GOSPEL REVIVAL FOR ALL NATIONS.
GOSPEL REVIVAL FOR ALL NATIONS.
  • Видео 39
  • Просмотров 2 868
NENO NA USHUHUDA WA ALIYEFUTIWA KESI BAADA YA KUOTA NDOTO TUKAOMBA.
Sio kila ndoto ni ndoto tu, zingine hubeba uhalisia wa mambo halisi ya ulimwengu wa roho yanayotazamia kutokea katika ulimwengu wa mwili.
Hata Sulemani aliota tu ndoto, na kupitia ndoto hiyo hiyo akapokea hekima na utajiri amabo hapana mtu duniani ataufikia utajiri wake kama Mungu alivyosema, Rejea 1WAFALME 3:3-13
Просмотров: 45

Видео

INJILI MAZINGIRA MAGUMU NI SIRI YA KUTUMIWA NA MUNGU.
Просмотров 5Месяц назад
INJILI MAZINGIRA MAGUMU NI SIRI YA KUTUMIWA NA MUNGU.
ANACHOKISUBIRI MUNGU KWA MTU ANAPOTAKA KUMTUMIA AU KUMSAIDIA.
Просмотров 3Месяц назад
Mungu yupo tayari, ila anasubiri kuona kuwa hilo jambo alilotupa tunalipokea kwa mzigo na tunalifanya kwa mzigo pia.
TUSIPOJUA TUNAWEZA KUBAKI TUNALALAMIKA
Просмотров 60Месяц назад
Hata katikati ya mabaya na shida za kila namna anazoruhusu Mungu tuzipitie, kuna kusudi lake anataka tulijue na kulitimiza.
USIPOJUA UNAWEZA KUBAKI UNALALAMIKA.
Просмотров 39Месяц назад
Katikati ya mabaya na shida za kila namna anazoruhusu Mungu tuzipitie, kuna kusudi anataka tulijue na kulitimiza.
MAOMBI HAYA YA UAMSHO YALIZAA SPIKA YA INJILI KWA HILI KANISA.
Просмотров 166Месяц назад
Ilikuwa Ijumaaa ya tarehe 29.11.2024 tulipokuwa tumealikwa kwa neno na maombi katika hili kanisa lililopo Pwani. Jumapili tarehe 01.12.2024 Mchungaji akiwa anakuja kanisani, akawa kama amepitiwa usingizi, akaona picha ya panzi, alipomkaribia yule panzi akawa mtu anakuja kumsalimia. Nilipoingia kanisani, akaona nilivyokuwa nimevaa, akaikumbuka ile njozi. Na kupitia ibada hiyo, Mungu akatufunguli...
MRS MUSA MALABA NA KUITIKIA WITO
Просмотров 320Месяц назад
Hakika kumfuata Yesu ni gharama, lazima ukubali kuacha kile Yesu amekuambia kukiacha hata kama unakipenda. NENO KATIKA IBADA AICT KISARAWE TRH30.11.2024
MWANZO WA HUDUMA YA MUSA MALABA AKIWA NA MDOGO WAKE ISAYA AICT MASUMBWE 23/10/2021
Просмотров 19Месяц назад
Kila mmoja hutoka mbali na Mungu. Hapo nilikuwa nimetoka kwenye huduma Morogoro nilikoenda kufungua Kanisa la AICT DUTUMI. Kanisa hilo lilianza na familia moja ya Mama Winfrida, watu wazima wawili na watoto wanne, tulianza tarehe 01/11/2020, na ndani ya miezi mitano kulikuwa na waumini 91, watu wazima 58 baada ya Mungu kuanza kujidhihirisha kwa miujiza kupitia jina la Yesu. JINA LA BWANA YESU L...
USHUHUDA WA REGINA ALIYEONGEA- SOMO LA IMANI ANAYOIHITAJI MUNGU ILI KUKUPONYA PART 02.
Просмотров 138Месяц назад
Fuatilia maombezi katika video hii, Mungu anaweza kukuhudumia ukiamini.
USHUHUDA WENYE FUNZO KATIKA UCHUMBA KUFIKIA NDOA.
Просмотров 192Месяц назад
USHUHUDA WENYE FUNZO KATIKA UCHUMBA KUFIKIA NDOA.
NAWEZAJE KUISHI NA ANAYENIUDHI?
Просмотров 17Месяц назад
NAWEZAJE KUISHI NA ANAYENIUDHI?
USHUHUDA WENYE SOMO LA IMANI ANAYOIHITAJI MUNGU ILI AKUPONYE:PART 01.
Просмотров 173Месяц назад
USHUHUDA WENYE SOMO LA IMANI ANAYOIHITAJI MUNGU ILI AKUPONYE:PART 01.
MZALIWA WA KWANZA NI YUPI?
Просмотров 25Месяц назад
MZALIWA WA KWANZA NI YUPI?
MKUTANO WA INJILI KILWA KIVINJE NA WANA CHUO WA ARDHI NA TAKWIMU 25/02-03/03/2023
Просмотров 8Месяц назад
MKUTANO WA INJILI KILWA KIVINJE NA WANA CHUO WA ARDHI NA TAKWIMU 25/02-03/03/2023
MKUTANO WA INJILI KITUI-KENYA: MLANGO KUFUNGWA NA MUNGU: 19/07/2022
Просмотров 46Месяц назад
MKUTANO WA INJILI KITUI-KENYA: MLANGO KUFUNGWA NA MUNGU: 19/07/2022
SIRI YA UTENDAJI WA MUNGU, NAMUONAJE MUNGU?
Просмотров 29Месяц назад
SIRI YA UTENDAJI WA MUNGU, NAMUONAJE MUNGU?
MPUNGA WANGU DUTUMI ULIOFUNGUA HUDUMA 2021 BAADA YA KULIWA TEMBO NILIPOUACHA ILI NIKAFANYE HUDUMA.
Просмотров 11Месяц назад
MPUNGA WANGU DUTUMI ULIOFUNGUA HUDUMA 2021 BAADA YA KULIWA TEMBO NILIPOUACHA ILI NIKAFANYE HUDUMA.
MKE WANGU NILIMPATA KUPITIA SEMINA HII MWANZA TRH 15-21/11/2021, HAKIKA YESU HUTUHESHIMISHA.
Просмотров 74Месяц назад
MKE WANGU NILIMPATA KUPITIA SEMINA HII MWANZA TRH 15-21/11/2021, HAKIKA YESU HUTUHESHIMISHA.
LICHA YA KUHISI NI CHIZI, YESU ALIMTENDEA MIUJIZA 3 KWA WAKATI MMOJA.
Просмотров 166Месяц назад
LICHA YA KUHISI NI CHIZI, YESU ALIMTENDEA MIUJIZA 3 KWA WAKATI MMOJA.
WALIOLIPOKEA NENO- TUTENDEJE NDUGU ZETU "PART 3"
Просмотров 21Месяц назад
WALIOLIPOKEA NENO- TUTENDEJE NDUGU ZETU "PART 3"
NAWEZAJE KUPOKEA KIPAWA CHA ROHO?- BY EV FRANK MAKOYE.
Просмотров 35Месяц назад
NAWEZAJE KUPOKEA KIPAWA CHA ROHO?- BY EV FRANK MAKOYE.
MUNGU AMEMFANYA- "TUTENDEJE NDUGU ZETU" PART2
Просмотров 183Месяц назад
MUNGU AMEMFANYA- "TUTENDEJE NDUGU ZETU" PART2
BE SEPARATED, BY EV MUSA MALABA AND FRANK
Просмотров 102 месяца назад
BE SEPARATED, BY EV MUSA MALABA AND FRANK
TUTENDEJE NDUGU ZETU?
Просмотров 232 месяца назад
TUTENDEJE NDUGU ZETU?
KWA MARA YA KWANZA MAMA MTUMISHI MUSA MALABA AKIHUBIRI MTAANI SAA YA WOKOVU.
Просмотров 992 месяца назад
KWA MARA YA KWANZA MAMA MTUMISHI MUSA MALABA AKIHUBIRI MTAANI SAA YA WOKOVU.
INJILI BAADA YA KUTISHWA TUKIWA VISIWA VYA SONGOSONGO KILWA TZ
Просмотров 866 месяцев назад
INJILI BAADA YA KUTISHWA TUKIWA VISIWA VYA SONGOSONGO KILWA TZ
MAMLAKA KATIKA JINA LA YESU
Просмотров 176 месяцев назад
MAMLAKA KATIKA JINA LA YESU
SIFA WASIOZIJUA WANAOMPINGA YESU
Просмотров 96 месяцев назад
SIFA WASIOZIJUA WANAOMPINGA YESU
SABABU ZA YESU KUWA NI MUNGU
Просмотров 96 месяцев назад
SABABU ZA YESU KUWA NI MUNGU
UTHIBITISHO KUWA YESU NI MWANA WA MUNGU.
Просмотров 106 месяцев назад
UTHIBITISHO KUWA YESU NI MWANA WA MUNGU.