Kwa wale unakataa makosa ya dereva kutokukagua gari... mfano angendesha gari hlf kuna tairi limepasuka au kuisha upepo wakati likiwa limepaki likasababisha ajali, makosa ni ya nani
Hapa Bwana...Dereva kabla ya kupanda na kiwasha Gari lazima Ukaguwe Gari lako...kama Usiku watu wamekuja kulegeza Nati za Tairi,au kama kunamtu kaja kuchomowa propela...Kama Umetegewa Misumari kwenye Taili...We Unawasha na kuingiza Gia na kuachia krach.
Sawa Dreva mnamrushia lawama kuwa ndiye mwenye makosa ila ukichunguza kwa makini Sana huyo aliyegongwa alipaswa alale hapo,na hapo ndo mahali sahihi pa kulala!!alishindwa kwenda kulala ndani kwenye kitanda wakati hapo ni sehemu ya kupita gari?aliyegongwa ndo ana makosa makubwa Sana ndo ahukumiwe japo kafa kifo kibaya mungu amrehemu tu.
Mi niliona video dereva mmoja wa lori alikuwa amepaki gari sehemu wakati anawasha akakagua kwanza akakuta mtoto wa mtaani amelala kule akarekodi akatoa wito kwa madereva mkague kwanza magari kabla hamjawasha
Acheni kumuingiza Mungu kwa makosa yetu. Mungu ndo amemtuma atumie madawa ya kulevya? Na kumutuma kulewa pia. Mungu ametupa akili tuitumie vizuri. Tujifunze kuthamini uhai.
MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
Maisha haya dah 😢😢😢
Mungu tunakuomba kifo chema🤲🤲
Kwa wale unakataa makosa ya dereva kutokukagua gari... mfano angendesha gari hlf kuna tairi limepasuka au kuisha upepo wakati likiwa limepaki likasababisha ajali, makosa ni ya nani
Hapa Bwana...Dereva kabla ya kupanda na kiwasha Gari lazima Ukaguwe Gari lako...kama Usiku watu wamekuja kulegeza Nati za Tairi,au kama kunamtu kaja kuchomowa propela...Kama Umetegewa Misumari kwenye Taili...We Unawasha na kuingiza Gia na kuachia krach.
Ila kifo jamani 🙄 hajapona sehemua kulala ,ni chini ya gari
Mungu mpe pumziko la milele kaka yangu 😭😭
Mshikaji namjua baba yake maarufu wakuuza mitumba mjini😢
Dah mipango ya mungu haina makosa, pumzika kwa aman baracka😭😭
Sasa kwanini akalale chini ya gari Mambo mengine msitulaum madereva bana
Wewe ni Dereva kweli...Utawasha Gari bila kukaguwa Gari lako..kama wamekulegezea Nati za Taili?au wameshachomowa propela!
Acha afe mbwa yeye
Kwanza waliniibia sim mbwa hao
Wakati mwingine aliyellala ni kichaa. Lazima ukague gari. Ni sawa na kupiga honi kumbe unayempigia ni kiziwi.
Kweli kabisa❤🔥
Jamani poleni sana nakwanini amelala uvunguni
Arusha ni baridi na uvunguni kwenye gari ni baridi.
Dereva n mpuuz
Anyanganywe lesen.
Lakn nyie abood mna fujo sana na zarau sana
Dreva akaendelee na majukumu mengine uvunguni mwa gari sio sehemu sahihi ya kulala angeenda kulala kitandani asingekanyagwa😮😮😮😮
Ajakukuta ngoja Yakukute ndo Utajuwa.
Innalillah
Dereva alitakiwa akague gari lake nje na ndani kabla ya kuanzi safari
@@GraceMmari-h6g unachekexha ww
😭😭😭
Nayeye kwa nn alalemo
Dereva pia mzembe
Dereva ni mzembe hafai kuwa na driving licence, ni wajibu wake kujua usalama wa gari na mazingira yake. Mzungumzaji acha kupepesa maneno,shame on you
Sawa Dreva mnamrushia lawama kuwa ndiye mwenye makosa ila ukichunguza kwa makini Sana huyo aliyegongwa alipaswa alale hapo,na hapo ndo mahali sahihi pa kulala!!alishindwa kwenda kulala ndani kwenye kitanda wakati hapo ni sehemu ya kupita gari?aliyegongwa ndo ana makosa makubwa Sana ndo ahukumiwe japo kafa kifo kibaya mungu amrehemu tu.
Kweli kabisa 🔥🔥🙏
Wewe ndo umeongea point sana
Mi niliona video dereva mmoja wa lori alikuwa amepaki gari sehemu wakati anawasha akakagua kwanza akakuta mtoto wa mtaani amelala kule akarekodi akatoa wito kwa madereva mkague kwanza magari kabla hamjawasha
Abood wana sifa mbaya popote
Dereva hana kosa kosa huyo Arie rara utarataje kwenye gari uvunguni
Dereva ana makosa kabla hajaingia kuendesha alitakiwa akague gari dah😢😢😢😢
We chiz dereva ana kosa gani uruhusiw kulala kweny tair
kila kitu nyie ni makosa ya watu wengine yaani mtu na akili zako ulale chini ya gari pole yake ila tupunguze lawama.
Kosa lipi la dreva?
@@IgnatusMwombeki dereva ana kosa lolote
"Global" kuweni makini bas BAISI NDO NINI,KAKAYAGWA NDO NNI ?
We ulitaka waandike vp kwan sisi wazungu
@@kimwinyikmy BAISI MAANA YAKE NNI?
KUKAYAGWA MAANA YAKE NNI?
@@Saidiamiri-s8i yah wanapaswa wahariri taarifa zao kabla hawajapost ofkoz unaweza kuona km ni ishu ndogo lkn inapunguza hta ladha ya habr ynywe
Usiseme japo kafanya makosa huyu ni binadamu sema amekufa mtanzania mwenzetu
Unafia usingzini hata hufeel chochote yani
Thubuutu 😴😴 maumiv yko pale pale wkt mchkua roho akifika
Mchukua roho 😂@@RoseMichael-oz7cy
Dah mipango ya mungu haina makosa, pumzika kwa aman baracka😭😭
Acheni kumuingiza Mungu kwa makosa yetu.
Mungu ndo amemtuma atumie madawa ya kulevya? Na kumutuma kulewa pia.
Mungu ametupa akili tuitumie vizuri.
Tujifunze kuthamini uhai.
Unazngua