SERIKALI YASITISHA ZOEZI LA UKAGUZI WA RISITI ZA EFD KARIAKOO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 июн 2024
  • SERIKALI imesitisha zoezi la ukaguzi wa risiti za Kielekroniki (EFD) na ritani za kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania kupitia mkoa wa kikodi wa Kariakoo, Jijini Dar es Salaam, wakati ukiandaliwa utaratibu mzuri wa utekelezaji wa suala hilo katika Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo.

Комментарии •