NAMNA TANO ZA IMANI ANAYOIHITAJI MUNGU ILI AKUPONYE/AJIBU MAOMBI YAKO: 01: Imani inayompa Mungu utukufu. Hii ni imani ambapo mtu anatamani Mungu afanye ili watu wajue kuwa yeye ndiye Mungu, Ni imani ya maombi kama ya Eliya, pale alipomwambia Mungu ashushe moto ili Israeli wajue ya kuwa yeye ni Mungu, Rejea 1WAFALME 18:36 Namna hii ya imani wakati mwingine humfanya Mungu akujibu sio kwa sababu umeomba sana au unastahili sana, bali kwa sababu unatafuta jina lake litukuzwe, Ni imani iinayofanya Mungu apendezwe nawe, Rejea WAEBRANIA 11:6, ANGALIA MPAKA MWISHO, PIA. USISAHAU KUFUATILIA SOMO SEHEMU YA 02.
NAMNA TANO ZA IMANI ANAYOIHITAJI MUNGU ILI AKUPONYE/AJIBU MAOMBI YAKO:
01: Imani inayompa Mungu utukufu.
Hii ni imani ambapo mtu anatamani Mungu afanye ili watu wajue kuwa yeye ndiye Mungu,
Ni imani ya maombi kama ya Eliya, pale alipomwambia Mungu ashushe moto ili Israeli wajue ya kuwa yeye ni Mungu, Rejea 1WAFALME 18:36
Namna hii ya imani wakati mwingine humfanya Mungu akujibu sio kwa sababu umeomba sana au unastahili sana, bali kwa sababu unatafuta jina lake litukuzwe,
Ni imani iinayofanya Mungu apendezwe nawe, Rejea WAEBRANIA 11:6,
ANGALIA MPAKA MWISHO, PIA. USISAHAU KUFUATILIA SOMO SEHEMU YA 02.