You probably dont give a shit but if you are stoned like me during the covid times you can watch pretty much all the new movies on InstaFlixxer. I've been streaming with my gf for the last few weeks :)
Asante sana Tina. Naomba hiyo orodha ya bidhaa ambazo hazikusikika as in the sound went off when you were mixing the dry ingredients. Kindly reveal this to us. Much thanks
Emily Ouko Maziwa kikombe kimoja changanya na kijiko kimoja cha vinega nyeupe, Mayai 3, pilipili manga, pilipili ya unga, chumvi kidogo. Mahitaji kwaajili ya unga Unga wa Corn starch Unga wa ngano Pili pili ya unga au cayenne powder Chumvi Paprika Black paper/ pili pili manga
Cooking With Tina sawa momy...saizi naenda kununua Beatter milk ndio kitu ambacho sina my dear....nimejifunza vizuri na pia nimekuelewa momy...mungu aendelee kukutunza na kukupa ubunifu mkubwa ili kuweza kutusaidia na sisi 2weze wafurshisha watoto wetu na waume zetu pia
Petty Mmasi ukikosa buttermilk unaweza kutengeneza mwenyewe my dear maziwa ya kawaida kikombe kimoja cha chai unatia white vinegar kijiko kimoja kidogo (kijiko cha chai)
gladness makyao Unaweza kutumia ila utumie kuku ambaye hajakomaa kwani kuku wako akiwa mgumu kuiva itachukua muda mrefu na huo unga unaweza kuungua na kuku wakatoka weusi.
Ajames Guitare Tumia unga wa ngano na chenga za mkate. Unaweza kufikicha vipande 2 au 3 vya mkate hadi iwekama unga unga kisha tumia kama huna cornstarch
Ajames Guitare unaweza kutumia mikono au ukakata ndogo ndogo na kusaga kwenye blenda ila weka kidogo kidogo usiweke nyingi kwa wakati mmoja. Unaweza kausha kwenye oven na pia unaweza kutumia mkate ukiwa fresh.
Ajames Guitare unaweza kutumia mikono au ukakata ndogo ndogo na kusaga kwenye blenda ila weka kidogo kidogo usiweke nyingi kwa wakati mmoja. Unaweza kausha kwenye oven na pia unaweza kutumia mkate ukiwa fresh. Haitakuwa kama unga kabisa inakuwa chenga chenge. Pia unaweza nunua dukani au supermarket. Chenga za mkate / breadcrumbs
Sarah Jairo Utapata kwenye maduka ya vyakula na pia Supermarket yeyote unapata ukiingia supermarket waulize wahudumu wa mle ndani watakupatia kadhalika dukani. Corn starch
Zeyana Al-anbury Pole sana sijajua tatizo ni nini. Nitaifanyia kazi next time isiweze kutokea tatizo la sauti. Nitaorodhesha mahitaji yote ili kusaidia hapo ambapo sauti ilipotea
Wow leo napika hvi
Asante Sana nimejifunza
Dada uko vzur
I like 👍 how you explain 😏 nice 👌 cooker
John Blessing thanks 🙏
Sweet Kuku
IDDI OCHIENG Asante
Ahsante love
is really good. thanks.
Al-Baghir Yakout Thanks 🙏
You probably dont give a shit but if you are stoned like me during the covid times you can watch pretty much all the new movies on InstaFlixxer. I've been streaming with my gf for the last few weeks :)
@Merrick Nash yea, have been using InstaFlixxer for years myself =)
Thanks kwa dasara.....kesho nitajaribu kuandaa
HERRY SITAYO
Thanks so much too 🙏
WOow....it would be way KFC with oats
🙏
Safi .nimekuelewa my
Radhia Salum Thanks dear
Wow ingawa sauti ilikua inapotea mapishi bora
Gloria 6 Nitaorodhesha mahitaji yote nliotumia kusaidia pale ambapo sauti ilipotea
Kfc wataniskia keener bomba
Kwenye viungo vya unga hawataki kuwa wazi,wote huwa wanaficha,na unga ndiyo radha nzima ya zoezi hili.
Asante sana Tina. Naomba hiyo orodha ya bidhaa ambazo hazikusikika as in the sound went off when you were mixing the dry ingredients. Kindly reveal this to us. Much thanks
Emily Ouko I will
Emily Ouko Maziwa kikombe kimoja changanya na kijiko kimoja cha vinega nyeupe, Mayai 3, pilipili manga, pilipili ya unga, chumvi kidogo.
Mahitaji kwaajili ya unga
Unga wa Corn starch
Unga wa ngano
Pili pili ya unga au cayenne powder
Chumvi
Paprika
Black paper/ pili pili manga
@@cookingwithtinatz I'm more than grateful for this n the quick response. Thank you
Emily Ouko thanks so much for watching
@@cookingwithtinatz mfano kama una unga wa ngano tu inakuaje na jee mahitaji mengine mfano kama vitunguu thaumu au tangawiz je aifai
Saan si kuku hehee
Sauti sehemu nyingine hakuna mtu kujifunza na kupata matokeo km yako hivyo ulivyopika ni ngumu. Rekebisha sauti
Spices umetumia zipi kwenye unga? Please be opened
Arianah Valiente chili power, cayenne, paprika na black pepper
Kesho xmass tr 25/12/2018...mm nyumbn kwangu nawapikia familia yangu yote
Petty Mmasi That nice 🙏 utanipata mrejesho kwenye comment
Cooking With Tina sawa momy...saizi naenda kununua Beatter milk ndio kitu ambacho sina my dear....nimejifunza vizuri na pia nimekuelewa momy...mungu aendelee kukutunza na kukupa ubunifu mkubwa ili kuweza kutusaidia na sisi 2weze wafurshisha watoto wetu na waume zetu pia
Cooking With Tina nikipika 2 nitakwambia ...but naomba no nitakayokutumia video na picha nikuonyeshe vile nitakavyopika momy
Petty Mmasi ukikosa buttermilk unaweza kutengeneza mwenyewe my dear maziwa ya kawaida kikombe kimoja cha chai unatia white vinegar kijiko kimoja kidogo (kijiko cha chai)
safi
Vifaa vyote ndani ninavyo jmn
Jmn yaán ndo kjfnz d
Kwan kunaulazima wa kuwechangany na maziwa
Sio lazima ila inasaidia kuku asikauke kwa ndani.
Je nikitaka kutumia kuku wa kienyeji itafaa?
gladness makyao
Unaweza kutumia ila utumie kuku ambaye hajakomaa kwani kuku wako akiwa mgumu kuiva itachukua muda mrefu na huo unga unaweza kuungua na kuku wakatoka weusi.
Cooking With Tina oooh na je naweza kumchemsha kidogo? Then nimkaange?
gladness makyao
I’m not sure ila unaweza kujaribu ku chemsha kidogo. Then una marinate kwa muda mfupi.
Huo unga mwingine sijauelewa unapatikana wapi?
Kama huna huo unga wa corner unaweza tumia unga gani?
Ajames Guitare Tumia unga wa ngano na chenga za mkate. Unaweza kufikicha vipande 2 au 3 vya mkate hadi iwekama unga unga kisha tumia kama huna cornstarch
@@cookingwithtinatz samahani kidogo, huo mkate unaukausha au unafanyaje hata uwe km unga?
Ajames Guitare unaweza kutumia mikono au ukakata ndogo ndogo na kusaga kwenye blenda ila weka kidogo kidogo usiweke nyingi kwa wakati mmoja. Unaweza kausha kwenye oven na pia unaweza kutumia mkate ukiwa fresh.
Ajames Guitare unaweza kutumia mikono au ukakata ndogo ndogo na kusaga kwenye blenda ila weka kidogo kidogo usiweke nyingi kwa wakati mmoja. Unaweza kausha kwenye oven na pia unaweza kutumia mkate ukiwa fresh. Haitakuwa kama unga kabisa inakuwa chenga chenge. Pia unaweza nunua dukani au supermarket. Chenga za mkate / breadcrumbs
Inakuwa chenga chenga lakini inasaidia kuku kuwa na ule ukavu kwanje. Kaukau/crispy
Dada Tina Almond milk inapatikana Tanzania? Na kwa gharama ya kiasi gani?
gulain guy Raymond
Yanapatika kwa ujazo tofauti so bei itategemea na ujazo unaotaka wewe.
Cooking With Tina mfano litre 5 ni sh ngapi?
Naitwa sekunda aaenga nimefurahishwa na mafunzo yako unatisha sana
SIENDI KFC TENA
sauti imekata ukiwa waeka viungo kwny unga,majina ya spices ulizoweka kwny unga
Kama hauna corn starch?
hidaya sajan ukipata itakuwa vizuri zaidi
Huo uganga uliyoweke mala yapili niungagani
corner stach inapatikana wapi? my
Sarah Jairo Utapata kwenye maduka ya vyakula na pia Supermarket yeyote unapata ukiingia supermarket waulize wahudumu wa mle ndani watakupatia kadhalika dukani. Corn starch
Sasa da Tina badala ya maziwa mtu wawezi tumia Nazi?
mariam jimmy sijajaribu kwa nazi my dear
Costash ndo unga gan mamy jina jingine
Corn starch ni unga laini sana unakuwa kwenye box ndongo kama ujazo wa 1kg
Kwa nje unakuwa na picha ya mahindi machanga
Huo unga unapatiakana wapi
Kama haun frij je
Unaandaa nakuacha pembeni kama masaa mawili halafu unaendelea
Blac paper ndo nn
Salma Sadick pilipili manga
Mbona video haina sauti mara nyengine sikusikia viungo gani umeweka kwenye unga
Zeyana Al-anbury Pole sana sijajua tatizo ni nini. Nitaifanyia kazi next time isiweze kutokea tatizo la sauti. Nitaorodhesha mahitaji yote ili kusaidia hapo ambapo sauti ilipotea
Naomba No yako
Cooking With Tina kama sina fridge nafanyaje my dia?
Unga ngano na huyo unga mwingine kwa kizungu waitwaje
Ramla Athman Ni unga wa corn starch flour. Huu niunga unaotokana na mahindi.
@@cookingwithtinatz ni unga wa sembe ???
Raudhwa Muhinda mmmh sijawahi jaribu ila sio mzuri maana unaungua haraka ukitia kwenye mafuta
🙏