuliza, Wale hatuna friyer tunaruhusiwa kuchemsha mda ghani. shukhurani
Sio lazima kuchemsha kama utatumia kuku wa broiler sio kienyeji .
@@aromaofzanzibar asante
napenda sana kubadilisha kila design ya mapishi
thanx Mimi uwa nakupenda unafundisha vizuri kuliko wote
Ahsante, nashkuru
napenda sana ku watch video zako za cooking na mara nyingi nimejaribu upishi wako mashaaAllah hata family yangu wamefurahikia haswa Ule wa samaki wa kupaka
Shukran, nimefurahi kujua kama unapenda mapishi , thank you for your support dear
mashallah mashallah nice sasa Kwa wale htn hyo yakukarangia natumia karai
Utatumia karai anza kwa moto mkubwa upike kiasi dakika 3 halafu punguza moto uwe kiasi upike dakika kiasi 12
Mashallah samahani uga ngani huwo
Unga wa ngano tu wakaida nimeandika viungo vyote hapo chini
wanangu wapepensa sana fried chiken daima nawapikia shukran sana
أحمد عبداللهيضر قدمين؟ Alhamdulilah nimefurahi sana
Nimefurahia sana ni tamu sana
Karibu sana
Thank u I watch English video.nice method of fried chicken
i Will definatley try this inakaa delicious
Tafadhali naomba tufundishe kupika chakula chenye hatuta. ongeza kilo😂 my hormones are driving me crazy kilo za panda juu hazi shuki chini...though na jaribu sana ku maintain....Bless you my sister in soul🙏
Chakula cha haututa ndio chakula gani jamani, I cook healthy food pia hivi ni vyakula vya weekend sio kila siku . Nifate kwenye chanel yangu hii utapata idea vipi napangilia vyakula vyangu ruclips.net/video/vQUKJl6EKlQ/видео.html
mungu akujaalie mamy yng yani nimefanya hii recipe jmn kuku ni watamu mno jmn daa ninazid kupata sifa cos of u mamy
Shukran, amin
Aroma of Zanzibar assallam alaikum thanks for this nilikua nikisubir kwa khamu
princcess mayyumi mohamed
Allah! akujaalie leo naend wapikia hivo na zile bites iftar
Alhamdulilah
Ladynaa Masimba 😂😂😂😂
upo vizur sanaaaa
ahsante sana
I dont miss ur videos i luv them
Thank you for your support
Napenda sana mapishi yako
Ahsante
MashaAllah, finally I got the recipe...jazakillah kheyr sis, i was wondering KFC chickens were different and very delicious! Kumbe yapikwa hivyo😍😍😍
Shukran, kuna aina nyingi za kupika mie napenda hviv
njaa njaa njaa dada, am salivating.Nauliza kama naweza kutumia unga wa ngano kwasababu sina huo gram flour....
Nimetumia unga wa ngano sio gram flour
Ahsanti dada
MashaaAllah mm natokea uk
km ni kuku wakiswahi unachemsha kwanza
0772062622
0772062621
habibty lete vingi vyakula vyako sana vizuri
Asante sana Kwa upishi wko ninafurahia
Masha Allah shukran habeebty for sharing your recipes with us.may Allah bless u always
Shukran dear thanks for your support
Hayo mayai niyakienyeji au ya kawaida tuh
Ya kawaida tu
Okay ss thank you
Mbona sipati notification siku hizi
Pole siku nyingi sijapost lakini Leo Inshallah nitarudi
Nimeipenda
Asante kwa mapishi mazuri
nimeipenda sana
Nimependa mapishi yako aunty Fathy masha Allah
Shukran, yote kwenu nuyie wapenzi wangu
Jamani dada mapishi yako nayakubali sana
Naomba utufundishe namba ya kutengeneza fondant kwaajili ya kupamba keki
Namna
janeth andrew Ahsante sana lakini mie situmii fondant kwa cake ni Buttercream tu Na video receipe zimo humu
plz can u send ur butterscotch cream video
Sorry I do not have a butterscotch cream video , what I did was I made buttercream and I added caramel to it, this is how to make caramel ruclips.net/video/YfkEzE-pZDc/видео.html
Mashaa Allah yummy yummy 😋
asante kwa hayo mafunzo nitajaribu
Asalam Aleikum nauliza kama cna hiyo ulotumia naeza choma na karai
Kuchoma daima.ni karai dear Mie sina tu lakini hata sufuria lina faa
@@aromaofzanzibar ooòh shukran habbty acha nijaribu na mm
Naweza kutengeneza hii kwa kutumia kuku aliyechemshwa..?
Karibu oune
Assalaamu alaykum, km kuku ni mgumu,hawezi lainika kwa kumkaanga peke yake,unaweza mchemsha?
Itabidi umshemshe kwanza halafu utamkaanga
+Aroma of Zanzibar Jazaakillahu khayr
Maishaallah my so waoou 😘 kwa macho tu wanatamanisha .Mi nimependa sauti yako inafanana na sauti ya my wii yupo belgium🤣.
Thanks
Very nice thanks for sharing
wazungumza Kwa makini sana
Nice!!, thanks alot it helpful 😍
wow so amazing
habbty nimetengeza kachori bt naona zimejaa mafuta ni coz ya nini plz nijulishe
Kama zimejaa mafuta itakua mafuta yako yalikua si yamoto vya kutosha ulipoanza kukaanga x
wow nime penda
nyc lv😘
u r so good thanks for your useful videos 😍😍 i hope to put translator on your videos plz ... i donot understand your language..
Asaria welcome to my channel, please note that I have English videos as well, here's the English version and the ingredients will be in the description box ruclips.net/video/YfkEzE-pZDc/видео.html
yaaay ..thanks so much 😍😍😍
I need ur pastry kitchen English videos
Please go to my videos and select what you like they are in both languages
Umetumia unga wa ngano?
Ndio
Asante sana mamy naweza kula na ili iwe nzur zaidi??
Chips
mash Allah am new to ur channel
Shukran, thanks for your support
Hot sauce na chilli sauce n Sawaa??
Ni sawa
Iliyopikwa haifai? Lazima nyama iwe mbichi?
Sijafaham swali lako
I love your voice mwaaaaa
Thank you dear
nice one plz send me the ingredients, plz..
Miguu /mapaja au sehemu yoyote ya kuku
Kitunguuu thom na tangawizi mbichi
Mayai
Maji
Hot sauce ya iana utakayopenda
Unga mweupe
Chumvi
Pilipili manga ya unga
Pilipili ya unga ya paprika/au yoyote
Unga wa vitunguu maji kama utapenda
Mchanganyiko wa bizari utakayo penda sio ya mchuzi
Mafuta ya kukaangia
Asante sana.
rainee atieno :))
sante sana kesho ntajaribu ....kuku fry
alafu cjui instagram nikupate aje iwapo upo
Abdullah Saqer instagram fathiya.ismail au aroma of zabzibar
asante acha nikufollow right away
+Aroma of Zanzibar upo znz sehemu gn
cuty zeyy tariq mie siishi Zanzibar
Aroma of Zanzibar
umenifurahisha napenda sn fried chicken
Mungu hakuzidishie ujuzi na hakupe Afya tele utufundishe wanawake wenzako Mapishi mm napenda sana kumpikia mme wng Asante kwa kweli
Habari Dada Fadhiya pole na majukumu. Samahani nilikuwa naomba unifafanulie hizi binzari mchanganyiko ni zipi?
Bizari za aina yoyote utavyopenda mwenyewe
@@aromaofzanzibar naomba hizo za kwako tafadhali darling
@@mamahamida6807 mimi nipo marekani dear siwezi kuleta huko
@@aromaofzanzibar yaani uniambie tu ni kiungo hiki na hiki mimi nipo Belgium.
@@mamahamida6807 ni onion powder, garlic powder, celery powder, chipotle chili, black pepper, white pepper, cayenne pepper , dried thyme. Italian seasoning, paprika
Wow it looks amazing 😋😋😋😋😋❤❤❤❤🤩🤩🤩🤩
nimejaribu kupika hili pishi laki kuku haiivi ndani sijui mbona?
Pole sana , unatumia kuku wa ina gani sio wa kienyeji na pia moto ni muhim sana unaweza kuongeza mda wakati moto ukiwa mdogo.
Plz tell me ingredients name in English
Mohmmad Ikram Thank you for watching my channel, please note that all my videos are in both languages here's the link to the English version ruclips.net/video/YfkEzE-pZDc/видео.html
Assalam aleykum Habibty, Ramadhan kareem , Habibty nataka Kujaribu kuwafanyia watoto hii recipe lakini sasa hio bizari ya mchanganyiko sina sijui niweke bizari gani . Shukran
Sio lazima dear
Aroma of Zanzibar , Shukran sana habibty jee tanduri masala itafaa?
@@nasrahabdulatiffattass2310 unaweza
unga aina gan unatumia?
Unga wa ngano mweupe wa kawaida tu
Thankyou
were do you live
I am in US - Texas
Hao kuku kama ni wakienyeji/wakiswahil unawachemsha kwanza au?
Nahisi ukichemsha hutopata ladha ya kukaanga labda roweka mda mrefu halfu mkaushe na viungo
I will try this but umesema tusieke bizari za mchuzi nieke gani
Bizari ya mchuzi kwa fried chicken haipendezi ,
ur most welcome habibty
I like your cooking no messy😋.....I will try this but can I use brown flour instead of white flour? I love chicken and am trying to keep fit with healthy diet😊. Thank you in advance...God bless😇
Yes dear you can use brown flou you can even bake it they call it oven fry ( I do that most of the times) it taste the same. After you have coated it put it in the tray and spray with oil, bake it at 400F for 10 mins to get a nice crisp and then reduce and cook for about 15 minutes so it cooks inside as well. I have shown this technique in my oven fried fish
wamependa
i like your videos
Thanks for your support
Aroma of Zanzibar
mambo vipi nipo daresaalam Tanzania je hivi viungo vipo na huku au huwa haviji???
Dada, hiyo ni kufahamisha namna ya kupika unaweza kuweka viungo vyovyote ulokua navyo na vingi vinapatikana huko Dar labda unga wa vitunguu maji tu ndio itakua shida
Ila pia nlikua naomba recipe ya vileja vya tambi na fried rice
fried rice bonyeza hapa ruclips.net/video/hUdwTznxU7I/видео.html
Mie si mpishi wa vileja , nakuekea hhii link ya shuna's kitchen yeye anayo ruclips.net/video/qtmA5F2FIg8/видео.html
Twaomba utufafanulie paprika nini ? Ama ni curry powder
Paprika ni aina ya pilipili ya unga nyekundu
inavutia mnoo
Unga wa nn uo mbna ujasema my
Unga wa ngano nimeandika hapo chini kwenye description box chini ya tarehe
naomba pishi la njugumawe
Zainab huku nilipo hakuna chungu mawe dada sorry