Jamani sijawahi kutazama au kusikiliza kipindi cha uhondo kwa bahati mbaya siku ya jana nilikua napekua simu yangu nikaona interview ya kumbuka .Napenda niseme Kumbuka amefiti katika kipindi na mimi ni mpenzi namba moja wa uhondo. Kumbuka hicho ni kipaji kama hawataki wataelewa piga kazi. Hongereni wote nami ni mswahili mwenzenu.Naomba muongeze muda wa kipindi hicho nizidi kuburudika jamani.
Dr kumbuka niliacha kusikiliza redio Asante mtu wangu hongereni Efm
Da dina mpen kipindi chake dk kumbuka chamipasho
Omg ...team wa uhondo nakupendeni sana ila sasa ndio imezidi mapenzi kuliko...lots of love from Leicester UK ❤❤❤
Maneno kuntuuu yako juu ya mstariiii 👌👌👌👌👌👌
Full iko wapi ?
Kumbuka nakupenda sana unasema ukwel
Dina tuwekee Uhondo live on RUclips kwaajili ya Dr.kumbuka
Mbona hatumuoni tena DC kumbuka jamani
Tuna mpenda sanaa
0
Aliyepewa kapewaa💪
Nampenda sana Dr kumbuka jamn unayosema yapooo kwenye jamii zetu...ujumbee ufikeee
😀😀😀😀😀wambie kumbuka nakukubali
Jamani sijawahi kutazama au kusikiliza kipindi cha uhondo kwa bahati mbaya siku ya jana nilikua napekua simu yangu nikaona interview ya kumbuka .Napenda niseme Kumbuka amefiti katika kipindi na mimi ni mpenzi namba moja wa uhondo. Kumbuka hicho ni kipaji kama hawataki wataelewa piga kazi. Hongereni wote nami ni mswahili mwenzenu.Naomba muongeze muda wa kipindi hicho nizidi kuburudika jamani.
Me too
🤣🤣🤣👌💪🏽💪🏽💪🏽uhakika dk.kumbuka
Hahaaa mumeongeza chachandu sasa uhondo juu sana
Kuna mwenzake uku Kilimanjaro anaitwa kijumbe😂
Kumbuka Kama kumbuka na kukubali sana boy wewe
KIPINDI TUWEKEENI LAYVU KWA AJILIYA KUMBUKAA HUYU KAA NAONGEA JAMANI MTAENGEZA WASKILIZAJI KWA AJILI YA KUMBUKA
Jamaniii hatari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Doctor kumbuka hoyeeeeeee 🤣🤣🤣
Wapi Dr kumbuka ake weuweeeee 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mamboo sasa 💥💥💥love from Luxembourg
Kwelii waambie hao. Wamezoea hata huku tunao
Wwh sk hz kil siku nasikiliz mn nampend bur uyo kaka
😀😀😀😀😀 Dr kumbuka ongera mbavu zangu mimi piga kelel kwa kumbuka wake weweee
Napenda sna
😁😁😁😁😁👌👌👌👌
Asante baba maneno kuntuu
Mwenye jasho la pela jamani 🤣🤣🤣🤣🤣
Nimechekaaaa sanaa haaaahaaaaaa KUMBUKA TUSIFOKEANEE MJINIIIII HAAAAHAAAAAA
Tunaomb liv you tob
Kabisaaa Dr, kumbuka👌👌
🤣🤣🤣 kumbuka 🙃🙃🙃 na follow hi radio just because of you ♥️... Let me search it💃💃💃
Kaka naomba namba
💕💕💕💕💕 Dr kuka
Nikweli kabisa do. Kumbuka wapo wengi haooooo
Jasho lampera😁😁😁😂😂😂😂😂😂🙌
Team kumbuka Dina ahsante pamoja na Efm
Nimekupenda kaka angu sana
Hapo kaondoka na figo yakooo dr kumbuka weeee
Ivi huyu jamaa kweli mwanaume au mwanamke
😘😘😘 kwa ajili yk kumbuka
Umetisha mzazi
Dr kumbuka tuna kufatiliya sisi wa UK in Newcastle
Talent hiyo sio hivi hivi
Yaaan nazid kuwapenda jaman
Nilikuwa sikisikikizi hik kipind jaman kumbuka 😍 mbavu zang
Mbavu zangu😂😂😂😂😂😂😂
Uhondo umenoga
Alopewa kajaaliwa ,
Nikweli jaman Kama mm napitia mangumu sana
Kumbuka wanguuuuuuuu😘😘😘😘😘👌
Up 😂😂😂😂😂🙌efm kumenogaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
l love u dr kumbukaaa😂😂😂😂
Jmn kumbuka nafrh hatreee unanimalizia bando kwakweli
Mbavu zAngu mieeeeee😀😀😀😀😀mwembamba kama miwa yawapi?😀😀😀😀😀
Maneno kuntuuuuu 👌👌👌👌👌👌👌🙊
Mwenzenu nimeshakuwa mlevi wa dk Kumbuka na uchebe nikiwasikiliza hao watu nakuwa comfortable kweli kweli sijui wana nini
Uwiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁
Kumbuka wewe eti meno yamekutoka Kama kande zilizo kosa nazi
😁😁😁😁😁😁
😀😀😀😀😀
#Tunaomba uhondo iwe live
Haaaaaaaaa!!! Kama umepata mkopo wa liba
Heeeee jani hichi kipindi kinaraha yani ukweli mtupu ewe mola wetu tuongowe
Waalabu hao ndio wanatak kustujudiw na kusifiw
😂😂😂😂bahat so wrong namba😂😂😂
Yaani Kumbuka noma!!
Wengine twazushiwa free Mason kisa hakieleweki hakika kaka umenena
Waooo
Hakika baba
Hatar fire
Mm Ila wewe kaka
Kande zilizokosa Nazi mi mbona cheko lanikauka hahahaha
Kaka yangu kumbuka
Raha kumskiliza kumbuka
Kumbuk baby unanifuraish san maneno yameyook kama nn
Kumbuka noma
Khaaa bora jamani. Hahahahahaaaa
Mushuma wa Pasaka😂😂😂😂
Alopewa. Kapewaaa
Dr.kumbuk wew3 uwaga wnikosha kwely
Uyu tutapata tabu sana mwaka huuu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Maneno kuntu
Haaaaaaa niwa ya kilosaaaaa
🤣🤣🤣😄😄🤣😂
Kipindi sasa ivi limeoga pakoja sana
Wekeni live uhondo jamani
Wk
Kumbuka amefanya niwatch hii kipindi nilikuwa ckipendi kaa nn
Uhondooooooooo
Mic uuuu kumbuka
Vp
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Km ameondoka na fgo yako
Tuwekeeni uhondo live jamani youtube
Uhondo umenoga
hahahahah kumbuka
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣 🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bi hindu alikwendap jmni
Pigalelee wewe hahahaha
Hahaha unamjua kumbuka wewe
🤸🤸🤸🔥🔥🔥🔥🔥🔥💨
Dr kumbuka hataree sana
Bado ya wamama wadokozi ndani ya nyumba za kupanga😂