Inaweza ikawa sijakuelewa vizuri ispokuwa nyeupe inamaana kubwa sana na moja wapo ni uzuri kwa mfano mdogo hata vitami toka zamani mpaka sasa huwa wanatumia nyeupe kama ishara ya kutaka amani ulingoni hurushwa kitambaa cheupe kuonesha ishara ya kushindwa kupambana, kwa hivyo tu basi nyeupe ni nzuri, nyekundu ni hatari na nyeusi ilitumika toka zamani kama ishara ya simanzi au majonzi lakini poa inamaanisha msitu. Kwenye uhalisia usibadili maana husika ukatafsiri utumwa tu kila wakati jua kuwa hata anaewaza utumwa nae pia ni mtumwa usikubali kuwa na mawazo ya kitumwa hembu toa hicho kitu akili mwako.
Napenda filamu sana Watching from Kenya Africa
Nilikuwa Najiuliza Sana Ila Umetupatia Majibu Mkuu 🙏🙏🙏
Video nzuri kabisa
Vocal kali una pangilia vitu vizuri.. makosa machache ukirekebisha utakua sawa sana 💪🏾 keep it up
Acha niseme Masha Allah unatisha brother
Kazi nzuri sana bro
Woo... Amazing...bongo fasta...
Sasa twende kazi 💪 Mr Justin
Nimewapenda kwakweli kwa uchambuz wenu big up sn
Asante kwa elimu yako
Good job
Good bro
Nyie ni noma
SOMA UFUNUO 17 ...REVELATION 17 Utatambua ndugu...kuna Siri kubwa apo ya maisha halisi America na Dunia...
Status of Liberty🗽 imetengenezwa Ufaransa
Good work....
Justin sheddy Sasa twende kazi......
nimependa maana ya bongo fasta😅😅
Kwenye bongo fasta hapo
Bom dia, aqui estou gostar. Moz
Jitahidini kwenye upande wa sound husikiki vizuri otherwise it's a good content
🔥🔥🔥🔥
Bongo faster lead others follow
Safi
Namba 5 Hyundai hujamalizia kueleza
👍👏👏👏👏
❤️❤️❤️❤️
Haujatuambia mbona wanatumia picha ya mwanamke
🙆♂️
Gonga likes za kutoshaaaa
Na peni ukipa Stephanie na pini
Mi baado sijaelewa uyu mwanamke ni nani yeye, sawa anaitwa Colombia lakin ni nani yeye iweje awekwe hapo
Hawaitwa Colombia anajina lake halisi
Mana ya del iko powa
Asante
Mimi Naitwa Justin Shed Sasa Twende Kazi
NUMBER 5
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Hhhh
Jee akoo alive?
"Nyeupe inamaanisha uzuri" hii mentality ya kitumwa itawatoka lini wa Africa? Unaweza jihisi umeongea cha maana kumbe pumba 🚮🚮🚮