Mheshimiwa Rais wetu,Mama yetu Mpendwa hongera sana.Hakika wewe ni mfano wa zaidi ya kina mama Bora na Rais anaesimamia nafasizake zote.Allah akulinde na kukupa umri mrefu.
mashaAllaah Tabarak Allaah jikoni kumenoga❤❤❤Allaah akupe Umri mrefu wenye Twa'a mamaetu ....na hili linatufunza hata ukiwa mkubwa au una dadawa kazi unapaswa uingie jikoni......uandazi mwema mama Allaah abarik mkono wako❤😘🥰
Mama Samia Suluhu Hassan Mama yetu Hongera sana.tunaomba utupunguzie gharama ya ges ili tuweze kuhusu gharama za maisha!sisi watu wa hali ya chini tunataabika sana maisha yapo juu.tusaidie mama
Masha allah, MH:RAIS , MAMA wa KIZ upovyema ALLAH akuzidishie insha allah na akulinde maana umezungukwa na mapapa, manyangumi, mizia, chuwi,simba na mafatani wengine. Hakika kadri wema unavyokua na wabaya huongezeka
Mashallah mm haijawai kutokea hongera sana kwa uangalizi wa Hali ya juu kwa utumishi wako hap Tanzania ingawa chawa ni wengi wamekung,ta lakin haung,tik Alla akutangulie kwa Kila jambo endelea kuwa na subra Kwan subra ndiyo maisha
Mh. Rais pole na majukumu..hongera kwa mkono wa upishi.. mama samahani..mbali na pongezi naomba hizo sufuria nazipenda sana nazionaga tu kwa watu.. natamani kuwa nazo.ahsante🙏
Mama Samia ni Mcha MUNGU, pia Mnyenyekevu, Huyu ni Mama ambaye Hana Majivuno, Viongozi wengi wanaotoka Eneo la Unguja Zenj Err Barr ( Zanzibar) ni Watu ambao Hawana Majigambo kama Huku Tanzania Bara, Mimi nawapenda sana Watu wa Zenj Err Barr (Zanzibar).
Ucha MMungu haha maana raia wake wanateswa na kuuwawa hatujasikia kusema lolote au hata kumuwajibisha Waziri na maofisa wa polisi ucha MMungu sio mchezo raia wake wanateseka yeye ati anapika kwani kupika deal
Hongera mama! Unatufundisha wanawake kujua wajibu wetu. Licha ya cheo, uwezo na vingine vingi, Bado tunapaswa kupika.! Mama akipika chakula ht watoto wanafurahia chakula!😊😊
Dah mama unapika Vizuri kabisa dah hapo kwenye bizari umenikosha Sana alikua ananipikia mama yangu wakati nilipokua mdogo nilitamani kula huo msosi maashaallaah Alhamdulillaah
Hongera sana Rais wetu Mpendwa na Mama yetu kwa kutuoshesha mapishi ya Samaki chukuchuku. Mariam naomba Mama atupikie PLAU. Nilisikia ni Mtaalam wa Plau taamu balaaa. Mama tupikiee PLAU
@@hawamasanje9589 anamuda gani hajampikia mumewe kazi safari za kuongeza madeni, jumuia za kimataifa zina msifia kwa kuweka uongozi bora ila maendeleo na uchumi hakuna tena hata kwa taarifa za jumuiya za kimataifa njoo mtaani kwa watu wa maisha ya nchini uchukue maoni ya mpishi na marehemu ndio ujue mwili ulienda ila kauli yake ya MTANIKUMBUKA bado inaishi kuliko safari za mpishi
muheshimiwa Raisi mungu akubariki sana sana nakupenda sana,wewe nikiongozi mzuri,mpaka kupika unapika nimependa,Mimi ni mwanamke ninae kupenda sana,ombi langu mama kwako, Mimi ni mama ninae jikwamua kimaisha nikiwa na biashara zangu lakini kwa Sasa mtaji nimeshika sana na myajiwangu ni kuanzia million 6, mama yangu,
Mashallah Mashallah Mashallah Rais wangu anapika Mimi ninani nisikae jikoni kupika MUNGU Akulinde Rais wangu shida yangu ni Mbolea tu Rais wangu mana nimepanda Miti shambani kwangu lakini sina Mbolea
Safi sana mamaangu nakupenda sana❤ mm mwanao Jamila hamdi naitaji nije nikusadie kazi nyumba au kazi yyte utakayoona ww mamaangu preas naitaji kazi kwako🙏
Mimi ni doctor na mume ni doctor nikishavua gwanda jeupe ni jikoni ni usafi .mume wangu ana appreciate nikipika kuliko kula chakula mtu mwingine kapika kuna wakati nachoka lakini lazima nijitahidi hata kusaidia kazi dada kljikoni
Hongera sana mh Rais SSH kwa kutuonesha mbali ya kuwa Rais pia unaweza ukaingia jikoni ukapika ...Nakupenda sana Mungu akulinde
M naangalia tu macho ya mama.... Wallah mzee shafii alipata mke haswa... Hongera sana mh.. Kwa kua kinara
Hongera Sana Muheshimiwa Rais kumbe hujasahau kupika licha ya nafasi uliyonayo ya Ukuu wa nchi. Asante kwa kuturahisishia. Utunzwe na Mungu.
Nakumbuka sana Tz pahala nilipozaliwa. Mungu aibariki Tz. watu wake na viongozi wote. Amen
Mheshimiwa Rais wetu,Mama yetu Mpendwa hongera sana.Hakika wewe ni mfano wa zaidi ya kina mama Bora na Rais anaesimamia nafasizake zote.Allah akulinde na kukupa umri mrefu.
Nakupenda mama yangu mheshima Rais from zambia
😮🎉🎉🎉 nakupenda rays
Huyu ndie Rais Mashallah very simple
mashaAllaah Tabarak Allaah jikoni kumenoga❤❤❤Allaah akupe Umri mrefu wenye Twa'a mamaetu ....na hili linatufunza hata ukiwa mkubwa au una dadawa kazi unapaswa uingie jikoni......uandazi mwema mama Allaah abarik mkono wako❤😘🥰
MashaAllah rais wetu ❤
Rais wetu ni mnyenyekevu sana jamani ❤🙌🏻
Mama Samia Suluhu Hassan Mama yetu Hongera sana.tunaomba utupunguzie gharama ya ges ili tuweze kuhusu gharama za maisha!sisi watu wa hali ya chini tunataabika sana maisha yapo juu.tusaidie mama
Hivi mtungi wa gas wanauzaje wengine bado tuko kwenye mkaa
Hongera sana madam President natamani siku moja nionane na wewe ana kwa ana siku hiyo ningeshukuru sana!❤
Masha allah, MH:RAIS , MAMA wa KIZ upovyema ALLAH akuzidishie insha allah na akulinde maana umezungukwa na mapapa, manyangumi, mizia, chuwi,simba na mafatani wengine. Hakika kadri wema unavyokua na wabaya huongezeka
❤❤❤🎉🎉mama mungu azidi kukupa afya njema mitano tena
Allah akuhifadhi ,Raisi wetu nimejifunza mengi kama mwanamke🎉🎉🎉
Dadangu na kiongozi wetu hongera kazi njema Mwenyezi Mungu a kujalie afya na aku zidishie hekima
Mama tunashukuru . Hii ni elimu tosha kwa wanawake. Wanawake tusiopenda kupika tujifunze kitu natuanze kupika. Big up mama yetu., rais wetu
Hongera mama yetu Samia Mungu akubariki Kwa uvumilivu mwingi
Mungu akubariki.mama kiukweli nimevutiwa sana
Mama yetu ni mnyenyekevu sanaa tujifunze kutoka kwake
Mungu akulinde ❤❤
Much love rais samia from kenya
Mashallah mm haijawai kutokea hongera sana kwa uangalizi wa Hali ya juu kwa utumishi wako hap Tanzania ingawa chawa ni wengi wamekung,ta lakin haung,tik Alla akutangulie kwa Kila jambo endelea kuwa na subra Kwan subra ndiyo maisha
Mh. Rais pole na majukumu..hongera kwa mkono wa upishi.. mama samahani..mbali na pongezi naomba hizo sufuria nazipenda sana nazionaga tu kwa watu.. natamani kuwa nazo.ahsante🙏
Ukipata nigawie ndugu...nazipenda hatari,shida pesa...😢
@@uhurujan2244 .. inshallah..🤲usijari ndugu.
@@DeboraNgura barikiwa 🙏
Mungu akutie nguvu akujalie afya njema mama yetu
SUPER GREAT LADY👍❤ RAIS SAMIYA" PROUD OF YOU" PRESIDENT OF TANZANIA"👌 KEEP IT UP N GO MORE FORWADS YR CITIZENS NEEDS U"😆😄😃😀WITH LOVE❤ N HUG 💖"
Lovely President proud of you Mama Samia you are the best ever Mashallah kwanza ni Mzuri sana na ni Mstaarabu na ni Mungwana ni Mpenzi wa Mungu
Mama Samia ni Mcha MUNGU, pia Mnyenyekevu, Huyu ni Mama ambaye Hana Majivuno, Viongozi wengi wanaotoka Eneo la Unguja Zenj Err Barr ( Zanzibar) ni Watu ambao Hawana Majigambo kama Huku Tanzania Bara, Mimi nawapenda sana Watu wa Zenj Err Barr (Zanzibar).
Ucha MMungu haha maana raia wake wanateswa na kuuwawa hatujasikia kusema lolote au hata kumuwajibisha Waziri na maofisa wa polisi ucha MMungu sio mchezo raia wake wanateseka yeye ati anapika kwani kupika deal
@@w4058mama mitano tena ❤❤❤❤❤
Alhamdulillah kumbe unauwezo wakujpikia siyo mama wakusibiri kutengewa nakukarbshwa M/Mungu azdi kukuongoza
Kiongozi wa aina yake najivunia kuwa Tanzania hongera. Sana shangazi. Kutoka Oman. Mzanzibazi love you
Hongera mam yet allaah akuongoze na akubari kwa jambo,nimetaman sufuri zako mam naomb moj ktk dzen yak
Hongera mama! Unatufundisha wanawake kujua wajibu wetu. Licha ya cheo, uwezo na vingine vingi, Bado tunapaswa kupika.! Mama akipika chakula ht watoto wanafurahia chakula!😊😊
Umeona ukweli mtupu ulichoandika
Mama ni Mama Tu Hongera sana Mh.Raisi🥰🔥🔥
Ongera mama yetu uko vizuri
Hongera mama. Bora nikunong'oneza hapa jikoni. Wanasiasa usiwaamini. Wakikuambia ni asubuhi au ni jioni fungua pazia chungulia nje.
Dah mama unapika Vizuri kabisa dah hapo kwenye bizari umenikosha Sana alikua ananipikia mama yangu wakati nilipokua mdogo nilitamani kula huo msosi maashaallaah Alhamdulillaah
Hongera sana Rais wetu Mpendwa na Mama yetu kwa kutuoshesha mapishi ya Samaki chukuchuku. Mariam naomba Mama atupikie PLAU. Nilisikia ni Mtaalam wa Plau taamu balaaa. Mama tupikiee PLAU
Maashaallah. Allah akuhifadhi mama wa watoto wengi
Hongera sana mama unatupa fundisho Mungu azidi kukupa baraka zake
@@hawamasanje9589 anamuda gani hajampikia mumewe kazi safari za kuongeza madeni, jumuia za kimataifa zina msifia kwa kuweka uongozi bora ila maendeleo na uchumi hakuna tena hata kwa taarifa za jumuiya za kimataifa njoo mtaani kwa watu wa maisha ya nchini uchukue maoni ya mpishi na marehemu ndio ujue mwili ulienda ila kauli yake ya MTANIKUMBUKA bado inaishi kuliko safari za mpishi
Hongera sana mama yetu .Kweli unastahili pongezi sana .
Proud of you my mom allah akuongoze na akujaze kheir na ujasiri inshallah
Mama nakupenda sana tena sana ❤
Ongera sana Mhe Ras wangu.❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Hongera Rais wetu,wajina wa mwanangu❤
Mheshimiwa Rais ameonyesha mfano wa chaku kinachotakiwa kuliwa mfano mboga chukuchuku bilamafuta na ugali Dona Hakika Mungu ambaliki nimependa SANA.
MashaAllah huyu ndie Rais wakuigwa dunia nzima.
❤ MASHAALLAH MAMA YETU ALLAH AKUTANGULIE KTK KILA ULIFANYALO.
Hongera mama kwa kupika nimependa❤❤
❤❤❤❤❤ kumbe tunawajibu wa kuingia jikoni hata kama tukiwa na majukumu mengi kiac gan
Hongera sasa mama.Nazidi kukubali.Kura yangu 2025 unayo.Mungu akutunze
Mashallah mama umenikumbusha mbali sana marehemu bibi yangu alivyokuwa akipika.mashallah
Kuwa mtulivu unapomuoji mtu ndugu mwandish.....mh bado ajamaliza kuongea una mdakia kwenye maelezo hii si sawa unatuchanganya mpk sisi tunaemsikiliza
Napenda tuu jinsi mama.anavyoongea
Mungu ibariki Tanzania na kiongozi wetu❤❤❤
Tanzania ni nchi yenye upendo sana, naipenda sana Tanzania
Mama ni nambari one Hana mpinzani mama anapika chakula hicho naamini nikitamu sana🎉🎉🎉❤❤❤
❤❤❤❤❤🎉🎉😂😂mmwaa. Hogera shangazi langu. Kipenzi. Mwaaaa🎉🎉🎉
Mashaallah ♥️🥰 nakupenda mama🌹
Mama huyo mama ❤
My mom i wish ungekuwa rais mpaka kufa kwako i love you so much tanzanian mother
Hayo ni maoni yako
Mama nimmoja tu Mungu akupe nguvu
Mashallah kipenz Allah akuifadh
Hongera mama
Asante mama
Nakupenda mama
muheshimiwa Raisi mungu akubariki sana sana nakupenda sana,wewe nikiongozi mzuri,mpaka kupika unapika nimependa,Mimi ni mwanamke ninae kupenda sana,ombi langu mama kwako, Mimi ni mama ninae jikwamua kimaisha nikiwa na biashara zangu lakini kwa Sasa mtaji nimeshika sana na myajiwangu ni kuanzia million 6, mama yangu,
Na wanzanzibar tunavyopenda chukuchuku basi haya😋😋😋 hongera mama
Mashallah Mashallah Mashallah Rais wangu anapika Mimi ninani nisikae jikoni kupika MUNGU Akulinde Rais wangu shida yangu ni Mbolea tu Rais wangu mana nimepanda Miti shambani kwangu lakini sina Mbolea
Hongera mama yangu umeonyesha pia licha ya Rais lakini majukumu ya mama Kama mama
Nimependa mama anavojiamini akiwa jikoni,hongera mama Samia rais wetu
Rais Samia usheshi wako HifadhiALLAH 🎉🎉🎉
Hongera sana mama kwa mapishi
Hongera muheshimiwa raisi
Hongera mama na Rais wetu kipenzi mama please nisaidie mwanao nipate mtaji wa biashara ubarikiwe mama
😂😂😂
Mashallah mwanamke jiko mama 👌Nakupend a
Rais wetu ni rais wa mfano duniani
Mungu akupe afya rais wetu Samia tunakupenda wewe ni rais Bora Allah kuhifadhi akupe afya yarab amin
Kweli wewe mama pia bibi mungu akulinde mamaangu
Nakupenda
Safi sana mama.
Ahsante sana mama yetu mitano tena hyooooo my mmy
Asante mama ❤
Mashallah mama hongera
Safi sana mamaangu nakupenda sana❤ mm mwanao Jamila hamdi naitaji nije nikusadie kazi nyumba au kazi yyte utakayoona ww mamaangu preas naitaji kazi kwako🙏
Tuma namba Ili iwe rahc wasaidz wa mheshimiwa wakupate
@@tztanzania2262😂😂😂 halafu mababaz wamtongoze au vipi?! 😂😂😂
😂😂😂😂
Hungera sana rais wetu
mashallah mama kura kwangu utapata nakupenda buree unavyojielewa
Mama uko vizur hakika mungu amekuwezesha sema kama mungu akikuwezesha unitatulie changamoto yang hakika ww ni mama haswaa
Mama.mashallah.huyu.ni.mama.wa.kuigwa
Mashallah Mashallah amazing 👏
Allahuakbar ❤
Mama samia jamani mm nakupenda sana mungu akulinde sana wanaokuchkia waache wapite hwakuzidishii jambo hao
Ongera sana mamaangu
Ongora sana mama
Hata Uganda president wao huonekana malishoni aki refresh mind ... Lakini Kenya mmmmmh sioni kama hujipatia time ...
Allah akulinde nahusda ma samia
Nakuombea maisha marefu mama
Mama MUNGU akubariki sana nimependa sana pishi lako nimefurahi kukuona jìkoni mamy wangu makupenda
Mimi ni doctor na mume ni doctor nikishavua gwanda jeupe ni jikoni ni usafi .mume wangu ana appreciate nikipika kuliko kula chakula mtu mwingine kapika kuna wakati nachoka lakini lazima nijitahidi hata kusaidia kazi dada kljikoni
Ongeraaaaaaa
Tunakupenda mama yetu, Allah bariki. Mama Abubakari
Mashaallah
Mom ❤