BWANA HARUSI ALIYE MKATAA BIBI HARUSI SABABU ANA WATOTO AIBUKA NA MAPYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 681

  • @Mussa-t1q
    @Mussa-t1q 2 месяца назад +6

    Mwanaume hajutii, wanaume wachche, lazima tujivune sana. Mwanaume plan. Fundisho kwa wengine. Umefanya kitu. Soko la mwanaume liko tele. Hongera sana mwanaume

    • @AnnAnnie-ow4tn
      @AnnAnnie-ow4tn 2 месяца назад

      Hongera kwake,,Na labda ako Na watoto nje Na amewachilia

  • @NuruNgolle
    @NuruNgolle 2 месяца назад +21

    Omba kwa Mungu akupe mke mwema maana wanawake waxinzi ni wengi sana hata wasipokuwa na watoto utajuta atakavyokunyoosha huyo asiye na mtoto. Unahitaji kuongozwa na Mungu lasivyo utafurahi a ndoa

  • @esthermwaibasa4778
    @esthermwaibasa4778 2 месяца назад +19

    Kaka yangu uko vizuri sana,wasichana wamezidi kuzaa ovyo wakijua tutataolewa hili ni somo zuri sana,Kaka yangu kuna mabinti wazuri sana na wanejitunza na bikiira kabisi utawapata Nakuombea ,mtu simulates kwa kitu ambacho ulishajiwekea msimamo hutaki mwenye watoto,endelea kumsimamia msimamo huo mzuri Ubarikiwe sana sana

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 2 месяца назад +1

      Safi sana Kwa Nini waliomzalisha wasimuoe

    • @neemakawogo5479
      @neemakawogo5479 2 месяца назад +9

      Kuna mambo km hayajamkuta mwanao unaweza ongea chochote Kwa uelewa wako uko sahihi lkn hkn mtu anapenda kuzaa bila kuolewa nyuma ya pazia Wana mambo mengi hao unawasema,

    • @SaidiBatungwanayo
      @SaidiBatungwanayo 2 месяца назад

      ​habarizenu ndugu tunawafatiliya sana tukiwa Cape town south Africa mze uko na msimamo kwa nini hajakwambiya kama anawatoto mtu muongo sio mtu mzuri jamani nasisi tunahitaji mabikra tuwaowe

    • @AaAa-tf7sl
      @AaAa-tf7sl 2 месяца назад +1

      Sawa uwezi oa mtu alozalishwa na hana bikra unatarajia
      ddako aolewe na hana Bikra pia amezalishwa sio kila mtu anataka kuzalishwa alafu B4 uongei fikiria unapotoka je pamekamilika ama?

    • @FayizaOmar-jv9kj
      @FayizaOmar-jv9kj 2 месяца назад +3

      Ivi niulize ao wanao zaa ovyo. Huzalishwa na nani?

  • @RoseKillian-b8k
    @RoseKillian-b8k 2 месяца назад +4

    Pole kaka, May God answer your prayers in Jesus name Amen...

  • @mombimosh6412
    @mombimosh6412 2 месяца назад +5

    Huyu bwana sio handsome 😅😅awache kujiita handsome boy😅😅😅😅

  • @ericwekesa5775
    @ericwekesa5775 2 месяца назад

    Ni sawa bro,angekuwa mwaminifu tu kwako. Coz marriage is along term relationship. Lazima tuwe na uaminifu,I support you.

  • @annawammi
    @annawammi 2 месяца назад +1

    mtumishi wa wapi kwa kumfanyia dada wa watu ukatili ? Mungu akusaidie na akufungue fahamu zako,

  • @JustinKahindi-f4l
    @JustinKahindi-f4l 2 месяца назад +1

    Good advice sir you have done Good decision

  • @NeemaHasan
    @NeemaHasan 2 месяца назад +6

    Baba mwenyw age go na bado anaringa😂😂

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 2 месяца назад +4

    AMIN AMIN NINAKUAMBIA WEWE BINTI ASIYE NA MTOTO UTAMPATA . LAKINI MILELE HAUTAPATA MTOTO AMINAA

  • @SylviaSomi
    @SylviaSomi 2 месяца назад +4

    Huna lolote
    Mwenyewe ushakua mtu mzima 😂

  • @MarthaMacha-xb6vg
    @MarthaMacha-xb6vg 2 месяца назад +5

    Wewe sio mtumishi wa mungu tafuta jina la kujiita tapeli wa mapenzi wewe umri huo huna haya

    • @GeraldMyuku
      @GeraldMyuku Месяц назад

      Usiseme hivyo ila mara nyingi mtu mzima kama Huyu hata yeye hayuko salama Kuna uongo kafanya mwingi TU kama angekuwa mtumishi safari mpaka mfikie hatua kufunga ndoa ni kubwa, Mimi chakumshauri anaweza akamwacha Huyu wa watoto akaoa asiye na mtoto akajitia zaidi

  • @mercymarcel4554
    @mercymarcel4554 2 месяца назад +1

    Amekukusea sana, hakuna adui mkubwa kama uongo she was supposed to tell you before, your decision was very right

  • @AdelinaKirway
    @AdelinaKirway 2 месяца назад +2

    Tunakuombea kheri kaka
    Mungu atakujalia kile ulichokiomba

  • @MeseKalinga
    @MeseKalinga 2 месяца назад +6

    Emu tupishe bn u handsome uo ukwap mxiew uchoyo tu

  • @EzrahMassawe-ug5uo
    @EzrahMassawe-ug5uo 2 месяца назад +8

    Nimekukubali sana kaka uyo mwanamke alikuwa sio mwaminifu Bora ulistuka mapema

  • @RisasiRisasi-uj8fk
    @RisasiRisasi-uj8fk 2 месяца назад +7

    Upo sahihi kaka,unaishi kutokana na msimamo wako,watajifundisha wengi,umetoa darasa kubwa

    • @mutabebwa-bm6pm
      @mutabebwa-bm6pm 2 месяца назад

      Mdogo wangu nimekukubali.
      Unayosema ni kweli mke mwenye watoto ni mzigo mkubwa.
      Kama kakudanganya hana watoto ukaja kugundua baadae basi ujue hata kama ungemuoa angekuchea akili sana - hakuwa mwaminifu . Watoto watatu anakuficha?

  • @jonathaneliabu2298
    @jonathaneliabu2298 2 месяца назад +2

    Nadhani hoja zenye mashiko kwenye issue ya huyu jamaa 1.swala zima la uwazi /ukweli kuelekea katika mahusiano .2 kufuatwa na dhamiri unajua kuna hali mtu kuwa anafuatwa na dhamiri kwa mfano mwanamke akuambie mume wangu leo naenda kumuona mzazi mwenzangu kuhusu labda changamoto flani ya mtoto kwahiyo huyu mwanaume huenda hiyo inawezamsumbua kwa namna flani eee!ile hali wivu/mashaka na wasiwasi kwamba hawa hawawezi wakaapasha makongoro kweli?(mnaweza kunielewa watu wazima kwakusema hivyo)
    3.kulea mtoto amba sio wako sio hoja kubwa ila inahitaji maandalizi ya kisaikolojia na kupevuka kwa kiwango flani (maturity wise)!unajua huwa kuna scenerials nyingi kwa hawa dada zetu anajikuta amezaa mtoto/watoto pengine hayo nayo yakuzingatia kwenye kufanya maamuzi ila ukipenda ua penda na boga lake.

  • @allywilson4155
    @allywilson4155 2 месяца назад +24

    Jamaa yupo sahihi kwa upande wangu mm

  • @dorothyminja8523
    @dorothyminja8523 2 месяца назад +4

    Je asingekuwa na mtoto lakini katoa mimba 7 inakuwaje?

    • @ordafabian5172
      @ordafabian5172 2 месяца назад

      Huyo hana mtoto, hana shida kama alitoa mimba

  • @RachelLaizer-n2p
    @RachelLaizer-n2p 2 месяца назад +5

    Hiki kitu huwa sio kizuri sana watu wasijipe sifa kuzaa ovyo kwanza ina madhara mtoto anaeza teseka na kufanyiwa ukatili mbaya kwa dunia ilivyo sasa wanawake msijipe moyo mtaazaa uolewe umeamua kuzaa zaa usitamani ndoa lea watoto wako achana na wanaume maana watoto wanaweza kuuliwa au kulawitiwa akili kichwani

  • @catherineandaye4518
    @catherineandaye4518 2 месяца назад +3

    Mungu akupee bintiii tasaaaa ungemkataa tu sio kumuhaibisha

  • @DalluAbdulrehmah
    @DalluAbdulrehmah 2 месяца назад +10

    Ktk madhambi makubwa uwongo Ni moja wapo, na Ni kosa alilolifanya huyo mdada. Huyo Bwana ana msimamo wake na si wa kulaumiwa.

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 месяца назад +1

    Maisha ni jambo zito siyo mchezo,lazima upange maisha upendayo kuishi siyo kupangiwa na mtu,kupanga ni kuchagua 😅😅😅pia ndoa hutoka kwa Mungu jamani,hapa tutaongea mengi na yasiyofaa bure,kweli ni kwamba hao wawili hawakupangwa kuwa pamoja,kila mmoja ana mwenzi wake kwingine na kila maisha ya mtu hupangiwa na yakiwa vyovyote vile tuyapokee kwa shukrani,kwani mshindi ni yule aliyeishi vema kumpendeza Mungu

  • @ibrahimshabani5918
    @ibrahimshabani5918 2 месяца назад +6

    Unaweza kuoa binti ambaye hana mtoto, lakini kumbe kashatoa mimba zaidi ya 4. Mungu akusaidie

    • @ProudB719
      @ProudB719 2 месяца назад +1

      Ukiwaona wa binti wengi wa siku hizi, ni mama wafiwa.
      Sio mimi nimesema ni pastor Mugogo.
      Kuliko kuoa mwanamke amesha zaa,na akakuficha, ni bora kumuoa mama mfiwa kuliko kusumbuliwa na mke na watoto wake.

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 2 месяца назад +3

      Shida ni kuwa wazi na ukweli siyo kuwa na watoto, yaani kule kusema uwongo ndiyo shida,inaleta mashaka mengi ktk maisha yajayo,hata ukiwa na shida gani kuwa wazi tu ili aamua kusuka au kunyoa

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 2 месяца назад

      ​@@ProudB719point yake hataki mtoto Bora mtoa mimba Kwa Nini aliyemzalisha alimuacha jiulize

    • @Dafetty
      @Dafetty 2 месяца назад

      ​@@ProudB719 😂😂😂 aise

    • @jbasurgical3541
      @jbasurgical3541 2 месяца назад

      bora aliyetoa kuliko kulea mtoto wa mwanaume mwinga ujinga huo

  • @coj7920
    @coj7920 2 месяца назад

    Kaka mimi ni mwanamke na nakusapoti kuamua kutofunga ndoakwa kigezo cha kudanganywa. Uongo ni sumu sana na ungezidi zaidi baada ya kufunga ndoa. Umeepuka maisha ya wasisiwasi na migogoro ya kutokuaminiana maisha yote. Wasioelewa watakuchukia, fanya jinsi nafsi yako imeridhika maana wewe ndo muhusika wanaowasha na pilipili uliyokula wewe achana nao.
    Kwa huyo uliyemuacha, nampa pole sana Mungu amtie nguvu na ajifunze kuwa mkweli. Bora ukweli ukawa huru kuliko ukadanganya na kuishi kwa hofu. Better luck next time

  • @JoyceJoseph-te6go
    @JoyceJoseph-te6go 2 месяца назад +2

    Umefanya kitu cha muhimu sana maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu, muombe Mungu sana utampata binti mzuri aliyetulia wapo wengi wanaompenda Mungu wewe kuwa mwaminifu kwa Mungu utampata tu mke mwema aliyetoka kwa Munhu

  • @PriscaElisha-nw9gw
    @PriscaElisha-nw9gw 2 месяца назад +12

    Mwanamke atakayeolewa na huyo bwana ajiandae. Hata ndugu za mke wake hawataingia hapo ndani.

  • @Hot_rod-lies
    @Hot_rod-lies 2 месяца назад

    Uko hesamboy kweli bro nakupenda kwa ww kuwa mkweli hata mungu anampenda hevoo. good

  • @RoseKillian-b8k
    @RoseKillian-b8k 2 месяца назад

    Ila natafuta ndungu zangu waliozaliwa Arusha, Babangu anaitwa Killian Kingi Mramba from Kenya Mombasa.... Alioa mama mkubwa na akazaa watoto 4. Akiwa Arusha huko....nawatafuta sana ndungu zangu mko wapi....huyu kijana amefanana na babangu. ,huenda wewe ndie first born wa babangu..

  • @isackmwakipesile-er9nb
    @isackmwakipesile-er9nb 2 месяца назад

    Wanawake waongo sana nilioa mwanamke aliezaa akasema hawa wasiliani na mumewe wakwanza kumbe kila siku wana wasiliana mzazi mwenzake wanakutana bila mimi kujua akiongwa ananambia mwanangu kanitumia pesa

  • @Joe-tr2vk
    @Joe-tr2vk 2 месяца назад +4

    Handsome boy mwenye matunzo yake 15:17,big up sana😂

  • @rosemarystima6241
    @rosemarystima6241 Месяц назад +1

    Mtumishi wa Mungu hana roho mbaya. Ni mwiko kwa mtumishi wa Mungu kukubali kumuumiza mtu mwingine. Kutokana na sabb yyt ile.

  • @MerryMatata
    @MerryMatata Месяц назад

    Tatizo la uyo binti ni uongo tu na waongo wote motoni unaweza kukuta mke wako ni huyo unaweza kupata mke asiye na mtoto akawa kichomi muombe Mungu akupe mke mwema

  • @isackmwakipesile-er9nb
    @isackmwakipesile-er9nb 2 месяца назад +1

    Umefanya vizuri sana

  • @JB00254
    @JB00254 2 месяца назад

    Jamaa yuko sawa.Kuwa na mtoto au kutokuwa na mtoto sio issue hapa.Shida ni kuwa dada hakusema ana watoto mapema.Kwahivyo huenda akawa ana mengi ameyaficha.Lakini hapo kwa jamaa kujiita handsome.....kuna shida kidogo😅

  • @GracePaula-m8l
    @GracePaula-m8l 2 месяца назад +1

    Wapumbavu sana mna kazi ya kutengeneza story ili kupata followers,hovyo

  • @sisterblessed-my9jd
    @sisterblessed-my9jd 2 месяца назад +1

    Mume mmmh! Hata!
    Mchoyo!
    Kwani ulikuwa wapi umri huo ,binti za watu ndio uwasumbue na uzee huo?? Kiki tu hz hamna mwoaji hapa,,, kuongea sn, ustaarabu aaah!

  • @NeemaShilingi
    @NeemaShilingi Месяц назад

    mzee mnafiki sana huyoo tena ni babu kabsa

  • @Ester-y5m9b
    @Ester-y5m9b Месяц назад

    Sasa hyu mzee akili yake iko sawa kweli kwani ukioa mwanamke akiwa na mtoto utakufa,..utapata mwenye hana mtoto lkni hautapata mtoto sababu uko na madharau sana wwe mzee mkubwa😢😢😢

  • @mtumishiabiudimassawe4247
    @mtumishiabiudimassawe4247 2 месяца назад

    Safi sana kaka hii nimependa na mm kabla ya kuoa nilikuwa nasema sitaki mwanamke ambaye ana mtoto na nimetimiza bajeti ya mtu nne ndio nimeoa tu alafu gafla eti unaniletea watoto wawili alafu ujaniambia yani kaka ulifanya vizuri nakupongeza

  • @JumaGwandu
    @JumaGwandu 2 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂😂 mwanamke mwanye mtoto uhakikishe umeona kabuto lahuyo baba mwanye mtoto

  • @SophiaMyumbani
    @SophiaMyumbani 2 месяца назад

    Ww kaka hujioni ulivyozeeka utashangaa unaoa Binti aliyetoa mimba hata tatu na huutopata hata mtoto Moja ww siyo mtumishi wa Mungu hata haufanani

  • @magdalenasirikwa517
    @magdalenasirikwa517 2 месяца назад

    Ukweli ni kwamba Mungu ndie anaekupa mke.kwani yeye ndie anayekujua.kwani waliozaa hawaolewi?au ndio wanaonekana wabaya? Unaweza pata mke hana watoto ukashangaa hazai kabisa kwa ajili ametoa mimba nyingi sana .sasa utasemaje?muombe Mungu akupe alie wako

  • @godshanthomas3297
    @godshanthomas3297 2 месяца назад +5

    Uko vizur sana mwanamke mwenye mtoto shida kubwa

  • @EliyaZackaria
    @EliyaZackaria Месяц назад

    Upo sahihi broo, hakuna mechi inayoanza na magoli

  • @Janeth-r1c
    @Janeth-r1c 2 месяца назад

    Ndoa ni tamu kama ina amani wacha kufuru mrudie mungu wako kwanza wewe ni muhuni tuu siyo mtumishi hakuna watumishi dizaini yako watumishi wana hofu ya mungu wewe na kiboko ya wachawi wote sawa tuu.kwanza wewe ni mbinafsi sana.

  • @LemburisSindira
    @LemburisSindira Месяц назад

    Je mbona unaonekana kama name una watoto?

  • @AsiaAmani-m9z
    @AsiaAmani-m9z 2 месяца назад +4

    Yaan tatizo kubwa nililoliona hp kwa huyu kaka ni mchoyo. Yaan ht huyo atakayemuoa atapigwa biti ndg zake wasiende kwao.

    • @christophermunishi
      @christophermunishi 2 месяца назад

      Siyo uchoyo! Simba hata siku moja hawezi kuishi na watoto wa Simba mwingine!

    • @Bamutumubaya
      @Bamutumubaya 2 месяца назад

      ​@@christophermunishi yeah sio uchoyo mi nimeona amesisitiza sana katika swala la uaminifu kwenye ndoa, bado wataendelea kukutana sirini😅huyu ameona ajitoe mapema maana hawezi hekaheka za mume mwenza, 😅😅

  • @bettynjoroge9003
    @bettynjoroge9003 2 месяца назад +1

    Hao watoto maybe wangekuwa baraka kubwa Sana kwako,Kiburi ndio mingi Sana alafu unadai wamjua mungu,Kumjua mungu ni kusamehe mwenzio,Wewe ni wale wanaume huwacha mtu akipata ulemavu!!Watoto ni baraka ww nenda ukaowe virgin

    • @christophermunishi
      @christophermunishi 2 месяца назад

      Unamlazimisha aishi asichokitaka kwa kumdanganya afu iweje?

    • @klaussteiner94
      @klaussteiner94 2 месяца назад

      ​@@christophermunishimunishi😂😂😂

    • @christophermunishi
      @christophermunishi 2 месяца назад

      @@klaussteiner94 Watu wanashililia hoja ya watoto! tatizo hapa siyo watoto! tatizo hapa ni kudanganywa! yaani kuingizwa mkenge😆

    • @klaussteiner94
      @klaussteiner94 2 месяца назад

      @@christophermunishi kaka nakuelewa sanaaa,kwanza nlivyosoma komenti Yako nimecheka mbaya mkuu

  • @DorcasChege-p7t
    @DorcasChege-p7t 2 месяца назад

    Asante kwa msimano thabiti.

  • @MeryMbaga-y4n
    @MeryMbaga-y4n 2 месяца назад +1

    Mtu mwenyewe kumbe mzeee😂😂😂 mie nikajua ni kakijana kadogo sana alafu zee lenyewe choyoooo

    • @wazirimakua8769
      @wazirimakua8769 2 месяца назад

      Tatizo ni kwa mwanamke kutokuwa muwazi.

  • @EvalynMagoma-h5g
    @EvalynMagoma-h5g 2 месяца назад

    Yaani ukimchumbia hukujua ana mtoto ama watoto 🤔💔😪😭,then you might not be reasoning well if you waited until your wedding day.

  • @Joyceisaka
    @Joyceisaka 2 месяца назад +1

    Unavyo.mtendeaa mwenzako mabaya kumbukaa na wwe utakuja kutendew tu kwann hukupeleleza kwao inaama mahusiano yenu hamkuchukuaa mda mrefu mweee ,unaejiona Mtakatifu. Nikulizeee hujawahi tenda dhambi yeyotee toka uzaliwee
    Mtazamee Yesu Kristo kwa yule mwanamke mzinifu kwenye bibliaa
    Omba toba baba angu

  • @nailafashion6473
    @nailafashion6473 2 месяца назад +1

    Safi, mungu atakupa wa kwako

  • @imranbasy4022
    @imranbasy4022 2 месяца назад

    Ni mchoyo huyu, na ana akili mbovu huyu. Mungu atueke tuishi maisha marefu tushuhudie bibti yako akizalishwa bila ndoa.

  • @DeborahJackson-ys4cl
    @DeborahJackson-ys4cl 2 месяца назад +1

    😂😂😂 jamani utamu wa ndoa umeujuaje wakati unasema hujawai oa??? Pole baba hii ndo daslama

  • @nedkatunge5702
    @nedkatunge5702 2 месяца назад +1

    Hapo broh umechemka kwa sababu kwa enzi leo na kesho hutapata sanasana utapata msichana ambaye ambaye hajazaa lkn msichana ambaye si bikira hutapata uso wako unaonyesha kwanza ana shida ya maisha kifedha basi

  • @Hot_rod-lies
    @Hot_rod-lies 2 месяца назад

    Umifanya vizure huyo binte ingikuwa mkweli helo nifunzo kwa. wenginia good bro

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 2 месяца назад +1

    Wanawake mjifunze umezalishwa na mwanaume wa kwanza unashindwa kutulia tena unaenda kuzaa na mtu mwingine hivi unapoanza mahusiano na hao wanaume malengo yako ni kuzalishwa tu hao kuolewa masingo maza kwa sasa ni wengi sana Enzi za Mwl haikuwa hivi kama leo

  • @anithamkoma5930
    @anithamkoma5930 2 месяца назад

    ni kweli ulichosema bro, ila kuna mambo hukutakiwa kuongea kama mtumishi na kama mwanaume, umeingia mtegoni kwa mwandishi

  • @mayimunanjeri8846
    @mayimunanjeri8846 2 месяца назад +1

    Kaka Mwenyezi Mungu akupe mke wa heri

  • @ChristianSiwale-iw7ex
    @ChristianSiwale-iw7ex 2 месяца назад

    😂😂mwacheni mzee wawatu awoe anae mtaka naso nyie kumchagulia mpo wabongo😂😂😂 mzee anamichambo kama mzanzibar😅😂😂

  • @BarakaMwaikenda-ty1bt
    @BarakaMwaikenda-ty1bt 2 месяца назад +9

    Watoto wakike ndio pakujifunza ilo somo

  • @neemaisrael688
    @neemaisrael688 2 месяца назад

    MIMI MWANAMKE NIMEMKUBALI HUYU HANDSOME MAN.MAUA YAKO🎉🎉

  • @ElizaLukasa
    @ElizaLukasa 2 месяца назад +1

    Ukipenda boga penda na maua yake broo

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 2 месяца назад +11

    Ataoa Binti AMBAYE Hana mtoto, mara paaa Binti nae hazai😂😂😂😂

    • @LeahSanga-bg4by
      @LeahSanga-bg4by 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂 kweli kbisa

    • @Winniekisela
      @Winniekisela 2 месяца назад

      Ndo hapo sasa mara ataakipata ambye hana mtoto unashangaa hatazaa

    • @mbwanakiting7180
      @mbwanakiting7180 2 месяца назад +1

      Ataoa mwingine

    • @jamesmassawe4888
      @jamesmassawe4888 2 месяца назад

      Dua za kuku nyie

    • @ordafabian5172
      @ordafabian5172 2 месяца назад

      @@jamesmassawe4888 bora aside na mtoto kuliko liongo linaloficha hadi mtoto

  • @johnmbilinyi3869
    @johnmbilinyi3869 2 месяца назад +7

    Akili hana huyu jamaa! Nibora aseme kudanganywa hilo sawa lkn siyo kuhusu chakula

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 2 месяца назад +1

      Unafikiri watoto watatu sio wako ni chakula tu kuna ada mavazi matibabu nk au ndio utamwambia apigie baba zao watoe ada 😅

  • @Juma-r7g
    @Juma-r7g 2 месяца назад

    Unakaa arusha sehem gan?

  • @dianaleole5383
    @dianaleole5383 2 месяца назад +5

    😂😂😂 sema jamaa afaa kuwa comedian nimependa anajibu bila panic yaani amen relax 😂😂😂😂

  • @HappinessOpanga
    @HappinessOpanga 2 месяца назад +1

    Huyu baba anadharau sana ,milioni ndo kaona ametoa Hela nyingi sana wakati watu tumeolewa na milioni kumi na tumeolewa na watoto na kila mtoto na baba yake,na Sasa nna miaka kumi na Tano kwenye ndoa,,Utatafyta sana na hautapata wa kuoa labda limbukeni mwenzio

  • @fortunataangelo5575
    @fortunataangelo5575 2 месяца назад +2

    Yaan mimi hata kama nilikutana, namwanajme yoyote, huko barabarani unataka kunioa, lazima nikwambie habari za mtoto wangu niliye naye, na lazima akubali kuishi nae, maana siko tayari kukaa mbali na mwangu

    • @EliasMwambeta
      @EliasMwambeta 2 месяца назад

      Baba yake kashindwa kuishi naye mm nitaweza

  • @Hot_rod-lies
    @Hot_rod-lies 2 месяца назад

    Huyo kaka hamuja mualiwa yeye mwenyewea ndiyo anajuwa zaidi maisha yalivo

  • @zainabuhongera5162
    @zainabuhongera5162 2 месяца назад

    Kaka yuko sawa, huyo dada kwa nini afiche watoto wake? Yaani anawakataa watoto alowazaa mwenyewe je siku huyo mume akipata shida hapo mbeleni ataweza kumpemda amhudumie?
    Huyo dada hajielewi huwezi ficha watoto wako mwanaume kama anakupenda atakuoa tu hata ukiwa na watoto ishirini kapenda boga apende na boga lake.
    Mwenye kosa hapa ni huyo dada kusema uongo, kwanza watoto wake wangeteseka sana asingeweza kuwaingiza kwenye familia yake na mumewe

  • @sebastiancmalisa4016
    @sebastiancmalisa4016 2 месяца назад

    Bunafsi namlaumu bibi harusi na nampongeza bw harusi kwa maamuzi magumu maana mwisho wa siku lazima ingeleta mtafaruku!
    Bora mtu awe muwazi na mkubaliane hapo panakuwa hakuna shida kwa sabbu ikitokea mtafaruku mnakuwa salama maana mlikubaliana!
    Kuwa na watoto sio ttzo ila kuwa muwazi ndio busara na hekima ya kuondoa ukakasi

  • @mwandukaranga7524
    @mwandukaranga7524 2 месяца назад +1

    Huyo Mzee.mwenzagu.mpka umri huo.hana mtoto...si..mjue anashida. Mtumishi.gani wewe. Huna.Busara.

  • @givensanga3524
    @givensanga3524 2 месяца назад +1

    Unaogea ukweli kaka sisi wanawake ndo tulivyo😅

  • @miriammustafa5380
    @miriammustafa5380 2 месяца назад

    Ww kk ni mgumba sioookwamba hupendi watt ila unaona vby kuwa na watt

  • @ruthbushir8708
    @ruthbushir8708 2 месяца назад

    Ni kweli uongo ni mbaya sana , alichofanya huyo dada sio sawa. Lakini na wewe handsome kama unavyojiita ! huo umri wako na msichana ambae hana mtoto wapi na wapi, tuombe Mungu tukuone mwisho wako.

  • @sakinayahya78
    @sakinayahya78 2 месяца назад +4

    Huyu jamaa si mroho ni mchoyo ila mwanamke nae alitakiwa amweleze ukweli

  • @misanamaige
    @misanamaige 2 месяца назад +5

    Umri wako ni mkubwa, unataka kutuaminisha kuwa hadi umri huo hujazalisha mwanamke? Umekosea sana.

  • @magrethAndrea-mb9bi
    @magrethAndrea-mb9bi 2 месяца назад +2

    Shida sio kuwa na watoto maana wengine watoto wamezaliwa sio kwa huo uzinzi kama mnavyosema mie naona shida ni kuongopewa kutosema ukweli

  • @EverinRobert-cg6cx
    @EverinRobert-cg6cx 2 месяца назад

    Khaaa eti kalia kwa sababu ya handsome😂ok mume wangu mtarajiwa kuja hapa unioe single mother mie mwenye mtoto wake 1 mjinii dadekiiii😂😂😂😂😂 tufunge bonge la harusiiiiiiii 🎉🎉🎉 ma single motherrr safiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @ErnestKapaya
    @ErnestKapaya 2 месяца назад +3

    Upo sahii anko Kwa kuwa mabinti wanajiachia sana bwana mbona sisi wengine tumejitunza sana

  • @miriammustafa5380
    @miriammustafa5380 2 месяца назад

    Cha msingi ukweli ndioo kila kitu lkn wanawake tujitunzee lkn pia kuna maisha kaka usijufanye hutaki mwenye mtt sawa mkiwa na huyo usipopata mtt utautafuta mtt handsome kwa kipi jamani

  • @fridamarting7168
    @fridamarting7168 2 месяца назад

    Kwahiyo ukioa binti akiwa Hana mtoto akija kwako hata zaa? Au nae akizaa utamuacha?ili uoe Tena ambae Hana mtoto so msimamo wako n mzuri Sana

  • @amukoyawycliffe-u2t
    @amukoyawycliffe-u2t Месяц назад

    Hivi wamaanisha kua umekua nae mwaka mmoja hajawai kukuambia kua ako na watoto kweli,basi bila shaka yeye ni mwanamke mkora ata kwa ndoa yake 😮

  • @SuzyMmary
    @SuzyMmary 2 месяца назад

    12:25 12:26 12:26 😅😅Mwanaume mwenyewe umr 12:31 umeenda bad unadai kuoa bint mdogo huoni aibu 12:33 chefuullll mdogo ndo hakai kwenye ndoa?

  • @MicahGhloloj-bs4cy
    @MicahGhloloj-bs4cy 2 месяца назад +2

    😂😂😂😂😂😂 uko vzr keep it up

  • @vailethpauloPaulo
    @vailethpauloPaulo 2 месяца назад +2

    Kaka hapo siyo kweli ,,,hata huyo ,,,ambaye ana mtoto anakuwa na mpnz na kufanya mapenz

  • @fellisianholle9431
    @fellisianholle9431 2 месяца назад +2

    Siamin kwa sababu mbali mbali ikiwa pamoja kuwa hadi kufikia siku ya kufunga ndoa alikuwa hajatambua kuwa bibi harusi hana mtoto hapa ni maigizo tu

  • @rynesawaya7043
    @rynesawaya7043 2 месяца назад +7

    Huyu mwanaume ni mchoyo af ni mbinafs sana af ana mdomo mchafu sana,mtumishi gan unakua na kaul chafu iv mxiew na utadanganywa sana

    • @timurmauga6559
      @timurmauga6559 2 месяца назад +1

      Singo mazaz inawauma

    • @alphoncembasa592
      @alphoncembasa592 2 месяца назад +1

      Ana uchoyo gani . Kila Mmoja ana msimamo wake .pia mwanamke kwanini afiche kuwa hana watoto

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 2 месяца назад +1

      Kwani mtumishi siyo binadamu akaolewe na waliomzalisha

  • @bwangajanyika5637
    @bwangajanyika5637 2 месяца назад

    Nimekukubali sana kiongozi hakika ukweli unamuweka mtuhulu hatamie ninamisimamoyangu ninayoisimamia sishauliki siambiliki kwanilichokiamini mimi tupopamoja ARUTA CONTINUA

  • @EzrahMassawe-ug5uo
    @EzrahMassawe-ug5uo 2 месяца назад +2

    ❤We ndugu umenichekesha balaaaaa

  • @happystevemaganga1873
    @happystevemaganga1873 2 месяца назад

    Hivi kweli we kaka umri huo humjui mwanamke aliezaa?...Ni kweli una msimamo ila jipange tena katika utafiti wako. Au uliza madaktari wakufundishe mwanamke asie na mtoto anakuaje. Kila la heri kwenye utafutaji. Hata ukioa bikra usitarajie atakua malaika zingatia sana utu na uongeze busara kwenye hl.

  • @HawaAhmed-yj8wo
    @HawaAhmed-yj8wo 2 месяца назад +1

    Nyie mbengo TV hizo nguo za maharusi mbona ni zile zile kila ndoa inayoharibika? Shela la bi harusi hilo hilo na hizo suti ni zilezile, hata kama mmeamua kuigiza ili mpate cha kupost basi badilisheni nguo inakera bhn

  • @jactonmoris3034
    @jactonmoris3034 2 месяца назад +2

    Hakuna mwanamke aliyewahi kuingia Kwenye uaribifu pasipo msaada wa mwanaume

  • @FrankAloyce-ic6rq
    @FrankAloyce-ic6rq 2 месяца назад +1

    Ukomavu mkubwa sana hongera utapata wakwako uliyeandaliwa

  • @Mfwanayo
    @Mfwanayo Месяц назад

    Mbona kama mchafu sana minywele ivo 😂yan ungenipa mim nafas yakumuhoji daaaah ningemalizana nae,shda aseme tu yey hatak kuowa mwanamke mwenye mtoto sio kwamba Budget za Nyumban zinaongekeza uwo niujinga huwo. ..kwanza mim kama mwana phyologists uyu haupo sawa,

  • @MichaelLinda-vd8rx
    @MichaelLinda-vd8rx 2 месяца назад +7

    Uyu sio mtumishi kwanza ongea yake na kwaharakaraka ana watoto ni mtu mzima sema wanaume makosa yao ayaangaliwagi