SHOW NZIMA YA DIAMOND NA ZUCHU IRINGA - WASAFI FESTIVAL 2023

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 349

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 Год назад +49

    Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond na zuchu awalinde na husda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 Год назад +2

      Amiin. Rizki ziwe za halali na waache kuzini inshaallah

    • @mozamoza3960
      @mozamoza3960 Год назад +2

      Waombee Dua wafunge ndoa

    • @bmsbms1623
      @bmsbms1623 Год назад

      ​@@sultansallah8772maneno Yk Sawa Sawa 👍👍👍👍

  • @InsideBest25k
    @InsideBest25k Год назад +192

    This woman is full package... Anaweza asiwe mrembo Kama kina Tanasha, ila yupo very unique Sana... Zuchu mama unaweza TENa unaweza saaana

    • @endrewmtui
      @endrewmtui Год назад +13

      Yaan ndo tumeshampokea watuache

    • @wahidamaulid9527
      @wahidamaulid9527 Год назад

      msanii wetu bora wa kike Afrika

    • @dianamonyo1960
      @dianamonyo1960 Год назад +7

      ​@@endrewmtuitumempokea kwa mikono na miguu, moyo, akili

    • @janetsafari5644
      @janetsafari5644 Год назад +8

      Hebu chukua peps kwa mangi naja kulipa😊👏

    • @InsideBest25k
      @InsideBest25k Год назад +3

      @@janetsafari5644 ndo nasuburi ulipe 😂😂

  • @endrewmtui
    @endrewmtui Год назад +91

    Zuchu nakupenda hata wakuseme mi ndo namaliza bundle kwaajil ya zuchuuuu 🎉

  • @mercybarasa3674
    @mercybarasa3674 Год назад +13

    Iringa washasema shemej azae ❤❤ zuu I love you

  • @rayasaid4099
    @rayasaid4099 Год назад +24

    Mara hii Dimond kafika kwenye penzi la kiznzibari ataisoma tuna mapenzi ya kwelii ❤

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou Год назад

      Oui le vrai ils dégagent une très forte émotion c'est incroyable

  • @RozinaHamisi
    @RozinaHamisi Год назад +24

    Zuchu kapendeza jamani❤Kenyan 🇰🇪 🇰🇪

  • @em_vee_josh
    @em_vee_josh Год назад +49

    They're indisputably the best on stage. I love how they just express theor love even on stage. ❤

  • @Smokeylucas
    @Smokeylucas Год назад +21

    Beyonce and Jay-Z of Africa. Zuchu you are talented in every way❤. Other women may have beauty only but you have it all

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou Год назад +2

      Vraiment tout ils me touche au plus profond de mon âme qu'elle émotion

    • @arletteaubian3537
      @arletteaubian3537 Год назад +2

      Oui Zuchu représente tout un domaine le talent la beauté noire ébène la voix oui cette voix que la caractérise son mec qui est a ses côtés et qui la soutient beaucoup malgré les haineux et grâce à ce Monument Diamond Platnum qui lui dit de ne pas écouté ce que les gens disent pour ne pas perdre pied car le silence est la meilleure des armes et puis tout devient réalité. Voilà deux icônes nominés pour le Rwanda ramener les trophées a la maison votre Tanzanie Dieu est merveilleux nius mettons votre spectacle au Rwanda en prière que vive la paix dans votre couple

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou Год назад

      ​@@arletteaubian3537 AMEN.

    • @uweraolive5425
      @uweraolive5425 10 месяцев назад

      ​@@OlgaAmbouloujj all

  • @OlgaAmboulou
    @OlgaAmboulou Год назад +9

    Elle est tres talentueuse c'est pour cela qu'elle fait l'objet de jalousies et attire Diamond TAnasha est belle mais elle n'a pas la capacité de zuchu tu es une femme forte ma star je suis de Brazzaville Congo Diamond et zuchu je vous adore et que dieu vous garde de toutes ces personnes jalouses de l'amour des gens Diamond les a confondus ils ne s'attendaient pas a cette partie du gâteau honte à eux et s'il fait un calin à zuchu où est le problème c'est pas de l'humiliation au contraire c'est de l'amour arrêté d'extrapoler bande de jaloux zuchu vit ta vie ne les cacule pas tu es une femme autonome tu sais créé de la richesse tu n'est pas vagabonde tu es la femme d'un seul homme malgré ton succès félicitation ma fille ❤❤❤❤

  • @denniskipkirui2073
    @denniskipkirui2073 Год назад +14

    THIS combination is taking East Africa by storm.. we love you Simba and Simba marara

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Год назад +17

    Uzuri wa zuchu ni necheral🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @remmykubanda3393
    @remmykubanda3393 Год назад +12

    This people have chemistry ❤

  • @shishgal2274
    @shishgal2274 Год назад +25

    Nyie hawa watu wanapendana❤❤❤❤

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 Год назад +3

      Sanaaa tena upendo wao upo moyoni mwao watoka

    • @aishaaliy8519
      @aishaaliy8519 Год назад +7

      Wanapenda kweli kabisa sijui simba anafeli wapi tu kumuoa akazidi kutufurahisha mashabiki zake

    • @asyakhatib7942
      @asyakhatib7942 Год назад +4

      Amuoe jamani inshallah dua muhimu 🎉

    • @beatriceoriga2062
      @beatriceoriga2062 Год назад +2

      Sanaaaa❤

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou Год назад

      ​@@mohammadoman8963ils l'ont sorti lors de cette soirée

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Год назад +9

    MashaAllah 🎉🎉🎉wanapenzana hawa

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou Год назад

      Et c'est très visible mon dieu

    • @SanuSanu-q5o
      @SanuSanu-q5o Месяц назад

      Masha Allah tunapendan sn ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @henrykombe7335
    @henrykombe7335 Год назад +4

    Ile kazi unayoipenda na unayoijua kuifanya vizuri sana, ndiyo hio hio mpenzi wako anaipenda na kuijua kuifanya vizuri pia....kitu adimu na chemistry yenu ni next level

  • @qamaryasalim9531
    @qamaryasalim9531 Год назад +10

    Couple yangu pendwa ❤❤❤❤

  • @KarisaMbarak
    @KarisaMbarak Год назад +2

    Eiiiish❤❤❤ aky schokii kuiangalia video Im from Kenya love u wcb wasafi

  • @Nuraty-oy1zy
    @Nuraty-oy1zy Год назад +6

    Nawapenda sn naeka bando kwasababu yenu2❤❤❤

  • @estheraimee8053
    @estheraimee8053 Год назад +9

    Zuchu ni binti mwenye nyota yake 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mudibojaffar9269
    @mudibojaffar9269 Год назад +20

    Mtasubiri Sana💝...SIMBA YUPO NA MAMA SIMBA LA MASIMBA

  • @alisaidahamed8065
    @alisaidahamed8065 Год назад +9

    Nassibo n'a zuhura 👌👌 j'espère que entre les couples c'est pour l'avis inchallah inchallah 🙏 🌹🐈🦁🦹‍♂️🦸‍♂️💪💪💪💪💪👌👌👌👌♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🇫🇷🇫🇷🇫🇷🇫🇷🇫🇷🇫🇷

  • @rahimarahima8962
    @rahimarahima8962 Год назад +7

    nnakupenda zuuu mahaba unayo mpa simba la masimba moo fire

  • @hawamsuya-jb1mb
    @hawamsuya-jb1mb Год назад +8

    This girl she's on fire

  • @nazzmalicha1836
    @nazzmalicha1836 Год назад +8

    Anyone can feel their love ❤❤❤ Mungu awazidishie

  • @jackywambua917
    @jackywambua917 Год назад +8

    My queen zuchu I love you so much your so stunning ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Dalaman10
    @Dalaman10 Год назад +6

    Costume za firauni. Na matendo yenu ni kifirauni. Allah awahidi. Awaongoe na kuwaongoza ktk haki. Muwe karibu na Allah. Hivo mko mbali sana. Dunia imewahadaa subhanallah. Mauti yapo karibu muogopeni Allah. Allah atuongoze sote yaa rabb

  • @FancyChepkemoi-w3o
    @FancyChepkemoi-w3o Год назад +2

    I like the way zuchu do things in a unique way congratulations i like you ❤ zuchu show yenu napenda sana

  • @saquinaalisufo7666
    @saquinaalisufo7666 Год назад +11

    Vontade de vós ver ao vivo não me falta ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ vocês não merecem separação.
    Zuchu nakupenda sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 Год назад +10

    Nili lala nikapitwa na my best couple, we zuchu na mondi mange na drezzy litawachoma

    • @Tevin-q4k
      @Tevin-q4k Год назад +2

      Kwanza huyo drezzy atazidi kunona mpaka apasuke

    • @SAUDAHNAMULINDWA-dy8te
      @SAUDAHNAMULINDWA-dy8te Год назад +2

      Drezzy is now drowzy drezzy. Lady has consistency in being jealous of zuchu

    • @MARIAMKEA
      @MARIAMKEA Год назад

      Huyu drezzy mwanza anasinya na kipengo chake kile

  • @saiddotto8584
    @saiddotto8584 Год назад +11

    Ilikua ya moto🔥🥰

  • @AraphaHassan-u1g
    @AraphaHassan-u1g Месяц назад +1

    Zuchu usizae omba ndoa kwanza mayai ya kuzaa yapo tuu mwambie Di ahalalishe ndoa ❤❤❤❤❤❤❤

  • @jackynaks5384
    @jackynaks5384 Год назад

    Penda wee sna zuchu mungu akujale kheri ya milele keep it up zuchu ♥️♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🦃wapaswa uitweTAUZI maaana inapendaeza kama TAUSI

  • @HappinessKemunto-u6g
    @HappinessKemunto-u6g Год назад +2

    Zuchu much love to you simba shikilia Sana sana

  • @winfredgaicugi2
    @winfredgaicugi2 Год назад +19

    Aki dai don't embarrass zuu,this gal loves u genuinely,if u only cn love her the way she deserves to be loved

    • @missnaah877
      @missnaah877 Год назад +1

      Dont be folish guy she after his money northing more ...😢 who do you think she will love someone prostitute like simba ?

    • @camejowayne5455
      @camejowayne5455 Год назад

      A bitter soul u are, Zuuh has her own money now and not everyone is money minded

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou Год назад

      ​@@missnaah877tu n'es pas dans son cœur et arrête de juger les gens

  • @Khan7500-h5v
    @Khan7500-h5v Год назад +4

    Hii nimeipenda ni JAY-Z na BEYONCE WA Tanzania penda sana hawa raia❤❤❤

  • @user-qk4gt3dw6m
    @user-qk4gt3dw6m Год назад +26

    Nimesikia yule mlevi wa marekani yupo ICU alivyo ona vidéo hii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ismailmkame4205
      @ismailmkame4205 Год назад +1

      Na bado atakunywa sumu ya panya ili apate usingizi mzito akiamka atapata habari WCB wasafi festival walikuwa Iringa😢😢😢

    • @aishaaliy8519
      @aishaaliy8519 Год назад +1

      Akufe kabisa tu 😂😂😂

    • @user-qk4gt3dw6m
      @user-qk4gt3dw6m Год назад

      @@ismailmkame4205 😂😂😂😂

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le Год назад

      Ahahaaaa😂😂😂😂mangeee

    • @FM-ir2nq
      @FM-ir2nq Год назад

      😂😂😂😂😂

  • @highlightojwando
    @highlightojwando Год назад +6

    I love this couple ❤❤❤❤

  • @OlgaAmboulou
    @OlgaAmboulou 11 месяцев назад

    Ah DIAMOND bala kaka ye Likambo esila tala ndenge ozui émotions hein '? ❤❤❤

  • @maurinenyavula460
    @maurinenyavula460 Год назад +9

    The outfit for me❤❤❤

  • @Elizabethmwanga-y5e
    @Elizabethmwanga-y5e Год назад +11

    Nice couple ❤❤❤

  • @JemimahOtunga
    @JemimahOtunga Год назад +2

    I love this couple❤❤❤❤❤🎉🎉🎉✌️✌️✌️✌️✌️

  • @AbilahiRamadhan-eq4em
    @AbilahiRamadhan-eq4em Год назад +5

    Nimeipenda waoooo❤❤

  • @EvaJonas-g5m
    @EvaJonas-g5m Год назад

    Mumependeza sana mungu awahepushe namaneno yawatu mufike mbali mujenge nafamilia pamoja amina

  • @keykariabu701
    @keykariabu701 Год назад +9

    Mtoto Wa Khadija Kopa mrembo bila kuundwa kiChina kama Wale 😂Zuu

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Год назад +4

    Hayoyote ni bure awaneni njo wataamini kama kweli mwapendana la sivyo ni uongo 😇

  • @FatmaSaid-j9o
    @FatmaSaid-j9o Год назад +7

    Damn😊I love it😋😋😚😚

  • @sandraechiveraya8570
    @sandraechiveraya8570 Год назад +5

    Woooooow the attire ❤❤❤❤❤❤❤ this awesome 😎💯💕

  • @najmasaid7057
    @najmasaid7057 Год назад +2

    Wawili wakipendana adui nafasi hana 👌

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj Год назад +11

    Hiii imeenda vizur fashion misri 💐💐💐😍 bravo 🥰 zuchu kaza buti mdogo Wang

  • @esthermwangi9458
    @esthermwangi9458 2 месяца назад +1

    The chemistry ❤❤❤

  • @MuhawenayoCloude
    @MuhawenayoCloude Год назад +1

    this song won ma heart❤❤❤❤❤❤❤

  • @GabbySultana-xu5pi
    @GabbySultana-xu5pi Год назад +3

    Huyu cio mzuri lkn ni wakipekeee kbcaaaaa kuliko woteeee❤❤❤❤nampenda mnoooo

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 Год назад +1

      Uzuri wa mwanamke tabia uzuri ww kaa nao siku hizi wanaume wanaangalia akili ya mwanamke na tabia yake pia anayaweza ndani chaguo la wanaume wa sasa

    • @kantai737
      @kantai737 Год назад +1

      Si mzuri kwako, she is very beautiful, mnadanganywa na weupe.

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou Год назад

      ​@@kantai737kiekiekie kie kiekiekie.......

  • @MaryamHajj-ds8hl
    @MaryamHajj-ds8hl Год назад +2

    Upo vizuri sana nawapenda sana

  • @mwanahkombo9496
    @mwanahkombo9496 Год назад +3

    Nawapenda 💕

  • @doroteialourencolourenco6599
    @doroteialourencolourenco6599 Год назад

    Amependeza Zuchu ♥️🥰♥️

  • @selmesaid7405
    @selmesaid7405 Год назад +1

    Chukuwa mauwa yako dkmond ❤❤❤

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 Год назад +8

    Tafuteni pesa hata ukinichit nitavumilia tu😂😂😂

  • @anifajonathan9250
    @anifajonathan9250 Год назад +1

    Nawapenda buree❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰

  • @zaiduothmani5771
    @zaiduothmani5771 Год назад +2

    Hakuna kizuri kisicho pigwa na wabaya zuchu mzr sn sn au km huwamn tuma picha yko tupige kura ww unae pinga 😂😂😂❤

  • @user-qk4gt3dw6m
    @user-qk4gt3dw6m Год назад +11

    Wambeya mko wapi??? Amekufungeni midomo😂😂😂

  • @papamukulu1045
    @papamukulu1045 Год назад +9

    Huyu ndo wako simba😊

  • @CathyInkia
    @CathyInkia 10 месяцев назад

    Zuchu much love❤❤❤

  • @FredPhiri-o1v
    @FredPhiri-o1v 11 месяцев назад

    Wow the lion🦁 of Africa 😍😍

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 Год назад +2

    Mondi una tu miguuu tubayaaaaaaa kama fimboooo

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 Год назад +2

    Mond muongo😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @wardatjuma02
    @wardatjuma02 Год назад +1

    King and queen 👑 so much ❤❤❤❤

  • @neemazuberi7189
    @neemazuberi7189 Год назад +2

    ❤️❤️❤️ iiii imeeendaaa😁😁😁

  • @bonirodi6301
    @bonirodi6301 Год назад +3

    Beyonce and Jay-Z ❤️ ❤️

  • @BenardOdinga-gj9su
    @BenardOdinga-gj9su Год назад +1

    Mola awjalie

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 Год назад

    Aiseeeeeeeeee❤❤❤❤❤❤

  • @EmmanuelKunzugala
    @EmmanuelKunzugala Год назад +3

    stone town Iringa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @PremioDhaHortencia-dr1ig
    @PremioDhaHortencia-dr1ig Год назад +10

    Simba você é grande all Africa

    • @daltonkighoma3191
      @daltonkighoma3191 Год назад

      una tutiya hasira sana simba zu meme ne pas niveaux de maman tom kaka kwa nini una nganganiya

    • @NassimAliahmed
      @NassimAliahmed Год назад

      Souro mbaya 😂😂

  • @evalinmwita3193
    @evalinmwita3193 Год назад +4

    True definition of beauty with brain much love to haniiiiiii❤❤❤

  • @aswilasaif2455
    @aswilasaif2455 Год назад +3

    Zuchu na simb wanauwezo wahali ya juu Sana lahlaa sinalakusema na wapa mauwa yenu

  • @aishaokumu7474
    @aishaokumu7474 Год назад

    Zuchuuuuu❤❤❤❤

  • @LizyMsemo
    @LizyMsemo Год назад

    ❤wanapendez cna🎉

  • @mbarderonly5874
    @mbarderonly5874 Год назад +10

    Mondi anamwagia pazuri sana

  • @happysixbert7091
    @happysixbert7091 Год назад +1

    Sijui kwann hata nawapenta 💖❤️

  • @RehemaKatana-hb4ei
    @RehemaKatana-hb4ei Год назад +2

    Zuchu anamapenzi ya kweli kwa Diamond hao wengine wakae na hukoo

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou Год назад

      C'est comme si elle avait retenue des larmes un moment hum qu'elle émotion ces deux là je ne cesserais jamais de les voir chanter waouh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MaryBukanu
    @MaryBukanu Год назад +1

    Good vibes

  • @MamboNathalie-cn5zv
    @MamboNathalie-cn5zv Год назад

    Zuuuu wewe ndiye mke bora 👌

  • @hassankhamis7380
    @hassankhamis7380 Год назад

    Mmetisha ❤❤❤❤❤

  • @selevasiamahinja554
    @selevasiamahinja554 Год назад +1

    Jamani nawapenda hawa watoto.

  • @grolykimario26
    @grolykimario26 Год назад +2

    Wamejua kutukomesha wambea🤔😀

  • @selmesaid7405
    @selmesaid7405 Год назад

    Egypt 🇪🇬 imehamia tanzania 🇹🇿

  • @dayanakendi3918
    @dayanakendi3918 Год назад +4

    😂😂😂🙌wenye wivu kama Mimi tumeonyeshwa hadhalani tumeze wembe sasa sababu Simba kashavurugwa na chuchu zake Simba Hadi kamshika jameni 😢

  • @sithulisiwemoyo534
    @sithulisiwemoyo534 Год назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 Год назад +4

    Hamsa salawat .duniya sasa ni ishara za kiama. Sasa ni vazi la firauni.mtu al😢olaaniwa. .umri unakwenda. Na hakika mtajuta. Eneway jast nakukumbusha tu.. enjoe. Yaani sasa ni feroo. Kaburini kuna nyoka. Umri huwo jitengezee maiaha baada ya DUNIYA. .akili lkimchwani kwako

    • @peragiaisdol3804
      @peragiaisdol3804 Год назад

      Apo ndo aliponiuwa nikasema ninyaze kwanza

    • @saeedalyahmadi1738
      @saeedalyahmadi1738 Год назад

      Kuvaa kimasai na ww ni muha Kuna kubadilisha nini

    • @saeedalyahmadi1738
      @saeedalyahmadi1738 Год назад

      Shaur vingine usia wako usihusishe mavaz au mandhari waloigiza muvi ya farao na wao ni mafarao au kwakua wao weupe hawajalaaniwa

    • @saeedalyahmadi1738
      @saeedalyahmadi1738 Год назад

      Angalau wausie jamani zinaa jamani haifai mambo hayaendi hivyo 😮

    • @saidabdala4980
      @saidabdala4980 Год назад

      @@saeedalyahmadi1738
      Rabda nikuluze chanzo cha hiuo zinaa ni nini.
      Na nini maana ya kuvaa kiheshma. Wewe mwenyewe huwonu kama wamevaa utupu

  • @salmahassan6725
    @salmahassan6725 Год назад

    Kiboko yao❤❤❤❤.

  • @NyundoNgoja
    @NyundoNgoja Год назад

    Yuko sawa

  • @makkamakka9171
    @makkamakka9171 Год назад +5

    Diamond kalewa hadi macho hayana nguvu na meno😂😂😂😂

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 Год назад

    Jamani mmependeza na nguo za Pharaoh dresses (Egypt)

  • @-thegreat-zawadimmasa307
    @-thegreat-zawadimmasa307 Год назад +1

    Show nzuri sana

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le Год назад +2

    Mangeeee huku mahaba mubashara voo uko wapiiiio😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou Год назад

      Mangé kimambi ,drezzy radio et giggy m. Sont dans les toilettes. Entrain de souffrir de haine et de jalousie

  • @LawiPierro
    @LawiPierro Год назад +2

    The first couples in tanzania jamani nani ata pinga ni mtape hapa

  • @linusmbwiga-zy2qk
    @linusmbwiga-zy2qk 7 месяцев назад

    safi sana

  • @petronilakasoli4750
    @petronilakasoli4750 Год назад +2

    My best couple

  • @ROZACTOURS
    @ROZACTOURS Год назад

    I love more kpendhy zuchu

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 Год назад +14

    Hii wimbo ya mtasubiri ya Simba na zuchu muta imbiwa mpaka wambea mfunge hizo mdomo zenu

    • @kantai737
      @kantai737 Год назад

      😂😂😂😂 kabisa mpaka washike shughuli zao

    • @grolykimario26
      @grolykimario26 Год назад

      😃😃😃

  • @SalomeNjoki-sm2od
    @SalomeNjoki-sm2od 8 месяцев назад

    🎉🎉🎉