USIVAE NGUO NYEUSI kabla hujatazama video hii | siri ya RANGI NYEUSI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 692

  • @yusrasalim6431
    @yusrasalim6431 10 месяцев назад +9

    habari zenu nyote natumai amujambi kwanza kabisa natowa shukuran kwa mungu na kwa wenye ulimwengu waa nimeanza kuwona mabadiliko kidogo kidogo ushuda nimetowà. leo utakuja wa zaidi nitapata nyumba gari watoto wangu watapata job jamani subra yangu imeanza kufanya kazi namshukuru jamani hata kakangu alo nitentenga yuko uzunguni atarudi tutakuwa kama zamani asante

    • @yusrasalim6431
      @yusrasalim6431 10 месяцев назад +1

      hata ukifanya spell ukiona bado jipe moyo zitajibu mimi nimeanza kupata watu wakunisaidiya na nilitengwa kwa kila jambo tangu marehemu bwanangu kufa nime funguwa you toub nikaona hizo wengine wana nitukana ujinga hakuna kitu lakini siluvunjika moyo nguvu za universe zina anaza tusichoke mungu alie juu ana juwa

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  10 месяцев назад +1

      Wow hongera sana,,asante sana kwa shuhuda hii naamini itawapa moyo wengine,,nakutakia mafanikio zaidi hapa duniani🤝❤️

    • @FrankBenedictor-li9rj
      @FrankBenedictor-li9rj 10 месяцев назад +1

      Mimi ni mtu mwenye mafanikio makubwa Sana hapa dunian

    • @SamwelUrio-nq1hf
      @SamwelUrio-nq1hf 10 месяцев назад

      Mimi ni mtu mwenye mafanikio mkubwa sana hapa duniani

    • @evanccast6228
      @evanccast6228 10 месяцев назад

      Cast madude

  • @AminaNdayizeye
    @AminaNdayizeye 7 месяцев назад +1

    Ninajiamini kwa kua nimetengeneza utajiri kwa kukusudia❤❤

  • @mariethamtenga5397
    @mariethamtenga5397 10 месяцев назад +17

    Mimi ni MTU mwenye mafanikio makubwa Sana hapa duniani kwa jina la Yesu hakuna kinachoshindikana

    • @upendoabel
      @upendoabel 10 месяцев назад

      Mimi ni mtu mwenye mafanikio hapa duniani

    • @husseinbakari1889
      @husseinbakari1889 27 дней назад +1

      Mimi nimefanikiwa

  • @tungugeorge3793
    @tungugeorge3793 9 месяцев назад +2

    Mimi ni mtu mkubwa sana hapa Duniani. Nina amini katika nguvu za universe ❤

  • @ammakhan2239
    @ammakhan2239 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mwenye Mafanikio Makubwa Sana Hapa Duniani Kwa Uwezo Wa Mmungu Na Kwa Uwezo Wa Nguvu Za Ulimwengu.... Asante sana dada yangu Ubarikiwe sana... ❤❤❤

  • @estherdavidjohn-py7hh
    @estherdavidjohn-py7hh 10 месяцев назад +1

    asante my dear nimepata kitu kikubwa sana,n umeniongezea nguvu na ari ya kupambana zaidi na ninaamini nitafanikiwa kila plan yngu ya kuingiza kipato kwa jina la Yesu

  • @simba8020
    @simba8020 Месяц назад

    Ahsante sana na Naamini katika Muujiza Wangu na Nguvu za ulimwengu❤

  • @botanicalwonderland
    @botanicalwonderland 10 месяцев назад +1

    Najiamini kifedha wewe mwenyeezi mungu nisaidie

  • @KundaeliJacobo
    @KundaeliJacobo 10 месяцев назад +1

    Asante sana,,,, ivyo nashukuru kwa muongozo wenu

    • @KundaeliJacobo
      @KundaeliJacobo 10 месяцев назад

      Kwa Nguvu ya Alaaha,, namini katika lmani ya Alaaha na mim mtu kubwa sana hapa dunia

  • @JacklineKwamboka-j9j
    @JacklineKwamboka-j9j 9 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mwenye mafaniko malubwa sana hapa ndiniani katika jina la yesu Amen

  • @ammakhan2239
    @ammakhan2239 10 месяцев назад +1

    Asante sana dada yangu mmungu akubariki sana.. Sio kwa madarasa yako mazuri sana kwa uwezo mmungu na kwa uwezo wa Nguvu za Ulimwengu naamini Maisha yangu yatabadilika sana...

  • @MisikoGregory
    @MisikoGregory 10 месяцев назад +1

    Mimi bila kudanganya huwa nayaona mambo haya Asante Sana Kwa huo uchumbe

  • @NdinduruvugoPisco7
    @NdinduruvugoPisco7 10 месяцев назад +1

    Mimi ni Mtu myenye mafanikio sana hapa duniani kwajina la yesu amina

  • @Jovieth-k4m
    @Jovieth-k4m 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio makubwa duniani kwa jina la Yesu. Amen.

  • @hashilsuleiman746
    @hashilsuleiman746 10 месяцев назад +1

    Asnte sana dada kwa darasa laleo nimejifunza...mimi ni mtu mwenye mafanikio hapa duniani

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 10 месяцев назад +1

    Shukran kwa kutujuza naamini mimi ni mtu mwenye mafanikio❤

  • @AndrewMwambuzi
    @AndrewMwambuzi 2 месяца назад

    Mimi ni Mtu mwenye mafanikio hapa Duniani, katika jina la YESU- hakuna linslo shindikana ,Amina

  • @vestinajohnson4964
    @vestinajohnson4964 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu tajiri Sana hapa duniani 😊

  • @nujumkabaju5357
    @nujumkabaju5357 10 месяцев назад +1

    Mimi ni Tajir mkubwa sana hapa Dunian❤

  • @JacklineGabrielSumbizi
    @JacklineGabrielSumbizi 2 месяца назад

    Kwajina la Yesu mimi nimtu mkubwa sana nitafanikiwa sana hapa Duniani nanitawasaidia wengine Ameeen ❤️

  • @YoungRiusRius
    @YoungRiusRius 6 месяцев назад

    Ishah allah mimi ni mutu mwenye mafanikio makubwa kwenye ulimwengu huu mina amini nguvu na minajiamini mwenyewe Ishah allah,,

  • @theeKK101
    @theeKK101 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio mengi sana hapa duniani Inshaalah

  • @YoungRiusRius
    @YoungRiusRius 6 месяцев назад

    Ishah allah mimi ni mtajiriwa na mimi ni mutu mwenye bahati na baraka sana tena mwenye sifa kubwa apa duniani nitaweza kuzingatiya nguvu hizi za ulimwengu namina amini nguvu za universe Ishah allah.

    • @abdallahjuma1213
      @abdallahjuma1213 6 месяцев назад

      Mimi ni mtu mwenye mafanikio hapa duniani ninapokea pesa nyingi sana inshaallah

  • @MachonjoNnekee
    @MachonjoNnekee 10 месяцев назад +1

    Mm Ni mtu mwenye mafanikio makubwa duniani

  • @EuniceM-wt5br
    @EuniceM-wt5br 10 месяцев назад +1

    mimi ni mutu wamafanikio maku bwa hapa dunihani na mimi ni tajiri mukubwa sana sana amen amen.

  • @MathaGerlad
    @MathaGerlad 10 месяцев назад +1

    Mm ni m2 mwenye mafanikio makubwa hapa dunia kwa nguvu za mungu

  • @Adrianombwilo
    @Adrianombwilo 10 месяцев назад +1

    Mminimtu. Mwenyemafanikio. Apaduniani

  • @eliudwandera405
    @eliudwandera405 Месяц назад

    Mimi no mtu mwenye you thanks 🙏🙏🙏❤️❤️❤️👍

  • @omymzee305
    @omymzee305 6 месяцев назад

    Mm ni mtu mwenye mafanikio makubwa hapa ulimwenguni❤

  • @Christina-j3m
    @Christina-j3m 10 месяцев назад +1

    Mimi Ni mtu Mwenye mafanikio hapa duniani kwa UWEZO wa Mungu, Amina.

  • @filomenambilinyi6628
    @filomenambilinyi6628 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio makubwa sana hapa duniani kwajina la yesu hakuna linalo shindikana

  • @josephinekeneth169
    @josephinekeneth169 9 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio makubwa sana hapa duniani katika jina la yesu

  • @ElizabethDeusi-sx8di
    @ElizabethDeusi-sx8di 10 месяцев назад +1

    Asante sana my❤

  • @selemanathuman1791
    @selemanathuman1791 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mkubwa sana tajiri mkubwa sana naamini katika nguvu za universe

  • @joyobungu-rm7xf
    @joyobungu-rm7xf 7 месяцев назад

    Ninaamini tena sana na sana Mungu yu hai

  • @zainabibrahim1617
    @zainabibrahim1617 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio dunia Mungu nisaidie!!

  • @TabizaAa
    @TabizaAa 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio hapa duniani in Jesus Christ name 🙏🙏

  • @JasminHamidu
    @JasminHamidu 10 месяцев назад +1

    Mm nimtu Mwenye mafanikio makubwa hapa duniani

  • @deborahdavi6593
    @deborahdavi6593 10 месяцев назад +1

    Mmi ni mtu mwenye mafanikio apa duniani 🙏🙏🙏

  • @HeritherNzugika
    @HeritherNzugika 10 месяцев назад +1

    Mimi ni tajiri sana ktk ulimwengu huu

  • @lilianjoseh
    @lilianjoseh 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio mengi sana hapa duniani amen .

  • @ayigacharles2298
    @ayigacharles2298 10 месяцев назад +1

    Asante sana

  • @MillenJohn
    @MillenJohn 10 месяцев назад +1

    Mimi nitajiri,Nimtumkubwaaaa

  • @PiallaWigenge
    @PiallaWigenge 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mwenye nguvu sana hapa Duniani

  • @MercyObaa
    @MercyObaa 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mkubwa mwenye mafanikio makubwa hapa duniani 💪💪💪

  • @bertinIgnas
    @bertinIgnas 10 месяцев назад +1

    Mm nimtu niliyefanikiwa sana hapa dunian

  • @Possible204
    @Possible204 4 месяца назад

    Mimi ni Mtu mwenye mafanikiyo makubwa sana hapa duniyani, kwa jina la Yesu hakuna kinacoshindikana. Amen

  • @EarnestGeoffrey
    @EarnestGeoffrey 2 месяца назад

    Mimi ni tajiri mkubwa sana mungu nibariki

  • @AminaNdayizeye
    @AminaNdayizeye 7 месяцев назад

    Mimi nimwenye mafanikio makubwa hapa duniani❤❤❤

  • @andrepahali9500
    @andrepahali9500 10 месяцев назад +1

    Mimi ni Mtu mwenye mafanyikiyo hapa duniani🎉🎉🎉

  • @JacklinePoyongo-xe7io
    @JacklinePoyongo-xe7io 10 месяцев назад +1

    Mimi nimtu mwenye mafanikio makubwa hapa duniani ❤

  • @rizikivincent5255
    @rizikivincent5255 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio makubwa hapa duniani kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Muumba wa mbingu na inchi navyote vilivyomo hapa duniani visivyo one onekana na visivyo onekana naamini kwa uwezo wake

  • @KamaraBizimana
    @KamaraBizimana 4 месяца назад

    Mimi nimutu mukubwa mwenye mafanikiyo hapa duniyani Amen❤

  • @PatrickMfikwa
    @PatrickMfikwa 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mwenye MAFANIKIO MAKUBWA hapa Duniani kwa jina la YESU

  • @merymahu4500
    @merymahu4500 10 месяцев назад +1

    Mimi ni Mtu mwenye MAFANIKIO Makubwa Duniani kwa Jina la Yesu

  • @rhodawaridi4766
    @rhodawaridi4766 10 месяцев назад +1

    ❤❤Mafuzo mazuri

  • @botanicalwonderland
    @botanicalwonderland 10 месяцев назад +2

    Mimi ni mtu mwenyeezi mfanikio makubwa sana hapa duniani

  • @DorethMselem
    @DorethMselem 5 месяцев назад

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio makubwa sana hapa duniani,Amina

  • @DamarySamwel
    @DamarySamwel 10 месяцев назад +2

    mm ni mtu mwenye mafanikio makubwa apa dunian

  • @AntonyFute-h8r
    @AntonyFute-h8r 5 месяцев назад

    Mm ni mtu mweny mafanikio makubwa hapa duniani in Jesus name

  • @JoyceMbise-zr2xh
    @JoyceMbise-zr2xh 6 месяцев назад

    Mimi ni mtu wa mafanikio makubwa hapa duniani,katika jina la Yesu kristo

  • @zipporahgituma1820
    @zipporahgituma1820 10 месяцев назад +1

    Am person with great vision and dreams in Jesus Christ name

  • @AikaKassa
    @AikaKassa 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mwenye mafanikio makubwa sana hapa dunian

  • @harismgalawe9777
    @harismgalawe9777 8 месяцев назад

    Mimi n mtu mweny mafanikio makubwa sana hapa deniani kwa jina la yesu

  • @ElizahMagesh
    @ElizahMagesh 10 месяцев назад +1

    Mimi ni tajiri kwa hii dunia watoto wangu watsoma na mipango yngu yote itatimia ❤

  • @evanccast6228
    @evanccast6228 10 месяцев назад +1

    Mimi tayari ni mtu mwenye mafanikio makubwa sana Amina

  • @lolodaprincess7411
    @lolodaprincess7411 9 месяцев назад

    Mimi ni mtu tajiri mkuubwa duniani na mwenyemafanikio makubwa katika kazi zangu zoote,muziki,filam, biashara,siasa

  • @JasminMlingi-s6f
    @JasminMlingi-s6f 4 дня назад

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio makubwa sana hapa Dunia ni katika jina la yesu. Hakuna Cha kunikwamisha

  • @AliceNjeri-f4p
    @AliceNjeri-f4p 10 месяцев назад

    Mimi ni membarikiwa ,Mimi ni tajiri kwa jina la Jesu Amen

  • @LatifaNamkumba
    @LatifaNamkumba 10 месяцев назад +1

    Mm ni mtu mwenye mafanikio hapa dunian

  • @PaulineOmoro
    @PaulineOmoro Месяц назад +1

    Mimi n mtu mwenye mafanikio makubwa sana

  • @PeterKanzwala
    @PeterKanzwala 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio hapa duniani katika jina lake yesu

  • @kaayajoel2382
    @kaayajoel2382 10 месяцев назад +2

    Mimi ni mwenye mafanikio MAKUBWA sana apa duniani Mimi na watoto wangu wote na wajukuu wangu wote AMEN

  • @TatuMringo
    @TatuMringo 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu wa mafanikio sana hapa duniani

  • @SmilingBakedBread-tp2id
    @SmilingBakedBread-tp2id 2 месяца назад +1

    mimi ni mtu mwenye mafanikio makubwa

  • @JaneStephano-uo8no
    @JaneStephano-uo8no 2 месяца назад

    Mimi mtu mwenye mafanikio makubwa sana hapa duniani kwa jina la yesu

  • @MaryChido-kp9br
    @MaryChido-kp9br 2 месяца назад

    Mimi ni tajiri mungu hajaniumba masikin mimi ni tajiri sana

  • @monicamollel2899
    @monicamollel2899 10 месяцев назад +1

    Mimi Ni mtu mwenye mafanikio katika maisha yangu na ya watoto wangu!.

  • @DavisIssangya-kc3rm
    @DavisIssangya-kc3rm 3 месяца назад

    Mm nimtu mwenyewe mafanikio makubwa sana dunian

  • @joycehamis4925
    @joycehamis4925 8 дней назад

    Mm ni mtu mwenye mafanikio makubwa sana hapa dunian

  • @Erastokid
    @Erastokid 5 месяцев назад

    Mm ni mtu mwenye mafanikio makubwa Sana katika Dunia hii

  • @karembokahindi6308
    @karembokahindi6308 10 месяцев назад

    Mm nimtu mahindi hapa dunian pamoja na watoto wangu amen

  • @nyarusahichacha
    @nyarusahichacha 10 месяцев назад +1

    mm ni mwenye mafanikio hapa dunian

  • @graceraphael-tj7nf
    @graceraphael-tj7nf 10 месяцев назад +1

    Mm Nina mafanikio makubwa sana

  • @ELIZABETH-uz6dv
    @ELIZABETH-uz6dv 9 месяцев назад +1

    Mimi ni Mutu mwenye mafanikio hapa duniani.

  • @BrightKaneza
    @BrightKaneza 7 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu wamafanikiyo hapa duniani mkubwa Sana kupitiya nguvu za universe

  • @camilluspeter5113
    @camilluspeter5113 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mwenye bahati na mafanikio hapa duniani

  • @allianzdekimz5401
    @allianzdekimz5401 10 месяцев назад +1

    Mimi ninamafanikio mengi sana hapa duniani

  • @Teaching356
    @Teaching356 2 месяца назад

    Nywele nyeusi ,mavuzi meusi nifanyeje sasa au ndo nipake chokaa ili viwe vyeupe vyote 😂Asante dada bati samahani.

  • @agnesbocho
    @agnesbocho 8 месяцев назад

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio makubwa sana hapa duniyani kwa jina la yesu

  • @maryopiyo-u6b
    @maryopiyo-u6b 9 месяцев назад

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio hapa duniani kwa jina la Yesu Amina

  • @johnsonzia
    @johnsonzia 6 месяцев назад

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio makubwa hapa duniani🙏🙏🙏

  • @ElcieKyakimwa
    @ElcieKyakimwa 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio makubwa sana

  • @SalamaIsajuma
    @SalamaIsajuma 10 месяцев назад +1

    Mimi ninamafanikio makubwa Sana hapa duniani pamoja na watoto wangu na familia yangu

  • @fredrickmunyi-ny8ye
    @fredrickmunyi-ny8ye 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio makubwa hapa duniani kwa jina la yesu hakuna kinachoshindikana

  • @zeddysamo1276
    @zeddysamo1276 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mtu wa mafanikio ktk maisha yangu.

  • @wins9030
    @wins9030 10 месяцев назад

    Mimi ni mtu mwenye mafanikio makubwa duniani💪

  • @nyirashumbudhodjamilla4293
    @nyirashumbudhodjamilla4293 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mwenye mafanikiyo makubwa diniyani

  • @PeterKanzwala
    @PeterKanzwala 10 месяцев назад +1

    Mimi ni tajiri ❤❤

  • @FaudhiaSuma
    @FaudhiaSuma 10 месяцев назад +1

    Mimi ni mwenye mafanikio makubwa duniani