Kwanza unabahati bro mm kwa mawazo yangu kwa wale wa jamaaa uliyo sema uliwakuta nao Usiku kuna mtu labda ndo mwenye mtoto kwanza una bahati mademu kama haooo wa baya ange date na ww for the same time na huyo mwenye mimba ulikuwa umeleaa mtoto ambaye sio wako kwasababu nilivyo ona maelezo yako demu alikuwa mraisi unapewa na mba apo apo unaenda kulala daaaah ata na ww ahukustuka ungepigwa
Kumbe ukiwa wa kwanza ndiyo inakuaga hivi🥳
Nakubali sana bro
Well
Yan TX unahojiwa serious Alf bd unafanya comedy..🤣🤣🤣 kweli comedy ipo damuni
😂😂😂😂😂 tx huyu hajawai miliki akili
Kumbe huyu ndio yule mwali wa hesabu haya aseme sasa hapa niwapi😂😂
Kijana wa hovyooo kabisaaa😀😀😀💪❤
Kiukweli mapenz yana tudisapoint sana unaweza kutoka kweny mstar wa maisha kabisa......💔
Gift unatumia mtandoa gani??
Usipokuwa makini unatoka kwenye njia kabisa
@@saidfhamad nn
@@andrew0502 kabisa
@@GiftAbduly Unatumia mtandao gani Tigo au Voda??
Kuna wakati watoto wazuri Wala hutumii njia nyingi kupata utamu ,ila unakutana na mtu wakawaida anakusumbuaaaaaa,mwana kapata utamu raisiiiiiiiiiiiii
Changu kiwekeee nitakula nikiamkaa😂😂😂
Ungenitaja man,ulinichukulia devotha lakini wote tukamkosa,sema mwanzoni tulizunguana bdae tukawa washkaji.i remember the moment was so liter.
Kwanza unabahati bro mm kwa mawazo yangu kwa wale wa jamaaa uliyo sema uliwakuta nao Usiku kuna mtu labda ndo mwenye mtoto kwanza una bahati mademu kama haooo wa baya ange date na ww for the same time na huyo mwenye mimba ulikuwa umeleaa mtoto ambaye sio wako kwasababu nilivyo ona maelezo yako demu alikuwa mraisi unapewa na mba apo apo unaenda kulala daaaah ata na ww ahukustuka ungepigwa
Yani wewe hukutumia akili kabisa😂😂.wale uliowakuta kati yao ndo mwenye mimba ila uko na hatari sanaa
@@athumanimhanga2053😀😀😀
Namkubali huyu mwamba
TX Dullah kwenye hii story atupigi ela kweli?
Hapohapo angekuja na biashara kwa Diva asingepiga hela kweli hapo
@@andrew0502acha tamaa
😂😂😂😂 mwanangu umetisha apo kwenye salamu asee,
Me naomba nikuulize kwaiyo bigi saiv hufundishi??
😂😂😂😂😂Wasafi kwa umbea sasa😂😂😂
Huyu huwa hayupo serious 😂😂😂😂😂
wanaume ndo mana munauwawa kwa tamaa zenu hafla ushampigia mahesabu ushaingia geto kizuri ukikute tu hakina mtu
Sabiha unatumia mtandao gani??
@@saidfhamad hahahaaaaa
@@sabihaibrahim143 Unacheka nini wakati nataka kujua unatumia mtando gani??
@@saidfhamad zantel
@@sabihaibrahim143 Na mimi natumia Zantel nipe namba yako nikutumie vocha basi!
Nilikutana nae dodoma😂😂😂namwangalia rafikie akasema ndo yeye😂😂😂nikamwambia ndo nilikua nahakikisha
Mwamba una kodi za Muhim san😂
wanangu uyu mwamba anakitu tuchukue madini apa😅
Changu ukiweke nitakula nikiamka🤣🤣🤣
Mtu wa comedy akiongea hata serious unaeza fikir ni COMMEDY 😅
Mwamba Anatoa madini ya kutosha lazima kieleweke ni muda wa maokoto ya codes 😂
Code hizooo madini
Yaan namuona km anaigiza😂😂😂😂😂
DULLAH😂😂😂😂
MUONGOO SANA UYU JMAAAA😂😂
huyuu jamaaa ni boyaaa
Umalaya tu
Uzinzi tuuu😂😂😂
Dashuu unatumia mtandao gani??
🎉😮😮😅😊
😂😂😂😂😂Kumubusu
😂😂😂😂😂
😂😂😂