Nashukuru mtumish wa mungu, ndoto zote tatu zinanitembelea sana,naotaga sana nipo shule na mda mwingine natoroka shulen,sku zingine naota naokota pesa ndani ya maji yaan ziwan,pia kwenye ndoto nakutanaga na mwanaume kimwili mara nying sana,,, kiukwel nimeshaangaika sana,ila namshukuru mungu
Asante sana kwa elimu mi pia nasumbuliwa na ndoto ya kuwa shulen nafanya mtihan na kitu kingne vitu ntakavotegemea kitimie vzur na kuta kinaenda vbya nahitaj maomb yako
Mimi naota nikiwa chooo mara ninhigi sana na paka Sasa ivi naota . Na se rikua nachaga sana ni kwanini Sasa nimejua Asante sana mbwana yesu asifiwe Mwaka milele Na inisaidie Kwa iyo amen
Mtumishi barikiwa sana hizo ndoto nimeziona sana. Wakati mwingine naota naenda kujisaidia chooni nakuta choo kimetitia na naona mavi sehemu ya jirani na choo. Na wakati mwingine nashika Yale mavi kwenye vidole vyangu. NAOMBA maombi mtumishi wa Mungu
Tunashukulu sana umenigusa kabisa mala nyingi ninaota hizo ndiyo Mimi nimeolewa na miaka mi3 sas tunakaa Kwa wakwe naomba msaada wako baba naamini mungu atatenda
Mimi naitwa Samuel natokea Nairobi Kenya..mda mwingi naota nikiwa shuleni nafanya mitihani. Tafadhalu Pastor niombee maanake hali kwangu haijakuwa shari mwaka wote huu..nimeteseka mno mie mke wangu na pia watoto wangu.
Mungu aniepushie hii naota nipo shule nahangaika na madaftari yamechafuka wanafunzi wanakanyaga mara nipo chuo begi langu halifunguki watu qanfanya mtihani eee mungu nisaidie 🙏🙏
Jambo mtumishi wa mungu mimi naguswa sana n'a ndoto za kurudishulenisana Ila nimerudishwanyuma n'a ugonjwa wa nerf sciatique,imekosa dawa Mahali popotenilienda jitunzishiya ,alakini kuna majani niliolota nikipekenya miziziyake kamadawa sijuwiyanamanisha nini ,unisaidiyemtumishi wamungu Kuni fafanuliya ndiyo hizokwaniningali magonjwa.
Mungu naomba nisaidie ndoto hizi zinanitesa Kila nikitaka kuinuka ninashuka chini galfa...juzi niliota npo shule Mara nichelewe kufanya mtihani Yan vikwazo kibao ,Asubuhi nimeamka nimeenda kazini nimepoteza million 1.4
Aisee hii ya shule imekuwa ikinitokea mara Kwa mara, Yani nafanya mtihani ila nikishtuka mda umeisha na sijamaliza kujaza... Mungu aturehemu waja wake, japo tuwaache walioko nyuma yetu katika maisha yenye uhafadhali amyn!
Jambo mutu wa mungu, nilihitaji msaada wa maombi kwani nilikuwa n'a ahadi ya kazi ambayo niliichunga sikumingi, sasa imechelewa kufika nanimeanja ota ndoto nikiwa n'a pesa mingi nikigawiya watu naingine nikiweka mufukoni. Sijuwekama nisemenini kwani sinakazi kwa sasa
Mungu naomba uniondolee hii ndoto kwa maana inanisumbua sana,kl nikiota nafanya mtihani lkn maswali yananishinda kujibu muda unaisha sijafanya chochote maombi Yako mtumishi
Naota sana izo ndoto eeh mungu niepushe na izo ndoto zishindwe na ziangamizwe kwa damu ya yesu baraka itawale juu yangu 🙏🙏🙏
Asante mtumishi sana mtumishi wa mungu hii ndoto imenisumbua Kwa mda mrefu sana Sasa nimeelewa maana yake naomba msaada wa maombi mtumishi
Nashukuru mtumish wa mungu, ndoto zote tatu zinanitembelea sana,naotaga sana nipo shule na mda mwingine natoroka shulen,sku zingine naota naokota pesa ndani ya maji yaan ziwan,pia kwenye ndoto nakutanaga na mwanaume kimwili mara nying sana,,, kiukwel nimeshaangaika sana,ila namshukuru mungu
Mungu anitetee naota sana ndoto hyo mtumishi wa Mungu naomba maombi yako
Hii ndoto ya kurundi shule imenisumbua sana ,eeh mungu niokoe
Ubarikiwe mtumishi ndoto za shuleni zimenisumbua sana Mungu anifungue maana nimechoka na hizo ndoto
Mara nyingi huwa naota naokota hela kumbe ni tafsiri mbaya.Asante kwa kutujulisha pastor ubarikiwe
Mungu naomba unitie nguvu kwa kweli mm ni mnyonge san naomb maomb yako mchungaji na mungu anifungulie milango yangu amina
Amen Pastor Mungu akubariki sanaaaa
Ee mungu nisaidie ndoto ya shuleni inanitesa sanaa namuomba roho mtakatifu aniepushe nalo
Amen ooyesu wangu
Mungu akubariki sana pastor ni mara nyingi San naotaa izi ndoto mungu anisaidie
Asante sana kwa elimu mi pia nasumbuliwa na ndoto ya kuwa shulen nafanya mtihan na kitu kingne vitu ntakavotegemea kitimie vzur na kuta kinaenda vbya nahitaj maomb yako
Mimi naota nikiwa chooo mara ninhigi sana na paka Sasa ivi naota . Na se rikua nachaga sana ni kwanini Sasa nimejua Asante sana mbwana yesu asifiwe Mwaka milele Na inisaidie Kwa iyo amen
Amen mtumishi, inaguda uhalisia WA maisha yangu, Mungu ni mtetezi
Bwana Yesu asifiwe,,kweli Mimi nahitaji maombi,,ju ma😢😢ra bmingi naota nipo shuleni na ninafanya mtihani na na Mimi simalizi huo mtihani
Asante mtumishi kwa mafundisho yako,nasumbuliwa na ndoto niko shuleni nafanya mtihani lakin siumalizi wanakusanya hivyo nasumbuka sana
Me pia naotaga Nipo shuleni Eeeh mwenyezi MUNGU nisaidie
Mungu nirehemu pia Mimi huota hivi sana.....naomba nifungulie milango yako baba
Mungu wangu naombe tu unifungulie njia zangu ambazo zimetekwa na sheitan🙏🏻
Mungu niepushe kweli ndoto hizo zinanitokea
Bwana asifiwe, mtumishi,mimi kweli mara nyingi naota niko shuleni,mara niko nafanya mtihani lkn muda unaisha sijamaliza.mtumishi naomba maombi yako
Ameeen 🙏 mtumishi
Shalom mtumishi mm huwa naota sana ndoto ya shule na kuokota hela
Dah had nimelia mungu nisaidie ndoto ya shule na kuokotahela zina nitesa sana jaman
Daah mtumishi niombee Mana mala kwa mala uwa naota ivoo daa munguu nitie nguvuu 😥🙏🙏
Mungu naomba niokowe kwa Hilo mm muda mwingi naota nipo shulen
Asantee mtumishii naombaa uniombee saaana hizii ndotoo za kuwaa shulen nakufanyaa mtihanii mdaa umeishaa mm Badoo sjamalizaa maswalii nahangaikaa saaana😥
Ni kweli mtumish wa mungu..nimekua nikiota ndoto kama hizo nikiwa shuleni mara nikiokota pesa na pia nikiedesha magari naomba uniobee mtumishi
shalom we mungu tutetee baba
Bwana yesu apewe sifa mtumishi, naota sana ndoto za shule nafanya mtihani, naomba mambo yako
Amen 🙏
Kati ya ndoto inanisumbua ni hii mpaka KERO an but in Jesus names I will be save 🙏✍️
Mtumishi barikiwa sana hizo ndoto nimeziona sana.
Wakati mwingine naota naenda kujisaidia chooni nakuta choo kimetitia na naona mavi sehemu ya jirani na choo. Na wakati mwingine nashika Yale mavi kwenye vidole vyangu.
NAOMBA maombi mtumishi wa Mungu
Naota ndoto ya shule mara kwa mara na kutembea kijijini kwetu naomba maombi mtu wa mungu
Mmmh 😢
Aimen man man of God you are directly speaking to my life and I need God
Mungu nisaidie Kira Siku naiota mungu nisaidie
Mm pia huwa naota sana nipo kwenye mtihan mara nashindwa kuomba,,,Ee Mungu nisaidiee🙏
Mara nyingi naota nipo shuleni n marafiki zangu reg mungu niokoe kutokana n ndoto mbaya
Mara nyingi naota nipo shule nafanya mtihani na mda unapoisha wa mtihani mimi najikuta nahangaika sijamaliza mtihani. Maombi yako mtumishi
Hii mimi pia ishanitokea
CATHERINE wewe Huna utofauti na mimi Please No Kufamiana KIUNDANI
Mimi pia
Tupo wengi kumbe
Mim Huwa najiuliza kwann niote hivi na sisomi
Jamani hii ndoto imeniharibia mipango yangu mingi sana. Naomba sana maombi yako mchungaji, hili pepo liondoke limenitesa sana.
Tunashukulu sana umenigusa kabisa mala nyingi ninaota hizo ndiyo Mimi nimeolewa na miaka mi3 sas tunakaa Kwa wakwe naomba msaada wako baba naamini mungu atatenda
Naota sana ndoto nikiwa nipo shule uwa napata shida sana jamanii ee mungu naomba unisaidie amen🙏🙏
Nashukuru sana daktar mimi piani mmojawapo
Daaah!!,,mungu atusaidie maan tuko wengi wenye ndoto kama izo,,mimi naota nipo shuleni pamoja n marafiki zangu,,,,mda mwingi n vita tupu
Kwa jina la yesu , ndoto hizi ziniepuke
Jamani hii ndoto ya kurudi shule inanitesa sana mpaka watu niliokuwa nasomanao nawakumbuka wote kupitia ndoto ewe mwenyezi mungu nisaidie.
Daaah najiona Mimi ,inanitesa iyo ndoto
Naomba niombee maan inanitokea xana na nimemaliza xhule muda xan
Mimi naitwa Samuel natokea Nairobi Kenya..mda mwingi naota nikiwa shuleni nafanya mitihani. Tafadhalu Pastor niombee maanake hali kwangu haijakuwa shari mwaka wote huu..nimeteseka mno mie mke wangu na pia watoto wangu.
Hee Mungu nisaidie
Naomba uniombeee mtumushi wa mungu
Asante sana ndoto ya shule nimeota sana
Daaah pastor uko sahihi sana jmn . Ulichokiongea ND hivy hivy pls naomb nsaidie maombi .,... Mambo yang hayaendi kabsaa an
Kweli pasta mi mwenyew zinanitesa sana
Hii ndoto hua inanisumbua sana
Yaan mm niliota nipo shule nakula na wanafunzi wenzangu shule eeh nilishangaa mungu anisaidie
Mungu aniepushie hii naota nipo shule nahangaika na madaftari yamechafuka wanafunzi wanakanyaga mara nipo chuo begi langu halifunguki watu qanfanya mtihani eee mungu nisaidie 🙏🙏
Sana pia mim huota nikiwa shule yaan maishan mwangu hii ndoto nmeota Mara nying sana
Mtumishi nikwelii kbsaa mim syo Mara moja naota nipo shuleni nindoto inayonisumbuaga Sana eeh mungu niepushiee
Mwenye naota ndoto ya mapenzi❤❤❤❤❤️
Naomba maombi yako mtumishi mm mara nyingi sana naota nipo shule jmn, na ni kwel jmn mtumish mm mambo yang hayaendi niombee mtumishi
Asante sana nimeguswa
Eeee mungu nisaidie 🙏🙏
Mungu atusaidie
Mtumishi tupo wengi sana mungu atupigapinganie
100percent true, nifanye ajy
Baba tusaidie kweli naotaga hiyo ndoto Mara kwa Mara!
Ewe mungu nisaidi mwanao nisiote tena hi ndoto ya shule
Mungu niepushiy nahisi ndoto unilind
Niombee pastor hii ndoto inanipata sana na yote uliyoyasema ni kweli
Ndoto hii ya shule inanitesa sana, inaninyima amani kila kukicha,hadi najiuliza nimemkosea nini mungu😭
Eeh mungu nipiganie.hii ndoto nikiwa shuleni huwa naiota sana
Jambo mtumishi wa mungu mimi naguswa sana n'a ndoto za kurudishulenisana Ila nimerudishwanyuma n'a ugonjwa wa nerf sciatique,imekosa dawa Mahali popotenilienda jitunzishiya ,alakini kuna majani niliolota nikipekenya miziziyake kamadawa sijuwiyanamanisha nini ,unisaidiyemtumishi wamungu Kuni fafanuliya ndiyo hizokwaniningali magonjwa.
Kwa sasa n mara ya pili nkiota Hilo Jambo na Yale unaeza n hayo napitia tafadhali naomba msaada WA maombi oooh mungu nsaidie 😢😢
Ehh mungu wangu nionekanie
Mungu naomba nisaidie ndoto hizi zinanitesa Kila nikitaka kuinuka ninashuka chini galfa...juzi niliota npo shule Mara nichelewe kufanya mtihani Yan vikwazo kibao ,Asubuhi nimeamka nimeenda kazini nimepoteza million 1.4
Aisee hii ya shule imekuwa ikinitokea mara Kwa mara, Yani nafanya mtihani ila nikishtuka mda umeisha na sijamaliza kujaza... Mungu aturehemu waja wake, japo tuwaache walioko nyuma yetu katika maisha yenye uhafadhali amyn!
Samaani sana pasteur mimi naotaga sana île ndoto naingine nikiwa nafanya mutiani marani nipate Katia île tulitumikia naitaji maombi
Naomba.uniombee.mtumish.mm.naota.nip.shule.ya.msing❤
Naota sana ndoto nikiwa shuleni nashindwa kuelewa kabisa E Mungu nisaidie
Jambo mutu wa mungu, nilihitaji msaada wa maombi kwani nilikuwa n'a ahadi ya kazi ambayo niliichunga sikumingi, sasa imechelewa kufika nanimeanja ota ndoto nikiwa n'a pesa mingi nikigawiya watu naingine nikiweka mufukoni. Sijuwekama nisemenini kwani sinakazi kwa sasa
e Mungu naomba nisaidie
Nimepata kuelewa asante
Ee mungu nisaidie
Mtumishi ndoto za kuwa shule ni changamoto sana kwangu
Mungu naomba uniondolee hii ndoto kwa maana inanisumbua sana,kl nikiota nafanya mtihani lkn maswali yananishinda kujibu muda unaisha sijafanya chochote maombi Yako mtumishi
mara nyingi naota vitu zenye umeogelea naitaj maombi mtumishi wa mungu
Naomba maombi ndoto izo zimefunga maisha yangu
Mungu niepushe jmn
Nimeota sana niko shuleni ama nafanya mtihani pastor niombee
Mume wangu huwa anaota sana yupo shule kweli kbs mambo yetu aya endi lkn mimi pia nime ota wezangu wana chapwa lkn mimi nilikimbia
Jamani mungu atusaidie😢
🙏me naota kama nipo shule arafu kama kuna sehemu nilifanya kazi zaman pia naota kama nimeludi tena
Amina mtumishi🙏🏻
Nashukuru Sanaa kwa kujua maana yake
Mungu wangu hii ndoto huwa inasumbua sn naota nipo shulen
Ahsante sana nimeelewa
Ndoto ya shule inanisumbua sana
Oh my God remember me my lond aki naumia
😢😢😢😢😢naumia mtumishi wa mungu
Miminiliota.madam.wangu.kaacha.kazi
Naota San nikifanya mtihan afu nazimia ee mungu nisaidie san