Katika Tanzania Nzima huyu ndiye alitikisa Wengine Wamefuatanyayo zake katika mambo ya pwani mitetemo mamamipasho aongea kwakituo sio km wale wanaongea km kaset
Mzee babaa uko sawaaaa sana n your full of contents #Gangana Same goes to #Miriam 🤝....she made me watch hizo mambo za pwani banaaaaaaaaaaa...she’s the Best🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🏿
Kwani lazima uchukue kazi za watu zingine waachie wengine wafanye. Ndo yale Jpm anasema tamamaa kutangaza wewe, dukani wewe, kuandaa vipindi wewe, na majukumu ya nyumbani wwwe utaweza kweli? Kwa stahili hiyo lazima uuwe wat.
Weh dada mimi nakugawa eti nimelia your beautiful my sis dr kumbuka very smart kumbe God bless him anakula kucha akiwa na mawazo kichwa kumbe
Katika Tanzania Nzima huyu ndiye alitikisa Wengine Wamefuatanyayo zake katika mambo ya pwani mitetemo mamamipasho aongea kwakituo sio km wale wanaongea km kaset
Pumzika KATIKA SWALA Dada yangu
Nakupenda Sana sister
Nimekufurahiya unaongeya vizuri Allah ukulide na mabaya
Toka tvt mpaka tbc mama yupo vilevile
Nakupenda sana Miriam.
Mzee babaa uko sawaaaa sana n your full of contents #Gangana Same goes to #Miriam 🤝....she made me watch hizo mambo za pwani banaaaaaaaaaaa...she’s the Best🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🏿
Asante sana ndugu.
Uyu mama nampenda mm
Somo yangu we kumbe muhuni 😁😁😁😁umewauwa mpaka wameisha
Mzur mashallah ❣❣❣
Kumbuka namigomba daaaa!!!!!!
Nakupenda sana jamani
Yupo vizuri
Mi nshaua sana shangazi zangu mama wadogo bibi mpaka wajomba.
Huyu sister namkubali sanaa
😚😙
Kwa hakika amempamba kumbuka
Safi Dada Mariam kazi kazi chako mapema
Mariam bint yangu kuzeeeka wajib kuchakaa uzembe wako
Haya majina ni sheeeeeda
Gangana nakukubali sana bro
🙏
Saw tumekwelewa
Mariamu wa migomba mama og
Masha'allah da Mariam upo vizur sana una upendo mkubwa
Hapo kwenye Radhia mwandishi unazingua.
Mashallah Dada mamu
Khalid Gangana huwa mara nyingi unafanya mahojiano na Bi, Mariamu wa Migomba, mmmmmmh
Nmependa
Simulizi ya Kijana huyu itakutoa machozi "Nilichomwa Kisu na Ndugu nyangu Utumbo akatoka Nje Siku ya Sikukuu ya Eid" @xqR4
Hahahahahaaaaaa hahahaha km namuona huyo kijuso ulompiga hahahaha
Kwani lazima uchukue kazi za watu zingine waachie wengine wafanye. Ndo yale Jpm anasema tamamaa kutangaza wewe, dukani wewe, kuandaa vipindi wewe, na majukumu ya nyumbani wwwe utaweza kweli? Kwa stahili hiyo lazima uuwe wat.
Radhia kama Radhia bd
Nakupenda mamaangu
😂😂😂😂😂😂😂 Nipe changu kabisa!
Izo nywele untoka usngizini 🤔
Hahaha
Interview bomba kinyama. 😄
Nakupenda
Da mariam nakuhitaji naomba number nina shuhuli
Dada hamna kitana jaman chakuchana nywele😂😂
model hiyo
Hiyo inaitwa, 'Afro Chafu'.
Safi
Mashallah damamu
kiboko yawo ya wakungwi
Mara moja nakukubali.
Du hizo nywele
Hv ww muiclam kwel
Jiulize Kwanza wewe ni muislam ukipata jibu endelea na harakat zako.
Waislam wa mjini. Yani wa michambo na vidole juu
@@oceanghost4513 . We nae
@@oceanghost4513 😂😂😂😂😂👌
Una Zeka na utam wako jmn
hahahhahahhah
Uyu msema mkwel lak m c wengne Mara million 2
Wajina uko vizuri sana
Na izo nywel je
apo sasa
Na nywele zako kama stell wire
😂😂asante kaka shule nilikimbia
😄😄😄
🤣🤣🤣🤣
Sawa nichekeni tu
🤣🤣🤣🤣🤣
Mariamu wa migomba mama og