I tried though I changed the recipe a bit since I didn't hav some of urs but I used butter, vegetable oil, garlic n ginger paste, plain yogurt, curry powder,salt n black pepper...but hey it turned out amazing...ur butter trick is awesome...thank youu
I tried though I changed the recipe a bit since I didn't hav some of urs but I used butter, vegetable oil, garlic n ginger paste, plain yogurt, curry powder,salt n black pepper...but hey it turned out amazing...ur butter trick is awesome...thank youu
Enjoy my dear
I am your new subscriber. you are the best Jane
MashaAllah so yummy ahsante kwa recipe nzuri
Enjoy my dear
Napenda sana jinsi unavyo pika
Woow looks so delicious
Dada asante ubarikiwe
Tam tam
Mate yamrnitoka uwiiii😋😋
Yummy
Hiyo siagi ni blueband ya kawaida ya kupaka kwenye mikate?
ni tofauti, blue band ni margarine
Hiyo ni Siagi ya nn sasa
❤❤❤❤❤
Nimetengeza jana usiku na ilikuwa tamu sanaaaaaa
Ahsante sana kwa feedback, nimefurahi umeipenda😍😍
Kama cna icho kifaa nafanyaje??
Tumia aluminum foil au paka mafuta chombo cha kuokea ili asishike chini
@@jikonajane8459 wakati mwingine naomba utuekee list ya viungo dear🤝
@@witnessemmanuel2332 mbona viungo vipo kwenye video?
Ningependa kujua vifaa kama huo waya unapata wapi?
Ulizia maduka ya vyombo au supermarkets kubwa
@@jikonajane8459 asante
Siagi gani umetumia dear,,,??
salted butter
Kuna Siagi ya nn na nn na Siagi ipi ni nzuri kutumia
Pliz try to write atlist or use some English , I’m loving your recipes thanks
You can find the same recipes in the English on my Jikonajane English Channel. I will upload this recipe in an hour or so
Oooh thanks dear
Bless you found it
The recipe is already there😊
Moto umeset kiasi gan
200 degrees C. ,maelekezo zaidi yapo hapa kwenye blog jikonajane.ghost.io/ghost/#/site
Zaharab Abdul 200
Naomba kujua huyu ni kuku wa aina gani coz wengine wagumuuu
Ni wa kawaida siyo mgumu kama wa kienyeji
Ukipika wa kienyeji punguza moto halafu oka muda mrefu zaidi
@@jikonajane8459 asante
How many degrees?
200 C