@@MairaAlly Ingia RUclips kila kitu kipo,,,Ukitaka kusoma engine za pikipiki,gari,train,meli,boti,ndege mpaka helicopter na Kuna picha na maelezo kabisa.
Kwa mtu ambaye amekalili Physics anawez sema umetoa somo jepes lakini kwa mtu anaye jua physics ajakalil Nots za darasan wew jamaa ni zaid ya Ticha, vitu vigumu lakini unavifanya tuvione vyepesi. 🎉🎉🎉🎉
Safi Sana kaka,Mimi nageuza kutoka DC v12_hadi ac v220 nk,yaani nauda invertor unachozunguza sahihi maana nimefanya utafiti ,vitu vingi,naomba uzungumzie aplifey ,na transformer ways zake ndani ,zinazopokea Moto na zinazotowa motor hazigusani?
Maelezo mazuri sana mwana fizikia 👏👏 Ila nlikuwa nataman utuelezee mechanism inayopelekea kuzaliswa umeme baada ya kuzungushwa, nimeona sumaku kwenye Dynamo je Ina kazi gani kwenye kuzalisha umeme
Ombi langu kwako tufanyie utaratibu wa stellaite inavyomuongoza rubani pindi anapopaisha ndege juu na kutua mji mwingine bila hata kuwa na njia angani, na mawasiliano yote yanafanyika vp mpaka mwishon
Kwanini kuwepo vifaa vya kutumika na Umeme wa kuzalishwa na solar ambapo pia vifaa vya Umeme wa kawaida huwa havitumiki kwenye chanzo cha Umeme wa solar?
Perfect side please naomba ujuzi uliopo kwenye vyombo vya umeme mfano simu ikiisha chaji ukiichaji inajaa tena .. nitafurahi kama mtafanyia kazi comment yangu
Charge ya Simu inafanya kazi hizi. 1. Inatumika kupunguza umeme kama step-down transformer inavyofanya. Mfano inaingiza voltage 220, yenyewe inapunguza na inatoa voltage 5. 2. Inabadilisha umeme wa AC unaotoa tanesco kuwa umeme wa DC ambao utatumika kwenye simu yako.
@@Userminamkanilipokoment ni kwenye eti step up transformer ni lugha ya kitaalam Isawa,,,ila kwani nikisema transfoma chocheo sio lugha ya kitaalam? Sio Kwa ubaya JJ man.
Kitu ambacho bado hamwez kuichambua sceince ni hi hapo mumeshindwa kuelezea kwa nn mm zunguguko inazalisha umem kwwny huo dynamo ndan kun nn ili itengeneze umeme na umem huo ndan ya hicho kifaaa muna kitu gan na kitu gani yan nyie bado sano dynamo dynamo hpo munetoa maelezo yaso na mashiko man mtu hawez kujifunz kitu ili mtu asubut kutengneza kifaa chake
Aisee unaelezea vizuri sana...na unaeleweka muno big up sana....nimejifunza kitu ambacho nilikuwa sikijui siku nyingi..... shukrani sana.
Upo vzr sana ndugu, unafanya elimu iliyo ngumu kuitafuta darasan na kuwa nyepesi kupitia kwako, nasi tunaweza tamba mitaani kuwaelekeza wengine
Hii ni channel sahihi kabisa sijutii kuijua kila siku huwa nazima nichungulie kitu chochote hata sometimes huwa narudia video moja kwa mara kadhaa
Karibu sana🤝
@@Perfect_side_tz Asante sana pia nakuomba siku moja uje ugusie jinsi mafuta yanafanya kazi katika engines na kuzalisha nishati nguvu
@@MairaAlly Ingia RUclips kila kitu kipo,,,Ukitaka kusoma engine za pikipiki,gari,train,meli,boti,ndege mpaka helicopter na Kuna picha na maelezo kabisa.
@@jamesmzaki6041 umeelewa nilicho taka kujua?
Ntafute nikujulishe ilo@@MairaAlly
Safi sana kwa elimu nzuri na maelezo rafiki sana hata kwa mtu ambae hajasoma physics
Kaka unatoa masomo mazuri sana., ni mambo mengi sana watu hatufahamu ila huwa tunaona na kusikia sikia tu... keep it up bro, tuko pamoja
Ahsante kwa Elimu Engineer
Swali ni juu ya uwezekano kuzalisha free energy kwa kutumia Motor -Flywheel - Alternator.
Uk vzr broo🎉
Nzuri sana hii inafundisha
Usikate tamaa. Kazi ni nzuri, inafaa Sana kwa Nchi Kama zetu kukuza teknolojia na Hali ya kupenda Sayansi kwa vijana wetu
SAfi sana nimejifunza vizuli
KAZI NZURI KAKA WANAFUNZI WAKO TUNAENDELEA KUPOKEA MATUNDA 🎉 MUNGU AKUBARIKI SANA 🙏
Asante Sana muzidi kukuza viwango na kufundisha ili vipaji viendelee mbele
MUNGU akubarik sana darasa kubwasana hili
Uko vzr unatoa elimu zuri sana
Nimerudia mara 3 kuisikiliza hii video, channel sahihi sana Kwa sisi tunaopenda kujifunza thanks brother
Nimejikuta na sb hii channel nimekubali sana 🫡🫡
Ulipaswa waondoe walimu wa shule na iekwe projecta ufundishe wanafunz wetu pamoja na internet thank you
Hongera kwa maelezo mazuri kuhusu complex principles in our daily life.
Naomba utuelezee pia Programmable Logic Controller (PLC) inavyofanya kazi.
Kwa mtu ambaye amekalili Physics anawez sema umetoa somo jepes lakini kwa mtu anaye jua physics ajakalil Nots za darasan wew jamaa ni zaid ya Ticha, vitu vigumu lakini unavifanya tuvione vyepesi. 🎉🎉🎉🎉
Kabisa me nimejifunza Sana hapa
Safi sana yaani umenifanya nijiunge kupitia chaneli Yako Mzee.
imekaa sawa saana ni vema pia kama ungeelezea biogas production na geothermal steam energy zinavyo tengenezwa (generated )
Unajuaaa sana❤❤❤
Uzidi sana kubarikiwa Ndugu
We ni noma sana kaka umetisha sana kaka
Unyama bro
Ningependa kufahamu kuhusu mafuta ya tranfoma la umeme kwa kirefu
Nazidi kujua meng pamoja sana mkuu tunashukulu
Well-done
Asanteee 🎉kaka
Safi Sana kaka,Mimi nageuza kutoka DC v12_hadi ac v220 nk,yaani nauda invertor unachozunguza sahihi maana nimefanya utafiti ,vitu vingi,naomba uzungumzie aplifey ,na transformer ways zake ndani ,zinazopokea Moto na zinazotowa motor hazigusani?
Engineer uko vzuri sana
Maelezo mazuri sana mwana fizikia 👏👏
Ila nlikuwa nataman utuelezee mechanism inayopelekea kuzaliswa umeme baada ya kuzungushwa, nimeona sumaku kwenye Dynamo je Ina kazi gani kwenye kuzalisha umeme
Mwamba yupo vizur sana
Nafurai sanaa kupata madini kama hayaa
Shukrani
Namna magari yanavyotengenezwa
Gali limebase na motor tu,
This is real PERFECT 🤝💪
Good broh
Nimeipenda sana
hapa kwa kusafirisha kwenda. zanzibar ufafanuzi wa namna gan unafika
Nakukubali mzee from M23
Tunaomba somo la jinsi mawimbi yanavyosafiri. Redio inavyofanya kazi, simu, remote.. pia tueleweshe maana ya frequency
Umetisha sana 🎉🎉
Good Idea
Daa mim nimgeni uku nmejiungaa ramsi perfect side nawakubalii
mkuu nimekuelewa vizur sana
Kazi nzuri
Uko vizur
Thanks so much 🎉
Ombi langu kwako tufanyie utaratibu wa stellaite inavyomuongoza rubani pindi anapopaisha ndege juu na kutua mji mwingine bila hata kuwa na njia angani, na mawasiliano yote yanafanyika vp mpaka mwishon
Maelezo mazur
We jamaa unajua sana👏👏👏
Unaakiri sana
Bless sana kka
Excellent
Uko vizur brother
Amazing sana kaka. Am Paul mwakyusa
Cool
Yan ile physics alonifundisha ticha nikaiona ngumu mikaka minne leo naiona simple sana ndn ya dakika 10
Safi sana
Ktk channel za maana sana kwangu hii ni miongoni mwao....
Napata elimukubwa sN
Afii🥰 ilaumetupunja! Hujatuambia huo waya wanauvushaje? Wanauchimbia au wanautupa juu ya mchangaa! Na wanauvusha na mtanbo upi? Meli au Helkopta!?
Salute
Vizuri broo lakini Me nataka kujua kuhusu mfumo wa air brake katika truck
Baba nimekubali baba kwa elim bola
Kaka Naomba kujua vifaa wanavyo tumia wanahanga kwenda kwenye sayali nyingine
👏👏✋👏
Safii nimefurahi ndo NIMEKUTANA na hii channel nimeona ni subscription hapo hapo
Hii chanel inatusaidia tuliokimbia physics na kuturudisha darasan
Duh kumbe Zanzibar wanategemea Umeme huku?
Kijana
Tusaidie kujuwa nyambizi inatengenezwaje hadi kutembea chini ya maji
Chanel hii ya elimu
Elim nzur
Mtanimalizia bando akyamungu
Tupatie utafiti ni jins gan makaa ya mawe yanavyo zalisha umeme. Na umeme huwa wa kiwango gani
Kwanini kuwepo vifaa vya kutumika na Umeme wa kuzalishwa na solar ambapo pia vifaa vya Umeme wa kawaida huwa havitumiki kwenye chanzo cha Umeme wa solar?
Bro we umesoma bongo kweli maana akili nyingi sana ila mm nataka utuletee mambo ya sayari ya dunia kwann inaelea na aishuki chini
Samahani tunaomba kujua kuhusu gari za umeme
Naomba unichambulie ndege inavyo weza kupaa
Fuatilia hyo channel video zake alizoupload utaikuta hyo vdeo unayoitaka!
Perfect side please naomba ujuzi uliopo kwenye vyombo vya umeme mfano simu ikiisha chaji ukiichaji inajaa tena .. nitafurahi kama mtafanyia kazi comment yangu
Tunafanyia kazi haraka 🙂
Kumbe chaja ya simu naya ni step-down transfomer
Charge ya Simu inafanya kazi hizi.
1. Inatumika kupunguza umeme kama step-down transformer inavyofanya.
Mfano inaingiza voltage 220, yenyewe inapunguza na inatoa voltage 5.
2. Inabadilisha umeme wa AC unaotoa tanesco kuwa umeme wa DC ambao utatumika kwenye simu yako.
Sasa hapo kwenye kupata transforma ya kupunguza umeme ndiyo changamoto maana nisije nikaunguza vitu
je kipindi Umeme unapokatikaga halafu baada ya nusu saa unawaka je hii nayo huwa ni Umeme unapotea njiani unaposafirishwa?
ok
Naomba kujua siri ya fuel inavyoweza kuleta nguvu ya kusukuma mitambo mikubwa kama vile malori,katapila nk
Hizi program ziweke vitu kama hizi wafrika wafungue bongo sio tu move za ngono na wizi na uchawi na kuombewa
Sio Kwa lugha ya kitaalam Bali Kwa lugha ya kingereza
Kwani anafundisha kingerez au anafundisha Sayansi
Kitaalamu ni Dynamo.
Kingereza ni Transducer.
Au umekulupuk tu ku comment
@@Userminamka umekurupuka bro pakujibu nilipo commentia sio hapo😂😂😂😂
@@Userminamkanilipokoment ni kwenye eti step up transformer ni lugha ya kitaalam
Isawa,,,ila kwani nikisema transfoma chocheo sio lugha ya kitaalam? Sio Kwa ubaya JJ man.
@@BONGOINMOTION haya ban ila huku Tanesco huwa tunatumia majina hay kwaiy kwa mtazam wa kitaalam yup saw ila yote pow ty😃😃🤝
uku tuingie wana sayansi tu ili tusisumbuwe walimu.
Kitu ambacho bado hamwez kuichambua sceince ni hi hapo mumeshindwa kuelezea kwa nn mm zunguguko inazalisha umem kwwny huo dynamo ndan kun nn ili itengeneze umeme na umem huo ndan ya hicho kifaaa muna kitu gan na kitu gani yan nyie bado sano dynamo dynamo hpo munetoa maelezo yaso na mashiko man mtu hawez kujifunz kitu ili mtu asubut kutengneza kifaa chake
Asante kwa Maoni.
Lakini pitia video zetu huwenda kuna hicho kipindi cha Dynamo kama dynamo.
Nimejua Hz na AC
Tuandalie jinsi shoti inavotokea kwa mwanadamu upande wa AC na DC
Vipi umeme wa ac unabadilishwa na kua DC
Kuna kifaa kinaitwa Diode huwa kinapatikana kwenye TV au Kwenye Redio nk
Dynamo ni ac cyo dc
nataka kujua barid ya kwenye ac huwa unatoka wap
Duu!! Kumbe?? Kamkubwa ukofiti. Naomba utuletee kipindi chá kwanini mafriji, AC na mashine za ice cream zinagandisha kupitia compressor